NDOTO YA KUTISHA, MAMA AANIKA MAMBO MAGUMU NA MAZITO, UCHAGUZI 2025/ AWATAJA MAWAZIRI HAWA

  Рет қаралды 33,673

Uhondo TV

Uhondo TV

Ай бұрын

#UhondoTV #Uhondo

Пікірлер: 288
@user-my6iz5tg7x
@user-my6iz5tg7x 27 күн бұрын
Mama, usicheze na jina la mungu. Uongo ni jambo mbaya sana. Wewe unajaribu kuidanganya nchi nzima . Unaweza kupata laana kubwa. Usifanya mzaha na jina la Mungu. Waziri wa kilimo anapambana na wezi wanao wahangaisha wakulima. Kama umetumwa na hao wezi, basi omba msamaha kwa mola wako.
@jofreyfungo1112
@jofreyfungo1112 26 күн бұрын
Anapambana wakati wakati ananyang'anya Haki ya wakulima kushiriki anatengeza miradi ili apate 10%Kwa wakandalasi.Amenyang'anya Maonyesho ya wakulima anaweka yawe ya wizara Nako anataka kupiga Dili kwenye viwanja vya wakulima.(Amka)
@user-my6iz5tg7x
@user-my6iz5tg7x 26 күн бұрын
@@jofreyfungo1112 Jambo la kusikitisha Ni kwamba Sisi waafrika wengi wetu Ni watu ambao si wazalendo. Tuna wivu Na chuki ndani zetu. Mwanasiasa akijaribu kufanya kazi yake vizuri, anasingiziwa mambo za uongo za kumharibia Jina.
@galluskanenge4898
@galluskanenge4898 Ай бұрын
Huyu ana mahangaiko ya maisha yake na nafsi yake ina matundu ,yanayotokana maisha ya dhambi alizotenda , uchungu wa kuzaa hewa hupatikana katika ndoto baada ya kurudi kulala wakati jua limechomoza 😊
@FatmaChezo
@FatmaChezo Ай бұрын
Uwiii😅😅😅
@AMENMUSHI-wt4li
@AMENMUSHI-wt4li 27 күн бұрын
Mmm
@NasibuNasoro-ew3vw
@NasibuNasoro-ew3vw 27 күн бұрын
Mama uza sura upate foroaz wakutosha vta vipo urus na kongo we huja pigana vta mama ugesema unapata majaribu ya shetani sio vita ungekua unavita na wanadam basi we utakua upo ktk kundi la shetanie
@josephatjordan2150
@josephatjordan2150 Ай бұрын
UKIWA MTU WA KUTII SAUTI YA MUNGU BASI UTASHUHUDIA MENGI SANA!!SAUTI HII NI YA WENYE IMANI TU
@antoinekatembo8520
@antoinekatembo8520 28 күн бұрын
Kabisa kabisa!!
@edisonemmanuel-
@edisonemmanuel- 24 күн бұрын
Umenena ni vile tu hofu ya Mungu inakufanya ushuhudie au lah kama ni uongo atajua mwenyewe
@kitejamayunga7645
@kitejamayunga7645 29 күн бұрын
Duh! Tulikuwa na mfalme zumaridi, Sasa huyu ni malaika mwenye watoto. God heal this generation
@ayshasaid1547
@ayshasaid1547 27 күн бұрын
😂😂😂😂😂nimecheka kwa saut
@ramadhanimtetu3656
@ramadhanimtetu3656 29 күн бұрын
Uzuri wa hii Nchi bana Hufi kwa Msongo Mawazo Ukiona Umezongwa tu Weka Bando lako kisha ingia Yu tube
@awatifalghanim1106
@awatifalghanim1106 28 күн бұрын
😂😂😂😂😂😂 lakini utakufa kwa njaa .
