Shukran sheikh Allah akupe umri mref wente barakaa
@Ashrafumohamed-gv5cj6 ай бұрын
mimi naamini kama mtu kapita madrasa hawezi kutukana wala kukejeli wewe unaotukana unavitbu gani ulivyo soma mbna mwajichumia madhambi zilzomijaa nichuki tuacheni na kumtaja kwetu alla na kumsifu mtume wetuﷺ
Mashallah jadhaka wallah lkheir ya shekh,umepita katika elmu kubwa sanaa,wambie wale jaamaa zetu wanayopinga haya,na wanapinga kwa uchoyo tu kwavile tunapata dhawabu alhamdulillah 😊
@ramadhanisulemani90162 жыл бұрын
Hhhhhhhh mche allah thawabu ipi waipata kwa kukohoa wewe....huoni hata ametumia hadithi ya uongo. Emb kaa uchunguze
@aboubilal39262 жыл бұрын
Ndiyo maana ulamaa wanasema kuwa bidaa inapendeza zaidi kwa ibilisi kuliko maasi. Anayefanya maasi kama vile pombe zina, kamari nk anajua kuwa yale anayofanya ni maasi akitubia anatubia kwa maasi anayofanya wakati mtu wa bidaa atatumia kwa jambo yeye analiona kuwa ni ibadah? Tafakari
@athmanbabusa8020 Жыл бұрын
@@aboubilal3926 Unamaanisha kutia Nia kwenye swala inapendeza zaidi kushinda zinaa?
@DHULKIFLYDHULQARNAIN-tw2rc Жыл бұрын
Shukrani Al habiib
@binbaya9232 жыл бұрын
Maa shaa Allah. Shukran yaa Sheikh kwa kutufundisha
@حسنسعيدفرحان2 жыл бұрын
Wewe kweli Ni sufiy ALLAH akuongoze wewe mzee
@yasinomary21472 жыл бұрын
Huyu sio sufi wala pamba,ni sheikh Al allama al mujahidulqabir
@saidchina85522 жыл бұрын
Mashallahu mawahabi wanaumia san hawana elim ndo maana wanateseka
@alwymohammed2460 Жыл бұрын
اللهم انفعنا بعلومه . واطال الله عمره
@nyumbayatibanadua7372 жыл бұрын
Ma shall aah, ma shall aah, Allah akulipe kula Kheri. Zidi kutumpa elimu wapuuze majahili yenye kupinga pinga tu, Ila nimekuelewa Sana.
@barjah1184 Жыл бұрын
وَلَا تَزِرُ وَازِرَةٌ وِزْرَ أُخْرَىٰ
@hamadfaki25032 жыл бұрын
We mzee hebu rudi ktk sunna sio muda utarudi kwa mola wako, Muogope Allah we mzee wangu utasimamishwa mbele ya Allah na utaenda kuulizwa ktk haya ulosema na mengineyo.
@aljahuur2 жыл бұрын
Acha uyahudi wewe
@husseinthabiti3112 жыл бұрын
Humjui huyo jaribu kutafuta kwenye you tube Kisha utamjua Ni Nani huyo
@tatatabdi99992 жыл бұрын
@@husseinthabiti311 ni miongoni mwa maswahaba wa mtume au ?
@hamadfaki25032 жыл бұрын
@@tatatabdi9999 hahahaha
@fikafikan8484 Жыл бұрын
Hata ww utarudi kwa mola wako tena omba mungu qkusamehe kutusi walimu yy ametupa yake hupendi na ww toa darsa lako tukuskize
@MwamvuaJafari-fq4ku11 ай бұрын
Mashallah.
