BAHARI INAKUJA NA HIDAYA MTAJUA HAJUI/BEBENI NYUMBA ZENU

  Рет қаралды 6,399

UNYAKUO TV.

UNYAKUO TV.

Күн бұрын

KARIBUNI WOTE KWENYE GROUP LA MAOMBI LIVE..
MAOMBI YA WHAT'S APP MEETING GROUP HILI AU MAOMBI HAYA YANAFANYIKA SIKU YA JUMAMOS PEKEE...
GROUP HILI LIMEANDALIWA KWAAJILI YA MAOMBI ONLINE TU NA KIONGOZI (ADMIN) PEKEE NDIO ATATUMA UJUMBE NA KUFUNGUA VOICE NOTE
________________________
KUSUDI LA WHAT'S APP MEETING, NI KUWAUNGANISHA WALIOMBALI. NA WAHITAJI WA IBADA ZA UNYAKUO,
Siku ya jumatano saa moja na nusu usiku, ibada fupi na mkutano. Jumamosi ibada live saa tatu asubuhi
chat.whatsapp....
LINK NI PUBLIC...
MICHANGO NA SADAKA. TUMIA NAMBA HIZI
+255686-448880 / +255765- 943 978
PROPHET MOSES RETURN AGAIN FROM TANZANIA
________________________________
GOD ACCEPTS YOU SO MUCH FOR RECEIVING THIS MESSAGE. KEEP SEARCHING MY BOOKS AND THERE IS A CONTINUING TESTIMONY FROM AWAY ABOUT THE KINGDOM OF GOD;
PROPHET BONIFACE VICTOR, IS A PROPHET FROM TANZANIA WHO RECEIVED THE GRACE OF GOD IN 2020. AND WAS TAKEN TO HEAVEN MORE THAN NINETY TIMES, AND STUDYED IN THE HEAVENLY BIBLE COLLEGE.
WHILE HE DOES DIFFERENT WORKS IN HEAVEN. INCLUDING CARRYING PEOPLE'S BLESSINGS AND BRINGING THEM TO THE WORLD. THEN HE WAS GIVEN A MESSAGE FROM THE LORD, REGARDING HIS RETURN. THE SECOND RETURN OF JESUS. IN THE YEAR 2666. AND THE END OF THE WORLD IN THE YEAR 2673.21
(DANIEL-12:6-7/11-12)
WITNESSING THE OPENING OF THE FOURTH SEAL IN 2021. {REVELATION-6:7-8} HE WAS GIVEN TO KNOW THE TIME OF THE END AND WARNINGS TO THE CHURCH.
THE PROPHET WHO ATE THE ROLL OF THE WORLD
THE PROPHET WHO FIGHTED THE SEVEN GODS OF THIS WORLD. IE THE DRAGON OF THE WORLD.
HE IS AN APOSTLE WHO SIT IN THE BELLY OF DEATH FOR FIVE DAYS AND OVERCOME DEATH AND HELL FOR TWO THOUSAND AND TWENTY TWO YEARS. AND GIVEN THE FLAG OF THE COUNTRY OF TANZANIA IN HEAVEN, AS A GIFT,
THE PROPHET WAS GIVEN A NEW NAME WHICH NO ONE KNEW,
THE PROPHET WAS GIVEN THE MORNING STAR. AFTER WINNING ALL. REVELATION-2; 17
THIS IS THE PROPHET BONIFACE IS AN OLD PROPHET, HE RETURNED TO THE WORLD FOR THE SECOND TIME WITH A SECRET NAME. AND ESTABLISHING THE CHURCH OF RAPTURE SERVICE TANZANIA.
THIS BOOK IS BELIEVED AND TRUE, IN EVERYTHING YOU WILL HEAR AND READ IN THIS BOOK. BECAUSE IT CAME FROM HEAVEN BY THE HAND OF GOD AND WAS PLANNED FOR THE PROPHET BONIFACE. THE PROPHET BONIFACE WAS ALSO GIVEN THE BOOK OF REVELATION AS A GIFT FROM HEAVEN; JULY -2020
THE PROPHET BONIFACE GETS A REWARD IN HEAVEN, A VICTORY MEDAL, ON MAY 17, 2023 AFTER BEING THE WINNER OF ALL. amen
THIS IS PROPHET BONIFACE IS AN OLD PROPHET,
THE ONE WHO RETURNED TO THE WORLD FOR THE SECOND TIME WITH A SECRET NAME IS THE PROPHET MUSA. WHO CAME THE SECOND TIME AND YOU ARE READING HIS MESSAGE, THIS. HIS NAME IS BONIFACE VICTOR.
DEUTELONOMY -34:10-12
10 Nor has a prophet risen in Israel like Moses, whom the Lord knew face to face;
11 in all the signs and all the wonders, which the LORD sent him to do in the land of Egypt, to Pharaoh, and to all his servants, and to all his land;
12 and in the hand of all power, again in all the great terror, which Moses did in the eyes of all Israel.