@rilekijuma4024
@rilekijuma4024 27 күн бұрын
Hakuna sehemu yoyote kwenye biblia inasema sauti ya watu ni sauti ya Mungu hii ni kauli ya kifalsafa
@danielkanso
@danielkanso Ай бұрын
Mimi hata sipingi zaidi sana na muomba Mungu atuhepushe na yaliyo mabaya na uliyoyazungunza hata sikatai kwa sababu na jua kazi ya Mungu
@user-yz1xq8xo8s
@user-yz1xq8xo8s 20 күн бұрын
Maneno ya Imani huwa Yana puuzwa lakini mwisho wake ni huu Nuhu aliambiwa na mungu atengeneze safina watu wenye nguvu na dharau wakambeza sana lakini kilichotokea nisikwambie Mimi Bali jifunze.wote waliangamia
@georgempogomi7329
@georgempogomi7329 Ай бұрын
Ww ni wa maana Sana Mungu atakutumia Sana kwa kuwa umekubali na kutii mema yanakuja barikiwa sana
@dassustephen731
@dassustephen731 Ай бұрын
Apelekwe Milembe hospital akapimwe akili.It is a bunch of nonsense of the highest level.
@JacobJoel-cb3ni
@JacobJoel-cb3ni 27 күн бұрын
Mmhh sasa unasema Wew Ni Angel Mara kiumbe Zaidi sasa mume wako ana wasiwasi wakati umesema Ni Angry😃😃ila yote Kwa yote Mungu wangu WA mbinguni atukuzwe
@naturelle1097
@naturelle1097 Ай бұрын
Mbona kila mtu anampinga huyu dada..what if she is right na yote anayoongelea yanatokea
@rilekijuma4024
@rilekijuma4024 27 күн бұрын
Unabii unapimwa kwa neno la Mungu hapo hakuna neno la Mungu mwanzo mwisho ni porojo
@talents7934
@talents7934 23 күн бұрын
Hata Mwenyezi Mungu hapa nahisi Kaangua kicheko😂 Nahisi huyo Mungu uliyongea Nae ni Wa chuga Ngarenaro
@arnoldkimaro407
@arnoldkimaro407 29 күн бұрын
---Taifa linaombewa na viongozi 12:42 wa dini kila siku pamoja na viongozi wake hivyo tunaamini kuwa uchaguzi ujao utakuwa huru na wa amani. Nchi haiwezi kuongozwa kwa watu kuoteshwa matukio au kusema ni maagizo ya mungu kwani maagizo ya mwenyenzi nungu yako kwenye vitabu vya dini ie Bibilia na misaafu pamoja na machapisho mengine .
@lindajohansen9220
@lindajohansen9220 Ай бұрын
Hata jiwe kuu la pembeni waashi walilikataa! Pengine ni ujumbe wa Mungu kweli
@awatifalghanim1106
@awatifalghanim1106 28 күн бұрын
😂😂😂😂
@elsonkingtz4506
@elsonkingtz4506 Ай бұрын
Huyo bila Shaka katumwa na peoples power
@nelsonnyamle
@nelsonnyamle Ай бұрын
Hata wewe uliyeandika sms hii utakuwa umetumwa na ccm
@gallusmbaga5522
@gallusmbaga5522 Ай бұрын
Hahahahaha
@fredymwakalunde5544
@fredymwakalunde5544 Ай бұрын
amina mama Mungu aendelee kutenda
@KassimAlly-xp4dz
@KassimAlly-xp4dz 29 күн бұрын
Yani wakristo wepesi sn kudangqnywa
@JumannePangapanga
@JumannePangapanga 28 күн бұрын
Hahahaha mungu anakazi nyingi co kukaa kujadil viongoz huyu anafaa huyu hafai bila shaka umetumwa
@saluhilya8465
@saluhilya8465 Ай бұрын
Timiza wajibu wako uliotumwa na mungu atakayebeza atakutana na adhabu ya mung
@user-fl3yl4or3e
@user-fl3yl4or3e Ай бұрын
Sio tatizo lako bali nitatozo la kutojua Mungu ni wanamna gani mungu akujie wewe kabisa aongee mambo ya wizara kwanza muogope Mungu wacha kumfanya kama kitu cha mchezo
@gracekagoma3231
@gracekagoma3231 Ай бұрын
Huyu mama ni chizi tayari😅😅
@miltonjohn9779
@miltonjohn9779 Ай бұрын
Mungu akusamehe tu
@joycemshana4028
@joycemshana4028 29 күн бұрын
You cant joke...with this name...
