Allah atukuzie na kutuwekea masheikh wetu hawa watu wazima , ambao ni watu wenye elimu , busara na hekima . Wanatufunua macho juu ya hawa vijana wanaokuja na Kasi ya povu la soda .
@KS-iw7qv Жыл бұрын
Mashaa-Allah Mashaa-Allah maelezo mazuri.... dini haitaki mihemko hata ktk kuelezea na kutafsiri.. Hekima muhimu
@MohammedIslam-t2nАй бұрын
Sheikh wetu ushamalliza mada hakuna swali hakuna jawabu huwo ndiyo ukweli ulivyo Allah akuhifathi akupe afiya na umri mrefu Amin
@ibrahrymz4032 Жыл бұрын
Mashaallah Shekhe letu mpendwa.... ALLAH akuzidishie
@ramadhanomar8093 Жыл бұрын
Acha upuuzi wako wewe mzee...shahrawi ni jisufi la matata
@abdulkadirjaylani4693 Жыл бұрын
Basi Shekhe usitumie akili toa aya na hadithi tujue utukufu wake.
@ausatmwangi6464 Жыл бұрын
Wallahi nimependa shekhe wangu 😊😊😊
@omaribrahim1547 Жыл бұрын
Tusomeni dini yetu na tufuateni yale alotuachia mtume Quran na sunnah ALLAH ANASEMA LEO NIMEKUKAMILISHIENI DINI YENU ,NA NIMEKUPENI NEEMA ZANGU NA NIMERIDHIA UISLAMU NDIO DINI YA HAKI
@faridsalummaulid4681 Жыл бұрын
MashaAllah umeonge vzr
@mwanakheri2880 Жыл бұрын
Maa shaa allah Tabaarakarrahmaan
@a.856 Жыл бұрын
Jazakallah khayran
@Mumewangu Жыл бұрын
Kuna watu wanaelimu lakin hawana hekma ya kufafanuwa na kujuwa undani wa kitu lakin wanatafsiri juu juu hawajui undani. (Bachu)
@YarajanuarioYara2 ай бұрын
Na watageni wale waliokata vile vile, msisahau tafazali. Ila itakua zulmah.
@abdulkadirjaylani4693 Жыл бұрын
Mtume swallallaahu 3alayhi wasalllam amesema itafika kipindi ukishika Sunna zangu itakuwa kama umeshika kaa la Moto.
@hijahamadi5793 Жыл бұрын
Bachu hakufanya vizuri alipoanza kujadili kitabu cha barazanji na muandishi wake. MIMI SIO MTU WA MAULIDI LAKINI KWA HILI SIO SAWA. Ilikuwa yeye ashikilie msimamo wa wanawacjuoni kuwa kumfanyia birthday mtume swalla allaah alayhi wasallam ni bidaa.
@muhidinally3753 Жыл бұрын
Alichofanya Bachu ni sawa. Barazanji amepotosha na anaendelea kupotosha watu. Alichofanya Bachu ni kuondoa munkari kwa mdomo wake
@HamadiKassim Жыл бұрын
Yani mm nashangaa sana eti mtu anajita muislam anamtukana shekhe kwenye kutowa komenti tusomeni jamani
@hijazhija316 Жыл бұрын
Je kwann maswahaba hawakufanya?
@EdhaOmar-jd6os Жыл бұрын
Bachu hamkubali babake alie mzaa kamtolea makosa na wote dheheby moja jee shaarawi atamtambua vipi
@aishamuhammad7785 Жыл бұрын
Kwani uyo baba yake alikuwa si malaika eti nayy kakosea
@omaribrahim1547 Жыл бұрын
Dini ya kiislamu haitakiwi kuendeshwa kwa fikra ya sheikh fulan wala mtu wa aina fulani Quran na hadithi
@abdoulrahmanahmed58025 ай бұрын
Sheikh Shaharani Tuwache Kidogo
@iddimutua420 Жыл бұрын
A.aleikum mimi kimtazamo wangu watu wa twariqa wanapaparika kwa kijana mdogo Bachu mpaka wanahazirika wao pamoja na wazee wao wameshindwa kuutetea urongo ulioko katika kitabu chao cha maulid so kwa mtazamo wangu nyinyi nyamazeni kijana atufundishe Haki InshaAllah Allah amzidishie na nyinyi awaongoze muache kutetea jambo ambalo Mtume mwenyewe muhusika mkuu halijui
@salmaanfaqiih Жыл бұрын
Kwanini usiwe na Mtazamo huo pamoja na Mawahabi na ilhali huna sanadi ya kitabu hata kimoja!? Lete sanadi yako halafu tunyooshe maelezo.
@iddimutua420 Жыл бұрын
Sawa But kabla hatujaenda mbali wewe wasaidie kuutetea urongo ulioko katika kitabu chenu cha Balaa za nje
@Mukhlis-w8k Жыл бұрын
Hakuna kupaparika Mtoto akikosewa Adabu hufundishwa na akajipange Tena ngombe mwenye vichwa vitano
Ahsante Sh Bachu kwa kuwakosesha usingizi hawo ma khuraafi wa ki sufi, huta pata msufi kugayna madhahalo namshia kuwa ni wadugu kuwa baba na mama
@abiabi9353 Жыл бұрын
Kwahivyo mawaidha kwenye maulidi yameanzishwa na bachu
@osmanmanbile9327 Жыл бұрын
Kweli sheihk usiwe kam yule تحقق صدقه
@mohdkhatib223 Жыл бұрын
Katika masufi waliokuwa hamna kitu, huyu shahran ni mmoja wao.
