MAITI WANATUSIKILIZA , WANATUONA WANAKULA , WANATEMBELEANA SAYYID AHMAD BADAWI .MASANGE KONDOA ..

  Рет қаралды 63,771

Saimu gwao Online tv

Saimu gwao Online tv

Күн бұрын

Пікірлер: 203
@sidkas2318
@sidkas2318 4 жыл бұрын
Niliiuliza swali juu ya maiti kusikia hasa waumini..baada ya kuwauliza maulamaa ni kweli...na ushahidi cha kitabu imam alqurtbiy...katika ya mashahidi na wengine ni kuwa mashahidi wapo special special na wengine waumin ni kweli wanasikia wananeemeshwa...Masheikh wanaongea kwa upeo wa juu na akili za wengi bado changaa...Jazahumulah kheyri
@ghaniyashaban9845
@ghaniyashaban9845 3 жыл бұрын
Mashallah Allah atawalipa kher kwa kutujulisha maneno mazuri mazito jee kwa wale waliozikwa sehemu tofauti na wanawake hatuwezi kufika tutafanya vipi au dua ya tosha
@shamimhayat7637
@shamimhayat7637 3 жыл бұрын
Mashaaalah Allah awalipe yaliyo mema kwa kufundisha dini ya kiislam.
@sheikhabdillahmassawe5302
@sheikhabdillahmassawe5302 3 жыл бұрын
Hayo maneno hayana Dalili eti Maiti wanatembeleana hivyo wavisheni sanda nzuri
@abdallatimimi8443
@abdallatimimi8443 3 жыл бұрын
Acheni kupotosha umma,hamna kitu km hio,anaekufa ni yy na amal yake na dua inatosha,wala hizo khitmah na visomo huko maziarani hazimsaidii na kitu ila ukisali unamuombea dua inatosha tu,hayo mengine ni bid,aa,kwaivo nyie munaojiita mashariffu musipotoshe umma aidha elmu ni pana sana na mutupe dalili za kutoka kwa ayat na hadith sahih na sio dhaif
@moddyhh
@moddyhh Жыл бұрын
Shekh anachekesha sana huyu😂
@suleymanally4729
@suleymanally4729 4 жыл бұрын
Subhanallaah!! Hio kauli aliosem mtume alaih ssalaam nikweli, lkn hio ni khaas kwake yeye sio kwamb nanyie hap et mwakaa nao, wanakula maubwabwa, na kadhalika hahahahhahahahaa ,allh amenena! :إنك لا تسمع الموتى ولا من في القبور. Hakik ww huwez kuwasikilizisha maiti wala waliomakaburini. Kaaaaah!!masufi bhana
@hamadsuleiman5177
@hamadsuleiman5177 3 жыл бұрын
**Ikhtilaafu baina Al ukamaau fahuwa Rahma**... Ikhtilaafu Kati ya wanavyuoni Ni rehema... Mashallah Allah akuswamehe na akuthibitishe pamoja na watu wema....Now days waislamu tunatukanana na kunyoosheana vidole kwa Mambo ya fuuruughi... Uislamu una Assaas( msingi) na Furuugh( matawi)....tusivutane lakini tuweni kitu kimoja...laakin tuweko makini tusijeingia kwenye shirki kwani kuzuru kaburi sio mbaya Ila Lengo la kuzuru ndo shida....Kama Ni kumsifu basi owe tunamsifu na kumsalia zaidi Mtume S.A. W kwani ukimsifu Mara 1 unalipwa 10...
@galbasalim2164
@galbasalim2164 Жыл бұрын
MCHENI ALLAH MCHENI ALLAH WAHURUMIENI WAISLAMU WAPENI ELIM ITAKAYO WAFAA KUTOKA KWA SUNNA NA QURAN
@salumungare8375
@salumungare8375 4 жыл бұрын
Akuna chausshirikina hapo anacho sema sheik ananukuu maneno yamtume saw ila kwauchache waelim ndo unaweze kuona nishirk ila kwawenye kuelewa haya mambo au wanao itaj kuelewa mambo yapo wazi shekran masheikh zetu.
@sarahabdulatif7391
@sarahabdulatif7391 4 жыл бұрын
Uongo sio kweli hayo nimafundisho yakagani Kwamujibu wa mafundisho ya Mungu wakweli tuliohai tunajuwa kama tutatuka waliokufa hawajui neno lolote sisi ni mavumbi namavumbi huurudio udongo napumzi humtudia Mungu unaposika roho mana yaroho ni pumzi sasa pumzi inasikia nini inapoachana namwili namwili niudongo kwanza kwamujibu wakurun sura 17 aya 85 waisilamu elimu ya roho hamna msidanganye nakupumbazo watu kwanza mtu akifa namahala pake hapatamjuwa tena nawala hatarudi nyumbani wake mnaosema wamekufa hakafu mnawaona hao nimashetani
@hilalalhabsi2047
@hilalalhabsi2047 4 жыл бұрын
Sara acha uongo. Elimu ya roho hakuna anaejua ila Mungu mwenyewe. Usitake kudanganya watu kuwa pumzi ndio roho🤣. Nenda japo shule ukasome. Pumzi ni chakula cha mwili kama ulivo wali NA maharagwe. Pumzi ni chakula cha mwili kiitwacho hewa ya Oxygen inachukuliwa NA haemoglobin kwenye damu NA kua ocugeneted blood. Yaani damu yenye oxygen. ROHO nikitu chengine kabisa ila ukifa riziki za kula duniani unakatishiwa pamoja NA chakula cha pumzi. WAKIRISTO HAMNA ELIMU NI UJINGA TU WENU
@rayisadesigns2646
@rayisadesigns2646 3 жыл бұрын
