BABUTALE:KUMTOA KAFARA MKE WANGU/NINA LIA KILA SIKU/HUWEZI MFANANISHA DIAMOND NA HARMONIZE

  Рет қаралды 38,295

Dizzim Online

Dizzim Online

Күн бұрын

Пікірлер: 131
@danielarapmoi3041
@danielarapmoi3041 3 жыл бұрын
Naamini utakua kiongozi bora kama kawaida yako. tale be strong 💪💪💪💪
@ivyishakaeltonjohn7370
@ivyishakaeltonjohn7370 3 жыл бұрын
Dada unaweza👌 Nimepend vyot kwako🔥🔥🔥
@sharinv8864
@sharinv8864 3 жыл бұрын
Babu tale pole sana mungu alikuwa na kusudi kumchukuwa wewe angalia wanao baadae majaliwa mungu atakupa ubavu mwengine.
@julianakazinza6099
@julianakazinza6099 3 жыл бұрын
Fanya kazi Mwanangu maisha lazima yaendelee usisikize maneno ya watu angalia watoto wako
@nzeyimanamwavita1904
@nzeyimanamwavita1904 3 жыл бұрын
Nikweli usisikize maneno ya watu angalia watoto wako mungu atakusadiya
@hanifaally4694
@hanifaally4694 3 жыл бұрын
Kwakweli
@nooromar6233
@nooromar6233 3 жыл бұрын
Badala ya kuka usiku bila usingizi amka usali hakuna wakati mzuri kama salah za usiku machozi hayam saidi marehemu wala wewe ila ibada na kumuombeya mngu marehemu na wewe aku saidiya maisha yako akupe nguvu ya kuwa mama na baba na inshallah mngu haku wachi
@mapendosafi3429
@mapendosafi3429 3 жыл бұрын
Namupenda sana babutale ana hekima sana very humble man anyway sorry kwakumupoteza mama watoto be strong and focus ❤
@janewashe7276
@janewashe7276 3 жыл бұрын
Congrats babu tale aki unajua kuongea 👌👌👌👌🇰🇪
@mwannerajabu8688
@mwannerajabu8688 3 жыл бұрын
Babu tale mm nakuelewa Sana na unahaki ya kuchukua ubunge maana ktk viongozi wote wa pale WCB uko nahekima na busara nyingi tofaut na Yule sallam sk anaendekeza uteam bila kujua kunaleo na kesho
@angelbwija9547
@angelbwija9547 3 жыл бұрын
Pole sana babu tale kupoteya mke siyo raisi 💔💔💔💔😭😭😭😭 na watoto bado wadogo,mimi tu mama yangu alifariki 2012 mupaka leo aniliye kila siku 😭 najuwa kupoteza mtu huliye mupenda duuh siyo raisi
@husseinjongo7588
@husseinjongo7588 3 жыл бұрын
Babutale has a very good heart❤
@albinatesha4153
@albinatesha4153 3 жыл бұрын
Tale never fail
@MWAMALUMBILI
@MWAMALUMBILI 3 жыл бұрын
Umeeleweka vizuri sana!
@BARAKABLESSING
@BARAKABLESSING 3 жыл бұрын
Kuhusu mke skip hadi 14:52
@winfredkisigo9402
@winfredkisigo9402 3 жыл бұрын
Good bwoy..
@pamelauwera3830
@pamelauwera3830 3 жыл бұрын
Thank u
@azamajid9530
@azamajid9530 3 жыл бұрын
Mashallah babu tale
@omarykindaile6451
@omarykindaile6451 3 жыл бұрын
Naamin utakuja kuteuliwa kuwa wazir ciku moja😊😊😊 inshallah
@frankmchwemba5416
@frankmchwemba5416 3 жыл бұрын
Watangazaj achen na story za marehem shemsa 😡
@slayingtee6044
@slayingtee6044 3 жыл бұрын
Wengi wanataka kujua
@julianakazinza6099
@julianakazinza6099 3 жыл бұрын
Jipe moyo mungu hajakuacha
@sylviaw4421
@sylviaw4421 3 жыл бұрын
Why ask him kama alimtoa shammy kafara? Wanaotoa kafara wanajitangaza? Ilo swali ni mungu tu anajua. Continue resting in peace Shammy🕊
@rukkysayid6613
@rukkysayid6613 3 жыл бұрын
Hata sijuwi kwa nn aliuliza hill suwala aagh
@muharamiesther5908
@muharamiesther5908 3 жыл бұрын
Ubarikiwe sana sana kwa moyo mwema wa kuisaidia jamii!!!