@MuhidiniNassor Жыл бұрын
Wa pili mama yako
@pilabiliani9394 Жыл бұрын
@@MuhidiniNassorsubhaaanalllah
@adamaliali2206 Жыл бұрын
Sheikh shaharani ni sheikh mzuri Ila unapoteza heshma yk kila sk bachu bachu tunafahamu wewe ni sufi
@salasturky4844 Жыл бұрын
Je wale masheikh wanowagawa waislmu wao hawapotezi heshima??
@RaslaniAbedy-qs8vd Жыл бұрын
mzee umezeeka huku unalingania juu ya kuzua katika dini ya allah subhaana llah
@harrishussein6992 Жыл бұрын
Naomba nijifunze au unifundishe kuzua nikufanyaje
@RaslaniAbedy-qs8vd Жыл бұрын
@@harrishussein6992 kuleta katika dini yaleambayo hayakuwa nidini kipidi cha mtume namaswahaba karne bora zilizotajwa
@jumasalum2677 Жыл бұрын
Wewe unatoa tafsir za uongo ingekua nihivyo basi mtume angeanza kusheherekea mwenye na maswahaba ila hakuna kitu hiko. Ukweli umefika na uongo unaondoka.
@abiabi9353 Жыл бұрын
Hiyo ni mizani yenu mawahabi
@salumjidawi1590 Жыл бұрын
Wewe toa tafsiri za ukweli tupate elimu shk
@LASSUH4947Ай бұрын
Sasa ulitaka maswahaba wakae na mtume mbele za watu waanze kumsmulia huyu mtume ako hivi na hivi sasa waeleze nn na wako nae hapo kila kitu wanaona
@IbrahimNtirenganya5 ай бұрын
Acha kupotosha kusema Ilimu usiyo jikita kwayo Hadith dhaifu hupasishwa kama anayo taka kuyitumia kunamasiha ya Ibada yenye ushahidi katika Dini
@IbrahimNtirenganya5 ай бұрын
Sufi kasome maneno yako siyo hoja kasome tarehe kuna Swahaba aliuwawa ku Al kabah
@ibrahimabdillah5729 Жыл бұрын
Kana kwamba Maswahaba na Maimamu wanne...hawakuwa na elimu kama nyie(masufi)..!!! Tumuogope sana Allah alietuumba
@mohdkhatib223 Жыл бұрын
Nakwambia! Yaani hawa masufi wangekuwa wanatetea Quran na Sunnah, Uislam ungekuwa juu. Tukitaka tusitake usufi ni upumbavu, na mimi naungana na imaam kukiri masufi ni wapumbavu.
@rajabmembe6695 Жыл бұрын
SubhanaAllah
@salehrashid-fx9rq Жыл бұрын
Itakuwa hampi bachu pekeye bali itakuwa anawapa elimu na maswahaba wa mtume pia
@abubakarymaulidy5681 Жыл бұрын
Mawahabi wanaumia sana bachu anavyo waaibisha na uchache wa elim kahuni tu kanajiamni kwnye ujinga
@msanifgdf615 Жыл бұрын
Hpo ndio mwisho wa elimu yenu,,msaidie bachu kujibu kabla hujatoa povu
@ramadhanomar8093 Жыл бұрын
Acha upuuzi wako huu...yote haya ni kwa sababu ya wali wa uwongo
@ahmedabry293 Жыл бұрын
Mimi nishachoshangaa ni kitu kimoja. Kwanini hizi media zinaleta Sana uchochezi baina ya mashekhe zetu.. Ilikuwa kuna haja gani hapo kuweka Jina la bachu?? Si ungeweka tu kichwa cha Habari bila ya kumtaja mtu na ingekuwa kawaida tu.. Sijui Nani katuroga sisi waislamu.. Yani kuwa na chuki na mtu kiasi hicho duh
@abdulazizmwipi9295 Жыл бұрын
Lakini haya yte kayataka bachu alimshambulia uthman maalim na abu idd akawaita kuwa ni waongo na wazushi
@aishamuhammad7785 Жыл бұрын
Ukiona ivo kisu kimefika kwenye mfupa acha wapige kelele
@abdulazizmwipi9295 Жыл бұрын
@@aishamuhammad7785 hahaha
@mustafahakim-iq7dj Жыл бұрын
dalili ya kua maulid yanaasili katka dini hawawez kuitoa wanapamba tu swali je mtume wapi kafindisha tusherehekee au wapi maswahaba walifanya au sisi tunampenda sana mtume kuliko maswahaba?
@jumasalum2677 Жыл бұрын
Sasa hivi tushajua kuwa Kuna mashee wa uongo ambayo wanajali matumbo Yao na sio dini m1 wapo wewe unashindwa kuitolea ushahid maulidi alafu unatafuta tafsir za uongo katika Quran Hivi unajua utamuweza sheikh Mohammed bacho yule ni Simba anatisha hata kumsogelea
@aliy3303 Жыл бұрын
Ndugu zangu ...naomba kuuliza mbona Saudia sehemu tukufu mfano madina na makka mbona hawasherehekei maulidi
@muktarkassim6647 Жыл бұрын
Hakuna sehemu ambayo mtume Afurahikiwi.....