Sara Abdulatif ELIMU YA KIAKILI YA KUWEPO KWA MAISHA BAADA YA KUFA!! Ndugu kabla ya kupinga kuwepo kwa maisha baada ya kufa, ulishawahi kujiuliza yafuatayo: 1. Wewe unapolala ukaota unajiona unatembea, je unayoyaona njozini sisi tuliokuwa macho kando yako tunayaona?! 2. Mwili wako uliolala ukikoroma huku na wewe ukiota upo sehemu nyengine kabisa je (mwili wako huo) na wenyewe unainuka na kutenda matendo yako ya njozini nasi tukayashuhudia?! Hakika waliokuwa pembeni yako wanakuona umelala (tena haujiwezi kwa lolote sawa na umekufa) lakini wewe mwenyewe unajiona upo macho hali ya kuwa upo sehemu nyengine kabisa na unafanya mambo yako, kwa namna hii unavyojiona njozini tambua huu ndio mfano wa maisha yako yatakavyokuwa pindi unapokuwa umekufa. Fahamu kilichokusudiwa juu ya uhai baada ya kufa (kwa maiti kusikia, kuona na kadhalika) ni nafsi ya maiti na sio mwili na ndiyo maana kuna adhabu baada ya kufa kwa yule aliyefanya madhambi pindi alipokuwa hai hapa duniani, swali hapa kama mtu akifa hasikii chochote (kupitia nafsi yake) kuna haja gani ya kuwepo kwa adhabu baada ya kufa?! Ndugu lazima utambue hivyo unavyojiona njozini siku ukifa ndiyo inakuwa kweli (huyu unayemuona njozini ndiye wewe mwenyewe yani hiyo ndiyo nafsi yako, na utakuwa hivyo unavyojiona baada ya kufa), mwili unalala moja kwa moja (yani umekufa na utateketea kwa kuoza) na wewe mwenyewe kikishafikia kipindi hiki (cha mwili kuachana na roho) utajiona upo kwenye ulimwengu mwengine kabisa (yani maisha ya barzah) na haitakuwa njozi tena, na hayo ndiyo yatakayokuwa maisha yako halisi. Pia ndugu lazima ujue hautaingia bure bure kwenye maisha hayo kama unavyojiona kwenye mfano wa maisha ya njozi ila utaingia kwa kuonja uchungu wa roho yako kuachanishwa na mwili wako (uchungu unaoupata unapokufa). Siku unapokufa nafsi yako haifi bali inahama kutoka kwenye kiwiliwili chako (mwili wako) unaoutumia hapa duniani na kwenda kuishi maisha ya ulimwengu mwengine wa maisha ya barzah (maisha baada ya kufa kwako). Na haya ndiyo yatakayokuwa maisha yako halisi baada ya kufa!! Na pia huu ndio uthibitisho wa kiakili juu ya kuwepo maisha baada ya kufa! Ewe ndungu usipumbazike na dunia kwa kupupia maovu, kufanya pupa ktk maovu ndiyo tiketi ya kuishi maisha dhiki na adhabu baada ya kufa. Tujibidiishe ktk kutenda mema kwani tuna maisha mengine baada ya kufa, mema yetu hapa duniani ndiyo ufunguo wa maisha yetu mapya tena yaliyo mazuri baada ya kufa kwetu.
@sarahabdulatif7391
@sarahabdulatif7391 3 жыл бұрын
Nawashangaa maimamu wenu wanaowasomesha muhamad utume wake amekabiziwa naMungu niwaongo kuruani imekataa kasomeni sura ya 4 aya ya 79 imesema wazi watu ndio waliompa utume muhamad Mungu alikuwa shahidi waisilamu mmedanganywa nawanaowadaanganya nimashehe wenu mana kuruani ipo wazi imeweka uongo mwingi nakweli kidogo kwahiyo maamuzi yako kufata uongo au kweli naukipotea nikwakutaka wew nasio allah wenu mungu wenu nitapeli
@abdillahathumani1801
@abdillahathumani1801 3 жыл бұрын
acha uwongo
@rayisadesigns2646
@rayisadesigns2646 3 жыл бұрын
Tatizo lako ni huo upuuzi ulioaminishwa badala ya wewe mwenyewe kuamua kuisoma hiyo Qur'an na kuwauliza hao unaowashutumu popote unapoona haujapaelewa ili kubaini ukweli. Weka huru fikra zako, achana propaganda fungua akili yako soma utaelewa!!
@moddyhh
@moddyhh Жыл бұрын
shekh daawa yake sio siri nimecheka sana😂
@sarahabdulatif7391
@sarahabdulatif7391 4 жыл бұрын
Kwanza juwa unaposema roho roho napumzi nineno moja roho pumzi unavyokufa kufa wew ndio anavyokufa mnyama huna chakumzidi mnyama pumzi inamrudia Mungu alieitowa namwili unayarudia mavumbi sasa kudanganyana et kuna maswali kaburini tena maswali yenyewe unaulizwa kwakiarabu mwili ukishafukiwa niudongo sasa hilo swali linatokea wapi uulizwe udongo Mungu waka nani mtume wako nani akili hizo hata mtoto wanasar hana
@rachelevarist70
@rachelevarist70 4 жыл бұрын
Sarah Abdulatif ni hivi jambo la kwanza wewe huna dini pili wewe hapo ni kafiri jambo la 3 kitabu huna ukifa sasaivi unaenda motoni ukitaka mijadara ya kidini kasome kwanza njoo na hoja kama hujui uliza ujibiwe sio lazima uchangie kama kitu hukielewi pita ivi.🚶
@rachelevarist70
@rachelevarist70 4 жыл бұрын
Sarah Abdulatif ni hivi jambo la kwanza wewe huna dini pili wewe hapo ni kafiri jambo la 3 kitabu huna ukifa sasaivi unaenda motoni ukitaka mijadara ya kidini kasome kwanza njoo na hoja kama hujui uliza ujibiwe sio lazima uchangie kama kitu hukielewi pita ivi.🚶
@zuhmas2
@zuhmas2 4 жыл бұрын
Takbir
@migaone9156
@migaone9156 4 жыл бұрын
Allah Akbar
@KaramaKarama-jm7qo
@KaramaKarama-jm7qo 2 ай бұрын
Ewe sheikh fanya heshima na dini ya ALLAH.Waelezee watu ukweli wa dini wacha kuwapotosha kwenye shirki yakhe.Kumbuka kesho utakwenda kuulizwa kuhusu haya unayodai.Kemu wape tafsiri ya suratul fatir kwanzia aya ya kumi ili wapate kumjua ALLAH.
@abumusabmusab3771
@abumusabmusab3771 4 жыл бұрын
Nilichogundua dini bado haifahamiki sheikh anatoa nasi bila ufaham sahihi anadonoa juu juu tu hata havieleweki ndo tatizo kubwa LA masufi.