@user-kz5en5tq2z
@user-kz5en5tq2z 29 күн бұрын
Cheka Leo kesho Italian, bora kukaa kimya!!
@awatifalghanim1106
@awatifalghanim1106 28 күн бұрын
😂😂😂😂
@user-fj4mj5gh3i
@user-fj4mj5gh3i 18 күн бұрын
Ww mama jitambuwe usimchezee mungu umetumwa na shetani .kwani makonda alichaguliwa na wananchi si aliteuliwa na raisi .kikwete je mama je. Mawaziri wake vipi .kikwete je.
@user-hq5qx1hu2x
@user-hq5qx1hu2x 29 күн бұрын
Hawezi kua raisi January yeye na Baba Yake wakafunge Kuhusu Makonda hapo umechemka unabii wako
@clemencelisonga8261
@clemencelisonga8261 Ай бұрын
Yesu akasema nitakapo kuja nitaiona Imani kweli
@anastazialushika
@anastazialushika Ай бұрын
Mungu hanaga maneno mengi ivo!Acha kutuuzia mbuzi kwenye gunia! Acha Arusha ipae kimataifa ww acha makonda ainyooshe iwe kama uraya! Makonda oyeeeeee
@JofreyZacharia-zz7dy
@JofreyZacharia-zz7dy Ай бұрын
Oyeeeee
@FatmaChezo
@FatmaChezo Ай бұрын
Oyeeeeee, Arusha ng'araaaa
@gemmamwajombe3169
@gemmamwajombe3169 18 күн бұрын
Usitukane nii kweli watu wanakufa hospitali za serikali hwana pesa umaskini ni hateri
@subirasimbeye5389
@subirasimbeye5389 Ай бұрын
Amen Woman of God
@emmiemmi3861
@emmiemmi3861 26 күн бұрын
Mmm pepo shindwa
@WeremaSagati-tk5di
@WeremaSagati-tk5di Ай бұрын
Ukweli kabisa
@BarackntabindiEmoro-bo1xp
@BarackntabindiEmoro-bo1xp Ай бұрын
Je mungu hakukwambia wamasai wanateseka mama awahulumie au tusimchangue kwa kua ata mungu hajamchagua huu ni kuvizia uteuzi make
@blandinamwarabu5025
@blandinamwarabu5025 Ай бұрын
😂😂😂😂😂😂
@rogerabdallah439
@rogerabdallah439 Ай бұрын
Kwailo bado anafikiria
@blasiustibwakawa6258
@blasiustibwakawa6258 23 күн бұрын
Kuwa makini rafiki yangu
@abidandastanmaliyatabu1373
@abidandastanmaliyatabu1373 21 күн бұрын
Yeye ni malaika au nimesikia vibaya
@blasiustibwakawa6258
@blasiustibwakawa6258 23 күн бұрын
Dah
@drpeter3760
@drpeter3760 Ай бұрын
Ok.
@jifunzekuhusuwewe7475
@jifunzekuhusuwewe7475 Ай бұрын
AMEN MUNGU ATUSAIDIE
@shamilaalhabsi909
@shamilaalhabsi909 Ай бұрын
Manshallah yaani mungu hakuingelee mambo mengine Ila ya viongozi wa serkal 😀😀😀😀huyu kweli uchizi unamuazia msifikiri walioko mahosptal ndo wendawazim hata ambao wapi nje na huyu mtangazaji kweli anarohoo ya kukaa kusikiliza upuuuzi wa mwendawazim
@sophiemsuya6507
@sophiemsuya6507 29 күн бұрын
Usishangae kuona Mungu akiongea na mtu usiyémdhania ukamdharau. Mungu aliongea na Nuhu, watu wakamcheka Sana Nuhu lakini gharika ilipokuja walimwamini kwa kuchelewa. Huyu ameoneshwa maono yake Sisi tuwe makini tu, Kama ni kweli tutaona matokeo. Hatuna haja ya kubeza au kutukana, tusije tukaaibika hapo baadaye. Cha muhimu ni kuliombea taifa ili Mungu awe kiongozi wetu.
@awatifalghanim1106
@awatifalghanim1106 28 күн бұрын
Nyiye wa Tanzania Bara Hamwishi vituko. Lakini mnawafurahisha walonuna 😂😂😂 na story zenu.