@AbdulMutta5 ай бұрын
Sai yuko wapi huyo bachu tatizo hana elimu anaruka maswali nimnafki yey
@مبغضالبدع-ع9ص Жыл бұрын
Mzee weka ndevu kama mtume swalla llahu aleihi wasallam, alafu jifunze Quran mwanzo maana unasoma aya makosa na hao walio chini yako hawakukosoi kabsaa.... bimaana hapo mna mkusanyiko wa watu wasio jielewa kabsaa wamekutana.
@elbattawy2864 Жыл бұрын
Mi nafkiri bachu jiba limemkaa kwenye koo na hatoki
@IbrahimNtirenganya5 ай бұрын
Masufi acha kuchemsha Aya hiyo kama ndiyo munategemeya basi acheni kwasababu hakuna tafsiri inaosma kama mudi wake ( Maudi) Allah akukuongozeni
@suleymansalim5732 Жыл бұрын
Ibada adhwim sana hii ila nasikitika maswahaba kukosa fadhila hii ya maulidi kina Abuu bakar Ommar Othmaan Na Aliy jaman.
@abdikadirshariif5311 Жыл бұрын
Jaahil mkubwa, maswahaba walikuwa makuba kuliko mowlid.
@MkombeAbdalla Жыл бұрын
Hatufaha tu MUSSA KALIMU LWAH kaitaka nafasi yangu na yako jiiulize
@kaliskaguzkalis4424 Жыл бұрын
Kwani uislamu umejengwa ya nguzo ngapi bila shaka ni mkono (5 ) ambazo ni shahada swala Zakka swaumu na hajji sasa nauliza suali kama hizi ni nguzo uislamu wenyewe ni upi?
@kombomakame9541 Жыл бұрын
Mimi nawashanga wanaopinga kitabu Cha Barzanji, kwani vitabu vya utheymy, Fauzan na mashekhe wengine kwani vitabu vya Allah? Mbona hamsemi kitu. Aliye Tunga kitabu Cha Barzanji Allah amlipe kwa kutoa mchango wake wa kuelezea Historia na sifa za Mtume MUHAMMAD s.a.w.
@Saidkinya Жыл бұрын
Tatzo ni shirki na uongo uliomo ndan ya barzanj ndio alichosema bachu ss waulizeni mashekhe wenu ni kweli kuna uongo mbna hawakwambiini ukwel
@kombomakame9541 Жыл бұрын
@@Saidkinya Tatizo mumechanganyikiwa. Shirki Gani na uongo Gani uliomo ktk barzanji? Mimi ninawasiwasi nyinyi wengine munaopinga barzannji SI waislamu, munafanya maksudi kuwachanganya waislamu walahamumpati mtu kwani sisi tumejengeka kilimani.
@kombomakame9541 Жыл бұрын
@@Saidkinya Unaposema "waulizeni Mashekhe wenu" Ina maana Gani? Mimi ninavyo Mashekhe wote ni vingozi wa Waislamu wote. Sasa Unaposema waulize mashekhe wenu unatia wasiwasi.
@AliOwjsy Жыл бұрын
Mpe vidnge vyake
@kitosio Жыл бұрын
Mbona masahaba wanajuwa zaidi hawakupoteza muda kama sisi mashaka haya waliyoyaleta Mashia. Jamani ikibidi tutunge Maulidi yetu anbayo suo yaliyoanzishwa na Mashia.
@kombomakame9541 Жыл бұрын
Tena wote wanaofuata mawazo ya Bachu wamechanganyikiwa na watafeli mpaka wataingia kaburini.
@adilihassan8455 Жыл бұрын
Shahid wangu ni Allah ,wanaosikiza bachu na kuwacha bidaa hawatafeli,xx WWE Shahid wko Nani?????
@adilihassan8455 Жыл бұрын
Maulid mtaacha tuuu na msipoacha jahanam huikwepi BBA,mnamzulia uongo mtume
@JumakhamisJuma-r5s Жыл бұрын
Upumbavu hamna maulid
@jordan.3109 Жыл бұрын
Mashia kazi yenu ni kudanganya watu tu hamtaki kusema ukweli.
@babauna3458 Жыл бұрын
Alikua wapi huyu ustadh wakati wa mijadala. Maulidi ni pesa za bure watu wanakula.
@jumabeja956 Жыл бұрын
Hadithi ipo waaaz kabisa kuwa. Mtume alifunga siku alipo zaliwa Hayo mengine ni burw tu Ingekuwa. Ni kheri basi wangefanya maswahaba watukufu
@khalfanikimanta6663 Жыл бұрын
Tusimamie hapo hapo haina haja ya kujifanya wajuaaji mpaka tuanze kumpachika Rasuulillah sifa ambazo sizo zaake too much is harful siku zoote
@kombomakame9541 Жыл бұрын
Wewe funga,hujakatzwa, kusoma MAULID kwa waislamu ni lazima katika maisha Yako. SI Kila jambo ambalo hakifanya Mtume au Maswahaba lakini ukilifanya kwamba ni dhambi. Mfano. Mtume Wala Maswahaba hawakufanya mashindano ya Kuhifadhi Quran, lakini sisi tunafanya .je ni kosa. Pili, Mtume na Maswahaba hawakufanya jitimai, lakini sisi tunafanya Je! Ni kosa. Mtume alibashiriwa Pepo Toka yupo Duniani lakini alikuwa alifanya ibada kwa kuswali mpaka akivimba Miguu, kama wewe unamfata Mtume MUHAMMAD s.a.w Je! Kushawahi kuswali mpaka ukavimba Miguu?