@azzamahamdu7039
@azzamahamdu7039 3 жыл бұрын
Kwan wabunge wanalipwa ngapi sasa hivi?
@muhsinissa1023
@muhsinissa1023 3 жыл бұрын
Mil.7
@azzamahamdu7039
@azzamahamdu7039 3 жыл бұрын
@@muhsinissa1023 mhm it's true? I thought it's 70.mil.zaman ilkua 40.mil
@annamsula7115
@annamsula7115 3 жыл бұрын
12M per month nje na posho za vikao,na after muda wa uongozi means 5yrs unapewa 200M.
@happyblance8274
@happyblance8274 3 жыл бұрын
Huyu Babu tale ana hekima sana endelea hvyo hvyo usibadilike
@zou7470
@zou7470 3 жыл бұрын
Kwel kbs huwezi kunfananisha nayule mwarabu koko
@maryamkhatau9445
@maryamkhatau9445 3 жыл бұрын
Allah atuongoze Mimi niko ndoani miaka 8 ikitokea mume wangu amesafiri wallah kulala peke yangu usingizi hauji sipati picha Hali yako Allah akuponye Kaka inshaAllah
@hijahsaidy1562
@hijahsaidy1562 3 жыл бұрын
Muombe mungu mumeo Allah ampe afya na amzidishie umri kupoteza mke au mume nisawa na yatima afu maumivu hayaishi nna mwaka wa tatu sililali bado nalia
@svt3
@svt3 3 жыл бұрын
@@hijahsaidy1562 pole saana
@mrs2918
@mrs2918 3 жыл бұрын
@@hijahsaidy1562 pole sana
@maryamkhatau9445
@maryamkhatau9445 3 жыл бұрын
@@hijahsaidy1562 pole Sana Allah atakujaalia utasahau inshaAllah kila Jambo Lina muda wake pole Sana inshaAllah namuombea kila siku Allah atuhifadhi sote Amiin
@salmaalbarwani2618
@salmaalbarwani2618 3 жыл бұрын
Pole sana just put in ur mind no one will live for ever
@jestinabenedict4620
@jestinabenedict4620 3 жыл бұрын
DADA JALIBU HAPO JIMBO LIPO WAZI KWA MHESHIMIWA UNAWEZA KUBAATIKA KUJILEMBA KWAKO ISIWE BULE🙈🙈🙈
@edwardmkwelele
@edwardmkwelele 3 жыл бұрын
hapohapo umesema miundo mbinu iko vizuri
@lutwfiyyahmkonga8093
@lutwfiyyahmkonga8093 3 жыл бұрын
wew ujamuherew anamaanish hawez kucherew kufika jimbon kwak kwavile miund mbin ipo vizur si chin wala juu akitak kwend mara moja anafika
@munaahmed8499
@munaahmed8499 3 жыл бұрын
Kila ck unalia kila uwazapo lkn mwehu yuatitokeza asema umemtoa mkeo kafara ili upate kiti cha ubunge astaghafirullah inaum jmn hebu tuachen kuhis visivyohusika na tusivyovijua
@annickniyokwizera1414
@annickniyokwizera1414 3 жыл бұрын
Nonsense
@anjunurdin2392
@anjunurdin2392 3 жыл бұрын
Babu Tale umejikamata mwenyewe sasa usikatae km hujamtoa mke wako.kulia lazima ulie unakumbuka lah mke wangu nimekutoa kafara?
@mageuzimwampamba2855
@mageuzimwampamba2855 3 жыл бұрын
Boss diamond
@mwanaidilacha5303
@mwanaidilacha5303 3 жыл бұрын
Pole.sana.nainshaala.mungu.akupe.nguvu nauweze.kusahau.