@fahmymasoud3653
@fahmymasoud3653 4 жыл бұрын
Nyny hamuna mawazo zaidi ya dharau kwa wenzenu na kuniona nyny mupo sawa na wenzenu wao hawajasoma na wala hawajui kitu...ni tabia ya kiyahudi na kikafiri kuniona mumeokoka wakati bado tupo duniani
@sidkas2318
@sidkas2318 4 жыл бұрын
Kwani tunaoambiwa kwenye quran sehemu tofauti waliokuwa hai kuna zaidi ya mashuhadaa...maana elimu bahar...navojua mimi mashuhadaa..ikiwa kama wengine wanaingia naomba dalili...maana elimu bahar na tufahamishane...yawezekana sheikh yupo sahihi...
@nyatya199
@nyatya199 4 жыл бұрын
@@fahmymasoud3653 hivi watambuwa mtume s.a.w alishasema umma wake utagawanyika katika tabaka nyingi na akatowa usia watu wakiona hali hiyo washikamane na kitabu na sunnah? basi tambuwa hawa hawafuati sunnah bali wamefuata matashi ya nafsi na uzushi unao chafua dini
@fahmymasoud3653
@fahmymasoud3653 4 жыл бұрын
Allah s.w...anatuambia tusidharau kundi moja kudharau wengine huenda wakawa wao ni bora kuliko wengine...ikiwa Allah hakutaja wepi wema ww unajua wao washirikina maana yake ww upo sawa unasahau na ww bado upo ktk mtihani...zaidi nikuuliza ama kufahamisha ila sio kudharauliana...
@fahmymasoud3653
@fahmymasoud3653 4 жыл бұрын
Kuna hadithi ndefu hudhaifa akimuuliza mtume s.a.w ila mwisho anaambiwa ikifika muda wa farka haijulikani haki wala batil tunachanganya...kaambiwa yy hatofika ila ashikamane na kundi moja lenye amiri mmoja...leo hii ni kundi gani lenye amir mmoja dunia nzima
@hafsaturky801
@hafsaturky801 3 жыл бұрын
Subhanallaah
@jumamohammed5378
@jumamohammed5378 3 жыл бұрын
MashaAllah
@shifaazawadi4438
@shifaazawadi4438 3 жыл бұрын
Mashaallah
@jamilanassoro8408
@jamilanassoro8408 4 жыл бұрын
Allah akbar🙏
@athumanikaoneka7413
@athumanikaoneka7413 4 жыл бұрын
Nicee
@wazirijuma4277
@wazirijuma4277 4 жыл бұрын
uzushi mtup hawez kuyakubali manen yako ila jahili mwenzio
@sarahabdulatif7391
@sarahabdulatif7391 3 жыл бұрын
Najambo lapili nawew nikafiri namba mbili mana Hata yesu alisema ikiwa walilishika neno.langu watalishika nalenu sasa ikiwa neno langu hulishiki hata nalayesu hulishiki nasema tena maana yakafir nimpingaji sasa wew ndio kafiri ikiwa Mungu aliewaumbw mmemwita kafiri kwahiyo sio ajabu kuniaita namimi mana Mungu ameshuhudia kuwa Yesu nimwanawe nyinyi mnatowa aya nakusema inawezekanaje Mungu awe namwana wakati hana mke mungu mmefanisha nababa zenu waowe ndio wazae lakini hiyohiy kuruani inasema ibilisi anakizazi sasa tutafutieni mke waibilisi
@mashaallahtabarakallahahma8269
@mashaallahtabarakallahahma8269 3 жыл бұрын
kama yesu mwana wa mungu basi mama na baba wa nabii Adam ninani?
@mashaallahtabarakallahahma8269
@mashaallahtabarakallahahma8269 3 жыл бұрын
na kama mwenyezi mungu baba na baba yako atakuwa nani na baba ni mwanaume je una dhani ni sawa kumweta mwenyezi mungu baba tafakari
@hawagondwe4341
@hawagondwe4341 3 жыл бұрын
Mnabishana na kafiri akikojoa hanawi wa nn huyu habithi akaslimu ndio auongeleee uislamu nadhifu
@nuriyatially2228
@nuriyatially2228 2 жыл бұрын
We hasidi mkubwa we acha kujidangnya dini ya kwel hapa dunian ni Islam bc hz zngne munajua nyie
@suleymanally4729
@suleymanally4729 3 жыл бұрын
Hapa nikweli hawa wote wamekaa wanadanganyw hvhv? Kwamyum nikwel lkn nikhaaaswah kwake sio cc, masufi kweli kaz ipo.
@AbuuKhayraat
@AbuuKhayraat 3 жыл бұрын
@@ahmadabdulrahman7675 Wewe Wendawazimu Wako Umezidi
@AbuuKhayraat
@AbuuKhayraat 3 жыл бұрын
@@ahmadabdulrahman7675 Yathibitishe Aliyoyazungumza Sharif wenu Ki Elimu
@AbuuKhayraat
@AbuuKhayraat 3 жыл бұрын
@@ahmadabdulrahman7675 Wepesi wako Tuuuuuu
@AbuuKhayraat
@AbuuKhayraat 3 жыл бұрын
@@ahmadabdulrahman7675 Ndo Maeneo Gani Hayo Akhy? Dar es Salaam Au Zanzibar ?
@enuelabunimkali9529
@enuelabunimkali9529 3 жыл бұрын
Mnatupotesha janani
@muhammedwakif6216
@muhammedwakif6216 4 жыл бұрын
Allahu alaam
@sarahabdulatif7391
@sarahabdulatif7391 4 жыл бұрын
Nani aliekuwambia sara nijina lakiisilamu hivi unajuwa nini maama yakafiri maana yakafiri nimpingaji sasa mimi nawew nani kafir wew ndio kafiri Mana kumipinga Bwana Yesu niukafiri nawaisilamu.mpaka leo wanampinga yesu nyinyi ndii makafiri mimi siwi kafiri kwakumpinga marehemu muhamad mana najuwa naha msaada ikiwa alimwendea kipofu akampa mgongo tena habari njema yaufalme itahubiriawa ulimwenguni kote kuwa ushuhuda hapo ndipo ule mwisho utakapokuja kuhubiriwa yesu hulazimishwi kumuamini niushuhuda tu kuwa ujumbe wayesu ulikufikia ila umeshaguwa giza.kuliko nuru muhamad nigiza Yesu ninuru namshukuru Mungu ujumbe umefika tafakar kwaherini
@mashaallahtabarakallahahma8269
@mashaallahtabarakallahahma8269 4 жыл бұрын
Hakuna mwislam ambae hamkubali nabi Iss wote tunamkubali ni nabi wa Allah nakama hamkubali wewe sio mweslam sara nimke wa nabi Ibrahim kama hujuwe leo ulijuwe hilo Allah akuoneshe nuru na njia ilio nyoka
@subulus_salaam2023
@subulus_salaam2023 2 жыл бұрын
Tizama mavazi tu mnayovaa ninyi wakristo kisha mwachanganyikana na wanaume makanisani halafu tafakari?????
