RIDHIWANI KIKWETE Amwambia MZEE OLE SENDEKA - "WEWE na BABA ni MARAFIKI, Kwanini Mmekuwa WAONGO?

  Рет қаралды 519,517

Global TV  Online

Global TV Online

Күн бұрын

RIDHIWANI KIKWETE Amwambia MZEE OLE SENDEKA - "WEWE na BABA ni MARAFIKI, Kwanini Mmekuwa WAONGO?
NAIBU waziri wa ardhi, nyumba na maendeleo ya makazi, Ridhiwani Kikwete ameendelea na ziara yake ya kutatua migogoro ya ardhi wilayani Simanjiro mkoani Arusha.
⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: ndstream.net/gl...
⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx
⚫️ VISIT COMEDY PLAYLIST: • GLOBAL COMEDY/MOVIES
⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 713 750910), ( +255 783453136)
⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com
⚫️ OUR PLAYLISTS:
⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo...
⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_y...
⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globa...
⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusiv...
⚫️ Subscribe Global TV bit.ly/globaltv...

Пікірлер: 704
@globaltv_online
@globaltv_online Жыл бұрын
SUBSCRIBE NOW NA BONYEZA ALAMA YA KENGELE🔔 UWE WA KWANZA KUONA👉 bit.ly/3MraYdQ
@leahngaiza5985
@leahngaiza5985 Жыл бұрын
⁸0
@williamruttabukobatours6570
@williamruttabukobatours6570 Жыл бұрын
Anazo busara mh Naibu waziri Ridhiwani1
@juliethmollel9355
@juliethmollel9355 Жыл бұрын
Olesendeka inaonekana wewe ni dikteta hata kwenye swala lile la ngorongoro hufai wewe
@hassansalim7832
@hassansalim7832 Жыл бұрын
.lo92
@hassansalim7832
@hassansalim7832 Жыл бұрын
Lmokl0
@muhundaramadhani5057
@muhundaramadhani5057 Жыл бұрын
Kwa namna nilivyooangalia mwanzo mwisho Huyo Mzee Ana shida na siyo Mkweli hata kumwangalia tu akiongeongea unajua hii janjajanja porojo za kisiasa . Mh Naibu wa Waziri Big up Broo uko vizuri kwenye kutenda haki. Keep it up
@albertmbise2670
@albertmbise2670 Жыл бұрын
Ni mshemzi na hao wote wanamsupport ni jamaaa zake hawataki kabisa watu wa kuja kumiliki ardhi
@hermanmathias1960
@hermanmathias1960 Жыл бұрын
Nimemwelewaridhiwani leo mwanzoni niliona labda kapewa upendeleo kwenye uwaziri kumbe jamaa yuko Bright piga kazi Mheshimiwa kazi nzuri unaifanya
@hamzakimaro3764
@hamzakimaro3764 Жыл бұрын
KUMBE RIDHIWANI NI ZAIDI YA KIONGOZI ALLAH AKULINDE NA MAHASIDI
@mohamedmohamedy8311
@mohamedmohamedy8311 Жыл бұрын
Ameen mashaallah
@eliaikammary7525
@eliaikammary7525 Жыл бұрын
Upo vizuri sana naibu waziri,fchapa kazi
@eliaikammary7525
@eliaikammary7525 Жыл бұрын
Hili sio la kukaa wazee tena,mbele kwa mbele
@herrykilele4622
@herrykilele4622 Жыл бұрын
Sure
@modestalois2535
@modestalois2535 5 ай бұрын
Kweli kabisa
@pierremkelemi5548
@pierremkelemi5548 Жыл бұрын
Hongera Muheshimiwa Ridhiwani unamuheshisha baba yetu Mh. Jakaya Mrisho Kikwete 💪
@joasitz9559
@joasitz9559 Жыл бұрын
Mh Ridhiwani your very smart. I wish tungeonana utusaidie shida ya mgogoro wa shamba pia.
