Usipite Bila kugonga like apa Kama na ww umesikiliza story book 👍👍
@zakayomashimba24645 жыл бұрын
pw
@simonpallangyo4295 жыл бұрын
Mungu atusaidie
@mariamkambuka45335 жыл бұрын
Shetani kweli
@peteromondi2306 Жыл бұрын
This story is always Good. Kama unapenda storybook gonga like.
@elastosichilima87693 жыл бұрын
Dunia niyamaajabu na yote Ayo nishetan sito kubali kumtumikia shetan ata siku moja namgeukia Yesu kuanzia leo Kama tuko pamoja like apo juu
@salhaalii907 Жыл бұрын
Hashuo lako nga'nde
@SalimSiele-s1c8 ай бұрын
I love Jesus.
@nahyaseif62264 жыл бұрын
Ety kalapozi anaskiliza story book yaan weye nakupenda bure walah Ilove story book unaweza Sana mashalah your are great
@alexezekia56095 жыл бұрын
Daaaah aiseee mungu tuepushe na majalibu ya huyu kiyumbe mwenye laana
@andrewjackson12885 жыл бұрын
😈😈😈😈😈
@mtoiwagodvinnyblue9039 Жыл бұрын
Abdullah unasaidia wengi wasio amini kuna shetani,,,give it up for Abdullah ❤
@letionnews3103 жыл бұрын
Kamwe shetan hatopata nafasi tena maishan mwetu.. Kama unaamini gonga like
@mariammanywele78396 ай бұрын
Allah ndio muwokozi wa kila kitu❤
@epifaniamponda44915 жыл бұрын
Ivi watu wa mung tujichange hafu twende 😂😂😂😂😂😂 ile tunaanza safari nimaombi mpaka tunafika hapo maana mungu hashindwi et
@visionstudios68045 жыл бұрын
Epifania mponda wewe
@hanskidd22905 жыл бұрын
Apo utakuwa una mjaribu mungu
@erickyaman5 жыл бұрын
Tufunge 7 kavu kwanza
@veebennie49945 жыл бұрын
Mungu hajaribiwi jamn hahaha
@aictv30625 жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂😅😅
@malaikakassim85395 жыл бұрын
*Jamaaa ANAJUWAAA KUELEZEA* BIG UP *WCB* Mmenikoshaaaa jamaaaa anajua
@hassangangikazungu40553 жыл бұрын
Sure bro
@vipenziwaallah58143 жыл бұрын
Hiyo sio bahari ya Shetani bali baada ya kukosa majibu kwamba nguvu za miujiza ya eneo hilo inatokana na nini Ndipo wakaamua kupaita bahari ya Shetani. Lakini ukweli eneo hilo ni sehemu linapokaa jeshi la Malaika wa Mungu wanaoitwa Ahlal Qaaf. Elimu hii inahitaji uwe Raasi'uuna fil i'lmu ili kujua mambo yaliyofichikana. Mwenyezi Mungu amelitaja eneo hilo katika Surat QAF (50) aya ya kwanza
@amrhusseni65963 жыл бұрын
Kama unatakaman mtiga alud wasafii like hapa
@samuelypaulo79815 жыл бұрын
Kama nawewe unapenda hii story book ya kutishaa ya barmuda triangle unatazama uku ukisoma comments gonga like hapa🐳🐋🚢🐯🐲😈😈👹💀💀👿👾
@Theanonymousgorgeous2545 жыл бұрын
Bermuda triangle is the correct name
@officialmoud58055 жыл бұрын
Samuely Paulo bhh
@geeasap8255 жыл бұрын
Absolutely
@alihamis86715 жыл бұрын
Doi
@mwantumhemed86254 жыл бұрын
wangapi wanataka Huyu jamaa aongezewe mshahara mara mbili alio nao tujuane hapa 😘😘😘🤤🤤
@nabiibrahim83033 жыл бұрын
Kama unaamini mungu atabaki Kuwa mungu daima like comment apa
@adrophfulgence44653 жыл бұрын
Israer marangwa
@moshially25433 жыл бұрын
Aongezewe tu
@nkeshimanavalery53105 жыл бұрын