@deboramwalubwelo4184
@deboramwalubwelo4184 3 жыл бұрын
Babu Tale poleee. Naelewa unayoyapitia😭😭
@ntabyoetienne2508
@ntabyoetienne2508 3 жыл бұрын
Nikweli alimtowa mke wee kafara ivi anapata cheo kuzimuni ajili ya kutowa kafara mke wee Diamond anacheo cha King simba kuzimuni mkubwa fela yeye aliharibu roho za watoto mkubwa na wanao salam yeye njo bala,wewe babu tale mbona sauti yako ni ya kike utaweza mbungeni? Pesa ni shetani ujuwe motoni ndiyo sehemu yenu
@mudriqhamidu6031
@mudriqhamidu6031 3 жыл бұрын
We kuma kweli unazungumza utumbo gani wwe, cyo munaxungumza ujinga ujinga t ,wachen hbr za utim ktk hili 🤔🤔
@zamdachiguru2054
@zamdachiguru2054 3 жыл бұрын
Ulikuwepo usishuhudie uongo
@ntabyoetienne2508
@ntabyoetienne2508 3 жыл бұрын
@@mudriqhamidu6031 mutaona matokeo sasa izo kafara za damu munapana ajili ya cheo na pesa za shetani basi zina kwisha
@ntabyoetienne2508
@ntabyoetienne2508 3 жыл бұрын
@@zamdachiguru2054 bora ujumbe unafika kuwote zamda kazi kubwa ni kwa mwenyezi mungu siyo kwa shetani goodbye
@feyzalyusuph14
@feyzalyusuph14 3 жыл бұрын
Ndo maana sipendi kua karibu na wenye mawazo ya kimaskini wana roho mbaya kama ulivyo wewe pumbavu
@kaburaakbar7069
@kaburaakbar7069 3 жыл бұрын
Babu tale nakukubal sana njo maan diamond Platnumz iko juu kwa Sabab ya watu kama nyie
@nahyialetomia9284
@nahyialetomia9284 3 жыл бұрын
Nice interview
@zou7470
@zou7470 3 жыл бұрын
Babu tale mungu akuongoze mana una hekma sana kwakwel kwamaongezi yako 🤝🤝
@catherinrutagatina6995
@catherinrutagatina6995 3 жыл бұрын
Babu tale nimekuelewa sana,pia kunakitu kimenigusa sana kutoka kwako Naomba nipate namba yako, pole kwayaliyokupata nauzidi kumuombea mwenzio mungu amuepushe na adhabu ya kaburi.
@tinaoquaro
@tinaoquaro 3 жыл бұрын
This guy is so wise. I like how Tanzanians are keen with their words. So wise, just like Ruge. Big ups tz #teamtzkenya Much love from Kenya
@aminanamoyo83
@aminanamoyo83 3 жыл бұрын
Pole mpendwa I feel maumivu unayoyapitia kwa kufiwa na mkeo but futa machozi na umuachie yote mungu 😔 halafu hapo ulipoongelea swala la salam na hamo waoo umeongea kwa vizuri sana wengi hatukupenda mi mmoja wapo, unabusara sana babutale sikujua hilo congra magu hakukosea kukuchagua, tunakuomba basi uwapatanishe D na H tumia busara uliyonayo tunapenda kuona wanaelewana na kushirikiana wote wetu hao please ❤🇹🇿🇨🇭
@davisdeogratius9475
@davisdeogratius9475 3 жыл бұрын
Mkaka mstarabu
@kirittajaneth1115
@kirittajaneth1115 3 жыл бұрын
Jamani Mheshimiwa Babu Tale Pole sana Mungu akupe Amani na faraja muombee tu Mungu ampe pumziko la milele..
@mwannerajabu8688
@mwannerajabu8688 3 жыл бұрын
Yaan we mtangazaji unavouliza maswali ya kinge unahisi watakaosikiliza hii interview ni wathungu mxiuuuuu 😏
@namsifumihungo86
@namsifumihungo86 3 жыл бұрын
Mwandishi unajisahau auu?mahojiano ni ya kiswahili Lkn unataman kuongea lugha ya watu, hatuielewi...omba pindi la kingereza,kama umesoma eng media..huku waachie wanaweza kuongea lugha moja ya nyumbani twende sawa
@mwasimbega8712
@mwasimbega8712 3 жыл бұрын
Yani mke atakayeolewa na babu tale atakua anajistukiaa kilaa kitu atakua anahic anakosea kila kitu na yy atamfikiria shamsha...sijui alikua anapka hiv,cjui alikua mbusu hivi,sijui alkua anamuogesha!! Unatupa mtihan wake zako watarajiwa babu tale...