AND NOW PROPHET MOSES IS BACK AGAIN, TALKING TO GOD FACE TO FACE FROM TANZANIA.
MOSES IS THE PROPHET OF THE LAST TESTAMENT FROM TANZANIA 2666. HIS NAME IS BONIFACE VICTOR.
follow the book, get more information.
KZbin- UNYAKUO- TV
what's app +255686-44 88 80
Prophet of God - Boniface victor

Пікірлер: 146
@davidkilajaga8842
@davidkilajaga8842 4 ай бұрын
Tulio na Yesu Kristo Mungu Mkuu hatuna mashaka
@davidkilajaga8842
@davidkilajaga8842 4 ай бұрын
Tunae Yesu Kristo Mungu Mkuu mkombozi Wetu, Mtaalam wa ku badilisha mambo Alie ahidi kuwa Linda watu wake na mabaya yote
@doreenhallai2060
@doreenhallai2060 4 ай бұрын
Hawa wanatengeneza hayo mambo huko kuzimu sisi tunavo endelea kumwomba Mungu wa kweli anajibu wanaendelea kuaibika na tunatakiwa kumwomba Mungu baba siyo Musa jamani.
@janethmwihumbo1289
@janethmwihumbo1289 4 ай бұрын
Ujumbe wa Mungu mna Sema kirahisi eti kuzimu bila kuipiga hii nchi mtaendelae kumdharau Mungu,Mungu uliye juu na uteremke dhihaka ni Nyingi juu yako ,Ndomana Mungu Ali mtumia Nabii Eliya kufunga mvua ,hata ange mtuma malaika msinge Amini kizazi kilicho potoka ghadhabu ya Mungu ijeije tu
@FloraMponzi
@FloraMponzi 4 ай бұрын
Amen asante sana Yesu akubariki
@neemaevance80
@neemaevance80 4 ай бұрын
Mungu wa isrel usiye shindwa ukanene mema juu ya mabaya yote
@Rich-wo
@Rich-wo 4 ай бұрын
Tanzania ni nchi teule haitokaa iangamie CHANZO HALISI yupo hapaaa
@Ruiyakibwana-ld2qj
@Ruiyakibwana-ld2qj 4 ай бұрын
Imekuwa kubwa
@Dismasbccmiraclecenter-rv9qi
@Dismasbccmiraclecenter-rv9qi 4 ай бұрын
Amen Prophet the Man of GOD. Mwenye masikio na asikie
@anafikamugisha8834
@anafikamugisha8834 4 ай бұрын
Ngoja nikwambie Wewe,. Wewe umejiandaa kuchanganya watu,kifupi unapepeta wenye Imani Haba Kwanza unamtishia Nani abaki duniani kufanya Nini!?.kuna watu hawana muda wakujibizana nawewe. Wapo kutimiza hatima zao ktk Bwana Hata kama yatakuja Mimi sio nabii Ila uliyetumwaa na aliye kutuma wote Matahira.Hakuna nabii Wala Mtumishi wa MUNGU ambaye alikuja duniani akashindwa kutambumbua KAZI za watumishi wake alio waita yeye wakaokoa wengi wakasaidia wengi,wakafindisha wengi ktk bwana utokee uropoke utoporo. Kwanza huna adabu na walio jigharim kumtumikia wakati wewe kinda TU alafu utumwe kusaidia watu katika mihemuko yako TU.kinda mmoja TU.utaumbuka walio jikana tunajijua hatuogopagi kufa kufa kwetu nifaida.Ukiniuliza hata mia sina Ila ninayo Imani. Najua ninacho SEMA shetani alishashindwa.
@janethmwihumbo1289
@janethmwihumbo1289 4 ай бұрын
Hayo ni maneno yako tu hasira inatoka wapi,dharau zinatoka wap? Hayo haya mzuii Mungu kuiadhibu dunia
@marthaswai1185
@marthaswai1185 4 ай бұрын
​@@janethmwihumbo1289,ni wakati mzuri kuendelea kuombea mema nchi na ustawi wake.Kutisha watu sio mpango wa Mungu.Mungu ni wa Upendo.
@janethmwihumbo1289
@janethmwihumbo1289 4 ай бұрын
@@marthaswai1185 waombaji wa kuombea ustawi wa nchi wapo,lakini Mungu amechoka tupo kwenye miaka saba ya kuharibiwa kwa ulimwengu
@marthaswai1185
@marthaswai1185 4 ай бұрын
@@janethmwihumbo1289 Mungu ninayemtumikia mimi hajachoka ,labda wa kwako.Na hatachoka kamwe.