@salummzee97392 жыл бұрын
Allah atujaliye kheir na baraka
@muhammadmjara67762 жыл бұрын
khurafi jijisufu ujinga mkubo sana allahu akuongoze rejea kwa allahu mjijisufi achani kiburj
@abdilahijuma33732 жыл бұрын
Masha’Allah elimu kubwa sanaah hiyo imetolewa na Sharifu
@hasanisaidishabani38792 жыл бұрын
Shekhe umesema kweli zama izi elmu inapotea maalifa ndo yanakuja juuu wallah naapa shaidi allah mpk siku yakiama sasaivi elmu inapotea kwanz wanazuoni wasasa wanaojiita chipukizi awana hekma wala busara na allah amesema mweny hekm ndy anakher zote dunianii wasasa wamekosa nawanachosoma nimabishano nakuwaingiza watu moton haliyakuwa wote wapo dunianii ndy maana elmu zao zimekuwa azina kalama tuliziona kalama na maajabu kwa mashekh wetu wakaon bado wanaita walikuwa wachawi kwakel tutaja kuulizwa naallah
@kamaluissackkalonkano13482 жыл бұрын
Shukran saanaaa sheikh wetu Kwa elim
@ramadhanisulemani90162 жыл бұрын
Nawashangaa sana wanao kusifia ktk hili ambalo unawapoteza kwalo...kwann usiwafundishe watu ukwel Muogope Allah. Kutokana na uchache wa maarifa yako ya kujua hadithi ipi sahihi na ipi dhaifu Unadanganya watu kwa hadithi dhaifu, ضعف الطالب والمطلوب
@MohamedAli-rl8cl2 жыл бұрын
Yule aliekuambia wewe una maarifa ni nani? Ukamilifu ni wake M/Mungu.
@aminahassani-jh5rp19 күн бұрын
Zikri ipo lakini sio kukohoa ila sema allah allah tumtaje mungu
@muftishaban.a.musamombasak65772 жыл бұрын
Shukuran Sana sheikh sharif
@abdilahijuma33732 жыл бұрын
Masha’Allah Masha’Allah
@lordenoughforme44172 жыл бұрын
eti aaah aaah ahhh. dini mpya hii
@aljahuur2 жыл бұрын
Allah kawaziba ufahamu mawahabi mayahudi wamepewa ufahamu wa kufuga ndevu na kuvaa kofia zao za kiyahudi za vitobo zile za kipadri tu
@allyabdallah46792 жыл бұрын
Subhanallah hakika umma unaupotosha turudini katika haki hamna dini kama hio
@aminahassani-jh5rp19 күн бұрын
Mbona hamsemi ismi 😂😂😂 msikohoe jamani allah allah
@quranrecitations72672 жыл бұрын
Ndoooooo kazi ipo hapo
@fatumaomary6110 Жыл бұрын
Tuachane tuzikri tuende motoni shida nn
@mamlomamlo90642 жыл бұрын
Mie elimu yangu ndogo nauliza katika majina 99 ya Allah mbona AAA silioni?
@selemohd90602 жыл бұрын
Utaiona wapi na elimu yako ni ndogo?
@mamlomamlo90642 жыл бұрын
@@selemohd9060 ungenielimisha
@mahershadhil24932 жыл бұрын
😅😅😅🤣🤣
@ismailmursal19332 жыл бұрын
Hili swali hukuna Sufi yeyoto aweza kutujibu kabisaaaa حتى يشيب الغراب
@AlawiKahemaАй бұрын
Kipo kitabu yapo majina 1000 yote ya Allaah endelea kujifunza
@ashrafkhamis10512 жыл бұрын
Masha Allah
@digital_jungle27 ай бұрын
wacha kudanganya hadithi ni maudhur kuhusu aninu al maridh
@sittacharlesmaendeleo778 Жыл бұрын
Jinga sana hili
@tatatabdi99992 жыл бұрын
Mzee ninakukumbusha kwa aya hii. (فَلَنَسۡـَٔلَنَّ ٱلَّذِینَ أُرۡسِلَ إِلَیۡهِمۡ وَلَنَسۡـَٔلَنَّ ٱلۡمُرۡسَلِینَ) [Surah Al-A'raf 6] Sasa endelea kupotosha watu.