@ismailtarimo1257
@ismailtarimo1257 3 жыл бұрын
Msiba mwingine jamani hao marehemu wanakula chakula gani? Na wanatembeleana mda gani? Na kama ndivyo tupe dalili tupate kujua😷
@sarahabdulatif7391
@sarahabdulatif7391 4 жыл бұрын
Pole kaka kama niuongo namungu wako alieishusha kuruani ndie injinia wauongo mana yeye ndie aliwambia elimu yaroho hamna
@abuusuleym3676
@abuusuleym3676 4 жыл бұрын
naww muongo kasema Allah hivyo kwenye qur an
@muhidinali8180
@muhidinali8180 3 жыл бұрын
Mnasomasana fani za elimu lakini maranyingi mnawazuga wanafunzi kwa kutumia hadithi maudhuii na hikaya
@sarahabdulatif7391
@sarahabdulatif7391 4 жыл бұрын
Zama zaujunga Mungu wambinguni alijifanya haoni bali sasa anaagiza watu wote wakila mahali watubu ikiwa nawewe nimtu niwakati wako wakutubu unaposikia dini nineno lakinarabu kwakiswahili ninjia kwahiyo ukisema dini ukisema njia yote nineno moja nanjia yambinguni au dini yambinguni nimoja tu Kumuamini Yesu huyo ndie njia yambinguni ukaniambie nimuamini muhamadi juwa njia atanipeleka wapi zaid yakunipeleka maka huwezi kusema wew niraiya wa tanzania halafu una kitambulisho cha sudani napia huwezi kusema wew unamuabidu Mungu wakweli wakati anakuweka nahuyo mungu wako yeye mwenyewr saahizi mabufuru
@abdulazizmwipi9295
@abdulazizmwipi9295 2 жыл бұрын
Ww ndy unaabudu kiumbe yesu na ndy upo kwny shirki
@mwesi527
@mwesi527 Жыл бұрын
Wazee wa majini
@thinkwithshamimwhatwouldyo3642
@thinkwithshamimwhatwouldyo3642 4 жыл бұрын
Mashallah
@khamisabdillah8221
@khamisabdillah8221 Жыл бұрын
Hili jitu lawapi jamani si Bora akae kimya tu kama hajui
@sarahabdulatif7391
@sarahabdulatif7391 4 жыл бұрын
Pole kaka inaonyesha hata kuruani hujasoma kuruani inawatambuwa wakristo wakweli na wakristo wauongo naukitaka kujuwa wakristo wakweli soma kuruani
@hilalalhabsi2047
@hilalalhabsi2047 4 жыл бұрын
Haliitwi kuruani inaitwa Qur_ani
@sadahgullam8228
@sadahgullam8228 4 жыл бұрын
We hebu nipe aya ktk quran inayowatambua wakristo Quran inawazungumzia wakristo kuwa ni makafiri watu waliokufuru sasa we endelea kujidanganya subiri siku ukifa na ukafa ktk huo ukristo wako pale roho inapotolewa ndio utajua mbivu na mbichi
@saiidridhiwaani6637
@saiidridhiwaani6637 3 жыл бұрын
Sarah Abdulatif ,, Qur'an iLiOnGeLea AhLuL kitaab Lakini siO wakristO ,, sOMa Dini usiLOpOkwe tuu
@swalehkiuga167
@swalehkiuga167 4 жыл бұрын
Ahll Bida ushirikina ndio meuweka mbele kuliko dini
@aminanassoro9981
@aminanassoro9981 4 жыл бұрын
Ushirikina gani Bida ipi
@ashaally6662
@ashaally6662 4 жыл бұрын
Kivipi sasa
@ashaally6662
@ashaally6662 4 жыл бұрын
Sasa kutoa elimu ni Bidaa
@baritanajwa3197
@baritanajwa3197 4 жыл бұрын
Kusoma muhimu mwanzo kabla yakupinga
@ashaally6662
@ashaally6662 4 жыл бұрын
Watu kujiona mmekalika na wabora kuliko wenzenu
@abuusuleym3676
@abuusuleym3676 4 жыл бұрын
muongoooooo usitudanganye
@hawamohamudmohamud6652
@hawamohamudmohamud6652 4 жыл бұрын
jibu hoja na elimu la sivyo nyamaza kimya ni bora kwako au chunguza kwa wana chuoni ambaye una waamini
@abuusuleym3676
@abuusuleym3676 4 жыл бұрын
@@hawamohamudmohamud6652 tujibu hoja na huu ni uongo
@abuusuleym3676
@abuusuleym3676 4 жыл бұрын
angalia aya 56 suratu twaha utajua ukweli
@rayisadesigns2646
@rayisadesigns2646 3 жыл бұрын
@@abuusuleym3676 acha upuuzi na kudanganya watu, kuanzia hiyo aya ya 56 ya Surat Twaha inaelezea habari za Firauni na wachawi wake dhidi ya Nabii wa Mwenyezi Mungu (Nabii Mussa), na wala hazina uhusiano wowote na kinachosemwa na masheikh hao. Umeshindwa hoja usipotoshe, kama haujui maandiko kaa kimya!!
@user-hb8vi9fx6g
@user-hb8vi9fx6g 3 жыл бұрын
@@abuusuleym3676 NI SUURAT AL-BAQARAT AYA YA (154) NA SUURAT AALI'IMRAANA AYA YA (169).
@tangaasili8629
@tangaasili8629 3 жыл бұрын
Maashaallah
@user-bp6fb6wo5u
@user-bp6fb6wo5u Жыл бұрын
Salaamaaaa??!! Huko mliko salaamaaaa!??? Hhhhhhhhhhhhh hhhhhhhhhhhhhhhh ألستم بربكم؟؟ Hhhhhhhhhhhhh hhhhhhhhhhhhhhhh duh Quran pia huijui mzee!
