Ni kweli hata kwenye uislam kafara zipo ila ni sadaqa hata nabii Muhammad S.A.W aliimiza sadaqa ila zisiwe za kishirikina
@NdizeyeEric-wx4feАй бұрын
Chief kunakitu bando kipo moyoni kwako ...wongea point bro
@MalikiChamiwa26 күн бұрын
Ebhana apa nmekuelewa Yan ukiwa napesa usahau kwenda mbinguni nmekuelewa sana mwamba
@Victoria-bv6xuАй бұрын
God bless you 🙏
@fistonnibigira167Ай бұрын
What you say is true even me too about lot of stress of my wife I need money
@jameskyalo565Ай бұрын
Bro unanifurahishaga.heko sana bro.
@nenolauzima528110 күн бұрын
Naam
@ZainabOmar-z5wАй бұрын
True mwisho mwema
@AbdulhalimMohammed-f8oАй бұрын
Kweli kabisa broooo
@GeraldMkusaАй бұрын
Amna kitu Mungu ayupo hapo Kwa jamaa nimemsikiliza nimeona Kuna namna ya kusaidia ana kuwapa njia na njia anaijua mwenyewe Mungu tu saidie siyo Kwa namna kama hii
@jn254Ай бұрын
Nakuaminia baba
@jaymoahmedi9679Ай бұрын
kaka Chief zidi Kupoteza jami
@jaymoahmedi9679Ай бұрын
fanya marketing mze sio noma
@MalikiChamiwa26 күн бұрын
Sema duniani bhana ukiwa napesa tabu ukiwa huna tabu nakilamtu anautajiri wake kikubwa nimaamuzi t apa
@jameskyalo565Ай бұрын
What you are talking is spiritual.
@ZainabOmar-z5wАй бұрын
True
@LowassaMollel-s9w23 күн бұрын
Nakuku bali
@MwanaishaShattryАй бұрын
Semea dini yako unayoijua. Waislamu hatuchinji kwa sheikh. Kila mmoja anachinja mwenyewe kwa nia yake. Anayechinja kwa kumtegemea kitu ambacho sio Allah basi ni shiriki.
@damianouo-w1fАй бұрын
😊😊😊😊
@tabarokaijage3257Ай бұрын
Hakika
@PeterNjao7 күн бұрын
Utajiri wa wasiwasi
@MrishoMindu-zq7mzАй бұрын
Hao ndio Vijana wa Nyanda za juu kusini. Wanafanya hayo lkn hua hawaishi muda mrefu.
@EliaHilukaАй бұрын
Kama Mungu aishivyo ninae mtumikia ashughulike na wewe iwe mfano kwa wengine
@MichaelLogatus-j6f13 күн бұрын
Kaka
@SamMwita-r2h22 күн бұрын
Box niajil n mm
@ElphaceEdwardАй бұрын
Eti Mimi sifanyi biashara
@AbrahamManzi-db4gxАй бұрын
Nakupata 5 Kwa 5 kbx unasema Ni Kweli hasa
@AmuliNathanaelАй бұрын
Moko wewee Sisi tumefanyikiwa bila kafara umbwa wewe..fanyia KAZI n'a mungu atakubariki
Pesa c ni shetani so unatufundisha tumwabudu shetani 😢 oh my god please tusamehe hatujui tulifanyalo
@JeremiahDaniel-q6qАй бұрын
Naelewa
@AthumanKadiАй бұрын
Shida ya pesa hizi unazi enjoy kwa mda mfupi kisha unakufa.
@nesymichael4286Ай бұрын
Mbna huoi wewe jamani au kuna shida chief tunamtaka wifi
@NixonJohnson-r4mАй бұрын
Wewe ni mjinga mno
@KennedyNgusaАй бұрын
Wewe huna pesa kijana
@thethejuma3119Ай бұрын
Pesa haitaki kelele
@SeentearzKikishh24 күн бұрын
Hv dogo hii akili umtoa wap dogo
@KaduchuSangaАй бұрын
habari,kaka,ntakupaje
@dreamlineexpress17 күн бұрын
wacha kua mvivu tafuta kazi ufanye utafirwa ukijilegeza
@legendaction202Ай бұрын
Uyu ni free mason jicho la tatu ni uluminati
@FaySamoraАй бұрын
Na napenda maneno yako na ungesoma wewe sijui ingekuaje. Habar za pesa unatoa wapi pesa utajua mwenyw
@DesertTearsАй бұрын
Kenge wewe......kidogo kidogo tu utatueleza unamtumikia shetani mkiwa na nani
@HAMIDAMIVULEАй бұрын
Ni Allah pekeyake ndie aliekupa pesa naiko siku utamjua Allah ni nani yupowapi. Kwahizo kashfazako siunatuita sie tusionahela ni mafala ok
@SaadaAbdallah-o3b25 күн бұрын
Ana kashfa huyu kijana duh
@jaymoahmedi9679Ай бұрын
Mze wakutingisha chief sisi sio wajinga contract yako billion 5😂😂😂
@EliaHilukaАй бұрын
Ole wako usijione kama umekwisha kufika pesa ni takataka tu kumbuka wako matajiri wengi wamekufa hawakuondoka na kitu yuko wapi mau setum aliyekuwa raisi wa china
@AdamMbwana-p6n7 күн бұрын
Mau setium yupo zenji uyo😂
@ramseyngwejela499Ай бұрын
Duniani na ktk ubinadamu ni kwamba, utaongea na kusikilizwa kwa sababu una fedha. Kama huna fedha huna cha kuongea wala hakuna wa kukusikiliza unapoongea. Mrudishe chief miaka 15 au zaidi ya hapo iliyopita husikii chochote kuhusu yeye, si kwamba hakuwepo la! Alikuwepo ila aliikuwa hana alichonacho sasa. Binadamu ndiye huyo. Mtu huongelewa kwa kile alichonacho, hana kitu hutamsikia popote. 😂😂😂😂😂😂. Mimi kila nikimsikiliza chief huwa nacheka sana sana na si kuhuzunika. Unajua kwa nini? Ni hivi ; The power of mammon in him is very trick to destroy his precious soul in eternity. Eti mtu ambaye hana hela ni fala! Na hana cha kumshauri! Duh! Mammon spirit hatari sana.