@FatherofRabbits132 жыл бұрын
Kabsa ndugu yangu. Misufi wana taabu Sana. Subhanallah
@sokotvonline88452 жыл бұрын
Hivi Huyo Mtu Munamjua Vzur Kwanza Kabla Hamjasema Lolote...Munamfaham Huyoo
@FatherofRabbits132 жыл бұрын
@@sokotvonline8845 sheik mm hasa Sina haja ya kumjua jitu kma hlo lenye kupotosha watu ovyo. Ikiwa aqwaal Za maulamaa zinachukuliwa zikiwa ni sahihi na zinarudishwa kma sio sahihi. Ni Nani Uyo aongee hvo askizwe?? Hzo ni takataka anayoongea kutoka kinywani mwake.
@sokotvonline88452 жыл бұрын
@@FatherofRabbits13 Sawa
@hamadfaki25032 жыл бұрын
Asante akhy umetukumbusha
@farmah96852 жыл бұрын
Mwatafuta pilau Tu hamna lolote wacheni kupoteza watu
@adamjutto58492 жыл бұрын
Hawi mtu suufi asubuhi ispokua jioni utamkuta chizi,imaamu shaafii
@ismailmursal19332 жыл бұрын
Hhhh Maa SHAA Allah barakallahu fyika Akhy FYI manhaji ssalafyi
@iddydaruwesh86502 жыл бұрын
Kama unaona hajui na wew tupe unachojuwa kukwambia mzee kama huyu tena ni shariffu. Acheni kumkosoa kila mtu aamini anachojuwa ukiona halikufai nenda pembeni tuwachie dhikri yetu
@hamadfaki25032 жыл бұрын
Kwani Sharifu ni nani ee
@iddydaruwesh86502 жыл бұрын
@@hamadfaki2503 pole sana ndugu hujui shariffu ni nani labda una imani ya nyengine. Ukiona jambo kwako halikufai waachie wenye jambo lao. Dini yetu ni pana sana
@hamadfaki25032 жыл бұрын
Qur'an imetaja walii ni wacha mungu ila nyinyi muna mawalii wenu wa kisufi mnao wajua nyinyi,wkt hata ww unaweza kuwa walii au ndie kabisa,acheni kuwatukuza watu kupita mipaka baadae wanapofariki mnaenda kwenye makaburi yao mnaomba,mnaleta شرك أكبر
@muryd69992 жыл бұрын
Maa Shaa Allah ♥️♥️♥️♥️♥️
@sittacharlesmaendeleo778 Жыл бұрын
Nenda kasome ww acha upuuz usipoteze umma mpuuz mmoja
@SeifAlliy Жыл бұрын
Jitoto la zinaa lazima litoe kauli mbovu kwa waja wema.
@sittacharlesmaendeleo778 Жыл бұрын
Kwa mja mwema Gani...achen kutukuza nafsi zenu Allah anamjua
@barawampaayi7 ай бұрын
Katika watu wa lamu sheikhi wa kisawaswa ni sheikh Ahmad Msallam
Adabu zao ndogo sana hao wanaomkosoa Sheikh na elimu yao wanafundishwa ya kubishana na ndomana barka hawana kabisa na Allah alivyokua mkubwa basi masheikh aina hii wengi huwa wanapata shahada wanapokufa sasa sijui jaahil nani na wao shahada huwa wanaisikia kwenye bomba😄 ya Rabbi waongoze ndugu zangu uwaoneshe hakika ya mambo
@medimisi69302 жыл бұрын
Tafuta Hadith ya kujikohoza hata kala shetani utowe hapa iwe ww au hao mashekhe wako wa kujikohoza na lau ungekuwepo ushahidi wake tungeona dunia nzima wanakohoa sawa sawa ila kila mtu anakohoa aina yake fuatilia hilo, tuna taka hadithi sio mbwembwe
@abdallahmohd85442 жыл бұрын
Sio kujikohoza mbona unabadilisha ni kumtaja Allah kule au hujamsikia sheikh vzr
@aljahuur2 жыл бұрын
Hakuna wahabi ata mmoja alokufa akatamka kalima ufe yahudi utamke kalima wap subutuu kazi yahudi kazi yake ni kupatana katika dini kama biashara ili ataka hili hataki ndo tabia zao mayahudi tangu wakat wa mtume muhammad
@foxnineteen56792 жыл бұрын
Pumba unatumwagia
@osmaniidrisa6290 Жыл бұрын
Kuna Chanel hazifai hata kufungua kama hii mnatueekea upumbavu kama huu
@AlawiKahemaАй бұрын
Pole sana masikini wewe huna jipya acha kubishana na wanaojua ww ni mtu ulionyimwa BUSARA na ALLAAH,Pole sana
@muhidinally37532 жыл бұрын
Huyusheikh sioni kwa nini hiki kitv kinampa nafasi ni mpotoshaji sana.