@EserianEnglishMediumSchool
@EserianEnglishMediumSchool 7 ай бұрын
ULIPOPIGA HATUA KWENDA KWENYE MIPAKA HAPO MH ULIONESHA DHAMIRI YA DHATI KUTATUA MGOGORO, HUO UMBALI SIO MCHEZO....NA NI PORI KAMA UNA DHAMIRA YA KWELI USINGEJICHOSHA, BIG UP SANA. HAKI IDUMU
@waltersesuru43
@waltersesuru43 Жыл бұрын
Riziwanu safi sana chapa kazi
@mwanyongamama4407
@mwanyongamama4407 Жыл бұрын
Ubarikiwe Mheshimiwe Kikwete hapo Safi Sana
@rasshidguta9893
@rasshidguta9893 Жыл бұрын
HONGERA RMK, kwanza kuonyesha njia iliyopotea kwa hasira na uwongo. Pili kumtunzia heshima huyo SEURI . Nakuombea uendelee na msimamo huo huo. Utatuokoa wanyonge. Kama ni Mtihani wa kuvuka RIKA UMEFAULU.
@br.samwelmparange4986
@br.samwelmparange4986 Жыл бұрын
Hapo sasa Ridhiwani nakuelewa. Jitahidi kuwa hivyo ulivyo.
@leonardrichard3032
@leonardrichard3032 Жыл бұрын
Mkuu ridhiwani kwa hapa nimekukubali unafanya kazi kwakujiamini hongera sana
@oscarkasalile3966
@oscarkasalile3966 Жыл бұрын
Safi waziri
@Expedito2512
@Expedito2512 7 ай бұрын
Ni kweli hata mimi leo ndo nashtuka Ridhiwani ni mtu wa mtindo gani. Hongera Ridhiwan. You deserve it
@nelsonmwaipaja3727
@nelsonmwaipaja3727 Жыл бұрын
Ridhiwani unakili kubwa xana,mwenyezi mungu akutangulie huyo mzee olesendeka hopeless kabisa amekalia kukandamiza watu tu
@goodluckmsoka3660
@goodluckmsoka3660 Жыл бұрын
Anatamaa sana
@fridaernestmkedege900
@fridaernestmkedege900 Жыл бұрын
Haya mambo yanaumiza sana...mtoto unashindwa kuacha mali ya baba yako inachezewa...na unahisi km marehemu anazalaulika...mkijitahidi mpiganie haki ya baba yenu ambaye ni marehemu mnakutana na usaliti uliovuka mipaka! Mungu walaani wote wanaodhulumu mali za marehemu!
@mkambamaulid447
@mkambamaulid447 Жыл бұрын
Mh.Ridhiwani hapo kuna jambo limejificha safi Sanaa🙏🏼 Msimamie huyo Dada🤗
@waziriuledi6322
@waziriuledi6322 Жыл бұрын
Mbunge anagombania Ardhi aibu hiii
@dandassimon3116
@dandassimon3116 Жыл бұрын
Unajua kuna ujanja hpo waziri fanya kazi yko nakusikiliza kuna kiongozi mjanja sna hpo
@dandassimon3116
@dandassimon3116 Жыл бұрын
NI AIBU SANA KIONGOZI KUGOMBEA ARDHI.
@allynassoro8448
@allynassoro8448 Жыл бұрын
Ridhwa unatatua mgogoro Arusha.wakati wapiga kura.wako wa kitongoji Cha costo kijiji.cha Sadan.wananyanyaswa na campuni ya.majambazi ya sea.salt wananchi wanazuwa.huduma muhimu ,ikiwemo.mji chakula nyumba za ibada zinavunjwa watu wanabomolewa nyumba zao kinyume Cha Sheria Ridhwani umeshindwa kuwatetea Muhjndi anajitamba anasema Serikali kaitia.mfukoni,
@EstherClement-wb4jo
@EstherClement-wb4jo 4 ай бұрын
Hongera Sana liziwan
@sapikiwanga6154
@sapikiwanga6154 Жыл бұрын
Mh.ridhwani msaidie Huyo dada na ndugu zake,usikubali Hilo swala walipeleke kwenye vikao vya madiwa au vikao vyao vya kimila,umasaini mwanamke Hana dhamani kabisa.Hao jamaa ni wakorofi mno mno Kisha wanafki sana sana.plse WAZIRI.