@nancolower_8032 Жыл бұрын
Uzushi ni uzushi,,,, mtume hakuacha huo utaratibu 😢😢😢
@AbdallaMwagora-sm1rj Жыл бұрын
Kasome ndugu hujui maana ya maulidi.ukijua hautasema hivyo
@abuse542 Жыл бұрын
Unaonaje shekhe wangu tukifuata namna gani mwenyewe mtume aliitukuza vipi tukaiga kama alivyofunga siku yake ya kuzaliwa. Isngekuwa vizuri kumuiga?
@kombomakame9541 Жыл бұрын
SI ufunge, kwani watu kukusanyika na kusimuliana habari za mazazi na maisha ya Mtume MUHAMMAD s.a.w kumekuzuia kufunga?
@gadonassir4261 Жыл бұрын
Nautupishee apa pasheni mipashoo lakin kwa maulidi hawezi yoyote kuyatetea na aya saiv mmeiyacha ile ya suratul yunus mmehamia suratul Ibrahim saiv eee😅 badoooo
@AbdallahShamte-mp1iu Жыл бұрын
Kumbe kwako ww mpaka Shaharawi sio mwanachuoni kwenu nyinyi mwanachuoni ni Muhmmed Bachu
@nassleydady5783 Жыл бұрын
@@AbdallahShamte-mp1iu ukipima maneno yake t ndio nameless bachu mana anazungumzia mazaz ya mtume (saw) hatupingi tunajua mazaz ya mtume ni jambo kubwa ila kaichukua hadithi hii ss kaifanya ndio dalili ya maulid je wapi apo tumeambiwa tujikusanye tusifu mpaka sifa za uongo unajua anachopinga bachu co maulid sote tunajua ilo mtume (saw) hajashuka t bali kazaliwa je hivi cc tunapaswa tufanye nn ikiwa mtume alikua akifunga cku hii ss kitu kibaya ni kumsemea uongo kweny mazaz yake wanyama waliongea nan shahid wa hili mbna haitok iyo hadith
@kombomakame9541 Жыл бұрын
Maulidi SI Allah ameyazungumza ktk Quran kabla Mtume MUHAMMAD hajazaliwa. Wacheni kujidhalilisha waislamu Makafiri wataona hamsomi dini yenu Bali ushabiki kama Simba na yanga.
@suleymansalim5732 Жыл бұрын
😂mzee wanyama waliongea⁉️mbona swali dogo tu
@MuhidiniNassor Жыл бұрын
Bachu katika mikojo kwa mada hiyo
@SuleimanAbdulla-b2g2 ай бұрын
Wahuni nao pia huzeeka
@el-bahsaanytv9852 ай бұрын
@@SuleimanAbdulla-b2g weka heshima kwa waliokuzidi kwa elimu huwezi kufanya hvyo basi ni bora ukanyamaza
@SuleimanAbdulla-b2g2 ай бұрын
@@el-bahsaanytv985 Kwani wahuni hawazeeki
@el-bahsaanytv985Ай бұрын
Endelea kuona wenye elimu ni wahuni kama ulivyo wewe ambae umekosa elimu tokea utoto wako@@SuleimanAbdulla-b2g
@yusufntamila541 Жыл бұрын
😂😂😂😂😂 JAZAKALLAHU
@shabaniumande Жыл бұрын
Kila nikitaka kujilazimisha kusoma maulid naona shaka Hayana dalili yoyote Ila ni porojo tupu
@sadambakari2579 Жыл бұрын
Usisome maulidi kasome elimu iliujue Kwann wengine wanafany
@abubakarmuhammadsaid3244 Жыл бұрын
@@sadambakari2579 Kusoma maulidi bidaa uzushi ndio elimu!? 😂
@elbattawy2864 Жыл бұрын
Taka kujua kwenye maulid hasa maudhui yake ni nini, halaf nenda kwenye Quran na khadith za Bwana Mtume s.a.w tumeamrishwa nini
Nikajua shekhe shaahran kaja kutoa ufafanuzi wa pointi ya bachu ya kuongea kwa paka kumbe Blaablaa tu nae cjategemea hivi kabisaaaa😅😅😅😅😅
@sulesumry9766 Жыл бұрын
Kukataa haki ni sifa ya kibri
@khalidtechnology367 Жыл бұрын
Jamani mbona hatukueleweni wanyama waliongea tupeni dalili tusimfuate bachu kushinda kutowa madhaifu ya bachu rudini kwenye quran inasemaje kuhusiana na kutowa aibu ya muislamu mwenzako
@AllyAbubakary-q5l Жыл бұрын
Wanyama waliongea iyo ni hadidh kwahyo ni kweli waliongea Ila kwa namna Allah anaijua
@Yu-jr9uf Жыл бұрын
watu wamaulid ebu semeni ukweli, huwa mnafunga sunnah ya jumatatu??
@aminahmed678 Жыл бұрын
Immam shaarawi ni suffi na si ahlu suna waljammaaa ....????
