Uko sahihi kabisa. Una busara na umefikiri sana kabla ya kusema. Hongera sana na hongereni watu wote mkoani.
@mwili_wa_ndoto_yangu2 күн бұрын
Songwe nitakuja kutembea huko ni watu wenye akili nyie sio mabumunda❤❤
@STEVENKAJUMBA2 күн бұрын
Mabumunda
@ululutraders39912 күн бұрын
Hongera sana mwenyekiti wa mkoa wa Songwe
@MariamDilla2 күн бұрын
Tunampenda na kumpa respect hon. E. Mbowe lkn Ombi la wa-tz wengi mh. Mbowe abaki mzee wa heshima wa CHADEMA. Imani yetu mh. Mbowe atapuuza wapambe na kumwachia kiongozi kijana ktk nafasi ya m/kiti mh. TUNDU A LISSU... Majira haya na wkt huu ni muda wa Mh. Tundu A Lissu kuongoza CHADEMA km Taasisi kubwa. People's POWER under Tundu A Lissu ❤❤🔥🔥🔥🔥🔥🔥💐💐💐💐💐🙏🙏🙏🙏👏👏👏👏👏
@robertphilip3852 күн бұрын
Mboe Sasa inatosha 20 inatosha akae pembeni
@DavidCurtis-e4cКүн бұрын
Unajua kiukweli mi mtu wa ushabiki wa vyama ila je ingekuwa raisi wa tanzania amekaa hivyo madarakani si angeitwa diktekta? Basi tufanye haiwezi ikawa je mbowe hajaona tu kama amechoka uwezo na ubunifu unahitaji kiongozi mpya? Miaka ishirini mtoto anazaliwa mpaka anaoa, me nadhani haikuwa na busara kugombea alipaswa kuachia kiti kuliko kwenda kwenye uchaguzi sio sawa ni fedheha kama atashindwa uchaguzi, angefanya tu kama alivyofanya baba wa taifa baada yaongoza nchi kwa miaka 25 na baada ya hapo aliachia mwenyewe bila kushurutishwa na alipoulizwa akasema uwezo wake wa kufikiri na maarifa inahitaji akili mpya ili andeleze alipoishia yeye, ni busara zaidi kuachia kuliko kuleta mkanganyiko maana baada ya hapo chadema itagawanyika vipande vipande mno, wana wa chadema mnalipinga hili ila tuone baada ya hapa nini kitafuata, wakina mdee wote watakuwa upande wa mbowe na wengineo wengi. Swala la kuchukua nchi mzee sahau CCM imejipamga mbo mno, chadema haina siri za ndani kila kitu wanakitoa nje je mkipewa nchi itakuwaje?
@robertphilip385Күн бұрын
@@DavidCurtis-e4c kweli kabisa mboe nimroho halafu watanzania tunapenda sana kusifiwa na machawa Sasa hi niaibu sana kwenye demokrasia ya chadema
@NgombaleNgombale2 күн бұрын
Hapo viongozi wangu mumeniwakilisha vizuri,niyeye tu ,tunduma tunamtaka tundu lisu
@FrankKwanama-lo6fj2 күн бұрын
Tunamtaka Lisu uenyekiti chadema aamshe popo chama kipate vibe mpya kuelekea uchaguzi 2025
@Carenhabibu2 күн бұрын
Daaaahi nimeipenda mpaka machozi yananitoka
@robertphilip3852 күн бұрын
Sana asee
@mathewilomo83452 күн бұрын
Mwenyekiti wa mkoa wa Songwe unaweza wewe. Mungu akubariki sana
@faizaannassir25682 күн бұрын
Sijawahi kuchangia pesa chadema kakin lisu akishinda natoa mchango wapesa tena sio kidogo. Kama ww m tz unmtaka lisu na ukotayari kukichangia chama cha chadema pesa gonga like
@giztony20092 күн бұрын
Kuma la mama lakoo
@givembwilo1412 күн бұрын
huna kwa kupeleka hizo pesa,peleka kwa yatima tu
@Ramadhanilawoga2 күн бұрын
Poleni
@ChalesLukumaiКүн бұрын
Acha kura iamue.