@adamjutto5849
@adamjutto5849 4 жыл бұрын
Masufi ukiwaona kama wamesooomaaa lkn hamna kitu
@abdulazizmwipi9295
@abdulazizmwipi9295 2 жыл бұрын
Ww na masalafi wenzako ndy hamjasoms
@sarahabdulatif7391
@sarahabdulatif7391 3 жыл бұрын
Mimi niwatakakie tu kila lakheri ujumbe umefika shetani sio lazima aje abishane nawew live ukibishana tu namuisilamu juwa unabishana nashetani mana shetani nae ndiyo dini yake uisilamu kwahiyo imetosha tahadhari kama unavyoogopa corona ya china inayouwa kimwili ogopa na corona yauisilamu inayouwa kiroho corona yachina utavaa balakowa yauisilamu je tutavaa nini balakowa yetu nineno lakweli la Mungu wambinguni
@saadkuziwa9323
@saadkuziwa9323 3 жыл бұрын
WEWE SHETANI ACHA UJINGA KUUKASHIFU UISLAM WEWE MJINGA HUNA UJUALO
@hawagondwe4341
@hawagondwe4341 3 жыл бұрын
Kafiri huyu amelaaniwa achaneni nae ajifunze kwanza kunawa mikojo akiwa na udhuu ndio auongeleee uislamu
@muhidinali8180
@muhidinali8180 3 жыл бұрын
Mbona hamfanyi kama mtume s a w badalayake mnaahesabu mawe
@signtv9848
@signtv9848 4 жыл бұрын
Itiqaad ya kisufi Tusizifate hizi tushikamane na manhaji ya haq ya Ahli ssunnah Wal jamaa
@hilalalhabsi2047
@hilalalhabsi2047 4 жыл бұрын
Wewe huna akili. Ukisikia sufi ndio Ahlusunna waljamaa. Weye ni answaru sunna muwahabi
@ahmedabry3508
@ahmedabry3508 4 жыл бұрын
Kitabu na sunna ndio aqida sahihi kutaka musitake
@hilalalhabsi2047
@hilalalhabsi2047 4 жыл бұрын
@@ahmedabry3508 kwaio weye ndio unajua hiko kitabu NA suna NA wengine wote hawajui au vipi?.
@nyatya199
@nyatya199 4 жыл бұрын
Maneno yake asilimia 89 hayana ushahidi niuongo kabisa
@hilalalhabsi2047
@hilalalhabsi2047 4 жыл бұрын
@@nyatya199 vipi weye ushafika cheo cha umufti? NA vipi elimu ya MTUME SAW ushamaliza yote?
@JK-um6op
@JK-um6op 9 ай бұрын
Huyu lakini yuko mzima..? Hili jahili lina tokezeya wapi..? Huyu jahili murakkabu ni hatari kusikilizwa.. Naudhu billah minal juhuli.. Allah almusta3aan..
@Ahmadasshii-raazy8888
@Ahmadasshii-raazy8888 4 жыл бұрын
Fundi Allah amraham
@sarahabdulatif7391
@sarahabdulatif7391 4 жыл бұрын
Muongo tena acha uongo.wako Hata yesu alitabiri manabii watakuja lakinin wengi niwauongo akiwemo marehemu mudi kwanza Mungu wambinguni hana habari yautume wamuhamad yeye aliwekwa kuwa shahidi ukisoma kuruani inasema nasi tulikupeleka kuwa mtume ma Mwenyezi Mungu nishahid ina mana kuna nasi ndio waliompa utume mudi naunaposikia nasi nineno lakiarabu maana yake watu kwahiyo watu ndio waliompa utume muhamad nawatu hao ni khadija na waraka binnaufal hao ndio waliompa utume muhamad
@mohamnedsalum2150
@mohamnedsalum2150 3 жыл бұрын
Ww chizi hata dini huna
@ramlamohammed5773
@ramlamohammed5773 3 жыл бұрын
Wewe ilo jina la sarah abdulatif ulilipata wapi?
@mwawekomiuda9779
@mwawekomiuda9779 2 жыл бұрын
Acha kutukana masheikh zetu ww endelea na imani yako ya yesu. waache waislamu na uisilam wao husband na ukafiri kabisa
@AbuwNibras926
@AbuwNibras926 4 жыл бұрын
Muongo kadhabuu! Wadanganye masufi wenzako
@sarahabdulatif7391
@sarahabdulatif7391 4 жыл бұрын
Hapo hapata chadini hata marehemu muhamad alisema uisilamu utakuwa kama taka taka ndio sasa Kuruani imeweka wazi kuwa Yesu nineno laMungu yesu ni roho wa Mungu bila ya kumuamini yesu waisilamu wote nikuni zajikoni nabaadhi ya na ukristo bila kutunza sabato huwo niukrsto wamasihi dajali au mpinga kiristo
@hilalalhabsi2047
@hilalalhabsi2047 4 жыл бұрын
🤣🤣🤣Kumbe sara umelala katika kukristo. Biblia. NA ALIELALA KATIKA UKIRISTO AMEPOTEA. Halafu nakujulisha kuwa waislamu wote wanamuamimi yesu yaani Nabii Issa as. Ndio maana yesu kaenda msikitini tukamfuata🤣. Sasa weye unapokwenda kanisani unamfuata yesu gani?.
@meisme7540
@meisme7540 4 жыл бұрын
@@hilalalhabsi2047 Jibu zuri sanaaa
@mashaallahtabarakallahahma8269
@mashaallahtabarakallahahma8269 4 жыл бұрын
pole sana usilolijuwa kama usiku wagiza jeunaweza kuniambia mungu baba je baba yako utamuita nani?
@saadkuziwa9323
@saadkuziwa9323 3 жыл бұрын
HILI KAHABA SIJUI KITU GANI KINALIWASHA WASHA
@sarahabdulatif7391
@sarahabdulatif7391 4 жыл бұрын
Inaitwa corona inayouwa wanadamu kiroho ukiogopa corona yachina ogopa na corona yauisilamu iliotokea arabuni
@ramadhanirama6636
@ramadhanirama6636 4 жыл бұрын
Subir utaamini uislam siku rorho yako ikiwa inatoka
@hilalalhabsi2047
@hilalalhabsi2047 4 жыл бұрын
Hata biblia ILISEMA. UFUNUO toka arabuni. Yaani ndio nabii atapotoka.