Nihatari sana kama nikweli hiyo basi sisi watu weusi tume barikiwasana na mweyezi mungu kwakuwa nenolake bibilia ni nuru kwetu
@brendaisack24445 жыл бұрын
Aaamen
@sarayusufu2565 жыл бұрын
Nkeshimana Valery AMEN
@sallykariuki58913 жыл бұрын
Naamuru Malaika wa Mungu katika jina la Yesu Kristo hao mapepo yaangamizwe,yamwagiwe Moto wa Yesu....Kila mtu aseme Amen
@janekamau80152 жыл бұрын
Amen
@assamakange60612 жыл бұрын
Amen
@godriverbishangabaisha40982 жыл бұрын
Amen
@Bechou5422 жыл бұрын
Shetani hana kitu katika jina la mungu amen
@stuntjr38525 жыл бұрын
Dah juz cnlikatza pale shetwan akanambia wasafi nomaaa gonga like km n kwel
@yvonnegathigia5325 жыл бұрын
Kama umeskia "nyumbani kwenu watazika vitu vyako tu", gonga like tusonge pamoja
@mercyjerotich9784 Жыл бұрын
Amesema viatu
@marypaul65303 жыл бұрын
Kama unamuamini mung kuliko shetani like hapa
@fineskilatu54325 жыл бұрын
Kama unaamini shetani mjaa laana 😹😹😹 ni kivuruge gonga like👍👍👍
@Rogasiandesmond65 жыл бұрын
Duh, Bermuda Triangle kwa story hii, lazima uamini kuna Mungu duniani.
@juniormagesa4043 жыл бұрын
Daaa mung atusaiduw
@daudiseti50363 жыл бұрын
Ziwa mfu
@hemedjackson22615 жыл бұрын
Sindo mungu wa boss wenu wasafi diamond mwembieni kun maish baada ya kufa na Allah ndie mfalme dunian na akhera
@japhetfidelis26335 жыл бұрын
Tamu kwel asant wasafi
@southernnewstv49154 жыл бұрын
Story book ni hatariii salute
@mohamediamrani83994 жыл бұрын
kama unaamini Columbus aliponywa na Jesus twende apa like 🙏🙏🙏
@happykimaro56163 жыл бұрын
Jmn najua mengi kupitia the story book Wasafi Media asanteni kwa kutujulisha vityu kama hivi mtazidi kunguruma pande zote za tz💪💪
@qualitysoundband44985 жыл бұрын
Gonga like
@mikasatv15975 жыл бұрын
Wa kwanza Leo WAP like zangu
@malickmatabula16045 жыл бұрын
noma sana
@anitakipsang36764 жыл бұрын
Shetani ushindwe katika jina la Yesu
@kinglunda_best76165 жыл бұрын
Kama unapenda wasafi isife gonga like
@nestorynoel56123 жыл бұрын
Tunayaweza yote katika yy atutiaye nguvu like👈
@kelvinlupakisyo61174 жыл бұрын
Jaman naulza tyuu kwan cristopher colombus unajua alpitaje kama ujuh lke nkuxaidie
@youngmoney21215 жыл бұрын
Kama umpendi shetani gonga like
@beninternationaltv31365 жыл бұрын
Musimulizi mzuri kbs unamwelewa wizuri?daaah nakubali Voice
@diusoa16525 жыл бұрын
na
@faridahgodfrey81405 жыл бұрын
tchakala byiringiro yuko poa
@catarinandunguru77935 жыл бұрын
more
@catarinandunguru77935 жыл бұрын
mabopy
@leonardnewschannel29652 жыл бұрын
THE BLOOD OF JESUS IS VERY POWERFUL!VERY POWERFUL
@ruthmoraa-jw3qs Жыл бұрын
AMEN AMEN 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
@kimpaul224810 ай бұрын
mmaaaaaaaaaaaa
@danielamos17565 жыл бұрын
Xema unakipajii kaka nilickiliza Hata story yako ya Titanic hkooo vizuri mkuuu
Maji,Moto ,upepo ,radi ni nguvu za Mungu. Shetani mkuu wa historia ya uwongo.Hana nguvu zozote zaidi ya ushawishi wa uwongo.
