Usitoe msaada ukitaraji kuzidishiwa. Mungu anafaham akuongezee wapi na akupunguzie wapi. Msaada hautangazwi Kuna watu wana pesa af hawasemi chochote na wanatoa misaada zaidi ya hapo.💪
@AsungaSteven2 ай бұрын
Nimekuelewa sana ,tajiri anatakiwa kusaidia huwezi kuwa tajiri halafu kusaidia mtu hutaki
@AsiaShabani-k3b2 ай бұрын
Kutowa ni Kama mtuumemkatamikono amu umemuuwa hataikiwa ni 200 ,Sasa huyu jamaa katumia pesanyingi sana mana watoto wameenda sehem clasiki sana pia mda wake nakuhakikisha Kila mtoto kapataanachotaka 🎉🎉🎉🎉🎉🎉 hu nimoyo binafsi sana kujitowa hongela yake munguazid kumuongezea
@DottoIbrahim-y2sАй бұрын
Nakubala vidio yako kaka alaf nimeipenda gal lako
@adeladaudi2047Ай бұрын
Msaada hautangazwi, usituchoshe, hata km mtu hana vingi lkn kidogo alichonacho anagawana wa wahitaji. Heri yule mwenye senti ya mwisho kuwagawia wahitaji kuliko wewe hizo ulizosaza ndo unawagawia wahitaji, tayari umeshapata dhawabu yako🙌🙌
@BestMwambembeАй бұрын
Mwamba nakukubali sanaa toka pande za katumba songwe kyela tz mdogo wangu umetisha sana endelea na moyo huohuo wa kusaidia watu
@fortyyellu99712 ай бұрын
Dah.. kama vip mzee itabid serikal ikufikilie kukutengenezea sanamu lako mzee lipachikwe hata pale ubungo flyover mzee baba... jambo zur sana umetenda
@francisgituti24942 ай бұрын
Point sana hapo kwa ulichokifanya leo Endelea na moyo huohuo
@sammohung15062 ай бұрын
Tanzania hii yupo Davido,yupo mkoa gani
@kingkendrickk2 ай бұрын
Maybach ya mwaka wa nyuma sana
@EvidenceAlphonceАй бұрын
Congratulations
@YusuphJkitia2 ай бұрын
Davido kumbe yupo Tanzania nilikua sijui
@RenatusFumbuka-gw4jo2 ай бұрын
Kama anafake maisha we jalibu ata kijijini kwenu kwa wiki TU.
@mohammedkassim3202 ай бұрын
Hio gari kama hio snash ndio aliitangazia😅😅😅
@BashiruTelemukaАй бұрын
Una raha mchana Siku shida tupu,yote ni mapito tajiri ni mungu ,alakini una moyo muzuri ila ume pitia njia mbaya,
@UswaziPrnbox2 ай бұрын
G Wagon Brabus 😅😅😅😂😂 sio Brabras 😂😂
@Saimonchristopher2 ай бұрын
Achen kumtukana mwezenu ivi sisi binadamu tukoje mtu akifanikiwa anasemwa vibaya mtu akiwa masikin anasemwa vibaya binadamu afanye nin ili aonekane anafanya vizur
@worth_monkey2 ай бұрын
piga mahesabu kujiunga kweny grp lake ni sh100,000 piga mara watu 1000 plus
@jhashick8983Ай бұрын
Wajinga ndo waliwao😅
@DaudMnyemaАй бұрын
chief God love mtoto mdogo mwenye pesa nyingi
@AmonChallah-qy7on2 ай бұрын
Safi sanaaaaa kijanaaaaa
@flackomasterbaddest41552 ай бұрын
Swali kuu : CHIEF UNATOA WAP PESA HATUJUI BIASHARA YAKO HATUJUI UNAFANYA KAZI GANI UPO UPO TU UNASPEND UNAFANYA NN??????TUNAKUONA KWENYE BATA TU ....hujawah onesha unapata wap pesa na sisi tujifunze
@Softtlipss0012 ай бұрын
Swali pia kwako: Unataka kujua ndio iwe aje hate 🇰🇪🤷♂️
@felixluguga6452 ай бұрын
Swali nzuri sana.
@OmaryRamadan-m8v2 ай бұрын
😂😂ana shule eti ila hatujawahi kuiona kutubwatukia kote uko tunataka kujua
@sultanjames93952 ай бұрын
Tatizo mkioneshwa machimbo mnaenda kuharibu. Endeleeni kuona bata tu kenge nyie.