@mashaallahtabarakallahahma8269
@mashaallahtabarakallahahma8269 4 жыл бұрын
je yesu mwafrika?
@mashaallahtabarakallahahma8269
@mashaallahtabarakallahahma8269 4 жыл бұрын
inamaana wewe pia umepotea ungesubiri nabi kutika africa
@abubakariabubakarimafitq783
@abubakariabubakarimafitq783 4 жыл бұрын
Jamn huu niuQaadiria usifi allah awaongoze hawa
@khamisothman1154
@khamisothman1154 4 жыл бұрын
Amiin
@sarahabdulatif7391
@sarahabdulatif7391 4 жыл бұрын
Kuruani imewadanganya lakini pia imewawekea namlango.wakutokea Mungu kanisa lake nimoja ambalo linaenda sawa naneno lake soma kuruani au nikwambie tu kanisa la Mungu nilile wanaotunza amri zaMungu ikiwemo.sabato sawa misikiti sio ya Mungu kwanza hamtunzi sabato namakanisa ya jumapili sio yamungu mana hawatunzi sabato sabato niamri ya 4 katika amri kumi zaMungu niwajibu wakila mwanadamu kupumzika kukumbuka uumbaji waisilamu mnatukuza ijumaa kwaaya gani saahizi hakuna ata muisilamu mana hakuna muisilamu anaefata kuruani mana ingekuwa mnafata kuruani tusingekuwa mamisikiti ya kupigishana ngema sote tungekuwa katika zizi laMungu
@hilalalhabsi2047
@hilalalhabsi2047 4 жыл бұрын
Unajua kwanini waislamu hawaji kanisani?. Biblia. UFUNUO WA YOHANA. 2:12." kwa malaika wa kanisa liliopo parigamo............ Hapo ndipo penye kiti cha enzi cha shetani" shetani anaeabudiwa NA wakiristo yule alolaaniwa NA Mungu mkuu🤣🤣🤣. Sasa waislamu hawaabudu shetani ndio maana hawaji kanisani. Halafu acha uongo yesu hakufundisha muende kanisani.
@mashaallahtabarakallahahma8269
@mashaallahtabarakallahahma8269 4 жыл бұрын
jibu swali maana ya sinagogi ninini imeandikwa kwenye biblia
@mohamedumri4176
@mohamedumri4176 Жыл бұрын
Dada yangu Sara kabla haujaelezea ki2 unachomaanisha fanya kikao cha ubongo kwa utulivu, alafu umaanishe unachokielezea. UISLAM UNAHITAJI UTULIVU WA KUSOMA, KUSKILIZA, NA KUONA
@abuujamsheed2345
@abuujamsheed2345 9 ай бұрын
We tulia ujui kitu chchte Hawa wamepotea kma ulivyopotea ila mungu awaongoze nyote nyie
@simbarajabu4157
@simbarajabu4157 4 жыл бұрын
Ulilala unasikia chochote?
@hawamohamudmohamud6652
@hawamohamudmohamud6652 4 жыл бұрын
tofauti bro kulala ni dunia barzaq hamna kulala ni kuistarehe au adhabu
@rayisadesigns2646
@rayisadesigns2646 3 жыл бұрын
Simba Rajabu, ELIMU YA KIAKILI YA KUWEPO KWA MAISHA BAADA YA KUFA!! Ndugu kabla ya kupinga kuwepo kwa maisha baada ya kufa, ulishawahi kujiuliza yafuatayo: 1. Wewe unapolala ukaota unajiona unatembea, je unayoyaona njozini sisi tuliokuwa macho kando yako tunayaona?! 2. Mwili wako uliolala ukikoroma huku na wewe ukiota upo sehemu nyengine kabisa je (mwili wako huo) na wenyewe unainuka na kutenda matendo yako ya njozini nasi tukayashuhudia?! Hakika waliokuwa pembeni yako wanakuona umelala (tena haujiwezi kwa lolote sawa na umekufa) lakini wewe mwenyewe unajiona upo macho hali ya kuwa upo sehemu nyengine kabisa na unafanya mambo yako, kwa namna hii unavyojiona njozini tambua huu ndio mfano wa maisha yako yatakavyokuwa pindi unapokuwa umekufa. Fahamu kilichokusudiwa juu ya uhai baada ya kufa (kwa maiti kusikia, kuona na kadhalika) ni nafsi ya maiti na sio mwili na ndiyo maana kuna adhabu baada ya kufa kwa yule aliyefanya madhambi pindi alipokuwa hai hapa duniani, swali hapa kama mtu akifa hasikii chochote (kupitia nafsi yake) kuna haja gani ya kuwepo kwa adhabu baada ya kufa?! Ndugu lazima utambue hivyo unavyojiona njozini siku ukifa ndiyo inakuwa kweli (huyu unayemuona njozini ndiye wewe mwenyewe yani hiyo ndiyo nafsi yako, na utakuwa hivyo unavyojiona baada ya kufa), mwili unalala moja kwa moja (yani umekufa na utateketea kwa kuoza) na wewe mwenyewe kikishafikia kipindi hiki (cha mwili kuachana na roho) utajiona upo kwenye ulimwengu mwengine kabisa (yani maisha ya barzah) na haitakuwa njozi tena, na hayo ndiyo yatakayokuwa maisha yako halisi. Pia ndugu lazima ujue hautaingia bure bure kwenye maisha hayo kama unavyojiona kwenye mfano wa maisha ya njozi ila utaingia kwa kuonja uchungu wa roho yako kuachanishwa na mwili wako (uchungu unaoupata unapokufa). Siku unapokufa nafsi yako haifi bali inahama kutoka kwenye kiwiliwili chako (mwili wako) unaoutumia hapa duniani na kwenda kuishi maisha ya ulimwengu mwengine wa maisha ya barzah (maisha baada ya kufa kwako). Na haya ndiyo yatakayokuwa maisha yako halisi baada ya kufa!! Na pia huu ndio uthibitisho wa kiakili juu ya kuwepo maisha baada ya kufa! Ewe ndungu usipumbazike na dunia kwa kupupia maovu, kufanya pupa ktk maovu ndiyo tiketi ya kuishi maisha dhiki na adhabu baada ya kufa. Tujibidiishe ktk kutenda mema kwani tuna maisha mengine baada ya kufa, mema yetu hapa duniani ndiyo ufunguo wa maisha yetu mapya tena yaliyo mazuri baada ya kufa kwetu.