@stevensosipita
@stevensosipita 27 күн бұрын
IFIE IMANI YAKO ACHANA NA IMANI YA WATU WENGINE USHAURI TU😢😢
@omaryrjohn65
@omaryrjohn65 24 күн бұрын
Amen
@abuuramadhan8093
@abuuramadhan8093 28 күн бұрын
Nimeelewa leo kwann magufuli alibana midomo ya watu wenye midomo mirefu ka ma hii yan kama magufuli angekuepo huyu mama angekua ardhin chini ya udongo
@Optionxll_Playz1
@Optionxll_Playz1 Ай бұрын
Hahahahaha ,ni kwa nini watu wanakuwa na mawazo ya ajabu duniani hapa .
@emmosilver6039
@emmosilver6039 Ай бұрын
Unashangaa NI siku za mwisho shetani anawachanganya watu.
@nelsonnyamle
@nelsonnyamle Ай бұрын
Wewe tahila upo wapi?
@fredysiwale5413
@fredysiwale5413 Ай бұрын
Huyu mama ingefaa apigwe fimbo hadharani maana anachezea ujumbe wa Mungu ameota ndoto za mchana
@jeremiahmsangi8215
@jeremiahmsangi8215 Ай бұрын
Siku za mwisho,tuzipime Roho.Ufunuo WA YOHANA.Maono ya Geography kabisa haya
@stephenalmas4209
@stephenalmas4209 Ай бұрын
Amen, ila sasa ndg yng sauti ya Mwenyezi MUNGU huwa hai-hitaji nguvu nyingi sana kufika mahala pake, neno moja tu latosha na kuponya nafsi zetu, maana hilo neno ni takatifu, wala halihitaji maelezo ya ziada kujipambanua.
@KassimAlly-xp4dz
@KassimAlly-xp4dz 29 күн бұрын
Acheni utoto nyie wakristo kwann mnadanganyika fasta ivo
@ProsperMwakasungura
@ProsperMwakasungura Ай бұрын
Anamchezea MUNGU. We subiri kitakachompata. MUNGU na wizara wapi na wapi. Huyu anakichaa.
@user-gy5en6cy8o
@user-gy5en6cy8o 29 күн бұрын
Mungu anamwambia nenda kaonge na media😂😂😂😂😂😂😂😂bongo bongo kuhama itakua shida sana
@awatifalghanim1106
@awatifalghanim1106 28 күн бұрын
Hebu wacha wazimu wewe Bibi. Mungu atakuaibisha wewe kwa karibu na Ulimwengu utashuhudiya. Zanzibar kila miaka mitano inamwqgika damu na hakuna kichaa yoyote alitumwa na Mungu kusema maneno kama unayo yasema wewe. Na unasema uwongo pia Mungu atakuonesha very soon.
@user-lt1bi5nr1x
@user-lt1bi5nr1x Ай бұрын
Alafu unategemea nchi hii itaendelea yani mtu anakutana na mungu ana kwa ana na wanaongea. Mussa mwenyewe hakufanikiwa kumuona. Ata yesu hamjui mungu kwa kumuona. Yani wewe kama ni mke wangu nshakupa talaka. Maana wewe ni mwehu mungu na serikali wapi na wapi
@allyomary4230
@allyomary4230 Ай бұрын
Alhamdulillah ghala nighimatil islam.... Hii mambo ya Kufunuliwa eti ni MALAIKA, SIJUI ROHO MTAKATIFU na kutuletea Habari za KUTUMWA NA MUNGU, sijui kuona MAGOROFA MBINGUNI.... Huyu mama alee tu wanae aachane na hizi ndoto za ALINACHA.
@jumamkwanda8031
@jumamkwanda8031 29 күн бұрын
Uhuru wa kuongea,uhuru wa wana Habari,uhuru wa kujieleza,uhuru wa kuongea lolote utakalo ili mladi usivunje sheria za Nchi,uhuru wa kutoa Mao ni Malaika jamila ametoa maoni yake 😂😂😂
@JeremiahMwalukosya-eh5nf
@JeremiahMwalukosya-eh5nf Ай бұрын
Huyu dada nimhuni hakuna kitu kama icho hakuna unabii unaweza ukawa nje ya neno la Mungu tumewaona watu wengi watu wadizaini hio
@beatricemunisi7891
@beatricemunisi7891 29 күн бұрын
Neno
@user-cf4cs9qp1k
@user-cf4cs9qp1k 27 күн бұрын
Umetumwa wewe mama!!