@tinamahega9848
@tinamahega9848 Жыл бұрын
Jamii za kimasai mwanamke si kitu kabisa
@IddyDaruweshi-jv1fu
@IddyDaruweshi-jv1fu 5 ай бұрын
CONGRATULATIONS NAIBU WAZIRI RAFIKI YANGU UMEKUWA VIZURI SANA NEXT TO BE WAZIRI KAMILI . FANYA KAZI USIANGALIE SULA HUYU NANI FATA HAKI SEMA UKWELI. NAKUPA MAUWA YAKO BRO
@AmosiLainas
@AmosiLainas 4 ай бұрын
Smart sana
@oswaldmwita1520
@oswaldmwita1520 Жыл бұрын
Yese ana Nyumba sana mimi ni shahidi kabisa na anashamba kubwa kama ema elfu na nime Lima sana
@kmotivation1130
@kmotivation1130 Жыл бұрын
Waziri samahani sana kwa hii kauli , wamasai ni wanafki sana sanaaa nimeishi nao, na vigeu geu sana
@sifrajenterprises5002
@sifrajenterprises5002 Жыл бұрын
Walituuzia ardhi na bado wanaleta mbuzi hadi tulivojenga niwakorofi mno
@tanzaniawildlifeandlandsca4469
@tanzaniawildlifeandlandsca4469 Жыл бұрын
Ndo muwajue sasa tunavyoshinikiza waondoke Ngorongoro hatuwaonei ni wajuaji sana halafu mmasai akisoma ndo anakuwa mjinga zaidi
@jamals.mbarak8638
@jamals.mbarak8638 Жыл бұрын
Chekecha Mh Ridhiwani. Aliesema uongo tumjue
@tinamahega9848
@tinamahega9848 Жыл бұрын
Mnoo
@tinamahega9848
@tinamahega9848 Жыл бұрын
@@tanzaniawildlifeandlandsca4469 umegusa mulemule
@alfredcharles8029
@alfredcharles8029 Жыл бұрын
Safi sana Ridhiwan kwa umakini wako
@thomaskwibonelwa9240
@thomaskwibonelwa9240 Жыл бұрын
Naiona hekima kubwa kwa Ridhiwani.
@Allykitambi-g4u
@Allykitambi-g4u 5 ай бұрын
Ama kweli kujikwa sio mwisho wa safari inatakiwa tu kuangalia wapi umejikwa ili usijikwae wasomi wetu hizo ndo kazi zakufanya na sio zile kwahili hongera wazir riziwani mungu akuongoze njia sahihi
@hamishassan6784
@hamishassan6784 Жыл бұрын
muheshimiwa hilo libebe mpaka mwisho cna imani na huyo kbsa
@enedictmchau1053
@enedictmchau1053 Жыл бұрын
Mheshimiwa Ridhiwani wewe jembe Mungu aendelee kukubariki Kwa kazi nzuri.
@jeremiahkaliwa741
@jeremiahkaliwa741 Жыл бұрын
Huyu Mzee anajifanya mjuaji sana mungu atamnyosha tu
@mr.t6411
@mr.t6411 Жыл бұрын
Mimi ni mkazi wa Arusha nilifanya kazi bagamoyo kwa miaka zaidi ya 8 toka 1999 hadi 2008 namjua huyu mtoto ana roho nzuri sana, na moyo wake mwema, jasiri kama baba yake. Baba yake alishindwa tu kumsemeya huyu mtoto ili asijeambiwa anamsifia mtoto wake kwa sababu zake. Lakini huyu mtoto Ridhiwani ana zaidi ya hekima. Wanyonge kaeni mkao kula kwa huyu kijana Mh. Ridhiwani.