@cyriacuskakira11015 жыл бұрын
Maswali yako ya mwishoni mwa simulizi nimeyapenda sana of course! Ahsante sana. Nami naanza kuifuatilia.
@prfgilbart79664 жыл бұрын
Mungu atusaidie sana
@mkwenyachristopher93105 жыл бұрын
Kama umekubar THE STORY BUKU ni mabingwa wa kusimulia Gonga like kwa pamojaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
@edwinelias85545 жыл бұрын
Km nawe ulishapita bahari ya shetani km me ukatoka hai km me tujuane😂😂
@lameckjackison88745 жыл бұрын
Au sio
@edwinfortunatus28215 жыл бұрын
😀😀😀
@octavinavictor70545 жыл бұрын
Ahaaaahaaaa... Inawezekn ulipita kwa miguu ndo maana ulipta salama
@milambohamisi7605 жыл бұрын
Kiukweli upo vizur mkuu
@silvesterasutsigranton63252 жыл бұрын
This story is amazing 💯✌️
@ramadhanimwanyumba29554 жыл бұрын
Mtiga ni msimulizi mzuri sana aisee big up bro
@wizzyodokileo73495 жыл бұрын
Allah is by our side
@johnsilima67894 жыл бұрын
Kama na wew umemmissss mtiga abdallah weka like yako hapa tujuane
@jeremiahantony51424 жыл бұрын
Daaaaaah shetani mtoa raana kakaa sehem anasikiliza the story book 😀😀😀 kama nawaona...we mtangazaji sio
@alexmichael89505 жыл бұрын
Akili kubwa.. the story book.. au ndiyo eneo shetan aliloangukia baada ya kutupwa dunian???
@jenifambafu26825 жыл бұрын
atakua aliangukia hapo unafkili jamani shetani nimbaya sana
@leeroyshijah74024 жыл бұрын
Musijali wanadamu mungu yupo isipokua atarudi kama amechelewa ila atafika alikua amekufa na aliuwawa na wanadamu Siku ile alirudi kama mwizi wanadamu wenye hawana roho yautu wakamchoma Kwa mwoto ndio maana mkalaaniwa mka tumiwa shetani duniani ila sijali yesu ashaa zaliwa yupo yuwaja
@juliusmwinga40514 жыл бұрын
Hata mimi nashuku hivyo.Na hio anga ni penye dunia aliingilia
@tztech91054 жыл бұрын
Mtangazaji uish maisha marefu mungu nimwema
@trishbea83044 жыл бұрын
Napenda tu vionjo vyake ila kwa kutangaza @jamal lit 🔥
@mathiashatson49135 жыл бұрын
Sawa sawa
@robertsindani51865 жыл бұрын
mtangazaji nimekukubali kupita maelezo kama na wewe unamkubali gonga lik
@JohnWamylonАй бұрын
Mungu nimukubwa 🙏 wa sisi wotee gonga like bx japo nimekuwa wamwisho 💪🙏✌️
@farhad42085 жыл бұрын
Asant sana wasafi kutujuza 👍🏼👍🏼👍🏼👍🏼
@CarolyneMwanzia-bp7vw9 күн бұрын
Pia wewe kama haujui nyumba ya shetani gonga like Hapo
@CarolyneMwanzia-bp7vw9 күн бұрын
You are the best ❤❤❤❤
@belindabenson22305 жыл бұрын
I love wasafi stories plz msiwe mnachelewesha big up mtangazaji
@ibraahidrisa40093 жыл бұрын
Hakika wew mkali bro
@otundokelvin55412 жыл бұрын
shetani ashindwe , katika jina la YESU
@cmonlinetv85025 жыл бұрын
Kama story book inakuhusu katika kuifatilia gusa like Apo kati
@yuusufnuur57525 жыл бұрын
Safi sana kama tuko pamoja shetan kivurugo like
@ayokoyzer56545 жыл бұрын
nimeipenda hii stor jaman
@bernardjenga37375 жыл бұрын
ndege za marekani zimepotea Dec 5 1945, inakuwaje msimulizi aseme ''shetani akaona hiyo haitoshi akawapa pigo lengine mwaka 1918 la kupotea meli''.....muda unaenda mbele haurudi nyuma
@allyally10774 жыл бұрын
Vice versa is true babaaa twendekazi ustafute makosa nivionjo tu vimezidiii
@iralibinismaili93464 жыл бұрын
Bernard Jenga ndege za marekani zimepotea de
@yonathanyona29265 жыл бұрын
we jamaa kawe.mchungaji utapata wafuasi wengi sana😂😂😂eti shetani hataki shobo
@frdieumercimayengejesustvo15345 жыл бұрын
Mimi mkongomani vraiment j'aime ta façon de parlé mon fr. Ubarikiwe
@richiedexter63025 жыл бұрын
Yani bongo hii hakuna anayeweza kusimulia vizuri na kisomi kama wewe. Nampa credit pia mwandishi wa story Na mwandaaji wa video.