@marthaswai1185
@marthaswai1185 4 ай бұрын
@@janethmwihumbo1289Hakuna kuharibiwa kwa ulimwengu kamwe.Kutakuwepo na viashiria au dalili kuwa Yesu yu karibu kuja.Na yu karibu sana ,tena karibu mno kuja.Ndio maana ya vita,matetemeko, nja,magonjwa n.k
@mchjohnmasegese8193
@mchjohnmasegese8193 4 ай бұрын
USHINDWE KABISA KWA JINA LA YESU KRISTO KATIKA HAYO YOTE UNENAYO.
@janethmwihumbo1289
@janethmwihumbo1289 4 ай бұрын
Una mpinga Yesu anaye iadhibu dunia pole
@MussaEzekiel-jn8hj
@MussaEzekiel-jn8hj 4 ай бұрын
Msibabaishe watu wa Mungu msome matayo 24..........ndio mwisho wamaneno
@komandowainjiliyayesu
@komandowainjiliyayesu 4 ай бұрын
Hongera sana hapo Ndipo panakiini Cha darir zote
@Dismasbccmiraclecenter-rv9qi
@Dismasbccmiraclecenter-rv9qi 4 ай бұрын
Bado hujasema
@janethmwihumbo1289
@janethmwihumbo1289 4 ай бұрын
@@komandowainjiliyayesu mna simamia andiko pasipo lipasa ,komando wa injiri mnajipa vyeo vikubwa ,rohoni emte,
@godfreykasimba6187
@godfreykasimba6187 4 ай бұрын
Ameen prophet watu wanakudhihaki sana kama ilivyokuwa kwa Nuhu lkn mm ninakuamini sana
@MabelKaaya-hl2je
@MabelKaaya-hl2je 4 ай бұрын
SOMA BIBLIA
@davidlaiser8174
@davidlaiser8174 4 ай бұрын
Wewe ulipo unaona ni sehemu salama sanaa.Tubu sana Mungu hapangiwi au haombwi mabaya.Usidhani nchi kavu ndo salama sana.Omba Mungu isije ikatokea chumbani kwako tena chini yako bila kugusa familia yako.
@janethmwihumbo1289
@janethmwihumbo1289 4 ай бұрын
Kwa iyo una shindana na Mungu wewe?? Mungu atelemke mme zidi dhihaka bila kuipiga tz hamta geuka
@davidlaiser8174
@davidlaiser8174 4 ай бұрын
Anayeshindana na Mungu ni huyo sio mimi.Mimi najua kutubu na kumuomba Mungu tu.Sijui kuwatabiria watu mabaya.
@janethmwihumbo1289
@janethmwihumbo1289 4 ай бұрын
Ulipenda akutabirie pokea magari na makontena,,kasome habari za Yona,kasome habari za Nabii yeremia kasome habari za Nuhu na Ruthu,mda wa kutbiriwa pokea majumba kw Sasa umepitwa na wakati heri akuambiaye mbele Kuna hatari kuliko mnako farijiwa tu ili ujipange,Kama Bwana aishivo atelemke tu kejeri mmezidi kwa kweli
@davidlaiser8174
@davidlaiser8174 4 ай бұрын
@@janethmwihumbo1289 Mwenyenzi Mungu anasema kesheni huku mkiomba kwa maana hamjui muda wala saa atakakavyo kuja.Usiathirike kiimani katika hilo.Ukimuomba Mungu na ukilielewa hilo kifo cha aina yeyote ile,magari,utajiri wa aina yeyote ile hauwezi kuombea au kutafuta unaoita unabii wake.Bali utatafuta uzima wa milele.Amen! Unabii ni wewe binafsi kutubu na kukesha huku ukiomba kwasababu hakuna mtu yeyote aliyezaliwa na mwanamke hata malaika anayoijua hiyo siku.
@costamunuo5095
@costamunuo5095 4 ай бұрын
Mungu wa KWELI hatumii wapuuzi.
@janethmwihumbo1289
@janethmwihumbo1289 4 ай бұрын
Wewe nahisi ni Agenti wa kuzimu
@HappyPaul-nj9ri
@HappyPaul-nj9ri 4 ай бұрын
Ni kweli minilioneshwa mwaka Jana Mungu aponye dare salaam
@Werema3760
@Werema3760 4 ай бұрын
Ulioneshwa nn?
@doreenhallai2060
@doreenhallai2060 4 ай бұрын
Ulioneshwa Ili ukemee mpango wa shetani.
@PhilomenaStephern
@PhilomenaStephern 4 ай бұрын
MTUMISHI AKIONESHWA JAMBO LOLOTE BAYA,MAANA YAKE AMEPEWA NA UWEZO WA KUOMBEA KINYUME CHAKE. KWAHIYO MTUMISHI OMBEA HILO ULILOONESHWA.