@edwardpiniel9925
@edwardpiniel9925 Ай бұрын
Hii ndio tanzani sasa kwrli kila mtu yupo anajuwa mungu sana ila kivyangu mimi sisrmi kitu ilaa mmmh hii kama vile watu bana
@user-gh4mg2wn8y
@user-gh4mg2wn8y Ай бұрын
Wewe bi mkubwa acha njaa zitakuponzaa😂😂😂
@user-po9wi5lh1o
@user-po9wi5lh1o 29 күн бұрын
Katumwa na vibaraka umeona wapi selikali ikakubalika na watu wote mungu hayupo kwenye selikali zisizo na dini Tanzania hatutaki viongozi vibaraka wapinzani wote hao vibaraka
@mukesharamadhani4141
@mukesharamadhani4141 Ай бұрын
Aibu ,,mama ,,kalale tu
@rodsconehenry4249
@rodsconehenry4249 Ай бұрын
UNAJUA UKIACHA BANGE NDOTO FLANI FLANI ZINAKUJIA,,USIJALI UTAKUA SAWA TU
@zahrayusuf5985
@zahrayusuf5985 22 күн бұрын
Maskini tayari huyu she need help
@fkirumba1463
@fkirumba1463 29 күн бұрын
Nimekusikiliza sana mama nimegundua kwamba maneno hayo yanatoka kingine hata wewe unajua kwamba yanatoka kungine
@simonmwandu2214
@simonmwandu2214 29 күн бұрын
Yani ulivyosema tu umeona umbo kama la mwanaume na ukamuuliza ww ni nani akasema yey ni MUNGU, hapo tu ndo niuongo wa mchna peupe mungu afanani na kitu chochote
@abdulmagido5444
@abdulmagido5444 Ай бұрын
Mungu akaache kuchukizwa na kugeuzana jambo ambalo alighalakisha umma akakasilishwe na mimea mama akatumwa apeleke upepo kwa watu watakiwawo na watu wake tuwache kumchezea Mungu jamani.
@msenegalimtoi359
@msenegalimtoi359 29 күн бұрын
Maono yapogo ila usijiite malaika wala kutokewa na mwanaume fimbo hata ramli zakishirikina zinamaono ila utekelezaji ni wa mungu na wale vijana wa arusha pale hamna waizi msibague watu nchi sio yenu Waizi wapo arusha tena manyamera kweli Na bad waanafanya yao hao waizi ila sio vilevitoto vinajiita vididu yapo madudu sasa
@JosephatBonifasi
@JosephatBonifasi 26 күн бұрын
Wewesiomaraika"walamaraikawewe"mchawi"tu
@EmmanuelKitulla
@EmmanuelKitulla 29 күн бұрын
Ndoto ya kimapepo aseme shabaha yake halisi
@bonifacepetrokadawi4556
@bonifacepetrokadawi4556 16 күн бұрын
kwani ww umegundu kipi kibaya anachokifanyo huyo unaye muota kua akafanye kazi nyingine kuludisha haki zawatu ndohilo?
@user-gy5en6cy8o
@user-gy5en6cy8o 29 күн бұрын
Mungu amemtaja na makamba😂😂😂😂😂😂😂😂 huyu mama jaman apimwe akili haraka sana Ebu tuwambie mungu kuhusu chadema 😂
@emmanuelchacha6718
@emmanuelchacha6718 29 күн бұрын
Fala mmoja hv.
@IdrisMgumia
@IdrisMgumia 29 күн бұрын
Sasa ndio kipindi cha kumrejea Mwenyezi Mungu maana tumekua tukisikia malaika wa mbinguni , kumbe tulidanganywa malaika tunao hapahapa juu ya uso wa ardhi na siyeye tu yeye na wanae.