@goodluckymartin3344 жыл бұрын
Jamaaniiii huyuuu mwandishiiiii nampaaaa big up brooohhhhh nakuaminiaaaaaaaa
@emmanuelgabagendi31695 жыл бұрын
Safi sana broo kaz nzuli sana mungu akulinde
@meshackhussein26165 жыл бұрын
Mwenye ako shule aandike insha....hasa watanzania andikeni insha alafu mnitumie..
@danmillianoh89505 жыл бұрын
Bermudaaaa triangle asante sanaa naichunguza sana io sehemu ilioundwa na Pourto Rico Florida , na Bermuda
@dastaog4 жыл бұрын
Naitwa castor cassian nawapongeza kwa kazi nzuli mnazofanya nmezipenda
@mwanaishambili2415 жыл бұрын
Likuwa napenda story kitambo hila hii imenifanya nickilize story tena thanks so much
@AlikeyKibuga-gn7ly Жыл бұрын
Kwakwer mungu yupo nimeamin mungu atusameh sis niwat Wenden zamb
@njilejrmchenya52095 жыл бұрын
Hahaha eti shetani kala pozi anaskiliza the story book
@ezekielpeter42005 жыл бұрын
Shetani mjinga amepigwa chato kakaa anasikiliza stor book
@hamisjuma41754 жыл бұрын
Mungu mkubuwa👏👏👏
@noelmwikeve62555 жыл бұрын
Jaman like zenu hii ni nomaa
@ukovizuriabel73613 жыл бұрын
Noma
@videlialabeka48995 жыл бұрын
Wasafi mko sawa Mwatuelimisha
@Nesphore15 жыл бұрын
Mtiga boy hizo sound effects balaa bwana acha tu 😂😂😂😂😂
@alleroStudio_pszone5 жыл бұрын
Mkuu upo vzur.. Saut kali video HD yan kiujumla THE STORY BOOK ni balaa... Kila mara naulizwa mpya...
@ismailferouz87815 жыл бұрын
Eti inawezakana shatani mjaa lana yupo sehemu kala pozi anasikiliza the stoor book
@papaanelly83545 жыл бұрын
Mtangazaji unatangaza vzuri sana. Mungu akubariki sana. Wala sichoki kukusikiliza.
@hazjay46715 жыл бұрын
"Shetani Mjaalana Kala Pozi Maeneo Flan Anackiliza The Story Book... "
@mariamhamisi31185 жыл бұрын
Haz Kiss hhhh
@octavinavictor70545 жыл бұрын
Ahaaaahaaa!!!
@fowafowafowafowa72323 жыл бұрын
Mwacheni Mungu aitwe Mungu
@fowafowafowafowa72323 жыл бұрын
Nampenda mungu zaidi ya kila kitu
@Papi.Al.Pacino5 жыл бұрын
Kweli shetani hana ghetto mzee ndo kavuruga mademu