@ChalesLukumaiКүн бұрын
@@giztony2009siyo afya. Hata huyo unaemshabikia keshakwambia hataki matusi.
@josephmalumemalume87492 күн бұрын
Mkoa wa songwe big up kwenu kanda ya serengeti tupo nanyi
@MariamDilla2 күн бұрын
Wajumbe mkiwaàngusha watanzania wanaowaunga mkono CHADEMA inawafia mikononi mwenu na dhambi iyo itawatafuna.... Watu ndio msingi wa chama... Tundu A Lissu afaa kwa ss kuwa M/kiti wa CHADEMA
@MwakaHappyКүн бұрын
Asante shikaamo kaka asante tunamtaka lisu sisi niwanachama
@ValeriJummane2 күн бұрын
Lissuuuuuuuu Daima
@IsraelErnest2 күн бұрын
Mwenyekiti wa songwe kunywa soda kwa bili yangu
@mathiaszakaria70522 күн бұрын
Niko na Lissu mwanzo mwisho
@FrediMtaze2 күн бұрын
🇹🇿🇹🇿hongereni sòngwè mungu awa bariki lissu ni mtu sa hihi🙏🙏
@ValeriJummane2 күн бұрын
LISU Daima nyuma mwiko
@petercley62302 күн бұрын
Tunaenda na Lissu
@LinusMbwiga2 күн бұрын
mwenyekiti nakupongeza sana kweli chama chetu kimekuwa na tunajitambua
@StivinPasco2 күн бұрын
Lisu mbelee songwe kula maua yenu🎉🎉🎉🎉
@simbarajabu41572 күн бұрын
Asanteni sana,mbowe akitoa pesa kuleni lakini kula mpeni lisu, lisu tumpe uwenyekiti
@kayombogregory82412 күн бұрын
Ni vizuri jambo TV mkitembelea majimbo yote kupata maoni ya wapiga kura tena wafike hadi majimbo ya kanda ya kaskazini hususan jimbo la Arusha. Mie nakubali mabadiliko, wewe jee??
@SemeKenani2 күн бұрын
Lisu anafaa sana
@MUSAMWAMBENE2 күн бұрын
Sana sana nikiwa mkowa wa songwe tundu lisu tumaini letu
@mwili_wa_ndoto_yangu2 күн бұрын
Hongeren Songwe tuko pamoja makamanda
@admaumsengi42302 күн бұрын
Lisu oyeeeee wewe ndiyo Imani yetu
@JuliethNyoni2 күн бұрын
Safi mwenyekiti lisu juu
@hppelias2 күн бұрын
Lissu ni sahihi sana;Mbowe akubali tu!
@YohanaPetro-xv9tp2 күн бұрын
Wale Walisu Tujuane
@charlesmtangi90462 күн бұрын
Makamanda people's mwenyez mungu atatusimamia lisu ndio chaguo letu Kwa Sasa
@hellenngwilla5502 күн бұрын
Lissu oyeeeeeee
@hectorgold1472 күн бұрын
asante musemakweli
@EdwardMasalu-fk5se2 күн бұрын
Mbowe apumzike,asome nyakati,muda huu,ni lisu
@maikojohn-xr5cg2 күн бұрын
Umejipambanua vizuri sana mheshimiwa Mwenyekiti
@malackedson77062 күн бұрын
Tuletee lisu
@uredmwasembo85792 күн бұрын
Yani ameongoza miaka 20 lakini bado anataka tena s uloho wa madalaka kwa Sasa tunamwitaji lisu pekee uyo mwengine mlamba asali apumzike aendelee kueshimika
@givembwilo1412 күн бұрын
hamna pigeni kura,mnapenda mteremko ila chadema
@bonnymakuke3153Күн бұрын
Yeye alipigiwa kura na nani!! @@givembwilo141
@benardbwakitare52372 күн бұрын
Niko mara tuko pamoja mwenyekiti mbowe anatakiwa abaki na heshima yake ila lizu asonge mbele kabisa tunamuombea Mungu amtetee
Mwenyekiti mkoa wa Momba bwana Ayubu Akilikubwa bonge la kiongozi 👊🏾👊🏾❤❤
@elishuaisaya41762 күн бұрын
Aachie ngazi anaenda kuiba kura na uchaguzi huru na WA haki hautokuwepo kiufupi mzee anaenda kuaibika vibaya mno
@JuliusTluway2 күн бұрын
Mungu akutie nguvu na afya m/kiti
@mfwimiekayuki86922 күн бұрын
Wajumbe wawe waangalifu sana waelewe wanachama wanamtaka nani kwa uhai wa CHADEMA.