@HappyPaul-nj9ri
@HappyPaul-nj9ri 4 ай бұрын
Niliona jiwe kubwa jeusi ikishuka kwa Kasi kwenye bahari alafu nikaona maji ya bahari yakachafuka means yakapaa juu nakuja kwenye makazi ya watu kwa kweli yalisababisha uharibifu mkubwa ,ndipo nikamuuliza Mungu nini nikaambiwa soma ufunuo sura ya Saba kweli majanga ni mengi mno kwa nyakati hizi tuombe sana maana hizi ni zama za mwisho kweli mwenye sikio asikie tu siyo muda wa kulumbana ni muda kutubu kujiandaa Yesu anarudi some I mathayo sura ya 24 Kila mara napewa na kitabu Cha danieli sura ya 12 ,wateule tuwe macho sana .
@HappyPaul-nj9ri
@HappyPaul-nj9ri 4 ай бұрын
Kwa kweli Mungu aturehemu ni mengi yanayokuja unakuja ukame wa ajabu hujawatokea hapa nhini subirini na jua litatiwa giza na nguvu ya mbingu itatikisika Kuna mambo mengi hata naogopa wakati mwingine Yesu ananitokae live mpaka naogopa sana pia tusipoomba sana Kuna vita niliona jeshi la Tanzania na jeshi ya jesi nyekundu walipigana WA Tanzania walipigwa Mungu na hata omba rehema misioni mabadiliko ,haya ya mafuriko nilioneshwa mwaka Jana mwezi wa Tisa Tena alinitokea live alisimama kwenye anga anasema tabiri hayo unayoyaona amefaa kanzu ya kujifu
@suziemichael4338
@suziemichael4338 4 ай бұрын
Kwa kija la Yesu it won’t happen
@drnow1528
@drnow1528 4 ай бұрын
Asante Musa wa Tongareni
@user-cg6iy2et7q
@user-cg6iy2et7q 4 ай бұрын
Sio tongalen. Endeleeni kujisahau hapa duniani. Jengeni manyumba. Magari. Fanyeni anasa. Yoote yataelea kamasamak.
@pennymahombo9528
@pennymahombo9528 4 ай бұрын
Hubiri wokovu,utakatifu toba na ondoleo la dhambi .
@janethmwihumbo1289
@janethmwihumbo1289 4 ай бұрын
Kwa iyo mabaya yanayo kujiria asiseme ,ndugu pole ,dhamiri zenu Zina washtaki
@neemazacharia2670
@neemazacharia2670 4 ай бұрын
Anza kuondoka wewe kwani waliokufa sindomwisho wao hata sisi kama mwisho umefika si basi jamani unapiga kelele kama nini jamani Mungu anatupenda kwanza .
@joannekesa1835
@joannekesa1835 4 ай бұрын
Amina amina nabii Musa 🇰🇪
@cecilortega9883
@cecilortega9883 4 ай бұрын
Amen Amen Amen
@user-nh1rx7lw7u
@user-nh1rx7lw7u 4 ай бұрын
Amina prophet
@user-fw8wm2xd8x
@user-fw8wm2xd8x 4 ай бұрын
Huna jipya we ni nabii mjinga kuliko wote unatisha watu wbadala kuwaambia watu ujumbe wa mungu. Kma yona watu wanasali si we TU uombaye lengo lako ni watu waje kanisani kwko ?wewe tu ndo umefika mwisho wa dahari mjinga sana watu wamwendee mungu si musa
@ebenezerchurchsupremetv9490
@ebenezerchurchsupremetv9490 4 ай бұрын
Anaenda kuaibika huyu muabudu miungu
@janethmwihumbo1289
@janethmwihumbo1289 4 ай бұрын
Pole kaka Mungu awafungue ufahamu mme fungwa unataka ujumbe unao upenda Mambo ya mebadirika kwa matusi haya Mungu atelemke Kama ilivyo kuwa kwa NABII Eliya mmezidi dharau
@annatraseas474
@annatraseas474 4 ай бұрын
Shalom mtu wa MUNGU! ulisema dar itaangamia mwezi wa nne kuelekea wa5, bado unasema mita 300 ni miezi mitatu imebaki! naomba unieleweshe hapa
@lisheyaroho2272
@lisheyaroho2272 4 ай бұрын
Hii hata Mimi imenichanganya.