@sarahabdulatif7391
@sarahabdulatif7391 4 жыл бұрын
Hata mnaodidai muhamad anasikia sala zenu nahasa ijumaaa niuongo muhamad kafa nayake yamekufa tunavyokufa wanadamu nikama wanavyokufa wanyama hapana anaemzid mwenzie sasa ikiwa muhamad anasikia nambwa akiekufa anasikia mtaijuwa kweli nakweli itaweka huru njia ya Kumfika Mungu wakweli wambingi ni kumuamini yesu basi hakuna shot kat kwenda mbinguni ukimuamini muhamad mbingi yako itakuwa maka
@hilalalhabsi2047
@hilalalhabsi2047 4 жыл бұрын
Kwanza sara nakuambia hivi. Imani NA mafundisho ya kiislamu maiti anasikia. Imani NA mafundisho ulizosoma weye mkiristo kua maiti hasikii. Kwaio kila mmoja ananjia yake. Pili. Sie waislamu tumeahidiwa kuenda peponi NA nyie wakiristo mnasema mnaenda mbinguni. Sasa sie waislamu mbinguni tunaenda tukiwa wahai kama nabii Issa as NA MTUME SAW alienda mbinguni pia ndio akapewa swala 5. Sasa nyie wakiristonaenda mbinguni baada ya kufa unajua maana yake nini?. Maana yake ni hivi. BIBLIA. ISAYA 51:6." INUENI MACHOYENU MBINGUNI NA MTIZAME MACHOYENU CHINI MAANA MBINGU ZITATOEKA KAMA MOSHI". kwaio sie waislamu hatudanganyiki kwenda kwenye mbigu kumbe zitatoeka 🤣. Sasa nyie wakiristo mliodanganyika subirini muende mbinguni NA kabla ya kuenda zitatoeka wakati waislamu tushafika bustanini peponi sasa utabaki moto ndio mtaingia nyie maana mbinguni ndio hakuna tena mmedanganywa ikala kwenu. Sisi tutakua NA kipenzi chetu MTUME Muhammad saw bustanini pepoooniiiii tunamito ya asali NA tunakunywa kilevi kitaamu huku NA mahurulaini wanawake wa peponi sio weye kichafu hata kutawala hujajua🤣🤣🤣. Kukoga janaba hapo ulipo hujui. Kutawaza mikojo hujui. Pepo ni ya watu watukufu wasafi sio wasiojua kuoga janaba. Tena wake zetu waislamu ndio malikia wa peponi huko. Weye kaa ozorote tu. Tupo NA kakaetu yesu tunakula raha wala yesu hakutambui hakukutuma ukufuru
@sadahgullam8228
@sadahgullam8228 4 жыл бұрын
Mwenyezi mungu anasema tusiwasitikie watu wapotovu ktk surah tul baqarah Na ktk surah tul maida mwenyezi mungu anasema wanaosema masih mwana wa mariam kuwa ni mungu wamepotea na wamelaaniwa na mafikio yao ni motoni Na aya nyingine ktk surah iyo iyo mwenyezi mungu anasema wakristo wasipoamini kuwa mungu ni mmoja ambaye ni Allah na wakaamini mitume wake basi wajiandae kuwa kuni za motoni
@mashaallahtabarakallahahma8269
@mashaallahtabarakallahahma8269 4 жыл бұрын
je kwanini unatenda wema duniani unategemea nini baada ya kufa pole siku roho yako ikitolewa ndio utajuwa kama na roho pia mavumbi
@elphasmageto3568
@elphasmageto3568 4 жыл бұрын
This makes islam dini ya ajabu...u mean watu hawafi #balaa uongo mtupu
@rachelevarist70
@rachelevarist70 4 жыл бұрын
subiri ikiwa niuongo Siku ukifa ndoutajua kwanini uandikie mate angali wino upo wewe kama hujui uliza hlf ndoupime qur an haikuacha kitu hiyo sayansi unayosoma imetokana qur an hizo hesabu ulizosoma shule zipo kwenye qur an mfumo wako wamaisha upo kwenye qur an sema wewe hukusoma na sisi waislam hatupendi kujifaharisha sasa kama huamini fatilia kama unahitaji kujua kama niuongo au kama kitu hujui uliza usishutumu kitu ambacho huna elimu nacho ni bora uulize au kaa kimya elimu ni bahari wenzetu wazungu wakisikia jambo wanafanya uchunguzi sasa wewe elimu yako ndogo soma
@meisme7540
@meisme7540 4 жыл бұрын
@@rachelevarist70 MaashaAllah
@mashaallahtabarakallahahma8269
@mashaallahtabarakallahahma8269 4 жыл бұрын
pole sana siku ikitolewa roho yako ndio utajuwa mbivu na mbichi pole sana
@ramlamohammed5773
@ramlamohammed5773 3 жыл бұрын
Katafute dini usome manake huo ukristo huujui wala uislam unaropokwa ovyo we sarah na nyinyi waislam mnamnyamazia tu huyu apotoshe watu wasojua kafir mkubwa hatuezi kukaa kimya akitukanwa mtume wetu
@abuusuleym3676
@abuusuleym3676 4 жыл бұрын
leo ndio nimeamini masufi wapumbavu
@huseinngale5217
@huseinngale5217 3 жыл бұрын
Asalaam alaykum Naam habby samahan sana kuwa na Adabu Ndg yangu
@AbuuKhayraat
@AbuuKhayraat 3 жыл бұрын
@@huseinngale5217 Upumbavu Ni Nini?
@athmanbabusa8020
@athmanbabusa8020 Жыл бұрын
Mtume katufundisha heshima na adabu. Alhamdulilah . Utawakuta wale wengi wanaotukana ni mawahabi(Wanaojiita salaf na Answar Sunnah )
@qassimally3876
@qassimally3876 4 жыл бұрын
mmesoma tu ila hamjui mnacho kifanya hakuna cha faida hapo mnapotoa umma na kwa allah mtakwenda kujibu
@swahibually6209
@swahibually6209 4 жыл бұрын
Qasimu ally wewe ni jaahili, halafu wewe ni Kafiri la Kihabi, kwahiyo kuyaingilia Mambo ya Waisilamu ni kosa kubwa mno,tulia wenye dini waseme, unaposema, walioko makaburini hawapo hai je adhabu za kaburini au neema zake zinapatikanaje kwa mfu?