@HaruniMrema2 күн бұрын
Tunaomba watu wamshawishi ndg John heche au Lema akachukue form Ya umakam wa Mwenyekiti bara. Lissu + Heche,Lema Itakuwa cdm Ya moto sana .
@samsonsamwel8782Күн бұрын
Heche noma Zaid y lema,cpend Yule daral ashnde ❤
@philipongenzatv2 күн бұрын
Mwendo na lisu
@ALLYCHISUNGAКүн бұрын
Nimekuelewa isa mwenyekiti wa mukowa sogwe✌️✌️✌️✌️
@mamudusaid-qk1bu2 күн бұрын
Tunaenda na lisu mbowe tunakupenda na tutakuheshimu sana muachie lisu mzee wangu
@joshuamtinangi69582 күн бұрын
Mwalimu Nyerere alitaka kutokuendelea kugombea Urais mwaka 1985. Yeye ametangulia kwenye Haki lakini Jina laki bado linaishi. Ili Jina la Mbowe liendelee kuishi aache kugombea Kwa sababu hata akishinda atakiua Chama.
@shadyrich2143Күн бұрын
Tena akawastua rafiki zake Mugabe na Kaunda wakamjibu hatuwez kuwaachia,madogo, nchi kizembe, Nyerere akasema sawa, baada ya miaka kupita walipata fedhea tu kaunda alikiba hadi kamasi (Mbowe)
@elishajohn96602 күн бұрын
Tuleteeni lisu hapo mtaponya majeraha yetu
@SulePonda2 күн бұрын
Well said
@StephanoGwelino2 күн бұрын
Lissu anatufaa wakina wenje wanamdanganya mbowe wenze saizi ni rafiki wa karibu na abdul
@jumamagoma17432 күн бұрын
Mpo.sawa.makamanda.
@mangukasasali76142 күн бұрын
Niko Tabora mbowe akijitahidi sana huku ana asilimia 10 tu
@dennisungonella2052 күн бұрын
Kiukweli mabadiliko ni muhimu sana
@kaguripenina63Күн бұрын
Umempa nyingi na msipo jitambua sisi wananchi tunataka nn mmeisha tabora
@dennisungonella2052 күн бұрын
Kiukweli mbowe analazimisha kwa sasa, lissu ndo kipenzi Cha watu kwa sasa.