@naiyammoud6409
@naiyammoud6409 3 жыл бұрын
😂😂😂😂😂aowi tna alisema akna atakae mueza anagubu la kiluguru 😂😂😂😂😂😂
@kanyangeesther4265
@kanyangeesther4265 3 жыл бұрын
Tale stay strong my brother don't understand people's words ambao wanasema hivyo hawajawahi kufiwa. Don't lose hope we are behind you
@Queen-be1uf
@Queen-be1uf 3 жыл бұрын
Nice interview lakini umekufuru mzee mwenzangu uliposema unakwenda kwa mganga astopishe mvua. Umekufuru sana na umemshirikisha ALLAH. Staghfiru haraka urudi kwa mola wako
@زينابوو
@زينابوو 3 жыл бұрын
Hyu bado anamaneno ya kiswahili sana
@nishasalim2880
@nishasalim2880 3 жыл бұрын
How can you manage Diamond na kazi yako ya ubunge atafanya nini?
@denicenshange3882
@denicenshange3882 3 жыл бұрын
Mbn kajibu aseee
@ms_caramel2688
@ms_caramel2688 3 жыл бұрын
Hio can you say things clearly sjui mtangazaji nd neno analijua
@johnramazani3848
@johnramazani3848 3 жыл бұрын
Tale is very intelligent man, pole sana be strong 💪
@mwaminijuma7544
@mwaminijuma7544 3 жыл бұрын
K🇸🇻
@patriciacarlo7236
@patriciacarlo7236 3 жыл бұрын
Ngumu kuishi bila shamsa💔💔😭stay strong.Tale never fail
@bakarimohammed908
@bakarimohammed908 3 жыл бұрын
Nipeni like zangu
@mamukassim4075
@mamukassim4075 3 жыл бұрын
Babu tale. Nakupenda Sana. Njoo. Unioe. Upo na busara. Kama baba yangu
@muharamiesther5908
@muharamiesther5908 3 жыл бұрын
Such A WiseMan!
@felixmitchell6821
@felixmitchell6821 3 жыл бұрын
you all probably dont care but does any of you know of a way to get back into an Instagram account?? I somehow forgot my login password. I would love any assistance you can give me
@greatiq7835
@greatiq7835 3 жыл бұрын
We dada hiyo sauti, kwema toba?!
@munaahmed8499
@munaahmed8499 3 жыл бұрын
Babu tale allah akuongoze kwa kila hatua acha waongee wanavyoongea lkn mumgu anajua zaid muombee mkeo dua tu apumzike kwa aman maan huo ndio mwisho wa mwanadam ma sie tutapita mlango huu
@allymdoka8634
@allymdoka8634 3 жыл бұрын
Wakwanzaa nipeni like zangu
@wahiduitsverycommentmane5421
@wahiduitsverycommentmane5421 3 жыл бұрын
Wee unakulaga like au
@ghambichannel6632
@ghambichannel6632 3 жыл бұрын
@Babutale respect wewe ni 🔥🔥
@josephngonyani6264
@josephngonyani6264 3 жыл бұрын
Huyu jamaa Ni kchwa
@habibasallah8139
@habibasallah8139 3 жыл бұрын
Mashaallah babu tale
@gagedamoursarusaru8079
@gagedamoursarusaru8079 3 жыл бұрын
Stay strong Tale!una roho nzuri na uko very smart human being ❤️❤️❤️
@naamohamed9964
@naamohamed9964 3 жыл бұрын
Taletale👏👏👏
@shangwekamando2599
@shangwekamando2599 3 жыл бұрын
Tale Kun watu wanakutafuta ubaya Eti umemtoa kafara mkeo? Iv Wee uliyesema kamtoa kafara una uhakika?
@mudriqhamidu6031
@mudriqhamidu6031 3 жыл бұрын
Watu wanaoongea hyo bdo hawajaoa ,na wala hawajui nini uchungu wa mke, na hawajui ndoa nini, kuma hso wataongea t pumba, yy anapenda kulea watoto wasiyo kuwa na mama, badilikeni ndgu mucpende kukumbushia machungu ya mtu aliyefiliwa na mke, mke ni zaid ya baba maumivu yke, oen kisha muje mufiliwe na wake zenu alafu muvute picha hili la mwenzenu ,kumamazenu wte munaosema amemtoa kafara mkewe👆😭😭😭
@khalekichambo1131
@khalekichambo1131 3 жыл бұрын
Nimekupenda Taletale
@maigathomas2353
@maigathomas2353 3 жыл бұрын
!!!!
@greatiq7835
@greatiq7835 3 жыл бұрын
Maana ya kumtoa kafara binaadamu ni kumfanya msukule. Si kumuua. Japo anajulikana kafa! Ingawa sisemi umefanya hivyo, Tale. Ninefafanua tu!
