Best interview nimepend babu tale anavo elezea vtu kwa umakini san
@enisaswilla4944 жыл бұрын
.
@abdulmembe23494 жыл бұрын
Mtu makini sana Tale
@perfectinnocent18754 жыл бұрын
Babu tale ni mtu unique sana jamani ❤❤🙏🙏 watu kama hawa ni wachache sana duniani
@bidiiyako68034 жыл бұрын
@perfect innocent... Ni kweli kabisa...
@papiifernandotv90874 жыл бұрын
Babu talee wanamorogoro hawakukosea kukupa dhamana uko na hekima na utuuzima wako uishi milele busara zako zibaki kila siku like nyingi kwa alichoongea babu tale
@rutimarlon4 жыл бұрын
Mzee anajuwa kuongea uyuu kama unamkubali like zenu hapa
@theafricanprincevivecongo86324 жыл бұрын
😆😆😆😆😆😆
@rutimarlon4 жыл бұрын
Nini wewe 01/01
@rutimarlon4 жыл бұрын
Kumbe bado unaishi wewe
@rutimarlon4 жыл бұрын
@Tanga Raha duh
@mymussept36624 жыл бұрын
Please support yako kwa kusubscribe kulike na kuccoment wimbo wangu kzbin.info/www/bejne/joa5g2VsZtGWkLs
@anointedking69604 жыл бұрын
I like u Tale, that's y u r best maneger in Africa
@ahmedkaden4 жыл бұрын
Huyu mzee anaongea kama politician kabisa. Very smart.
@salamajuma54814 жыл бұрын
Happy Babu Tale love you my brother
@estomiailomo78444 жыл бұрын
Safi sana blaza ndo maisha yanavo staili tuishi bifu hazina maana ila nielewa kwenye biashala hata mm nilikuwa nalitambua ilo
@zainabunguyu76444 жыл бұрын
Kbx
@theoblesslesaf12854 жыл бұрын
Kabisa
@sherin31714 жыл бұрын
Me nakunali sana huyu aky.. natumaini ataogoza vizuri aky ubunge wake
@costaissa65444 жыл бұрын
Yani huyu bro namukubali sana sio wale wasiofahamu kabisa harmonize anatafuta ugali wasiojua wanaona kama nimujinga thnx bro konggang 4everybody
@nunuuali53164 жыл бұрын
Big up Tale achana na chuki zisizo na msingi. Harmo twende kazi
@adolphmwangoje28874 жыл бұрын
Nimekuelewa tale upo reality kbisa dogo anajitaftia ugali watu wanamkndia dogo
@sheilamjune12334 жыл бұрын
Happy new year too Babu tale God blesse you more 2021❤❤❤🔥🔥🔥😘😘🇰🇪🇰🇪🇰🇪🙏🙏🙏
@thomasmassawe58474 жыл бұрын
Tale is a generous bro the way you answer the question
@globalconnection784 жыл бұрын
He is the best
@milliahachenya27494 жыл бұрын
Very mature and composed,this guy is amazing
@princehalawa_official79804 жыл бұрын
Hakuna mtu ninaempenda kama huyu Babu tale hakika Diamond anatakiwa kumuenzi sana huyu Jamaa kwnz ni mstaarabu sana babu tale hakika ni haki yake kuwa mbunge hongera sana Babu Tale mungu akujaalie kuwa na moyo uwouwo
@ndegejr42184 жыл бұрын
Kumuenzi?🤣🤣
@mahmoodalghefeili53704 жыл бұрын
@@ndegejr4218 nashangaa khaa🤣🤣
@khamysamursally59324 жыл бұрын
NNakupenda sanaaa Babu Tale ww mkweli endelea hivyo hivyo Mungu akusimamie ktk harakati zako akulinde akuhifadhi
@calyan70094 жыл бұрын
😂😂😂nlikua smkubar babu tale nlikua sijielew kwa sasa nmemkubari🔥🔥🔥🔥🔥
@BMBARAKA0494 жыл бұрын
Babu tale sharaut sanaaaaaaa .......but konde gang for everybody
@truthnafact90814 жыл бұрын
Sharaut????? kweli konde gang mnakimombo kitam
@hansmeme91224 жыл бұрын
Babutale👏👏👏👏👏
@edwindola57384 жыл бұрын
This guy is smart,nowonder Diamond is such successful.