@adelinelyaruu30362 күн бұрын
Naona atajiondoa siku moja kabla
@NyikaKayunКүн бұрын
Hongera kwa hotuba nzuri mwenyekit wa mkoa lakini tar 20 January atafanya busara ya kujitoa kwny kugombea
@charlesmurimi7652 күн бұрын
Hawa ndio wanaume na wanawake wa nguvu
@KidomaRamadhani-q2e2 күн бұрын
Kwa wapendwa chama hayo Mawazo mubashara asante mkuu
@DavidKaguluКүн бұрын
Lissuu the great
@ndimuelias61832 күн бұрын
Songwe hoyeeeee njoo uchukue jero baba
@RastaMany-p8x2 күн бұрын
Mbowe hana chama muda utazema apa mzarendo2 lisu🇹🇿✌️❤️🚣♀️🚣♀️🚣♀️🚣♀️🚣♀️🚣♀️🚣♀️🚣♀️🚣♀️🚣♀️
@laninjeje82902 күн бұрын
CHADEMA ni ya Mbowe na marehemu Edwin mtei, anzisheni chama chenu ili tundu Lisu awe mwenyekiti 😂😂
@GodfreyMwamaso2 күн бұрын
CCM hawataki kumsikia Tundu Lisu wanamuogopa sana wanaujua moto wake wanamtaka Mbowe kwasababu anahongeka akiona pesa
@melch30972 күн бұрын
Watanzania ni wajinga siwahi kuona, mnaamini sana kinachotoka mdomoni eti kwasababu anajulikana, lisu amehongwa sana mara ya mwisho alikua anambembeleza mtoto wa rais amsaidie kupata hela yake, na wengine wa ccm
@JumanneKigori-fm1nn2 күн бұрын
Mtoto wa Raisi unamfahamu @@melch3097
@sanoureyaliwadoakaroyo16962 күн бұрын
Ngoja Nicheke Kwanz Kumbe Ww Ndio Mpumbavu wa Mwisho Tena Taira kabisa 😅😅😅 Zile Anazo Zidai Lisu Kumwambia Abduli Kuwa Nenda Kwa Mama Ako Mwambie Anipe pesa zangu Ni Pesa Zake Kisheria Kabisa Ndani Ya Katiba Ya Nchii Hii Ya Tanzanian 😂😂😂 Kma Ujui Sema Ufahamisgweee Mbuzi Wwe 😂😂😂 pesa Zile ni Haki Yake kabisa na sio Rushwa Wala kuomba Ni Wajibu wake lisu kupewa 😂😂😂😂@@melch3097
@gidongailo7174Күн бұрын
Acha uwongo bhana, Wachagga hawapendi pesa kiasi cha kuhongeka😂😂
@ndimuelias61832 күн бұрын
Heche ingia ulingoni kaka tunakuhitaji
@dennisungonella2052 күн бұрын
Heche achukue fomu ya makamu mwenyekiti
@JosephSaidJikolo2 күн бұрын
Mko vizuri
@khalidikaghembe17752 күн бұрын
Tunamtaka lisu kwishaaa
@InnocentJohn-l5y2 күн бұрын
Mbowe atumie busala zake tu chama sio mali yake amekitumikia chama kwa weledi mkubwa sana lakini atakishusha sana chama hiki akiwa kama kupe
@goodluckkamaghe3871Күн бұрын
Hongera sana mwenyekiti kwa hotuba nzuri na kumuunga mkono Lisu.
@teresiagama35782 күн бұрын
Kuleni rushwa yao lakini kura kwa lisu pls!!!!!!!!!!
@MsabahAli-d6u2 күн бұрын
Kiukwel Umma unamtaka Lissu ningekua Mboe ningempa nafasi maana umma ndio chama sio wajumbe wa kamati kuu
@chezariboy2 күн бұрын
Wanaomshabikia mbowe hawamtakii heshima nzuri bali wanataka aje kudhalilika vibaya sana wakati heshima yake kwasasa bado ipo kuubwa sana.
@gidongailo7174Күн бұрын
Umeandika vema😂
@ValerianshadКүн бұрын
Tundu lissu juu🎉🎉🎉🎉🎉
@amonindelwa4Күн бұрын
Hongera sana kaka upo
@philipongenzatv2 күн бұрын
Asante mwenyekiti
@Fhfhfhfhf782 күн бұрын
Songwe Oyeeee 🙏🤙
@alexmwamtobe38502 күн бұрын
Ushauri wangu kwenu viongozi wangi ninaowaheshimu sana, kama lengo ni kupata maoni ya wanachama basi itisheni mikutano kwenye maeneo yenu huko ndiko mtapata maoni yaliyosahihi
@FimbombayaKimbwiКүн бұрын
Hongereni Sana tupo pamoja,ingependeza Sana na mikoa mingine ambayo haijatoa kauli ifanye hivyo.