@emmanuelndaje2571
@emmanuelndaje2571 Жыл бұрын
Umetumwa nini 🤧🤧🤧
@Mwandu-xm6kg
@Mwandu-xm6kg Жыл бұрын
Nili chojifunza tusomeshe watoto huyu binti yupo vizuri
@maggynaftaly6774
@maggynaftaly6774 Жыл бұрын
Tatizo hiyo mizee ya kimasai ni michawi kishenzi yani utashangaa siajabu wakawaua hao watoto wote mmoja baada ya mwingine wanapigwa juju moja balaa
@tinamahega9848
@tinamahega9848 Жыл бұрын
Kabisa
@amosafrica2350
@amosafrica2350 Жыл бұрын
Riziwani ni kama mzee wake kamtuma kijana wangu kafanye kazi ufute rekodi mbaya kwenye familia yetu🙌🙌🙌
@ramadhanibundala580
@ramadhanibundala580 Жыл бұрын
Rais ajae huyo mtoto wa samia
@rabsonased7106
@rabsonased7106 Жыл бұрын
Sikukujua ridhiwani kumbe nikiongozi Bora Sana
@davidmpiluka5224
@davidmpiluka5224 6 ай бұрын
Sikuwahi kufikiri hata kidogo kuwa Ridhiwan yupo hivi. Nilidhani ni kijana fulani wa michongo michongo hivi, lakini kumbe sivyo. Kwa hili, amejitahidi sana.
@prophetsamawiparapanda
@prophetsamawiparapanda 11 ай бұрын
hapa mweshimiwa naibu Waziri kaongea busara sana HONGERA MKUBWA hiyo ni busara sana kati yako na wakubwa.
@adoniemanuel908
@adoniemanuel908 Жыл бұрын
zama za zuzuluma zimeishaa hichi nikipindi cha haki kipindi chamama samia
@akidakombo259
@akidakombo259 Жыл бұрын
Wazir nenda katatue matatizo yaliyopo kibaha matuga Kuna vilio kule vinaendelea mkubwa
@enezermwafrica7443
@enezermwafrica7443 Жыл бұрын
Eti kuna Nyumba imewekwa na Dishi za TV! Mh! Iko wapi? Waziri hao usiwasikilize Mpe Dada huyo Haki ya marehemu Baba yake.
@JacobMalihoja
@JacobMalihoja Жыл бұрын
Miaka 12 imeipita bila kuhudumiwa. Hilo eneo ni la Serikali. Kusema walikuwa watoto sio hoja Kwasababu mtu akifa kutakuwa na wasimamizi wa Mirathi.
@oliviaseth4652
@oliviaseth4652 Жыл бұрын
Huyu mzee afai
@shakaurembo477
@shakaurembo477 Жыл бұрын
Uyo mzee inaonekana sio Mtu mzuli
@israelgershom4198
@israelgershom4198 Жыл бұрын
Ridhiwani kikwete umeivaaaaaaaaaaaaa
@kwzjkwz3532
@kwzjkwz3532 Жыл бұрын
Wazeee wengi wanatumiaga uzee kama njia yakujihami
@pendomarco8928
@pendomarco8928 Жыл бұрын
Kabisa
@noelnoel4916
@noelnoel4916 Жыл бұрын
Masha Allah kazi nzuri Ridhiwani umeifanya Allah akubariki zaidi na uongozi mwema wenye wisdom and good judgment
@nyiqatonyiqa7114
@nyiqatonyiqa7114 4 ай бұрын
Tupe updates za shamba la Bw. Yese kama ilirudishwa jamani. Nangojea ujumbe please 🙏🙏🙏
@michaelbunyaga4784
@michaelbunyaga4784 Жыл бұрын
Mbona Mhe.Waziri kaegemea upande mmoja! Pia unatakiwa kuangalia historia ya Tza katika vipindi hivyo je kulikua na forgery za hati za ardhi? Maana amerithi ofisi ya serikali lakini wale watendaji hawapo tena .Kijiji kinasema hivi na Wizara inasema hivi!