@mohdhilaly7900 Жыл бұрын
Mawahabi hawajielewi nn wanachokipinga sasa porojo iko wapi hapo hebu muulizen bachu jiba lile ashalikwamua
@ramadhanomar8093 Жыл бұрын
Upuuzi huu wote ni kwa sababu ya wali
@rushu1232 Жыл бұрын
Mawahabi toeni dalili wacheni matusi na kejeli mzee ameeleza vizuri nanagani Hadith dhaif zinavyo tumika mpaka kwenye vitabu za masheikh wakiwahabi nyinyi ni matusi tu fanyeni heshima
@abdulmohd6880 Жыл бұрын
Kutumia hadithi dhaifu haifai hata awe ametumia nani ndio amekosea mana haifai kutumiwa
@rushu1232 Жыл бұрын
@@abdulmohd6880 wewe waonekena sio msomi lbn Tamiyah ametumia Sh.Mohd Abdulwahab ametumia na ilikuje zakawa zimo kwenye vitabu maarfu za hadithi jiulize haifai kutimia kwenye hukmu sio kwenye fadhailil amal someni jameni wacheni kutumiwa na mayahudi kutia fitna dhaif dhaif kila kitu.
@faisarmsafiri3115 Жыл бұрын
kama huna elimu ni bora ukae kimya
@faisarmsafiri3115 Жыл бұрын
@@abdulmohd6880ebu tulia hueleweki
@rushu1232 Жыл бұрын
@@faisarmsafiri3115 wewe mwenye ilimu toa dalili kua hakuna hadithi dhaif kwenye vitabu vya lbn Taimiya kata kuwa lbn Taimiya hakujuzisha Maulidi kwenye kitabu chake lktidhau siratul mustakim.
@mwambashiiddi9295 Жыл бұрын
Sass wamuadhimishaje na humfuati?mfuate usitoe ndevu n.k
@kitosio Жыл бұрын
Nyny mtapiga kelele lakini mkitunga maulidi yenu mazuri sawa lakini kwa Mashia hapa hawapiti Mbano wataka zidi
@barzaqtradingcompany8541 Жыл бұрын
ما صحة قول أن أول ما خلق الله نور نبينا صلى الله عليه وسلم ومنه استمد جميع مخلوقاته ؟
@seifmsabah4384 Жыл бұрын
Nyny wapingaji tu
@barzaqtradingcompany8541 Жыл бұрын
@@seifmsabah4384 tuna pinga nini na nipe dalili sitaki maneno tupu, nini na kiristo muna tafauti gani , mtume Mtume ameumbwa na nuru ya Allah na Yesu na roho ya Allah ,mukuendelea kesho watotowenu wataita mtume mohamed nimungu ka umbwa na nuru ya Allah, vile maisha wanamita Saydina Ali mungu nani masufi mwisho yenu ni hapo,hamtaki kusoma dini yenu , ni dini yenu ni dufu kawsidah na kukacha kinyuno
@seifkandanga8281 Жыл бұрын
wanaotetea maulid kuna maslahi ya kidunia wanayapata ndio maana wanapambana kupinga hoja za kweli kabisa, wamejisahau hawa watu wajiandae kwenda kumjibu allah yaumulkiyama
@sadiqselengu4197 Жыл бұрын
Maslahi yapo ya kidunia na akhera pia mzee.. Duniani mambo yetu yananyooka kwa kuwa na Mtume SAW na muongozo twaupata.. Akhera tunatarajia Allah kuturidhia kwa kuwa pamoja na mtume wake SAW
@pavillioncry5241 Жыл бұрын
Yy barzanji mie navona hafai hata kidogo Jiongo linamzulia mtume
@abdukhan4718 Жыл бұрын
@pavillioncyry........Kua na Busara. Allah pekee ndio mjuzi.. wewe kama huyataki maulidi achana nayo ila Usifikie daraja la kumwita mwanachuoni muingo.... Huna elimu ya kusibitisha Owongo wake...... Allah Akupe Afya njema na Busara
@abubakarmuhammadsaid3244 Жыл бұрын
@@abdukhan4718 Mtume Sallallaahu alayhi Wasallam kasema: "Hakika ya ubaya wa mambo ni yale mapya yanayozushwa ndani ya dini, na kila jipya ndani ya dini ni uzushi, na kila uzushi ni upotofu, na kila upotofu ni dhambi, nakila dhambi mahali pake ni Motoni" [Sunan in-Nasaa'ee 1487, Abu Daawuud & At-Trimidhiy]
@saba-gv3mj Жыл бұрын
@@abubakarmuhammadsaid3244 kasome mwanzo ndio ujuwe bida maswahaba walifanya bida na mtume s a w alikua hajafariki unajua hilo
@abubakarmuhammadsaid3244 Жыл бұрын
@@saba-gv3mj Sasa ikiwa walifanya jambo na Mtume anajua na hajawakataza, hiyo inaitwa Sunna Taqriyriyyah, sio bidaa. Inavyoonyesha wewe hujui hata kusoma Quraani, bora angalau jifundishe kusoma Quraani kwanza.
@kombomakame9541 Жыл бұрын
Thibitisha uongo wake kwa kutumia hadithi na Quran. Au ndio hao fata kundi.
@jumasalum2677 Жыл бұрын
Alafu mzee ukitakiwa kithibitisha kwamba maulidi Haina uongo ndio ungeonekana wa maana sio unapiga tantalila za kuitetea maulidi alafu huwezi.