@davidkawesa3594Күн бұрын
Upepo kwa Mzee ushagoma Busara Mbowe
@JosephMasima-u1z2 күн бұрын
Hongela kwamengi uliyofanya Ndani yachama pumzika kwaupendo mwema tunakupenda Sana kwasa lisu
@josephmagige874Күн бұрын
Uko vizuri mwenyekiti
@thomaskiponda60792 күн бұрын
❤❤MIMI nilishampa KURA YA URAIS TUNDU LISSU MTANIAMBIA NINI? I LOVE TUNDU ANTIPAS lissu❤❤
@annakapolondo77712 күн бұрын
Ni raha sana kusmamia msimamo Wako bila kuogopa wala kuficha jambo! Nimependa sana wana chadema wa songwe! Mm ni ccm lakin ni mtanzania kama walivo wana chadema! Democracy is the catalyst for development
@HaruniMrema2 күн бұрын
Mh. Tundu lissu Ndie Mgombea wa Mioyo Ya Watanzania wanamageuzi.ANATOSHA.
@samsonwilson37622 күн бұрын
Nyumbani tuna akili kunywa peps nalipa tundu ameweka wazi madalraka yarudi kwa wananchi na pesa zao waamue wao kuzifanyia kazi za chama tundu lissu ni yeyeeeeeeee tu 2025
@WatsonMwaigaga-uy5jkКүн бұрын
Hongereni na ndivyo ilivyo watu wengii wanamtaka LISU huo ndo ukwelii.
@Bboy-ek8vnКүн бұрын
Mbowe analeta mazoea
@PeterJonathan-c8k2 күн бұрын
asante MUNGU wa mbinguni kwa kumwangusha nkurunziza mbowe, songwe mnatushawish tuhamie huko
@JuliethNyoni2 күн бұрын
Lisu anashinda
@saimonisichimata85592 күн бұрын
songwe tumejipambanua safi sana
@saimonisichimata85592 күн бұрын
safi🎉
@stevensenghana15932 күн бұрын
😂😂😂😂ila haya maosha bora mimi nimeacha siasa asante sana Magufuri baba alinifanya niache kuwa chawa wa mtu
@deusdeditishengoma43352 күн бұрын
Safi Sana Songwe,Lissu kwa Sasa hivi ni wa muhimu kama Moyo kwenye mwili wa binadamu.Lissu oyeeeee
@maikojohn-xr5cg2 күн бұрын
Mwenyekiti wangu wa Mkoa nilikuwa sikuamini Kwa hili ninakukubali asilimia 1000
@elishamsoviet7159Күн бұрын
WATU WA SONGWE MNA VIONGOZIII MAKINI MNO MWENYE KITI WETU ANATAKA MABADILIKO UYU MWENYE KITI WA SONGWE BIG UP SANAAA NIKIJA SONGWE NITAKUJA KUMSALIMU
@abdullahmuhammadKambonaКүн бұрын
TUNAMWITAJI LISSU COME RAIN COME SHINE ✋✋
@RobinsonKadogoКүн бұрын
Safi sana tuko pamoja na tutashinda mungu yupo nasi
@NasaelManyaКүн бұрын
Hongera sana Wana Songwr
@roypeters98292 күн бұрын
Sawa...tumekuelewa mkuu....heko kwa lisuuu
@JailosJoseph-c4v13 сағат бұрын
Lissu anafaa uenyekiti wa chadema taifa pia mh Heche angefaa Zaid na zaid kugombea makamu mwenyekiti. Heche ni mtu mwenye uchungu na mabadiliko ya nchi💪💪