@hamzadheen39624 жыл бұрын
Yeah mahn indeed
@maryoswad70224 жыл бұрын
Unahekima sana sana babu tare kwa hekima ya kuongea ubunge ni haki yako
Mbunge wangu Nakukubali xna ,,umeanza vzuri kwamwendelezo huu utaishi bunge mpaka ukatae mwenyewe
@mwinjanavil4 жыл бұрын
tale you are so talented and brained man.. big up
@omaryrajabu61594 жыл бұрын
Very smart babu tale ndo maana nakwitaga muhenga,, busara idumu kwako
@jacobstephanonaziadi47244 жыл бұрын
Uko vizuri mkubwa ayo ndo maisha tunafurah kuona ivoo
@bhaleeali84594 жыл бұрын
daaah TALE uko normal sana yani unaijua hasa biashara ya muzik SAFI SANA MHESHIMIWA
@achawanunetv11674 жыл бұрын
Babutale tangu leo naanza kukuelewa kbs kumbe uko mtu mzima sana
@nasorospati30754 жыл бұрын
Safi tale
@azzamahamdu70394 жыл бұрын
Babutale bana peace and love.mheshimiwaa mbungee
@stamilinsogolwa69794 жыл бұрын
Hongera babutale
@donpjay95284 жыл бұрын
Hekima Babu tale anayo Busara Upendo
@hailinhelen46754 жыл бұрын
Ma sha allah wasema kweli kama hawa ni watu kidogo sana duniani msema kweli ni mpenzi wa mungu hongera sana ndio maana huzeeki
@mnazitv4054 жыл бұрын
Great Manager.
@michaelgoodluck46834 жыл бұрын
ngekua comentary kwenye mechii,,,,ngesema well do by geneous Tale,,,,,ue the best like u
@AminaAmina-mh8wi4 жыл бұрын
Salamu hongera sana eeee Mungu mpe maisha marefu salamu
@davidchristopher55694 жыл бұрын
Good nimeipenda Tale be blessed
@amiryshomary39014 жыл бұрын
Eti waache waishi maisha kila mmoja anajiona mimi tajiri ,,mimi tajiri ,,haahahhahah
@djbiggal10494 жыл бұрын
Nakupenda sana Tale...Wew akili yako Moja ni Kumi za Salaam
@phineerkweka45884 жыл бұрын
Love u Mr mbunge
@niyongabotherence89404 жыл бұрын
Mzee busala sikama yule mpuuzi salam.
@mustmkwaya93204 жыл бұрын
Nakubali father pwent tupu%
@officialahmadi82834 жыл бұрын
Apo mbunge ameongea pont
@mariammuscat43004 жыл бұрын
Nampenda sana babu tale
@zunirasalim76604 жыл бұрын
Well said tale big up
@majabumbaga23494 жыл бұрын
Harmonize bado sana.Huwezi kumlinganisha na Diamond
@sifatiiman4 жыл бұрын
Wewe unaweza kulinganishwa na nani?
@sundayallan93804 жыл бұрын
we dada hujielewi
@sirajimkongewa67644 жыл бұрын
ww dada kuma
@alextanzania4 жыл бұрын
Pwaaah
@auntiemylee31574 жыл бұрын
Kila mmoja anatafuta ugali
@kennedymmbando4 жыл бұрын
Jicho la Serikali linaangalia mjue.#tunarekebishasanaa💪🏿
@kennedymmbando4 жыл бұрын
@Dj Razzy Mkali poa
@patrickpkay84174 жыл бұрын
Tale u ar wise man congrats
@yustozachalia2434 жыл бұрын
Your good 🔥🔥🔥🔥🔥🔥✋
@minakanyana39844 жыл бұрын
Uyu baba namkubali sana anajuwa kuongeya sana kabisa good....
@geraldgerrytrump2544 жыл бұрын
Yaani nimekuelewa sana... Wewe una hekma sana tale
@geraldgerrytrump2544 жыл бұрын
Guza na kwetu na tunarudisha mkono...
@MJRashiid4 жыл бұрын
Business without completion looses value.
@mohameeddoaan22964 жыл бұрын
Sana tu
@firidausomary19994 жыл бұрын
Third viewer
@adrianmanjala13574 жыл бұрын
No. 1 viewer
@firidausomary19994 жыл бұрын
Umeongea point Sana boss tale
@janewashe72764 жыл бұрын
Tale majibu yako ya maana sana 👌👌👌🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@relaxationalmoments70294 жыл бұрын
Tale hongera. Mwenzio sijui anaitwa salama...!? Anakwama sana! Wanahabari, Harmonize anapaswa aishi maono yake, kwa yeye kutoka wcb haikuwa dhambi! Na katika industry hiyo kuna ushindani, ni jambo la kawaida. Uacheni uwepo! Kwenu isiwe NONGWA!
@magangajames46444 жыл бұрын
Hivi umeelewa kweli?.
@relaxationalmoments70294 жыл бұрын
@@magangajames4644 kuelewa nini tena ndg? Si mahojiano hayo hapo wazi kabisa? Kwani wewe hukuelewa?