@richardhosea8827
@richardhosea8827 Жыл бұрын
Wa tz bwana😅😅😅 mmegeuka walipoteuliwa Januari,Nape na rizi ikawa kedekede oohh mama kapewa mkeka na jk wa tz unafiki sana
@bahiyalumelezy3016
@bahiyalumelezy3016 Жыл бұрын
Zee zimaa mpk Leo halijatosheka na mali za dunia linapambana na watoto bado.walizowea kutumia vyeo vyao kudhulum wananchi.
@googacount5380
@googacount5380 Жыл бұрын
Sendeka sio mtu mzuri kabisa
@saliminyusuph6122
@saliminyusuph6122 Жыл бұрын
Wanaukabila hao wamasai.
@mcgomy2153
@mcgomy2153 Жыл бұрын
Hekima nyingi sana Brother Ridhiwan 🤝🇹🇿
@maggiehiza5884
@maggiehiza5884 7 ай бұрын
Ridhiwani you are very rude. Don't intimidate people. Ongea nao vizuri.
@Ambagaye
@Ambagaye Жыл бұрын
Tanzania tuachane na siasa za kiukoo. Nyerere angeendeleza siasa hizo za kiukoo, Nchi hii ingekuwa inatawaliwa na Wazanaki tu leo hii, na wapo wazanaki wengi ssana wenye uwezo kuliko walioko madarakani leo hii; lakini hakuna mzanaki hatta mmoja aliyeko madarakani leo.
@zubedarichard2311
@zubedarichard2311 Жыл бұрын
Kumbe watu Wana heka elf tatu mia Tano sisi baba yetu kanunua TU heka 50 tumenyang'anywa zimebaki 10.
@songeza
@songeza 7 ай бұрын
Acha uongo sendeka Rdhiwani Makonda mkovzuri mmoja awe Rais mwingine waziri mkuu hapo sasa nchi itanyooka mstari
@silasjonathan1952
@silasjonathan1952 Жыл бұрын
Mh.waziri hilo shamba ni la Yese mm nilikuwa mfanyakazi wa Tawisa tangu 2009 nipo hapo hilo shamba alikuwa anamiliki yese na alikuwa analima maharage.
@amanimlengwa9202
@amanimlengwa9202 Жыл бұрын
Waziri tenda haki... Kwakuwa umesha wagundua ya kuwa kuna ukabila, kuna uenyeji na uongo uongo tenda haki. Nimeanza kuona hekima yako kama naibu waziri.
@margarethpolepole7438
@margarethpolepole7438 Жыл бұрын
Ridhiwani huna karama ya uongozi hata wakuweke sekta zote za uwaziri wewe wangekuacha na huo ubunge na kazi ile ya............. na january makamba yeye kukomba hela za wastaafu wa nssf tu umeme kila siku kukatika bwawa la mwalimu nyerere haliishi mpaka sasa
@godlistenray8919
@godlistenray8919 5 ай бұрын
boma ccm tena nyerere anajua tumedhulumiwa eka hamsini zote alafu pamejengwa jengo bovu la ccm viwanja viongozi wa ccm wamejigawia sisi tumebaki njaa kali
@stamalamkulungwa8708
@stamalamkulungwa8708 Жыл бұрын
Fact sana kaka Rithiwani
@danny66677
@danny66677 6 ай бұрын
Mtu mzima tena mheshimiwa anapambana kutaka kuwadhulumu haki watoto wa marehemu. Hii si sawa kabisa. Heko sana Mhe Ridhiwani. Mtu mzima na akili yake anasema "kule hakuna nyumba", msafara wa Waziri unakwenda unakuta nyumba ya marehemu. Shame on you guys!