@ramlamohammed5773
@ramlamohammed5773 3 жыл бұрын
Nyinyi makafiri mnaojiita wakristo hata hiyo dini yenu ya kikafiri ya uongo yakuchuma pesa ya biashara hamuuijui wacheni kuuingilia na kutukana uislam na mtume wetu kipenzi sala Lwahu aley wasalim waislam hawawaingilii nyinyi na ukafiri wenu komeni
@sarahabdulatif7391
@sarahabdulatif7391 4 жыл бұрын
Nyinyi mmerogwa naalie waroga ameshakufa amewaachia balaa mlio hai
@user-nh5hi7wr4g
@user-nh5hi7wr4g 4 жыл бұрын
Uongo mtupu,wataka kupoteza wasokua na ilmu ya dini
@husseinabubakari3037
@husseinabubakari3037 4 жыл бұрын
Kumbe unaelimu alafu wapinga
@yunusothmannofel244
@yunusothmannofel244 4 жыл бұрын
usufi ni uchizi
@Utulivu
@Utulivu 4 жыл бұрын
Allaah akusameh... akuhidi.
@ahmedabry3508
@ahmedabry3508 4 жыл бұрын
Ni kweli kbs
@mohammedally2289
@mohammedally2289 4 жыл бұрын
Wewe Rambo tote ni usufi na ushia
@user-nh5hi7wr4g
@user-nh5hi7wr4g 4 жыл бұрын
Kweli kabisa
@user-nh5hi7wr4g
@user-nh5hi7wr4g 4 жыл бұрын
Shirk yawazi
@sharifgojo878
@sharifgojo878 4 жыл бұрын
😅😅😂😂😆😆😆😆
@habibumakulunge701
@habibumakulunge701 4 жыл бұрын
Je maswahaba wamelifanya hilo mnalofanya nyie lina dalili katika kitabu na sunna
@swahibually6209
@swahibually6209 4 жыл бұрын
Dah!!Mawahabi mnapata tabu sana,hasa pale mnapoambiwa,walioko makaburini wapo hai,someni jamani acheni ukafiri,na kama mnabisha kua hawapo hai,je adhabu za kaburini au neema zake zinapatikanaje kwa mfu? ALLAH awalaani Mawahabi tangu wa mwanzo wenu mpaka wa mwisho wenu.
@hilalalhabsi2047
@hilalalhabsi2047 4 жыл бұрын
@@swahibually6209 tatizo hawa wahabi NA wakiristo imani yao ni moja kuwa maiti hawasikii kaburini. Bahati nzuri leo wamekutana humu humu yaani kuna mtu sara mkiristo someni comments zake mtaona zinafanana au zakaribiana kabisa NA watu hawa wanaoingilia uislamu NA kujifanya waislamu
@adamjutto5849
@adamjutto5849 4 жыл бұрын
Kuna kitu chaitwa khusuusiyyaaatu nnabiyyi Asa mtume anaongea na maiti wa badri,haya nawe ongea na hao mliowazuru
@abbyadams8691
@abbyadams8691 3 жыл бұрын
Duuu hii Dini ni zaidi ya ushirikina
@rayisadesigns2646
@rayisadesigns2646 3 жыл бұрын
Acha upuuzi ushirikina uko wapi hapo?
@moodyhassany8928
@moodyhassany8928 3 жыл бұрын
Hizi elimu haisee duu
@sarahabdulatif7391
@sarahabdulatif7391 4 жыл бұрын
Muhamad kasema kutakuweko.walimu wajinga ndio hao mana kama wangeisoma kuruani sahizi hata hizo kuruani zingekuwa zingeshachomwa moto kama tunavyoogopa corona ambayo inauwa kimwili tungeuogopa nauisilamu mana unawauwa wanadamu kiroho
@hilalalhabsi2047
@hilalalhabsi2047 4 жыл бұрын
Ndio maana biblia. EREMIA. 50:6." WATU WANGU WAMEKUA KONDOO WALIOPOTEA WACHUNGAJI WAO WAMEWAPOTEZA". kwaio hapo ulipo wachungaji wako wamekupoteza. Kwaio bora silimu maana umepotezwa
@maalimhamad9629
@maalimhamad9629 4 жыл бұрын
الغنت الله عليكم
@kabyjxjrd9874
@kabyjxjrd9874 4 жыл бұрын
Kwamba wamela'niwa au ebu nifungue macho namm naielewe nimesky tu maiti wanakula chapati na tambi
@rayisadesigns2646
@rayisadesigns2646 3 жыл бұрын
@@kabyjxjrd9874 usipate shaka na hawa watu, kila muislam mwenzao asiyefata misimano yao wao huwa wanamlani, hawa walishasemwa kuwa watakuja, wanaitwa khawaarij na wataleta fitna na mfarakano mkubwa baina ya waislam kuhasmiana wenyewe kwa wenyewe.
@kambangashaibu5475
@kambangashaibu5475 4 жыл бұрын
Subhanalah
@aliyissa9857
@aliyissa9857 2 жыл бұрын
Jazaakallah kher
Unveiling my winning secret to defeating Maxim!😎| Free Fire Official
00:14
Garena Free Fire Global
Рет қаралды 16 МЛН
The Joker kisses Harley Quinn underwater!#Harley Quinn #joker
00:49
Harley Quinn with the Joker
Рет қаралды 40 МЛН
The FASTEST way to PASS SNACKS! #shorts #mingweirocks
00:36
mingweirocks
Рет қаралды 13 МЛН
sharifu huseni badawiy asmiuni
10:32
MRIJO CHINI TV
Рет қаралды 9 М.
KWA NINI ELIMU ILIPEWA UTUKUFU?? SHEKH.SUNGU WA MASANGE
28:03
Saimu gwao Online tv
Рет қаралды 16 М.
Hii ndio khutba ya mwisho ya sheikh Muhammad bn sheikh Ayyoub TAMTA day 1997.
26:14
hussein badawy   Haya Tumsifuni NABII
47:36
ALHATIMY CHANNEL
Рет қаралды 32 М.
SHEKH RAMADHANI SUNGU ATOA USHAURI HUU  KWA BAKWATA....
29:49
Saimu gwao Online tv
Рет қаралды 40 М.
Unveiling my winning secret to defeating Maxim!😎| Free Fire Official
00:14
Garena Free Fire Global
Рет қаралды 16 МЛН