@hasanisaidishabani38792 жыл бұрын
Wee uwez kuwa sawa unaelmu gan kwanz mpk ujue uyo anapotosha
@jumakapilima72952 жыл бұрын
Nafikiri Riyadh Al Janna iliyozungumzwa katika Hadeeth hiyo ni Majlis Al Ilm!!
@aninanichasi422 Жыл бұрын
Unajuwa kuliko sharifu? hata allaah akupe umri wakuishi miaka 500 huwezi kuifikiliya elimu yahuyo sharifu
@jumakapilima7295 Жыл бұрын
@@aninanichasi422 hahahaha,,,,, mjuzi na mwenye elimu asiyepitwa ni Allah Tu, hata nabiy ul llah Musa alikuwa na dhana hiyo kuwa ni yeye pekee alikuwa na elimu kubwa kuliko wote, Allah akamuonyesha Al kidhir mtu mdoogo sana asiyekuwa na jina ili amuonyeshe kuwa yeye Musa hajui kila kitu,,,,,,,kwahiyo sishangai hayo uyasemayo!
@ismailmursal19332 жыл бұрын
Duuh Allahu l musta'an nashangaa herufi Inakuwa nikatika majina ya Allah ?hii nibalaa vipi herufi Inakuwa ni katika majina ya Allah? Sisi ELIMU yetu ni ndogo katika hadithi imekuja kuwa Allah anamajina 99 Sasa hili la AAa mbona hatujaliona limetukea wapi! Allah atudhibitishe katika Sunnah wallah لأن هذا من البلوا
@muhammedsuleiman21372 жыл бұрын
Hiyo ni kwa uelewa wako shekhe a ha a ..ahlutwarika..naona unapigia debe ahlutwarika
@athumaniamiri37642 жыл бұрын
Mi nimtu wa dhikri lkn sijaona mashiko ya matetezi ya huku kukohoa anyway Alkamaalulillah.
@rayisadesigns26462 жыл бұрын
ndugu yangu, fahamu mtu yoyote huongea kulingana na mzingira husika, hapo hapakuwa na haja ya kuongea hivyo unavyotaka wewe kwa sababu waliokusanyika wote hapo hakuna anayepinga hilo swala hata mmoja, wote wanalikubali, laiti sheikh angekuwa ktk majadiliano ya kielimu na wanayoyapinga maswala hayo wala asingezungumza kwa lugha hiyo kabisa... zingeshuka nondo hapo mpaka angekimbia mtu.
@trucking2298 Жыл бұрын
Mumeokoka kama wakristo!!! Ulitoa wapi uhakika wa kusamehewa?
@fikafikan8484 Жыл бұрын
Maskini huwelewi mungu akusamehe insha Allah siku yakiyama utamjibu mola wako kufananisha muisilamu na mkiristo
@sabihamakami37202 жыл бұрын
Shekhe unajitahid kutetea ila sio dhikri hio yakukohoa adhkar zilizo sahihi nikesema subhannallah allahuakbar lailahailallah n,k lkn hizo nyengine wanavyo kaa kwenye vikundi nakukohoa sio sahihi vyovyote mujipambiavyo
@daudijuma59142 жыл бұрын
Watu wa ovyo ovyooo
@abdullahijma2073 Жыл бұрын
Upotoshaji huo..tufuate sunnah ya Mtume SAW tuache huu upuzi.
