BAHARIA ALIYEZAMIA MELI "DAR":NILIKOSA PUMZI/NAKATA ROHO/NILIINGIA MELI YA WAUAJI/WAGIRIKI..

  Рет қаралды 8,151

Dar24 Media

Dar24 Media

3 ай бұрын

Yahaya Mohamed, Akiwa mwenyekiti wa zone namba 08, katika soko la samaki la kimataifa la
feri, jijini Dar es salaam, anatuhadithia mkasa wa maisha yake katika kipindi cha MBANGA, akiwa ni mmoja wa wasafiri wachache waliyowahi kuzamia meli katika bandari ya Dare es salaam,
Mkasa wake unasisimua, kufundisha na kuelimisha, karibu katika mahojiano haya uweze kujifunza na kuburudika hii ni...MBANGAAA.....
Dar24 ni chanzo namba moja cha habari kwa watanzania mahali popote walipo duniani. Kwa habari za uhakika kutoka nyanja mbali mbali.
JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA DAR24 MEDIA: +255 679 979 786
⚫️ Email: dar24newsroom@gmail.com
⚫️ Website: www.dar24.com
⚫️ Instagram: @Dar24news
⚫️ Facebook: @dar24
⚫️ Twitter: @Dar24News
#mbanga #baharia #dupamdupange

Пікірлер: 26
@dar24media
@dar24media 3 ай бұрын
Kama una simulizi/mkasa ungependa kusimulia kwa jamii kwa lengo la kuelimisha na kufundisha, karibu wasiliana nasi kwa namba..#0653127761. kwa mahitaji ya nguo nzuri zenye chapa ya KABUNYAU wasiliana nasi kwa mawasiliano ya,...0764368113/0717066207/ 0653127761...Asante
@mashakaamiri7952
@mashakaamiri7952 3 ай бұрын
Muendelezo wake hii story ni lini..?
@homeofvideos8893
@homeofvideos8893 6 күн бұрын
Mzee kaongea nondo nzito nyingi za kimaisha. Nimejifunza mambo mengi mno kuhusu maisha, mzee ana busara sana
@user-dh1co2mp2i
@user-dh1co2mp2i 3 ай бұрын
Umetisha Sana baharia
@bakari-si1pw
@bakari-si1pw 3 ай бұрын
Safi mbanga kwa hewa🔥🔥🔥🔥
@kilogreekachananawatuwasio4054
@kilogreekachananawatuwasio4054 3 ай бұрын
Story mzuri sana baharia Og sema Apa mulipo Andika wagiriki wauaji 😂 waAfrica wote mabaharia meli za kigiriki ndio meli zetu sio wala watesaji nipo mpaka leo melini pereaus Apa 🇹🇿🇬🇷
@Ayyub_Semtawa
@Ayyub_Semtawa 3 ай бұрын
DAR24 mnafanya Kazii nzuri sana..hongereni sana...ila ushauri wangu kwa lengo la kuboresha mngefanya setting nzuri ya Camera angle..[kuwe na angle moja itakayo waonyesha wote wawili]
@SalumSleyoum-bi5is
@SalumSleyoum-bi5is 3 ай бұрын
Nakuerewa sana kaka
@GIVEN994
@GIVEN994 3 ай бұрын
Iaseeee ile Soundtrack yetu ndio inahitajika maana ndio imeifanya hiii iitwe mbanga na inacatch fillings flani hivi, kuendana na flow za wasimuliaji, so ile soundtrack irudi haraka iwezekekanavyo
@yohanakashinje1548
@yohanakashinje1548 3 ай бұрын
Noma sama
@alvinsafi2733
@alvinsafi2733 3 ай бұрын
I got story to tell...mimi msafiri niliesafiri mwaka 1995..kwa sasa nipo ughaibuni..nitakutafuta
@alhajitawakal6063
@alhajitawakal6063 3 ай бұрын
Big up captain 1995
@user-qf2mg1bu4u
@user-qf2mg1bu4u 3 ай бұрын
Yan mnaboa hizi beat hazituvutii sisi tunaitaka ile ilokuepo kitambo mnatukwaza sana
@themanofgod7562
@themanofgod7562 3 ай бұрын
Woza baharia
@user-df5mj2ft4w
@user-df5mj2ft4w 3 ай бұрын
Unajua kupiga moyo konde wew
@AshrafJuma-lx1kc
@AshrafJuma-lx1kc 2 ай бұрын
Dupange sauti ipo chini san kaka
@allymajaliwa362
@allymajaliwa362 2 ай бұрын
Dupa rudisheni Ile sound ya kitambo ilikua poa Sana
@Officalnaph
@Officalnaph 3 ай бұрын
leo umepatikana
@hashimrashid6380
@hashimrashid6380 3 ай бұрын
Mzee sauti km mwakinyo kidoog
@abdulazizbrek4980
@abdulazizbrek4980 3 ай бұрын
Wewe ndo utakwenda kujua mara ya kwanza kuwa panadol ni dawa ama sio dawa...ii sauti sato na juma5 inaring kwa akili
@theoriginals3240
@theoriginals3240 3 ай бұрын
Yule jamaa bala atupe stori anaaza kuzungumzia mapenzi.. yaa nimeangalia part one tu , zingine sijaangalia tena.. naanza upya na huyu baaria mwingine
@AssumaniNahishakiye-vq9ft
@AssumaniNahishakiye-vq9ft 3 ай бұрын
Mtafute baharia kaliope yuko kinondoni yeye aliondokea dar es salaam
@Officalnaph
@Officalnaph 3 ай бұрын
tayari
@SaeedKhalfan-ih6wk
@SaeedKhalfan-ih6wk 3 ай бұрын
Sku saba unakunya wapi na kojo 28:29
@alvinsafi2733
@alvinsafi2733 3 ай бұрын
Ukiwa makina hata haja kubwa hupati.. Muda wa kula hakuna hapo wewe unafikiria usikamatwe.. pia unajikaza ukatize mikondo ya bahari..mimi meli yangu ilikuwa winterstar limasol ya kigiriki
@Officalnaph
@Officalnaph 3 ай бұрын
Mzee umedata nini , tafadhali tupe story yako wewe kama wewe
路飞太过分了,自己游泳。#海贼王#路飞
00:28
路飞与唐舞桐
Рет қаралды 13 МЛН
Slow motion boy #shorts by Tsuriki Show
00:14
Tsuriki Show
Рет қаралды 8 МЛН
TAZAMA WASTAAFU  WALIVYOKUTANA MWANZA
7:02
WIDE NEWS TV
Рет қаралды 347
路飞太过分了,自己游泳。#海贼王#路飞
00:28
路飞与唐舞桐
Рет қаралды 13 МЛН