@6152325
@6152325 3 жыл бұрын
I wish I have contact with this guy lm a old woman who's from UAE
@patriciacarlo7236
@patriciacarlo7236 3 жыл бұрын
Kaa kwa kutulia .tafuta muarabu mwenzako
@wambuuwathika5640
@wambuuwathika5640 3 жыл бұрын
Unataka akusaidie na nn tafuta mababu uko UAE
@6152325
@6152325 3 жыл бұрын
@@patriciacarlo7236 he is a very good guy so I wanted him for my youngest daughter if it was possible
@6152325
@6152325 3 жыл бұрын
@@wambuuwathika5640 I don't need musaada from him may be I will help him if he needs money 😔
@deeligt8268
@deeligt8268 3 жыл бұрын
Naisubilia kwa ham san
@rukiaosman8416
@rukiaosman8416 3 жыл бұрын
Asante baba
@thisiszai2045
@thisiszai2045 3 жыл бұрын
Naombeni msubscribe kzbin.info/door/tV-CCb0hdH-4Z79SldOrUQ
@fatmaalnabhani3609
@fatmaalnabhani3609 3 жыл бұрын
Humud sudi mtupu sura hiyohiyo
@conrad4950
@conrad4950 3 жыл бұрын
Babu Tale is very intelligent..Future TZ president..hongera kaka.
@murayamark5628
@murayamark5628 3 жыл бұрын
Best interviewer..no lie🙌🏽
@mofathool4158
@mofathool4158 3 жыл бұрын
Acha ujinga jkt haiajiri usituongopeee wanaenda kujitolea tu
@namsifumihungo86
@namsifumihungo86 3 жыл бұрын
Kama hujui usicomment jaman,kwenu hakuna aliyeajiliwa kwa sabb,lakn vijana wameajiliwa
@molinmasumbuko8607
@molinmasumbuko8607 3 жыл бұрын
huyu mbwa wa nn
@iddymstapha3093
@iddymstapha3093 3 жыл бұрын
Uyo kamtoa mke wake kisa ubunge malipo cku yake yamwisho
@christinebelinda3498
@christinebelinda3498 3 жыл бұрын
Omba mungu sana usije ukafia ww punguani wa akili🙄🙄🙄someone is in pain & u hv the odousity to open ur mouth to type shit😏😏heri ungekaa kimya tu
@waziriramadhani2198
@waziriramadhani2198 3 жыл бұрын
Una uhakika?
@ujenezasandrine6854
@ujenezasandrine6854 3 жыл бұрын
Haki people are heartless why?how can you say that?sikuombeye mabaya ila mungu akupeye unacho kistahili alafu ukaonje maumivu....after that you Will think before typing and mostly God forgive you haki naumiya kweli...kumuona uyu mwanaume in pain alafu wewe unamchekeleye...haki duniyq mbaya...
@braysonmatoy8220
@braysonmatoy8220 3 жыл бұрын
We msenge kwl
@minabuelysee8
@minabuelysee8 3 жыл бұрын
Ivi wew iddy unazo hakili ao uko namatatizo ya hakili? Alipo mtoa mkeo ulikuepo? Unaujua uchungu wakufiwa wew? Yani kila mbunge anatoa mkeo kabla yakupat ubunge? Tuwe tunatazam yakuongea jameni mimi sipendi mambo kama hayo
@bongo255tv7
@bongo255tv7 3 жыл бұрын
Uyu ajielewi 😒😒😒et naitaji madawati ya watu wangu
@sixmundadolf4657
@sixmundadolf4657 3 жыл бұрын
Wewe ndo hujielewi
@hamedabashir9
@hamedabashir9 3 жыл бұрын
@@sixmundadolf4657 kabsa yeye ndo hajierewi
@coletashirima2193
@coletashirima2193 3 жыл бұрын
Ulitaka madawati ya wap kwan s anatakiwa kupigania jimbo lake
@badybady4897
@badybady4897 3 жыл бұрын
Ww ndoujielewi
Spongebob ate Patrick 😱 #meme #spongebob #gmod
00:15
Mr. LoLo
Рет қаралды 20 МЛН
PROFESA JAY AFARIKI DUNIA
0:58
NYANGE TAITA
Рет қаралды 9 М.
NABII KIBOKO YA WACHAWI ATOA MSAADA GEREZA LA SEGEREA
4:46
JICHO LA HABARI
Рет қаралды 12 М.