@sultansallah8772
@sultansallah8772 27 күн бұрын
Hawa nao kila siku MUNGU wao anawafunua na kuwavisha vazi jipya. Hahahahahhahahaba
@SalehHemed-zi1ek
@SalehHemed-zi1ek 24 күн бұрын
Acha ushirikina na mchawi
@rehemamsuya2263
@rehemamsuya2263 29 күн бұрын
Malaika Jamila umetisha asee,ila Kuwa makini Mungu sio wa kawaida hivyo hiyo ni ndoto umeota
@MohamedIbrahim-bn1gz
@MohamedIbrahim-bn1gz Ай бұрын
Uyo mungu wako mbona afanyi mwenyewe to akamaliza mambo 😀😀😀🤣🤣🤣wewe ni kizazi cha Ibrahim na umezaliwa Chikongola Mtwara uyo ibrahim anaijua kweli Mtwara 🤣😅😂 Naona na mimi ntaanza kuwa nabii haraka sana
@petermabula4492
@petermabula4492 Ай бұрын
Kuna nyakati itafika manabii wa uongo watakuwepo nyakat yenyew ndo haya ya naendelea
@bahiyalumelezy3016
@bahiyalumelezy3016 26 күн бұрын
Wazimu ncha saba
@fatimakabuei179
@fatimakabuei179 28 күн бұрын
We mama muongo Toka lini mungu akaongea na binaadamu wewe SI mkweli unachiki tu na uongozi huo na dini yako na siasa wap na wapi
@mohamedturanardan8871
@mohamedturanardan8871 Ай бұрын
mimi wa 1 nakwambia nakaidi huo ujumbe wa mungu. Kwasababu mungu wako ni shetani. Na wewe tunajua kama unawashwa
@tinosimon595
@tinosimon595 Ай бұрын
Weee mama ni wa dini gani?? Hivi Mungu katika watu wooote wa Tz, akutokee wewe. Na huyo nikikuangalia umetumwa kabsaaaa. Wewe umechaguliwa na Mungu mtu kuharibia wengine. Umelipwa na mtu usimdanganyie Mungu.
@lukasmaro4280
@lukasmaro4280 27 күн бұрын
Uso mkavuuuu ila MUNGU ananjia nyingi sanaa kama niyakweli basi ata raisi ajae basi utaleta habar zake maana Utakuwa umeshaoneswa
@tumainielmaruwa3148
@tumainielmaruwa3148 Ай бұрын
Msichukue poa this is true from in side under code xx
@awatifalghanim1106
@awatifalghanim1106 28 күн бұрын
No comments
@user-hq5qx1hu2x
@user-hq5qx1hu2x 29 күн бұрын
Hata Mimi NIna Jambo langu natafuta wandishi wa habari Niko kasulu vijijini huo ni unyaynyasaji
@AdaniBonfasi
@AdaniBonfasi Ай бұрын
Eeee jamani jamani
@maduhueddy5076
@maduhueddy5076 Ай бұрын
Umeota mwenyewe bila shahidi, huyo Mungu hatupi tu shahidi yako? Janja janjaaaaa tu
@user-lo3zv3sl8q
@user-lo3zv3sl8q Ай бұрын
Tumesha sahau utanganyika wewe mama wewe 😂😂😂
@shamilaalhabsi909
@shamilaalhabsi909 Ай бұрын
Watanzania mbona mnaoombea nchi yenu laana siku zimepita huyo hamor kamwita Allah ni mwanamke astaghafiruallah leo kaja sheetani mwingine mwingi mungu kamfananinsha na mwanaume na nyote ni waislam hujamila na hamor rudieni kwa Allah Allah hafananishishwa na kitu chochote hana mfano wwt huyo ni shetan kakaa kwenye vichwa vyenu
@gadyetheboss8738
@gadyetheboss8738 Ай бұрын
Malaika ametutokea youtube polen wenye viswaswadu hamja muona malaika wakike.😂😂😂😂😂
@johnmwanyika
@johnmwanyika Ай бұрын
Hahahahahahahah
@festokivuyo7121
@festokivuyo7121 Ай бұрын
Siku hizi kila mtu nabii wa miungu ya kabila na mizimu ya kwao ww nikichaa ndio inaaza hivo ama mwambie mzee akushughulikie usiku maana kuna tatizo
@user-hq5qx1hu2x
@user-hq5qx1hu2x 29 күн бұрын
Wewe sio maraika hakuna maraika anaitwa Jamila Mungu anasema magufuli aliyemua ni Nani
@mariaikombe7839
@mariaikombe7839 29 күн бұрын
Rafiki yake na zumaridi
@user-gy5en6cy8o
@user-gy5en6cy8o 29 күн бұрын
Hey we go😂😂😂😂😂 eti ni malakla Aise bongo sihami kabisa
@adellahtv4058
@adellahtv4058 Ай бұрын
Huyu apelekwe mirembe Jamani, yaani baada ya watoto kwenda shule badala ya kufanya kazi anaenda kulala Kweli wanaume tuna Shida.