@AnnaGreyson-zi8ww
@AnnaGreyson-zi8ww 4 ай бұрын
Nabii wewe utakuwa wapi
@ebenezerchurchsupremetv9490
@ebenezerchurchsupremetv9490 4 ай бұрын
Huyu ni mjanja sana Kila mwezi anaongeza miezi ili kuendelea kuwakamata wapumbavu wenziye
@user-gu2qq4op5t
@user-gu2qq4op5t 4 ай бұрын
Nyie badala muombe mnataka kuona Kwa macho kweli hivi mnajua hasira ya MUNGU nyie msiwe kama kipindi Cha Nuhu eeee MUNGU tunusuru na watoto wetu
@Toptenherbs
@Toptenherbs 4 ай бұрын
Hii sio ya Jana ni ya muda kidogo
@leahenockmrina5381
@leahenockmrina5381 4 ай бұрын
Amen
@user-tw6pk6vf4v
@user-tw6pk6vf4v 4 ай бұрын
Je mtumishi unaiamini uislam na kitabu chake nabii
@AgnesKalinga-if3uf
@AgnesKalinga-if3uf 4 ай бұрын
Mungu atukumbuke
@DogooHhayuma
@DogooHhayuma 4 ай бұрын
Tubaki kumwamini mungu cyo mwanadam
@user-mv6pj6hq3z
@user-mv6pj6hq3z 4 ай бұрын
Hayo maji hatamimi nimeyaona kwenye maono
@user-tt1nm9xs4n
@user-tt1nm9xs4n 4 ай бұрын
Wachina wana mungu wao
@leahmwagiru4999
@leahmwagiru4999 4 ай бұрын
Atuangamii yesu yupo atatutetea yeye simwingi wa asila
@simongwandu7392
@simongwandu7392 4 ай бұрын
Uchawi haitaweza
@jorambranchofmud6299
@jorambranchofmud6299 4 ай бұрын
Waa sijaamini mtumishi utabadilika
@unyakuotv.1391
@unyakuotv.1391 4 ай бұрын
Angaria tarehe ya hiyo video itakusaidia
@AllyhHassani
@AllyhHassani 4 ай бұрын
Wewe ni msanii tu unataka kiki potea mbele huko huna lolote tafuta riziki yako tu acha mambo ya Mungu.utajificha kwa uwongo wako
@nantaembanusurupia5674
@nantaembanusurupia5674 4 ай бұрын
Yameilenga Dar peke au yatasambaa dunia yote?
@nassormuhammedkhamis8060
@nassormuhammedkhamis8060 4 ай бұрын
Hakuna nabii tena ,wa mwisho ni Muhammad (SWA) wacha biashara na kupotosha watu
@joshuajohn2668
@joshuajohn2668 4 ай бұрын
Ni Bora mtume mwamposa sio mtume Mohammed alioa adi mtoto wa miaka 6 na mke wamtoto wake
@mustie5891
@mustie5891 4 ай бұрын
Mwanzo alisema mafuriko yanaanza mwezi 4, mara mwezi wa 5, sasa yanaanza miezi mitatu ijayo!. Hii ndio maana halisi ya manabii wa uongo!. This ma is delusional!
@ebenezerchurchsupremetv9490
@ebenezerchurchsupremetv9490 4 ай бұрын
😂😂😂😂 alijua atawwkamata wapumbavu na kweli wanamsikiliza. Watu hawarudii kusikiliza zile jumbe zake zilizotangulia ili wamkamate
@MichaelMathew-j3f
@MichaelMathew-j3f 4 ай бұрын
Tutaona.
@hemalamsalabaduniani.3653
@hemalamsalabaduniani.3653 4 ай бұрын
Kuna wakati mtu siku zake zikiisha,huona kama mwisho wa DUNIA,hata sikushangai twende kaz
@janethmwihumbo1289
@janethmwihumbo1289 4 ай бұрын
Kabisa hema la msalaba lakini alicho beba huyu hamjui ,kazi ipo,kwa iyo kwenye hema Hilo huwa hamuombi, mbona watu Wana ingia kwenye maombi na Mungu ana wafunulia,kaeni kimwili hivyo hivyo,na Hilo hema tupo saa mbaya,hamjui nyakati na majira
@yakobosahani7347
@yakobosahani7347 4 ай бұрын
Sadaka kwa ajili ya nini wakati dar itafunikwa na maji??? Au Hela haitafunikwa???
@janethmwihumbo1289
@janethmwihumbo1289 4 ай бұрын
Katoe bar,na kwa wapiga ramli au kwenye mizimu,kwenye matambiko ,haja kulazimisha Kama huko mnatoa iweje kwa Mungu maneno mengiii
@selemanimlingi9853
@selemanimlingi9853 4 ай бұрын
Huyu anatakiwa kukamatwa amewatia hofu watu muda mrefu, serikali mnaona tu, huyu NI muongo analeta taharuki kwa watu, nabii muongo Sana.
@Dismasbccmiraclecenter-rv9qi
@Dismasbccmiraclecenter-rv9qi 4 ай бұрын
Bado hujasema🤔
@user-je2cr9su8q
@user-je2cr9su8q 4 ай бұрын
Kwa hiyo ni mwezi wa nane?