@allyjuma9669 Жыл бұрын
Ww Mzee usidanganye watu kwa kutetea ujinga wako na upumbavu wako jahili mkubwa ww
@KurthumAliy-mu7yz Жыл бұрын
Acha porojo na we hodari was kuchangisha watu pesa za maulidi kwa ajili ya maslahi yako
@zuhuramohamed7306 Жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@kombomakame9541 Жыл бұрын
Kuna waislamu wanamshanga barzanji aliposema kwamba Mtume MUHAMMAD anafuta madhambi. Basi Mtume MUHAMMAD s.a.w anafuta dhambi na anatoa Pepo. Mtume anatwambia " Pepo IPO chini ya Miguu ya mama zenu" Je! Munaoshangaa kwamba Mtume afuta dhambi , kuhusu kutoa PEPO mnasemaje? Au nayo ni shirki?
@abdulkadirjaylani4693 Жыл бұрын
Acha upuuzi wew ilo kaliataja mtume mwnyewe hajasema ata mm niomben ntafuta dhamb na kam kasem bas tupe dalili istoshe kuwep pepo kwa wazaz ni Radh zao hatujaambiwa tuwaombe wao pepo na watupe shekh hii dini acheni izo shirk nyiny mnamuomba mtume swallallaah 3alayhi wasallam au tumeruhusik na kuwaomba pia pia?
@kombomakame9541 Жыл бұрын
@@abdulkadirjaylani4693 Tatizo wewe jazba nyinyi . Hebutulia na uchunguze lugha iliotumika. Ikiwa maana ya people kuwa iko chini ya Miguu yake maana yake ni kuwa heshimu mama na kupata Rashid zake basi na Mtume kuambiwa kwamba anafuta madhambi maana yake kwanza ni kumkubali Mtume na kufuata maamrisho yake na kuacha makatazo yake . Kufanya hivyo ndio maana ukiambiwa Mtume anafuta dhambi. Mfano mwengine. KAFIRI anapo ingia ktk uislamu ni lazima amkubali Allah lakini pia amkubali Mtume Muhammad ndio atakubaliwa kuwa muislamu na kusamehewa dhambi zake zilizopita. Lakini kwa kukubali Allah TU bila kumkubali Mtume Muhammad s.a.w hawezi kuwa muislamu na Wala hawezi kusamehewa dhambi . Wacheni jazba. Mtume anafuta dhambi. Mtume anatoa thawabu. Mtume anagawa Pepo. Kama unaona Mtume hafuti dhambi Basi usimuamini na Wala usimfate achana naye uwone kitatokea Nini siku ya kiama. Jazba haisaidi kitu, Muhimu kusoma na kuweza kuchambuwa mambo.
@kombomakame9541 Жыл бұрын
@@abdulkadirjaylani4693 Mtume MUHAMMAD s.a.w itakuwaje aweze kuugawa Pepo lakini Ashindwe kufuta Madhambi? Tusomeni, Jazba na matusi hayatojusaidia kitu.
@barzaqtradingcompany8541 Жыл бұрын
ما صحة قول أن جميع الوحوش البرية والبحرية بشَّر بعضها بعضًا ليلة الحمل بالنبي صلى الله عليه وسلم ونطقت بذلك بلسان عربي مبين[1].
@ausatmwangi6464 Жыл бұрын
Namimi naona sio vibaya pia kusherehekea kwa mpango wetu kwa kuwa hakukuwekwa vikwazo vya kumsherehekea
@KurthumAliy-mu7yz Жыл бұрын
Ivi huna Cha kuongea mpaka umjadili mtu we ni mnafiki tu Manisha yote kweli inauma bac zijibu we nukta 19 tutakuona kama ww no mjuaji coo unaporoja tu
@salumkarim69 Жыл бұрын
hii ni dini haitaki jazba kuwa na hekma ukhtiy wewe ni mwnamke kisha chunga mipaka yako ktika hizi barnamiji اَلسَلامُ عَلَيْكُم وَرَحْمَةُ اَللهِ وَبَرَكاتُهُ
@KurthumAliy-mu7yz Жыл бұрын
@@salumkarim69 Maisha yote ukwel inauma kazi kumcngizia mtume s.a.w uongo tu
@pavillioncry5241 Жыл бұрын
Shekh ongo ili sufi Linatoa aya tofauti na makusudio yake Swahaba gani kafahamu ivyo unavosema ww
@mwanakheri2880 Жыл бұрын
Swahaba gani alitowa khutba ya ijumaa kiswahili. Mwambie Bachu akasome kwanza mambrui
@abubakarmuhammadsaid3244 Жыл бұрын
@@mwanakheri2880 Na kwanini huyu anatoa mawaidha kwa kiswahili
@kombomakame9541 Жыл бұрын
Wewe mbweha, utaishia kukeli wasomi. Lakini kama unamwita Muongo kwa kejeli na wewe watatokea watu watakukejeli TU iko siku.
@abubakarmuhammadsaid3244 Жыл бұрын
@@kombomakame9541 Bora ya mimi bweha kuliko nyie Ahlul-Bidaa wal-hawaa. Sijui munatetea nini ktk uzushi na bidaa!?