@bravenkombe2201
@bravenkombe2201 Жыл бұрын
Upovizuri waziri
@modestalois2535
@modestalois2535 5 ай бұрын
Lazima wawaonee hiyo familia Yesse kwa sababu siyo Masai wenzao na Masai hao wengine ni wachungi wa ng'ombe wa huyo Sendeka 😅😅😅😅😅
@WalterMollel
@WalterMollel 7 ай бұрын
Simanjiro kuna tatizo kubwa sana,ukabila ni mkubwa, mpaka sahii watu wanaonewa wenye ardhi hapo,watu wanangombe elfu kumi ili wachungie mifugo yao,hata wawekezaji wanaonewa sanaa,sisi ni watanzania wote tunahaki ya kuhishi popoteetanzani
@aqwilinlissu3641
@aqwilinlissu3641 Жыл бұрын
Lessbdeka sura yako inaonesha uongo ulioko rohon kwako kumbuka kilakitu kinamwisho unataka kutumia ulaigwanani wako kuwahujumu watoto wa yese.nakuomba sana mwelekeo wako siimzuri utakujaaibika mchana kweupe.ulipeleka tanzanity iuzwe mereran tu kwafaida yako tu Leo hii watanzania wanataabika kwaajili ya uongo wako .hili nalohalitakuacha salama .watu wamefilisika ukutani wamekua wakipanda nakushuka utazan kunakiwanda porin kumbe nimateso tu.mnapaata nafasi mnaenda kuwaumiza watanzania bure.kwa interest ya nani.
@dominickjohn1128
@dominickjohn1128 Жыл бұрын
Sendeka ni mbabaishaji kuliko kitu chochote'serikali ina mbebaga sanaaa
@modestalois2535
@modestalois2535 5 ай бұрын
Ukitaka kujua hekima siyo umri,yatazame mazungumzo ya Mh Ridhiwani na hao Wamaasai na Mbunge wao.
@fintanmkesha1077
@fintanmkesha1077 Жыл бұрын
Ridhiwan sa iv nimeanza kukuelewa
@nelsonnyamle
@nelsonnyamle 7 ай бұрын
Tunahitaji katiba ambayo itasema kugombea kwa wabunge kuwe na ukomo wa vipindi wawili ili wasiyo na ajira nao wanufaike na nchi yao na siyo watu wanazeekea bungeni kama huyo mzee ole sendeka.Yaani leo wameshindwa kuongoza hatimaye wamekuwa wasababisha migogoro
@anithawidambe7543
@anithawidambe7543 Жыл бұрын
NYIE KWANN MNAZURU? JAMANIMWENYE HAKI KM ALISHAFARIKI HUKO OK ATAWALAANI NAMTAKAA NA MATATIZO MILELE YOTE. ACHENI ZURUMA ZENU NA WEWE KIONGOZI HAOMABINTI WAKI,URIKA KAMATENI HAO WANAONG'ANG'ANIA NDY WAKAMATWE.
@ibrahamessiah360
@ibrahamessiah360 Жыл бұрын
Ila uwongozi Ni kazi eti jmn kwa hapa panahitaji akili kubwa mno na utulivu wa kina Sambamba na utafiti wa kina vinginevyo mhh cjui🤣
@joycepeter5110
@joycepeter5110 9 ай бұрын
Sendeka kawa ndumila kuwili kwa Yese na kumbukeni hata arusha alitutolea ushaidi kwamba arusha ni waizi watoroshaji madini ,mzee huyo siyo
@machintangachibwena5922
@machintangachibwena5922 Жыл бұрын
Huyo mmbunge pesa zote anazo zipata bado angombea kiwanja mshenzi mkubwa
@MoteswaLekwasa
@MoteswaLekwasa 7 ай бұрын
Wewe mzee ole sendeka hebu kuwa na aibu kwa umri uliokuwanao na pesa ulizonazo unakuja kugombea kapori hako na bint yako! Unamaeneo mangapi Dar ww? Tunza heshima yako bana binafsi nakuheshimu sanaa sanaa sasa usinirudishe nyuma
@songeza
@songeza 7 ай бұрын
Nimekupenda bure waziri fanya kweli c unawajua wamasai walivyo na umoja? Kweli hao na wazee huyo sendeka avhana nae usimsikilize anawasimamia wamasai wenzake
@marryfelician1426
@marryfelician1426 7 ай бұрын
Huyu ni mtoto wa Raisi akili Kubwa Ridhiwani piga kazi baba kwanza huyo mzee kakufyonza
@mathewnyahuru9009
@mathewnyahuru9009 Жыл бұрын
Aisee leo nimejua riziwan anafaa kuwa kiongozi kwa mujibu alichokifanya mungu akusimamie amina
@valenakomba7686
@valenakomba7686 7 ай бұрын
WAZIRI UCHWARA. SIKIA HATA UONGEAJI WAKE. WALA HAJIELEWI. HATA UONGEAJI WAKE HAUNA BUSARA. UHUNI MTUPUU.
