Bakwata yamng’oa Sheikh Alhad Dar, NAYE afunguka SIWEZI kusema sababu wataitaja wao

  Рет қаралды 14,570

Mwananchi Digital

Mwananchi Digital

Күн бұрын

Пікірлер: 30
@miangijunior4358
@miangijunior4358 Жыл бұрын
ALHAMDULILLAH Shukrani pia kwa Sheikh Kiongozi wetu Mufti Mkuu wa Tanzania Kwa hakika tunajivunia uwepo wako Sheikh wetu Congratulations Sheikh Walid Alhady ALLAH Akuongoze Katika Kututumikia Waislamu na Umma wote Kwa Ujumla ALLAHU Akujahalie uwadilifu Uliotukuka ALLAHMMA AMIIN AMIIN AMIIN THUMA AMIIN. Tunakupenda Kwa Ajili ya ALLAH Na tunakuhakikishia Tupo pamoja Sheikh.
@ashrafurwegoshora4227
@ashrafurwegoshora4227 Жыл бұрын
Kwakweli BAKWATA mmetutendea haki waislamu,Allah ampe busara,asiwe miongoni mwa Viongozi wanaopambana na wafuasi wao ila awe mwenye kuonyesha njia🙏🙏
@huseinabeid7535
@huseinabeid7535 Жыл бұрын
Shekh Walid anastahik hiyo nafas
@mirajintandu9787
@mirajintandu9787 Жыл бұрын
Hatar sana.. kila la kheir InshaAllah kwa sheikh Walid
@mohammadimagulu6423
@mohammadimagulu6423 Жыл бұрын
Maaashaaa Allaahu, kwamara yakwanza nimefrahishwa nabakwata
@fidelismwakanyamale6787
@fidelismwakanyamale6787 Жыл бұрын
Ndugu zangu waisilamu mumejichanganya sana. Matakwa ya mtu muna mzalilisha kiongozi wenu. Hakika nyiye mumemkosea sana Mwenyezi Mungu mume kosa busala. Inamana kumbe uisilamu ni wa ovyo ni dini ambayo inazalilisha watu wake aina utu kabisa. Huyo ni kiongozi je kwa muumini si ni shida
@athumanimkupi1254
@athumanimkupi1254 Жыл бұрын
Dunia ya mungu watu sikuhizi wafurahia veo hatari sana hii
@ndeedahahmad
@ndeedahahmad Жыл бұрын
Allah awalaani nyinyi wapumbavu na huyo mwaka wenu
@gesusgegangphray7689
@gesusgegangphray7689 Жыл бұрын
waislam wa leo mnapenda madalaka""?????kazi ya Allah imegeuka maisha tena ya utajili///namin uuislam sana ila ondoeni aibu jaman..kila kitu tv aibu
@hamadsheni8997
@hamadsheni8997 Жыл бұрын
Kwenda mlivyo mfukuza padri mpeleka kwnye magazeti?
@kassimjigge4727
@kassimjigge4727 Жыл бұрын
swadakta, huyu mtu aliufedhehesha uislamu
@saidmasoud9004
@saidmasoud9004 Жыл бұрын
Habari za kusikitisha sana kumwondoa sheikh wa mkoa.
@khadidjasuleiman8006
@khadidjasuleiman8006 Жыл бұрын
Ndio hivo Kila jambo nawakati walo rizki yake IPO kungine
@sizyametals7608
@sizyametals7608 Жыл бұрын
Kosa lake nini vumilia sheikh mungu hatakulipia
@cheupemwanga3326
@cheupemwanga3326 Жыл бұрын
@@sizyametals7608 Sheikh kosa lake kubwa amekuwa mtu wa kutoa matamko kwenye mitandao ya kijamii badala ya kufanya mambo yake kwa kufuata taratibu.... Hivi kulikuwa na haja gani ya kutangaza kuvunja ndoa ya mtu kwenye mitandao ???
@gulionigulioni3234
@gulionigulioni3234 Жыл бұрын
@@sizyametals7608 wewe huwezi kujua kosa coz hayakuhusu kabisaa, huyo sheikh ni shehena tu (shoga)
@zaidyabdalah3691
@zaidyabdalah3691 Жыл бұрын
Kwa makosa lukuki aliyokuwa nayo huyo Sheikh Mimi nadhani utenguzi huo ulichelewa saaaaaana, Mimi nilikuwa nashangaa kwa makosa aliyoyafanya nilikuwa sielewi kwanini bado yupo ktk kiti hicho cha u Sheikh wa mkoa, asipewe cheo chochote
@madrasatulmujtabahschool3676
@madrasatulmujtabahschool3676 Жыл бұрын
Huyo ni Bora alivyotenguliwa Mana hana sifa za kuwa shekhe kabisa ni migogoro tu tangu apewe hiyo nafasi
Don't look down on anyone#devil  #lilith  #funny  #shorts
00:12
Devil Lilith
Рет қаралды 46 МЛН
小蚂蚁会选到什么呢!#火影忍者 #佐助 #家庭
00:47
火影忍者一家
Рет қаралды 115 МЛН
Это было очень близко...
00:10
Аришнев
Рет қаралды 4,1 МЛН
MAOVU YA SHEIKH WA MKOA ALHADI MUSSA YAWEKWA HADHARANI
15:15
SHEIKH MWAIPOPO TV
Рет қаралды 18 М.
ALIYEMPIGA RISASI TUNDU LISSU ABAINIKA
37:08
SHEIKH MWAIPOPO TV
Рет қаралды 12 М.
Don't look down on anyone#devil  #lilith  #funny  #shorts
00:12
Devil Lilith
Рет қаралды 46 МЛН