Pole sana ndugu isaya mungu awe pamoja nawe kila wakati mwenyezi mungu atakupambania ushide kesi hyo ya mchogo kwa jina la yesu kirisito 💯💯
@rithaurassa2 ай бұрын
MUNGU akubariki kijana Usiogope kwakuwa Mungu wako yuko wew ni mtetez WAWANYONGE. Utashinda Amini Mungu yupo HATAKUACHA.
@wilfredmuruve33232 ай бұрын
Wakati wa Mungu ukifika hakuna awezaye kuzuiya.. TUBUNI MTAPATA REHEMA
@DavidMutiba-hr3vo2 ай бұрын
Nashangaa utendaji kama huu wa viongozi wakubwa wa jamii; wabunge na madiwani ,eti wanaogopa kufungua kesi dhidi ya serekali ili kutetea wananchi wao,badala yake wanatumia mlango wa nyuma ili isionekane kwamba ni wao ila ni kijana fulani mkereketwa wa kimasai. Udhaifu wa hali ya juu. Mbunge tulimwona akilia kwa hisia mbele ya wananchi wake kumbe msanii tu, mwoga wa kutupa. Hataki aonekane yuko kinyume na chama na serekali dhalimu? Hovyo kabisa.
@teller_julio2 ай бұрын
Tupo pamoja mze , imesha fika kwa wapigania haki
@simonchristian63192 ай бұрын
Mtateka wangapi ,mtauwa wangapi,kadili mnavyowaumiza ndo wanavyozidi kutokea wapya na hamuezi kushinda kwenye hii gemu,maana watu wapo na wako tayari kufa,one monster die another one come alive,
@CharlesMarupa2 ай бұрын
Mungu azidi kukulinda ndugu.
@christinamselle44902 ай бұрын
Msema kweli ni mpenzi wa MUNGU
@MakesenLekoyo2 ай бұрын
Mungu atakulinda sana Wala usijali man
@MickyMgeri2 ай бұрын
Serikali ishapaniki so kila njia wanayotumia inakuwa ni ujinga tu.
@davidmalogo71002 ай бұрын
Mcc wamechemka kuuza ngorongoro simchezo mungu yupo utawala huu utapitatu utakujatu uletuuppendao
@Landisy2 ай бұрын
Jamani ogopeni mungu et kwann mnakua Ivo?
@teller_julio2 ай бұрын
Mambo ya hovyo kabisa haya
@eunho95292 ай бұрын
serikali ya kishetani inayoongozwa kishetani, kwanini hawakutumia majina yao kufungua kesi, hata wakina kabudi na mwenzie kwenda ngorngoro ilikuwa ni geresha tu.
@aaronswai30922 ай бұрын
BWANA asipoulinda mji wao waulindao wafanya kazi bure. Mungu atakulinda
@LuciaAgustino-pt5mg2 ай бұрын
Mungu nimwema
@nicolausminja6892 ай бұрын
Kwahiyo ndani ya CCM kunayo wasaliti.
@yohanakesoy2 ай бұрын
Viongozi wetu hawana msimamo badala ya kuwalinda jamii wanalinda vyeo vyao
@upendoeliya93292 ай бұрын
Tanzania, Tanzania, Tanzania, Tanzania, nini kinakuchanganya???? Mabaya sio fungu lako maana wewe ni Taifa Teule la MUNGU!! Mrudie Muumba wetu atakuvua hayo mavazi machafu yote akuongoze kutenda mema uwe Nuru ya Mataifa mengine.
@justardzelphine65262 ай бұрын
CCM ni wezi
@Thevineyard98892 ай бұрын
Njau mwenyewe akae chonjo. Kama wasipompata Oleposi kwa kumteka na kumpoteza, basi Njau anaweza kuuwawa na kikundi hiki hatari kabisa ndani serikalini
@MeshackMwanyula2 ай бұрын
Npo ccm na ni mkeleketwa ila waonevu
@LemaliKanarimoson2 ай бұрын
💪✌️🙏🙏🙏👏🤝😭
@GeraldLembris-jr3yz2 ай бұрын
Kwahy mmbunge wa ngorongoro anafanya hiz drama kwel?