@zanzibaronlytv34702 жыл бұрын
sasa dhikri hiyo kaifanya mtume
@albassammusaalbassam74872 жыл бұрын
Majina yote ya Allah Yana maana tupe maana yake we mzushi
@hamisimwempozo61032 жыл бұрын
Wewe jinalako linamaanagn mpaka umuite shekh nimzushi
@albassammusaalbassam74872 жыл бұрын
@@hamisimwempozo6103 we ndo chenga kabisa unadhan dini ni ushabiki?? Kuwa shabiki wa haki acha kukurupuka kaa darasan utajua haki kuliko kusikiliza haki ipo kwenye vitabu waongeaji wengi wanachunga maslahi , kwahyo tunaposema alete maana ya Aa Aa Aa unadhan labda tumekurupuka siyo majina ya Allah yote Yana maana na sifa za Allah ndo Mana tunaomba kupitia majina yake kutokana na shida nilionayo km nimsamaha yeye ni ghafuru km nirizq yeye ni Al razaq km hvyo hvyo majina mengine Yana sifa ulitaka nusra au msaada kuna jina Lina sifa hiyo
@farmah96852 жыл бұрын
Wacha uongo muogope Allah mtaenda kuchomwa na bidaa zenu
@swedibr32182 жыл бұрын
Mawahabi tu ndo mtaenda peponi
@aninanichasi422 Жыл бұрын
utajuaje wakati hujui kusoma?
@barawampaayi7 ай бұрын
@@swedibr3218umesema ukweli kwa sababu mwahabi ndio wako juu ya haki kuliko watu wa tariqa
@husseinfunga32722 жыл бұрын
Hamna kitu hapo mpotoshaji jahiri bobezi katka bidaa
@isaliisu34082 жыл бұрын
Sihaba kwamba umekubali kabobeya asante kwa hilo
@mohdmbarouk84652 жыл бұрын
Wenye Elimu zao vichwa vinawaka moto
@alhidaaya52882 жыл бұрын
Ibada ya Dhikri ilikuwepo Tangu kipindi cha Mtume na Maswahaba na Waliofuatia Baada ya Hapo.Lakini Mfumo huu wa kufanya Dhikri uliobuniwa na hawa Haupo katika Dini Mtume Hakufundisha hivi na wala Maswahaba Hawakufanya Aina hii ya Dhikri na wao ni wachamungu zaidi na wenye Elimu zaidi kuliko sisi .Hivyo mfumo huu wa Dhikr ni jambo La Bidaa na hauna Malipo na ipo Hadith Marfuu Swahaba Abdillah ibn Masoud aliwaona watu msikitini Wakikaa vikundi kufanya Dhikri za Pamoja na vijiwe aliwakemea na kuwafukuza Msikitini
@faisalmohamed27462 жыл бұрын
Unathubutu kumwita huyu sheikh muongo au jahil muogope Allah
@issanasir35832 жыл бұрын
Kwani maasum huyu ??
@sheikhabdillahmassawe53022 жыл бұрын
Nadhani wangekunywa dawa ya kukohoa kwanza ingekuwa afadhali
@abdulhalim59502 жыл бұрын
hadeeth iyo ni maudhui (fabricated hadeeth) acha uongo mjinga ww
@medimisi69302 жыл бұрын
Hakuna anaepinga DHIKRI,Bali tunapinga huku kujikohoza kohoza na kujamba Jamba ktk hiyo DHIKRI
@mohdmbarouk84652 жыл бұрын
Sisi watu wasaivi wengi niwajinga mfateni mwenyew mumueleze kama anasema uwongo mumekaa kama mambumbumbu kama hamujuw hamujuwi tu mafufu matupu kichwani
@slaeem75152 жыл бұрын
usitukane watu astaghfirullah
@mohdmbarouk84652 жыл бұрын
Mtafute ukweli ya hizo elimi alafu muite Watu waongo tunakosea Sana ndio maana mijadala imekuwa miiingi na makundi haiwi mtu kama shekh unamuita muongo wakati Elimu ya alichokisomea wewe haukijui
@kibavumrisho3495 Жыл бұрын
Mashallah elimu emeenda sheikh mungu akujaaalie akupe umri mrefu haki umesema kila utoalo haki maarifa ya ujinga ndio yanapanuka akhlaq hikma pia hawapo ndio maana watu wanaweza kutukana wanazuoni basi watawatukana hata wazazi wao
@OMAR-se6rb Жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂sheikh muingo ww
@jibriilaboubakar25142 жыл бұрын
Lijinga limoja lasema maasha allah majitu majinga kweli
@athmanbabusa8020 Жыл бұрын
😂😅
@العلمالنافع-و8ن2 жыл бұрын
Hebu kuweni wakweli mbona hamuogopi falsafa za hovyo ambazo hazina dalili za Latisha.