@muhsiniissa8151
@muhsiniissa8151 6 ай бұрын
Mmmh,we ulitaka aongee vipi!?
@herrykilele4622
@herrykilele4622 Жыл бұрын
Mimi nilitamani MAMA angekuacha kwenye hiyo Nafasi ya Naibu Waziri Wa Ardhi well done Brother.
@ghanaq2040
@ghanaq2040 Жыл бұрын
Kaka liziwa hata mm ninasumbuliwa naofisi ya Kijiji ya kisemvule nakata yavikindu nakuomba Kaka yangu nisaidie wahindi wanevamia mashamba yetu ya ulisi tunanyanyaswa Kaka wilaya ya mkulanga tisaidie Kaka wewe naibu wazili wa aldhi
@newgarden8036
@newgarden8036 Жыл бұрын
Iko hivi Ole Sendeka anaonekana yupo kinyume CCM sasa wameamua kumkomesha
@jesckamolel5693
@jesckamolel5693 7 ай бұрын
Sendeka ni mnafiki sana jmn huyuu mzee ndivyo alivyo uwongo mwingi hata hauendani na uwongo wake
@kalengamwasapula2063
@kalengamwasapula2063 Жыл бұрын
Waziri oresendeka mwizi anataka kusilimu kutumia cheo na kujuana na wakubwa
@monicambuya-sq9ms
@monicambuya-sq9ms Жыл бұрын
Mzee muogope utaaibika yupo Mungu baba wa yatima ardhi unayogombania utazikwa humo
@JumanneMwita
@JumanneMwita 7 ай бұрын
Watanzani kwa kusia vitu vya kijinga tuko mkilizishwa kidogo. Tu mnasifia hata utumbo ulio oza
@rashidimbigiri2642
@rashidimbigiri2642 Жыл бұрын
Mimi ni mzaliwa wa ngage inawezekana alipewa ila sio zinazotajwaaa
@feezdidthis2220
@feezdidthis2220 Жыл бұрын
Dada muongo na mjuaji.. uju3 haya mambo unaweza sema sendeka anatumia mabavu kumbe ukute kweli yeye yuko sawa na huyo mnaemuona mkweli akawa ndo nyoka wa kibisa og
@yusuphyuda-jq1xy
@yusuphyuda-jq1xy Жыл бұрын
Ni dhaili kbsa kupitia mdahalo huo wa dk kazaa huyu mzee ni mzurumati,anataka kudhurumu Mali za watot wa rafik yake
@nelsonnyamle
@nelsonnyamle 7 ай бұрын
Taifa letu ajira zinasumbus kwa watoto wa maskini ila watoto wa viongozi wote wapo serikalini
@walawioutreach4055
@walawioutreach4055 Жыл бұрын
SENDEKA NI KIONGOZI ASIEFAA KABISA NDIO AINA YA VIONGOZI TULIO NAO,AMEJILIMBIKIZIA MALI KILA MAHALI. MUOGOPENI SANA MUNGU.