@kombomakame9541 Жыл бұрын
@@abubakarmuhammadsaid3244 Mimi nakushangaa, Makafiri wanachukia maulidi na wewe wachukia MAULID. Uzushi na bidaa waijua au waisikia TU. Have kajipekuwe vizuri Toka Allah alipokuumba mpaka SAS hivi katika maisha Yako umezusha mabo mangapi? SEMA kweli kama ni muislamu. Je! Mtume amesha wahi toa hutba ya ijumaa kwa luGha ya kiswahi? Je! Maswahaba wamesha wahi toa hutba ya ijumaa kwa LG ya kiswahili? Je? Mataabina wamesha toa hutba ya Ijumaa kwa LG ya kiswahili? Jibu hapatana . Walitoa hutba kwa LG ya kiarabu. Lakini wewe Nina amini hatibu wako msikiti anetoa hutba kwa LG ya kiswahili na wewe unasikiliza hutba ya ijumaa kwa LG ya kiswahili. Kwa hio na wewe ni MZUSHI MKUBWA.
@faisalmohamed727 Жыл бұрын
Mzee tumia akili yako vizuri, umesema haingii akilini mshirikina kuswalisha msikiti wa mtume vipi masanamu yaliingia kwenye kaaba? kisha iweje hio akili yako ikubali wanyama kuongea kwa kutunga mimba ya mtume swalallahu aleihi wa Salam?
@KurthumAliy-mu7yz Жыл бұрын
Week lisufi kwa dalili ya kuadhimisha kama kumpenda mtume maswahaba hawakumpenda umekuwa wewe was mwanzo
@harrishussein6992 Жыл бұрын
Usimtukane mwislam mwenzako
@faisarmsafiri3115 Жыл бұрын
Shekhe usithubutu kuwadhihaki wana wazuoni kama huna elimu ni bora utazame aubukae kimya Itakutesa sn hii kitu be careful na maneno yako.
Kwaio huwezi kuipata pepo km itakuwa huijui cku aliozaliwa mtume ?😅😅 Apo tushushe !! Kujuwa cku ya kuzaliwa kwa mtume (s.a.w) sio sharti la Kuingia pepeni bali ni sunnah tu . Kumuamini Allah na mtume wake na kutenda mema inatosha ww kuingia peponi قال تعالى: "والذين ءامنوا وعملوا الصالحات أولئك أصحاب الجنة هم فيها خالدون". Na unaweza ukaijuwa cku aliozaliwa mtume lkn ikawa humtii Allah na mtume wake na ukaingia motoni نسأل الله السلامة isipokua kwa yule atakae rehemewa na Allah . لحديث: كل أمتي يدخلون الجنة إلا من أبا ......
Lazima uwe na ilimu ww Huna ilimu na bachu wako utaona ni porojo
@saba-gv3mj Жыл бұрын
@@mahmoudukusso4488 kajikojolea na kakimbia kujibu swali
@saba-gv3mj Жыл бұрын
@@abubakarmuhammadsaid3244 kumswalia mtume ni suna ama bida
@nassleydady5783 Жыл бұрын
Shekh. Wakiristo kusheherekea mazaz ya yesu nizambi (Christmas). Muislam kufanya happy birthday ni zambi. Ila kumfanyia mtume maulid siozambi ? Mh namm saiv sijifanyii happy birthday najifanyia maulid bac haya maneno yakizungu ndio tatizo kumbe kweny din yet ya kiisilam
@ahmadmadaai1357 Жыл бұрын
Bacchuu hhhannna elimu haaweez kuuyajuaa hyo yyy mmbishaan tttu lknn. Eliimu zero tutamfungulia darsa. Akasomeshwe na nauli tutamchaangia mzee waa swidkahu na Tarzan eeeeee nnnna munkar hhhhh
@MussaYasini Жыл бұрын
Maskin mh hiv daliligan kaitoa?!
@Mariam99-ld4gw Жыл бұрын
Wataelewa tu mawahabi 😂😂😂😂
@abughaneem9220 Жыл бұрын
Imamu Bukhary. Imamu musliimu. Na aimatu arubaa mbona hawakusherekeya
@alhabiitmgwamy1950 Жыл бұрын
Saw hamtaki tumtaje habiib bas saw tutawaja baba zenu mbwa nyie
@khamissmohd Жыл бұрын
Huna elimu nawe maulid kila siku mnasomeshwa nini lengo lake maulid hayakuletwa na mashia kasumba na ujinga wa kutotoka kusoma na uwahabi unajua asili yake ni uyahudi?nyie ni mayabudi ndio maana mnapinga kuadhimishwa mtume, mtaalika muache upuuzi wa kupinga pinga.
@mkubwamasoud2776 Жыл бұрын
Sasa hiyo aya maswahab hawakuiona wacha kudanganya watu bwana mkubwa wewe masufi kila siku wanazua aya tu za kulazimisha maulidi
@HamadMbarouk-xo9et Жыл бұрын
Kila tukifanya kitu kiwe kinafanywa na mtume
@vijanahealth3712 Жыл бұрын
Mzeee rudi madrasa ukasome elimu yako bado haitoshi kusmama mbele ya waislamu kutowa mawaidha rudi madrasa
@omaryayubu7037 Жыл бұрын
Wewe unaelim kenge wee
@jumabeja956 Жыл бұрын
Yaan hapo baaado
@w4058 Жыл бұрын
Wewe kamba kama yeye hivyo ulivyosema
@HamadAliSahili Жыл бұрын
Sasa wewe sheikh mbona hatujawah kuskia unasherehekea siku yako ya kuzaliwa au wewe hukuzakiwa musituletee bidaa yapo mambo kibao ya kulingania
@barzaqtradingcompany8541 Жыл бұрын
Ni nani anayefuta dhambi kati ya Mungu na mwanadamu? Je, Mtume anafuta dhambi?