@aymanhusseinaslam7266
@aymanhusseinaslam7266 29 күн бұрын
Wewe ni Tapeli mmoja
@gaspercharles2244
@gaspercharles2244 29 күн бұрын
Unatuchanganya mama ww unawezaje kujua huyo ni Mungu au ni Shetani? Maana hata Shetani huwa anajigeuza kuwa Mungu yaani ww hapo unahubiri siasa acha kutuaminisha vitu vya uwongo na hisia zako
@user-do1pq2uu1c
@user-do1pq2uu1c 29 күн бұрын
Labda atakua yule mungu mtu wa kenya aliejiita mungu itakua kakujia huyo kukwambia yaani hata biblia yenu inakanusha kua mungu hafananishwi na mtu isaya 41 1
@aishaalbalushaishabalush8291
@aishaalbalushaishabalush8291 28 күн бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂uwi jaman acheni kufuru kujiita malaika huku mnaziniana kilasiku
@BakariMugabo
@BakariMugabo Ай бұрын
Malaika ana watoto watatu du!
@mummytt1516
@mummytt1516 29 күн бұрын
Uyu aliongeya na shetani
@FatmaChezo
@FatmaChezo Ай бұрын
Tangu mwendazake aende tunaonamengi namungu akituwekahai tutaona vibweka zaidi😢😢😢😂
@kaombwechacha1526
@kaombwechacha1526 Ай бұрын
Mungu wangu Dunia mwisho kua na aibu bas we mama Malaika anazaa kweli mmmmmmm
@johnjoycemalusu4886
@johnjoycemalusu4886 Ай бұрын
Delusions and hallucinations
@NGOMELE1976
@NGOMELE1976 29 күн бұрын
Unachanganya mambo sasa. Ukitoa ujumbe wa Mungu usitoe yaliyo yako. Sasa yote yanapuuzwa!
@halimamasai2234
@halimamasai2234 Ай бұрын
We mama kwa Makonda shika adabu yako tena mkome kabisa huyu Makonda ndo tumaini la wengi
@benswai8099
@benswai8099 Ай бұрын
Stupid. Labda tumaini la chooni kwako
@williamreuben4866
@williamreuben4866 Ай бұрын
Mama unaweza ukawa unazungumza kupitia mungu,akusimamie
@KassimAlly-xp4dz
@KassimAlly-xp4dz 29 күн бұрын
Mpumbavu sn ww hivi nyie wakristo kwann mnachukulia mambo kirahisi rahisi sn
@user-fl9jn4wn9z
@user-fl9jn4wn9z 28 күн бұрын
Mungu Hana mfano na hafanani na chochote
Can you beat this impossible game?
00:13
LOL
Рет қаралды 49 МЛН
WHY DOES SHE HAVE A REWARD? #youtubecreatorawards
00:41
Levsob
Рет қаралды 39 МЛН
КАК СПРЯТАТЬ КОНФЕТЫ
00:59
123 GO! Shorts Russian
Рет қаралды 3,1 МЛН
[柴犬ASMR]曼玉Manyu&小白Bai 毛发护理Spa asmr
01:00
是曼玉不是鳗鱼
Рет қаралды 51 МЛН
USHUHUDA | Jinsi Vijana Hawa Walivyofanikiwa |  Rev. Dr. Eliona Kimaro
38:45
Rev. Dr. Eliona Kimaro
Рет қаралды 152 М.
Can you beat this impossible game?
00:13
LOL
Рет қаралды 49 МЛН