@BON357
@BON357 Жыл бұрын
Mwenye makosa baba yenu ajawatengenezea njia ya msingi kuacha mali
@margarethpolepole7438
@margarethpolepole7438 Жыл бұрын
Tuwe wazi nyie watoto wote wa viongozi January na ridhiwani nyie ni mabomu wote watoto wazuri ni wa hayati karume na Rais mstaafu mwinyi watoto wenye hekima na busara na wana faa kuwa viongozi na kama mnawekwa wekwa tu kupewa vyeo vya uwaziri hampati urais kamwe hatuwataki
@MussaMarwa-z3n
@MussaMarwa-z3n Ай бұрын
Wew aufai kuw kiongonzi kabisa sioni mahana aufai kabisa VP vinaonekana kabisa aufai aufai
@AsnatDaudi-pt8cf
@AsnatDaudi-pt8cf 6 ай бұрын
Jamani sendeka ni mbaya sana amewadhulumu waarusha mashamba simanjiro Tena anaukabila sana sana huyu mtu mbaya
@KitaleMazao-h6d
@KitaleMazao-h6d 7 ай бұрын
Wazr hao chuga wana vuta bangi kowamezum ilo gof limekua nyumba mya
@RamadhanSoah-ss6ij
@RamadhanSoah-ss6ij 6 ай бұрын
Ridhiwan tatua huo mgogoro rais atakupongeza pamoja na wananch wake
@silviamelkizedek1516
@silviamelkizedek1516 Жыл бұрын
Hyu wazir ana hekima mno! Hongera Rais Samia
@marryfelician1426
@marryfelician1426 7 ай бұрын
Huyu mzee Moja kwa moja ni mdhulumishi waachie watt wa marehemu eneo lao kwanza wewe ushazeeka
@ManenoMwankusye-y7d
@ManenoMwankusye-y7d 5 ай бұрын
Sendeka ni mnafiki huku mwishoni maneno yake ni ya kutoka suruhu na huyo binti yaani watataka awapunguzie eneo .
@twiststyle7497
@twiststyle7497 7 ай бұрын
Napingana na ndugu zangu leo naona suluma kabisa inaliwa hapa na wamasai wamepanga na wanalitimiza Naomba nimwambie mbunge wetu kuwa sisi wote ni wanasimanjiro haimanishi kwasababu simanjiro wamasai ndio bac siku zote awasaport tu hapana
@mohamedikiangi7272
@mohamedikiangi7272 Жыл бұрын
Jamani uongo mbaya mpaka mafundi wa yese walojenga wapo hai tunawafahamu
@SospitaKabaka
@SospitaKabaka 7 ай бұрын
Watanzania hiv kwa maneno hayo alioyaongea mh wazir ridh mbona mnasadik haraka sana nakumpa sarut kama zote mbona mmemnyima maua yake tulien tumsikie samaki anamengi yakusema mdomon anamaji
@jofreysaimoni4964
@jofreysaimoni4964 6 ай бұрын
Machawa kazi yao nikusifi tu uwe ubaya uziri chawa yeye nikusifia tu kikubwa apate kula yaani nimafisi tu
Офицер, я всё объясню
01:00
История одного вокалиста
Рет қаралды 5 МЛН
Bike Vs Tricycle Fast Challenge
00:43
Russo
Рет қаралды 104 МЛН
Help Me Celebrate! 😍🙏
00:35
Alan Chikin Chow
Рет қаралды 56 МЛН
Ozoda - Lada ( Official Music Video 2024 )
06:07
Ozoda
Рет қаралды 17 МЛН
Salama Na JK Ep48 | MSOGA UNO PART 2
29:35
YahStoneTown
Рет қаралды 292 М.
Hotuba ya MWALIMU Nyerere iliyosisimua zaidi ilivyo mtabiri Rais JPM
14:08
BINGO ONLINE TZ
Рет қаралды 1,1 МЛН
Офицер, я всё объясню
01:00
История одного вокалиста
Рет қаралды 5 МЛН