@jiangjoseph43784 жыл бұрын
Nakuelewa sana boss wangu natama nikuone sikumoja nisikie busara zako
@polinahkilunju65294 жыл бұрын
Nimekupenda bure babu Tale. Happy new Year bros
@samsonjacob33654 жыл бұрын
you so real👍👍👍
@flavourboyke4 жыл бұрын
tale ana busara kweli...like za babu tale
@lailatuyusuf91314 жыл бұрын
Mashallah busara tale
@badriyaamriy92444 жыл бұрын
Nimependa sana babu tale
@denniswafulakktv59694 жыл бұрын
Leo tale amekula nini amemkupali hamo congratulation mzee
@josephstan72234 жыл бұрын
Big up tale
@AminaAmina-mh8wi4 жыл бұрын
Salamu Mungu akupe maisha mazuri wewe na Familia yako unamoyo wakipeke
@mahmoodalghefeili53704 жыл бұрын
salam tena alivyo kuwa na roho kubwa uyu tale
@مارثاتنزانيا4 жыл бұрын
Safi sana babu tale uwo ndio utu uzima
@esromkanubho47384 жыл бұрын
Kama umesikia alikiba na bosi diamond gonga like
@marcemarco37474 жыл бұрын
Very genious da way unajib maswal... Big up bro
@marcemarco37474 жыл бұрын
Nakutabilia kuwa wazir wa habar Sana na michezo MIAKA ijayoo... Sema hunifaham one day ungenitafta kwA utabili wangu nakiona kitu tofaut ndani yako mheshimiwa.... GOD BLESS YOU....
@mc_mrope4 жыл бұрын
Nice content I like it
@ngoshakiboko78104 жыл бұрын
Good father
@michaelmajenga16554 жыл бұрын
Daaaaah! Kaka unajua sana!
@Mops90904 жыл бұрын
Kumbe msukuma ndio maana unasema hvo
@angeakeza65424 жыл бұрын
Nc tunakupend babu tale
@fatmaahamad6334 жыл бұрын
Point 👌🏻👌🏻♥️
@asianamnyope22204 жыл бұрын
Ni kwel kabisa umeongea vizur muheshimiwa
@axelnshimirimana51474 жыл бұрын
This guy is so humble🧠
@peterbyarugaba75074 жыл бұрын
Boss tale
@youngtaiz83594 жыл бұрын
Tale genius 🔥
@adamlipau88584 жыл бұрын
Nice
@pendomariki65624 жыл бұрын
Good man tale tale
@khadijasalum23024 жыл бұрын
Big up babu tale
@boxpoacher10724 жыл бұрын
Yeye ni mp sahii hategemei upande mmoja kote kote yupo
@emariusrush77044 жыл бұрын
No ,big no babutale is for ever WCB manager,kuwa manager wa diamondplatnumz utalinganisha kaubunge!!,mili 12 tu kwa mwezi🥴🥴😘
@majutovizurimwakibibi87584 жыл бұрын
Babu tare sasa nakukumbari kube nimtu mzuri sana sana
@sein.2084 жыл бұрын
Masha Allah
@michaelboaz81084 жыл бұрын
hahahaa 🔥🔥🔥
@dorcaskahindi52324 жыл бұрын
nice interview
@mariyamkiano13424 жыл бұрын
Umesema kweli
@saidbabaali90824 жыл бұрын
Babu tale wee uko na busara sana may God bless you..
@stellashore31044 жыл бұрын
Mheshimiwaa uko real sana,nakupenda
@rebeccaasiyo42234 жыл бұрын
Huyu ndo Manager Mwenye roho yake Safi
@freelancer63684 жыл бұрын
Mi namkubali sana sallam habembelezi punda kwa mteremko
@abdulmembe23494 жыл бұрын
Boss hekima sana napenda sana uwongeaji wako
@elewis23674 жыл бұрын
Hapo kaongeaa vizuri
@minabuelysee84 жыл бұрын
Nahisi ivi mmeelewa hela Konde alizotoa akiwpa wcb kama sio kumuonea ila ni makubaliano Asant Babu Tale
@exaudgeorge14344 жыл бұрын
Uko vzur nimekubar
@abdilahijuma33734 жыл бұрын
Kweli ww mbunge unajibu poa sanaaaaah
@ellyboy23294 жыл бұрын
Suree👊👊✌mze33 anajua
@7mpya7994 жыл бұрын
Unaakili sana mzazi
@Noah-se3ni4 жыл бұрын
Babu Tale umehongeya vizuri sana wewe ni Baba yawote Kweli Kabisa natena mweshimiwa watu wote