@KawawaSoko2 ай бұрын
Pesa za chief ww hustair kujua huo niujinga. Chief godlove nakuombea kaka uje na huku njombe
@sultanjames93952 ай бұрын
MATAJIRI WENGI WANA HELA ZA MAGENDO WAKIAMUA KUWA KAMA CHIEF SIRIKALI LAZIMA IWATEMBELEE
@jeffreymalingula70102 ай бұрын
Jibu zuri ni kumjibu kwa kununua gari Kali na la thamani kuliko Hilo lake. Sio kutukana matusi makubwa kutaja sehemu za Siri za mama zetu kama wewe ujazaliwa na mama Yako mjibu kwa kununua na wewe gari lako la thamani sio mitusi kama umekosea malezi Bora?
@amrimwingwa9942 ай бұрын
Big up Chief
@nairesiaejudy9990Ай бұрын
prophet david richard from tanzania has it
@nelsonliwenga17842 ай бұрын
Greater 🔥
@HASSANBAKARI-q9c2 ай бұрын
Mnaotusumbua ni sisi apa wa yutube,,,ila hapo ukiangalia shughuli zingine zinaendelea kama kawaida,,watu awana muda na ujinga
@ondeyojeremiah49602 ай бұрын
Kenya ii Gari ya kawaida saanaa,,inatumika kupeleka watoto Shule🤣🤣🤣
@adamdaudi96962 ай бұрын
Nunua nawe upelekee wanao shule
@guccitich77572 ай бұрын
😂ondenyo kenya never dissappoints
@edwinmtuka736Ай бұрын
😁😁😁
@StarGwanta2 ай бұрын
Sio swali la kujibiwa fanya kwa upande wako tafuta ela kvyovyote upate sio kuuliza pesa ya mwenzio amepataje mwenzio anabiashara mbali mbali na atakama kajiongeza upande wa kushoto n yy
@PastorErickjmi2 ай бұрын
Mungu awainue vijana zaidi
@DusKing-n9v2 ай бұрын
Huna ela,ww wenye ela hawajigambii
@Shedyclassc2 ай бұрын
Fanya na wew
@edwinmtuka736Ай бұрын
punguza hasira tafuta hela
@jumakatata84792 ай бұрын
Sio kweli...Kuna sehemu ipo kama hii hii..na ninawasiwasi huenda ndio hii..ushahidi ninao
@obeydmwemezi36632 ай бұрын
Oya wee jamaaa nimeiona Jana upanga kama hiii asee n Mimi nna wacwac kama wewe..pia imeandikwa jina aina plate namba...kitu kama MO1HV
@jumakatata84792 ай бұрын
@obeydmwemezi3663 ndio hapo hapo..na hua inapaki chini halafu road mida mwingi..karibu na jeshi pale
@Saimonchristopher2 ай бұрын
Mimi kama mimi chief God love namkumbali saana tena saana tu
@ERASTOMTWANGAАй бұрын
Iyo niatari
@Egideo-zx5ik2 ай бұрын
Huyu jama kweli anafeki maisha ila kwagarama anazozitumia kufeki maisha pesa hua anazitoa wapi mbona hata mafuta tu yakunywesha garihozo ndiometaji yawenginesisi😅😅😅😅😅
@felixluguga6452 ай бұрын
Kuna Pastor anaitwa Pastor David Richard ni noma
@charlesrongo36152 ай бұрын
Hyo gari nimeiona sehemu hipoo 🎉
@omarbawazz7282 ай бұрын
Unasifa Nyingi Sanaaa
@AgripaMugala-l3j2 ай бұрын
Nakubali mtoto mdogo mwenye pesa nyingi
@ImanNjogolo2 ай бұрын
Ahaaaaa.kazana kuchezea pesa ili usikosee masharti.