@bibletv9818
@bibletv9818 4 ай бұрын
Poleni mnaoamini haya. Mtumishi mmoja alisema Mrema atakuwa Rais na asipokuwa anaacha uaskofu. Mimi nilisema, haitatokea, niliokuwa karibu nao wakanipinga, lakini Mrema hakuwa na wala yeye hakuacha uaskofu. Mtumishi mwingine alisema nyuki watavamia ofisi za serikali, nilipopinga, nilitukanwa, lakini haikuwa. Jambo hili haliko sawa. Nipingeni lakini baada ya miezi mitatu mnitafute ili mthibitishe hili. Kama unataka nikupe namba yangu ili usipate taabu kunitafuta, au nikuthibitishie haya niliyoyasema, nijulishe. Je, mnajua maana ya dahali? Sasa maji yanatokaje dahali!
@janethmwihumbo1289
@janethmwihumbo1289 4 ай бұрын
Kwa iyo unaoanisha unabii wa hapa nahao hao wote tuliwasikiliza hata huyo chinolo aliye Sema kuhusu nyuki,,usitumie akiri muombe Mungu akufunulie jitahidi kuwa Muombaji ,
@bibletv9818
@bibletv9818 4 ай бұрын
@@janethmwihumbo1289 Siyo suala la uombaji mama. Vuta subira kisha hakikisha unanitafuta siku usipoyaona hayo yote. Kama una oni au suala la ziada, karibu tena.
@daudiasajilemwambata6150
@daudiasajilemwambata6150 2 ай бұрын
@@janethmwihumbo1289: Mwezi wa tano umepita, halijatokea lolote ukisoma kumbukumbu la Torati ni wazi huyu mtumishi wako ni nabii wa uongo, fungua macho usipotee gizani, Neno la Mungu ndo kila kitu, unabii huu ni wa uongo.
@ebenezerchurchsupremetv9490
@ebenezerchurchsupremetv9490 4 ай бұрын
Mapepo tupu hakuna kitu kama hicho,mita 300 ni viwanja vitatu vya mpira kiasi ambacho hata dakika 10 haziki. MUNGU WETU NI MOTO ULAO. We unapandia juu kila siku hiki kimbunga kimepiga maeneo mengi,Mombasa kenya, Comoro, Zanzibar,Lindi na maeneo mengi ya Dunia.
@InjiliTz
@InjiliTz 4 ай бұрын
Hii video ya muda sana
@jorambranchofmud6299
@jorambranchofmud6299 4 ай бұрын
Kumaanisha aliirekord kitambo na amepost leo sababu mimi sielewi mwezi wa tano umefika tena anasema miezi tatu simebaki
@InjiliTz
@InjiliTz 4 ай бұрын
@@jorambranchofmud6299 Alishaipost Labda Anakumbushia tu Alishaipost mda sana
@user-je2cr9su8q
@user-je2cr9su8q 4 ай бұрын
Na manabii wengine wamesema uchaguzi mwakani utakuwepo kama kawaida sasa Dar ikiangamia inamaana hakutakuwa na uchaguzi au ?
@Dismasbccmiraclecenter-rv9qi
@Dismasbccmiraclecenter-rv9qi 4 ай бұрын
Bado hujasema
@pennymahombo9528
@pennymahombo9528 4 ай бұрын
MUNGU alisema kwamba atakuja nabii mfano wa Musa asiyemsikiliza litatakwa kwake,Akaja YESU kuhitimisha unabii Kumb 18:15-20,Mt 17:1-5,Huyo Musa mwingine yuko wapi katika maandiko?
@asteriashios1852
@asteriashios1852 4 ай бұрын
Hivi wee ni WA wapi? Maana km nimenuna nikikuona nasikia kucheka saaana Tena ushindwe ktk jina la yesu ahaa wee ni mluguru au? Aisee unachana mbavu za watu bhana mungu ana upendo na watu wake tutaona bc km itafunikwa AA wapi wapi wewe
@bonifasiemanueli21
@bonifasiemanueli21 4 ай бұрын
Huyu ndiye Ajenti wa shetani 'nabii wa uwongo
@jacobmwankenja5466
@jacobmwankenja5466 4 ай бұрын
Unaponiacha hoi mpaka nisiamini unabii wako ni pale unasema eti watu wauze maeneo yao kama ambavyo wewe tayari umeuza, sasa huoni kama unabii wako unajichanganya? Utamuuziaje mwenzio eneo ambalo unajua halitakuwepo? Wewe ni nabii au mpigaji?
@janethmwihumbo1289
@janethmwihumbo1289 4 ай бұрын
Alivyo uza aliwaambia nauza kwa sababu dar itaangamia ,Hawa kuamini wakanunua alikuwa muwazi ,kabisa ,ghadhabu na hasira ya Mungu iko pale pale,kaeni kimwili hivyo hivyo saa mbaya hizi
@daudiasajilemwambata6150
@daudiasajilemwambata6150 2 ай бұрын
@@janethmwihumbo1289:Manabii wa kweli wa Mungu hawakuwa wanabadilisha tarehe na kusema mambo kwa mitego, endelea kudanganywa kuna siku utaelewa, ila Mungu akusaidie usiwe umechelewa…………..