@saba-gv3mj Жыл бұрын
Ni mungu lakini utafutiwa vp kama hukufuata mtume aliofundisha utafutiwa vp kasome ukimswalia mtume wapata thabu hupati na dhambi wafutiwa ama hufutiwi jibu
@kombomakame9541 Жыл бұрын
Sasa kama wajuwa Mtume MUHAMMAD hafuti dhambi mbona unamtaja Kila siku kwenye swala? Ivi jiulize swali hili unaweza kupata pepo bila kukubali maamrisho ya Mtume MUHAMMAD s.a.w na kuacha makatazo yake? Tusomeni waislamu.
@barzaqtradingcompany8541 Жыл бұрын
@@kombomakame9541 sitaki nikubie wewe ni jahili ebo ni taslfsirie اللهم صلي علي محمد وعلي آل محمد
@barzaqtradingcompany8541 Жыл бұрын
@@kombomakame9541 sisi tunakeleza ibadah vile Allah alietuamrisha ka kupitia mtume , sasa ikiwa mtume anafuta madhambi ni kazi ya Allah utamita vipi anaye fita madami, unamainisha mtume kuwako nimungu anaye futa madhambi ya watu , hali mtume ameambiwa aseme قُلْ إِنَّمَا أَنَا بَشَرٌ مِّثْلُكُمْ يُوحَىٰ إِلَيَّ أَنَّمَا إِلَٰهُكُمْ إِلَٰهٌ وَاحِدٌ ۖ فَمَن كَانَ يَرْجُو لِقَاءَ رَبِّهِ فَلْيَعْمَلْ عَمَلًا صَالِحًا وَلَا يُشْرِكْ بِعِبَادَةِ رَبِّهِ أَحَدًا
Watu wataka dalili mzee porojo pelekea watoto wako kwako hao ndio watakuskiza katika dini ni dalili
@tanzaniaonmzamiloon8627 Жыл бұрын
Vigawanyo vya tawhidi mnadalili nayo
@abdurahimabdulkadir3926 Жыл бұрын
@@tanzaniaonmzamiloon8627 mijadala 2 yoote imefanyika watu wa maulidi wameshindwa kutetea maneno ya mufti mtunzi wa kitabu Cha barzanji ikakwama kwa Majazi+ Munkar teteni maneno ya barzanji wafuasi huku wanapata tabu wataka kujua wanyama waliongea wachana na story za tawheed tuko kwa maulidi maliza haya mwanzo
@abubakarmuhammadsaid3244 Жыл бұрын
@@tanzaniaonmzamiloon8627 Vigawanyo vya tawhiyd vyote ni aya za Quraani. Maulidi hayajui Swahaaba wala imaam shafi
@tanzaniaonmzamiloon8627 Жыл бұрын
@@abubakarmuhammadsaid3244 nitajie hiyo Aya iliyogawanya tawhidi
@tanzaniaonmzamiloon8627 Жыл бұрын
@@abubakarmuhammadsaid3244 Aya Gani iliyosungumzia kuwa aqsam tawhidi ni 3 tawhidi liububiya , tawhidi liuluhiya na tawhidi liasmai waswifati Aya Gani nyie ni sawa na mungu baba ,mungu mwana na mungu roho mtakatifu Kuna tafauti Gani hapo
@pavillioncry5241 Жыл бұрын
Bachu hebu mripuwe huyu sufiiiii
@kombomakame9541 Жыл бұрын
Bachu SI bwege mwenzako TU. Kama Bachu anaweza kulipuwa mbona alikimbia Mombasa kwa swali dogo. Jiheshimu uheshimiwr.
@mwanakheri2880 Жыл бұрын
Maulid tutasoma mpaka kufa
@alifasalim7397 Жыл бұрын
An tukisema tufanye aliyoyafanya mtu na tuache ambayo hakuyafanya kila kitu Kiko wazi
@jumabeja956 Жыл бұрын
Vizuri sana lakini ndo bidaa hiyo hiyo utakufa nayo lakin mtume alifunga alipo zaliwa
@canoksancomprehensivelearn7182 Жыл бұрын
Someni mpaka kufa na watoto wenu wataiona haki wataifuata tumeyaona hayabwala haitadhuru kwetu bali mtakuwa mwanogewa na pilau ninyi lakin mtakosa thawabu na juu ya hapo maji katika hodhi la mtume S.A.W siku ya qiyaama watu wa bidaa hawatakunywa watafukuzwa na malaika. Na mnajua pilau inatia kiu sana halafu maji mnanyimwa mnaambiwa ninyi.mlifanya uharibifu katika dini. Hadith sahihi juu ya hili akhui. Kwa hiyo pigeni pilau sana na mpate kiu kali ila maji ya kunywa hamtapewa na sio mie bali hadithi sahihi ya mtume S.A.W
@mwanakheri2880 Жыл бұрын
@@canoksancomprehensivelearn7182 kumbe Mtume na Malaika washawapa habari tutakufa na kiu hatupati maji. Nendeni mkapige magoti msome msiropokwe ovyo