@kassimkassim63862 ай бұрын
Gari kama hiyo anayo mh ABASI TALIMBA
@pungopungo4118 күн бұрын
Huyu kaka mbona anajisifia sana .hebu kamfufue mtoto kwanza.una pesa lakini umepauka vipi
@FloridaSimwelaАй бұрын
We're kaka nisaidie namm mtaj
@Sabatopate2 ай бұрын
Iyo gari hata dale mchungaji anayo
@PeterSegireАй бұрын
Huyu jamaa biashara yake alikuwa alikuawa anabadilisha pesa dola ikishuka ananuwa ikipanda anauza alikuwa na watu kama 80 badaye hiyo kazi ikafa pesa za has watu zikawa zake
@samirihassan8932 ай бұрын
Allah akubariki zaidi kaka
@ramadhanihudhaifani43762 ай бұрын
Huyu jamaa kitu ambacho kitakuja kumdhuru katika maisha yake,ni hizi sifa! Unapopata mafanikio,acha kuwaona wengine sio kitu. Na,ninachoamini mim,hakuna mtu yeyote yule dunian,ambaye anaweza kutamba na mali ya halali kwa wengine! Kitu ambacho una uhakika kakupa Muumba wako,huwezi thubutu kuongea shit mbele ya watu wengine kabsa! Hizi ni sifa mojawapo za waabudu shetan. Lengo lao ni kutaka kuwashawishi wengine ili nao waingie mkenge wajiunge. Mfano mzuri ni ule wa Ginimbi. Alikuwa anawatambia watu hadharan huku akionesha mali zake ovyo. Kiko wapi sasa???
@Noor2024-l8s2 ай бұрын
Hamuezi kumuelewa huyu kwajicho la kawaida.. MUNGU awafunulie Kama alivyonifunilia Mnaopenda haya maisha muwe makini..
@JosephManyahiАй бұрын
Ginimbi wabongoo,
@johnkyara86552 ай бұрын
Bora p didy aje tu bongo
@modikomatunda98442 ай бұрын
Hizi kenya ni kama uber na bolt yawa😅😊😊😂😂😂
@ngasalagambi65852 ай бұрын
Kenya ipi iyoo ni uber 😊😅😅
@PeterSegire2 ай бұрын
Hata yeyu alimwambia tajiri unza mari zako uwape manikin alikasilika akaenda zake
@FintanFelix-z6c2 ай бұрын
Wakola waitu
@Aminmwansile-we8vn2 ай бұрын
God Love mwaisa nitawezaje kujiunga na group lenu la what's app?
@josejose61022 ай бұрын
Wew acha ujinga hio gar umeinunu usd juz kwe2
@FredrickGodfrey2 ай бұрын
Muulize chief hiyo MAYBACH anayo DALE
@guccitich77572 ай бұрын
Hapa kenya hii ni gary ya watchmen
@hawaalawi2722 ай бұрын
Pesa yake anapata kiurahisi kwa wale wenye tamaa ya pesa na kujiunga kwny group lake
@ayubu_jc2 ай бұрын
Hii ni mbwa😅
@johnpeterbarongo64452 ай бұрын
Huyu jamaa Bado mshamba sana hiyo gari ata Tarimba anayo kitambo
@RamadhaniChamuange2 ай бұрын
Hii gari ndio lugumi alisema achukue akatembelee
@AbubakarMwiny2 ай бұрын
Mashariti usiwe na demu
@AishaChoray2 ай бұрын
Huyu jamaa anachoniudhi mdomo wake mchafu saana anaona watu woote hawana akili
@Saimonchristopher2 ай бұрын
Jinsi anavyo jitoa ivyo kwa nin asibarikiwe
@BazengaDaddy-rq3yd2 ай бұрын
Mm nami ndoto yangu nikutembea na gari kama hii ya chief
@sifuelinyaki33412 ай бұрын
Woi uzuri wa gari kali uwe unaendeshwa banh sasa unaendesha mwwnyewe
@kijokombao53452 ай бұрын
Ngoja tutume TRA waje wakufanyie uchunguzi tuone kama kuna kodi unalipa kutoka kwenye hizo pesa zako
@SukhaylerJuma2 ай бұрын
Ile ilkua chini black juu gold ila yako ni chin ni dam ya mzee na juu gold zipo nyingi town apa
@AyubuSungura-v8z2 ай бұрын
Inspired
@shedrackjoshua8342 ай бұрын
Chief bana acha nisionekane nina wivu lakini hiyo gari ni ya nyuma sana n pili hiyo gari umechukua mahali n siyo yako.