@hasanisaidishabani38792 жыл бұрын
Nn maana ya dalili
@hasanisaidishabani38792 жыл бұрын
Kila linalofwanywa dalili zipo
@aboubilal39262 жыл бұрын
Hakuna hadithi yoyote kuhusiana na adhkari inayotaja dhikri kwa jina la Allah peke yake achilia mbali A a a. Wakati wote utaona jina la Allah Kwanza halafu neno jingine mfano Allah Akbar, Allah Al Mustaan n.k Au linaanza neno halafu jina la Allah mfano subhaana Allah, Astaghfiru Allah n.k Sheikh kachemka hapo.
@hamzaomar7902 жыл бұрын
Nenda kasome juha wewe
@abuushakiraddausiy86662 жыл бұрын
Achauongoo bhna huo ujaahilii.....nani katafsiri hivyoo katika wema walio kutangulia....
@zubeiramlanzi24802 жыл бұрын
Jamaa jongo kichizi yani..
@binmiraji21682 жыл бұрын
Kasome tafsiri ya ibn kathiri jinsi alivyoitafsiri aya isemayo" إن إبراهيم لاءواه حليم" ukishasoma rudi hapa tuzungumze
@abdulshariff002 жыл бұрын
@@binmiraji2168 akifanya hivyo nafunga siku tatu. Kaishia kujaza comment za kumuita sheikh muongo tu na hilo linaonyesha level ya ilmu yake
@jibriilaboubakar25142 жыл бұрын
Mwajazana ujinga pumbavu. Nyie
@nasoros.mgungo55022 жыл бұрын
@@binmiraji2168 lisikushangaze matusi kwa Mawahabi.
@abuushakiraddausiy86662 жыл бұрын
Hahahahahahaha...acha uongoo ewe jina langapii???
@abdulshariff002 жыл бұрын
Hicho kicheko chako ni kejeli ama wamuona sheikh ameongea pumba? Mungu akufanyie wepesi na akuongoze uwache kuwadhihaki masheikh
@abuushakiraddausiy86662 жыл бұрын
Hujasema isoku umenena urongoo...
@abdulshariff002 жыл бұрын
Hebu tufafanulie urongo aliosema sheikh
@jibriilaboubakar25142 жыл бұрын
Hahahhahaha mashekh uchwara hawa haaah ety jina la allah watu wanachekesha nyie dah wanajua kiarabu kuwashinda waarabu wenyewe
@slaeem75152 жыл бұрын
Huna elimu bado wewe elimu yako ni ndogo sana nenda ukasome kwanza ndo uje hapa
@jibriilaboubakar25142 жыл бұрын
@@slaeem7515 wewe nipe moja ktk hayo alonena usikimbilie nenda kasome hata wewe kasome elimu nipana
@saidiisimbula4282 жыл бұрын
hizi ni dalili za kiyama
@lordenoughforme44172 жыл бұрын
wazushi nyinyi. moto matao ya wazushi. ivi huo upuuz mtume saw kwann asitufunze yy. abambanya hoja wafikie malengo
@abubakarmwasumilwe70702 жыл бұрын
Ujinga mtupu.. Allah akuongoze
@omarishabani52492 жыл бұрын
Kwa kutukana hamjambo..Allah atuongoze
@mansourhubby73982 жыл бұрын
Kumvunjia Muslamu mwenzako heshima ni kharaam
@muftishaban.a.musamombasak65772 жыл бұрын
Ujinga gani ?
@sakibuabdul73182 жыл бұрын
Hapo ndo mnapofeli na kudhihirisha jazba na kusahau hikma, kwahyo hapo ndo ilimu yako ilipoishia na umetufundisha nn sisi na huyo shekhe hapo?