@user-tt1nm9xs4n
@user-tt1nm9xs4n 4 ай бұрын
Yaache yaje yatanikuta
@devissyprian1526
@devissyprian1526 4 ай бұрын
kimbunga kishaisha hamna tena bahari kuja dar
@bonifasiemanueli21
@bonifasiemanueli21 4 ай бұрын
ila kiukweli Duniani kuna mengi sawasawa na Bahalini ambako kuna Papa na Nyangumi hawapendi kuiona Meli yetu Bahalini,eti huyu naye ni nabii hivi shetan kamtowa wapi huyu wakala wakke,
@jovituskamugisha6530
@jovituskamugisha6530 4 ай бұрын
Hivi huyu Makenzi bado yupo tu???
@komandowainjiliyayesu
@komandowainjiliyayesu 4 ай бұрын
Kiini Cha injili ni ujiyo wa Yesu kristo mara ya pili Mathayo 10:7 Nakuenenda kwenu ubilini ufalme wa MUNGU umekaribia napia kabla ya ujio wake lazima matukio yatokee maana yalisha tabiliwa
@Dismasbccmiraclecenter-rv9qi
@Dismasbccmiraclecenter-rv9qi 4 ай бұрын
Bado hujasema endelea tu kubwabwaja
@komandowainjiliyayesu
@komandowainjiliyayesu 4 ай бұрын
@@Dismasbccmiraclecenter-rv9qi umarufu mnaota futa mtakuja kuutapika mathayo 7:15
@jorambranchofmud6299
@jorambranchofmud6299 4 ай бұрын
Vipi kuhusu walioama wakijua ni mwezi wa tano
@user-je2cr9su8q
@user-je2cr9su8q 4 ай бұрын
Kuna nabii wa Arusha kasema MUNGU ameacha kushusha mvua sababu kuna mtu aliomba toba na MUNGU amesikia sasa tuelewe lipi
@Dismasbccmiraclecenter-rv9qi
@Dismasbccmiraclecenter-rv9qi 4 ай бұрын
Utajua hujui
@user-ix5jq9ks6q
@user-ix5jq9ks6q 4 ай бұрын
Hidaya imekula kona😂😂😂
@lilianhoney5744
@lilianhoney5744 4 ай бұрын
Kuna pale ulisemaga muda wa mwakasege umeisha kama miaka miwili imepita ili kuwaje Tena
@onlyyoujesus8232
@onlyyoujesus8232 4 ай бұрын
Tuje kwako, twende kwa Yesu?!!
@janethmwihumbo1289
@janethmwihumbo1289 4 ай бұрын
YESU ana ishi ndani ya mtu ,hakuna Mtu asiye na kiongozi wa imani
@kanyeshahigirimana5686
@kanyeshahigirimana5686 3 ай бұрын
​nyoko wewe na huyo nabii wako wa uongo anayekulala na unayejitahidi kumtetea kila siku
@esperancekwizera8634
@esperancekwizera8634 4 ай бұрын
Nihatari
@MirajiHemedi
@MirajiHemedi 4 ай бұрын
Mwisho wa dahari .yaani mwisho wa nyakati.
@KIJITO-CHA-UTAKASO_HQ98.
@KIJITO-CHA-UTAKASO_HQ98. 4 ай бұрын
Hakuna maji mzee....
@Dismasbccmiraclecenter-rv9qi
@Dismasbccmiraclecenter-rv9qi 4 ай бұрын
Bado hujasema🤔
@janethmwihumbo1289
@janethmwihumbo1289 4 ай бұрын
Kweli kanisa limelala kijito Cha utakaso lakini huoni Giza mbele,huoni shida,huoni maangamizi,huoni mapinduzi ya kanisa ,amkeni sasa
@user-mn7zq7cd5t
@user-mn7zq7cd5t 4 ай бұрын
Miezi mitatu tena si ulisema mwezi wa tano mwanzoni, haaaa wewe ni muongo bwana jamani huyu tumuache, mi nikajua ndiyo hiyo.hidaya kumbe sio
@janethmwihumbo1289
@janethmwihumbo1289 4 ай бұрын
Hiyo clip ni ya nyuma kairudia kuweka angalia tarh na mwaka
@adoniemanuel908
@adoniemanuel908 4 ай бұрын
mdogo wake nabii tito sema yeye hajajichubua
@ebenezerchurchsupremetv9490
@ebenezerchurchsupremetv9490 4 ай бұрын
Alisema mwezi wa nne ikapita akasema mwezi wa tano anaona unaenda kuisha anasema Tena miezi mitatu
@rahma6189
@rahma6189 4 ай бұрын
Unaniboa wewe baba mafundisho yako nifeki sijui umetokea wapi
@janethmwihumbo1289
@janethmwihumbo1289 4 ай бұрын
Huyo ni Roho wa Giza ulipenda asemaje
@lilyrose7983
@lilyrose7983 4 ай бұрын
​@@janethmwihumbo1289Roho wa Giza tena?😳 We mbona kigeugeu?