@Jamal22-o5n2 ай бұрын
Maybach Mercedes iyo gari ipo kinondoni studio nishakutana nayo njiani kama mara buku. Kajitahidi kununua ila aache usenge wa kuongea uongo. Ngoja atumiwe picha mtu kapiga nayo yulo mwananyamala sokoni apagawe. Tena rangi iyoiyo
@ManyotaSaidi-lg1um2 ай бұрын
Jux anayo iyo
@fauzishabani26222 ай бұрын
Yeremia 9:23
@StaraKinjumbwiАй бұрын
UJE NA KEREGE MATUMBI
@GEOFREYMATHIASMAKINGILI-h4u2 ай бұрын
Tz anayo davido kwahyo dvdo ni mtanzania
@ikram-x3m2 ай бұрын
Hiyo gari dar ipo
@FredrickGodfrey2 ай бұрын
Anayo DALE
@mosepaul67702 ай бұрын
Huyu jamaa muongo sana...hiyo maybach kainunua dola elfu hamsini na tano....kibongobongo kama milioni 155 ivi.....alafu kainunua apapa bongo kwa mtu.....
@MwitaMarwa-s6u2 ай бұрын
mil150 ww unayo
@mussabendera17512 ай бұрын
Tra mko wapi kujua Kodi zake
@MAGARITanzania2 ай бұрын
Hio gari ya kuedit tuu wala sio sawa na davido tofauti mbingu na ardhi
@leonardbarber97782 ай бұрын
Hujui gari ww acha zako
@SunhighMkwazi2 ай бұрын
Huyu zombi
@NuruRajabu-pf5vb2 ай бұрын
Kaedit lako tulione.
@charlesmasagati73602 ай бұрын
Si ni $55000 hiyo
@fistonnibigira1672 ай бұрын
Proud what you doing to help people it's a please show more🇿🇦🇧🇮
@sosmakanya49012 ай бұрын
Onyesha kadi tuamini
@SunhighMkwazi2 ай бұрын
Akuonge
@SukhaylerJuma2 ай бұрын
Nmektana na gari kama ilo lako k/koo kwaiyo xo ww peke Ako unalo bhn kama Ili ila ni Kali xn nmelielewa heko Kwa ilo
@MussaKilyenyi2 ай бұрын
Hahaha maybach tz zipo Mimi nna bro wangu anayo Tena sioe saloon ni station wagon
@SadamSarita-t7z2 ай бұрын
Semea Yako 😂😂
@felixluguga6452 ай бұрын
Anayo Pastor mmoja ya kwake ni nyeusi ina Registration ya DALE
@felixluguga6452 ай бұрын
Huyo DALE ana mashine za hatari Brabus Mercedes 2024 na ana mashine za hatari
@kazikazicompany-yl6sd2 ай бұрын
😊😊😊😊
@jahhloveyou44622 ай бұрын
Magu magu Rudi tujipatie mapato inchini
@johnnyharrymusic46662 ай бұрын
Hivi nina swali kati ya chief godlove na Diamond plantinumz nani tajiri kupindukia
@salimramadhani52372 ай бұрын
chief ana hela wewe
@Catherine-mh8sw2 ай бұрын
@@salimramadhani5237anafanya kazi gani
@nabaodesigner94492 ай бұрын
Oya wewe Gari 2016 niya kizamani sana. Wenzenu wanaendesha Gari ya mwaka waliiunda.Davido ana nunuwa 0 mileage
@SalambaLukali2 ай бұрын
Broo ntafutie hata powertiler nikalime mahindi na mimi
@AugustinSalehe-wi9pr2 ай бұрын
😂😂😂baba acha kufananisha Maybach Yako na ya davido Mzee ya davido billion1 na ushee na imetoka mwaka huu
@BamuAbdala2 ай бұрын
nipeni namba yake pls
@AnthonySindabaha-de3xb2 ай бұрын
Mbona hii Mercedes maybach nliona dalali mmoja amepost inauzwa for $60,000
@FahadAbubakari-y3f2 ай бұрын
Tz watu wa nje wakiwaona wanacheka sana coz display za ushamba zinanafasi kubwa sana
@nzegeatv63552 ай бұрын
Apo unazungumzia zaidi ya milion 161 iyo $60,000 wee huogopi?
@konstatinoben2642 ай бұрын
watu hawafuatilii na imesajiliwa EBZ kabisa😂😂
@mussamapesa88632 ай бұрын
Tarimba anayo kitambo sana hiyo acha tambo zako ww
@MlayLeonardАй бұрын
Achen wivu nyie mnangap nyau nyie tulizen mshono
@ismailiamblosi26812 ай бұрын
Gali kama hii maionaga kariakoo faya ni ya muhindi anaenda nayo dukani nakuludi yeye anaipigia kelele et Davido akat muindi anayo