@FatnaMfinanga
@FatnaMfinanga 4 ай бұрын
Wenifala narudiatena hunaakili unapotosha watu
@manfordmkinga4080
@manfordmkinga4080 4 ай бұрын
Mwongo ulisema mwezi wa 4 ila hakuna ,nabii wa uongo
@kanyeshahigirimana5686
@kanyeshahigirimana5686 3 ай бұрын
halina mpya li mbwa hili achaneni nalo ni liongo
@user-ts9lp4rm9j
@user-ts9lp4rm9j 4 ай бұрын
Itabidi akapimwe dodoma
@KIJITO-CHA-UTAKASO_HQ98.
@KIJITO-CHA-UTAKASO_HQ98. 4 ай бұрын
Rudi magotini ....acha kupotosha watu
@MageMollel-wb7ms
@MageMollel-wb7ms 4 ай бұрын
Sasa kama wewe ni mtumishi wa Mungu, unangagana maji yanaiujaaa? Wewe umetumwa na shetani kututisha? Ungekuwa ni Mungu amekutuma ungeombq rehema.ww no
@janethmwihumbo1289
@janethmwihumbo1289 4 ай бұрын
Kipi Cha Nuhu,waomba rehema walikuwepo,kipindi Cha Ruthu waomba rehema walikuwepo,kipindi Cha Eliya kufunga mvua waomba rehema walikuwepo hata Sasa husikii huko na huko wanaomba rehema,lakini Mungu akitaka atukuzwe lazima atikise dunia bila hivyo mtaendelae kumdhihaki tu Tena wanaoongoza kwa dharau wanao Sali kuliko wapagani hasira ya Mungu iko pale pale ni siku moja tu itabaki historia
@bonifasiemanueli21
@bonifasiemanueli21 4 ай бұрын
Ktk watumishi fake ambao siwapendi na huyu yumo xala hafai,
@kanyeshahigirimana5686
@kanyeshahigirimana5686 3 ай бұрын
Weww ni mimi mtupu
@bonifasiemanueli21
@bonifasiemanueli21 3 ай бұрын
@@kanyeshahigirimana5686 balikiwa Kwa kuliona hili
@user-tt1nm9xs4n
@user-tt1nm9xs4n 4 ай бұрын
Wewe ufi huna akil wewe
@janethmwihumbo1289
@janethmwihumbo1289 4 ай бұрын
Ipo siku ,Tena inakuja utatamani maneno yako uya rudishe kinywani mwako
@user-tt1nm9xs4n
@user-tt1nm9xs4n 4 ай бұрын
Hauna lolote
@user-tt1nm9xs4n
@user-tt1nm9xs4n 4 ай бұрын
Wadanganyen wapumbavu wenzenu
@kanyeshahigirimana5686
@kanyeshahigirimana5686 3 ай бұрын
​na kweli wawadanganye wapumbavu wenzao huyu nae lofa tu kila siku linaongeza siku limbwa hili
@janethmwihumbo1289
@janethmwihumbo1289 3 ай бұрын
@@kanyeshahigirimana5686 kwa kauli hizo,ukifa Leo utaenda Mbingu ya Nani??utubu ,ACHA kibuli Cha uzima
MAJIBU YA MUNGU DARESALAAM/
12:14
UNYAKUO TV.
Рет қаралды 689
HII NI KIBOKO YA WAHABI
19:33
ZINJIBAR TV
Рет қаралды 7 М.
WILL IT BURST?
00:31
Natan por Aí
Рет қаралды 44 МЛН
У ГОРДЕЯ ПОЖАР в ОФИСЕ!
01:01
Дима Гордей
Рет қаралды 7 МЛН
Sigma Girl Pizza #funny #memes #comedy
00:14
CRAZY GREAPA
Рет қаралды 1,9 МЛН
NABII ALYETABILI NYUMBA KUBOMOKA MBAGALA SÀKO,KILUNGULE
6:01
UNABII || FARASI WAWILI KUELEKEA UCHAGUZI 2025 || Prophet Edmound Mystic
9:19
Prophet Edmound Mystic
Рет қаралды 7 М.
EXCLUSIVE: AMANI KARUME ATEMA CHECHE, AFUNGUKA SAKATA LA BANDARI
25:11
Daily News Digital
Рет қаралды 64 М.