Tundu lisu ni shujaa wa taifa ata mtu akubali akatae mungu akujalie maisha na ulinzi wake kristu🇹🇿✌️✌️✌️❤️❤️❤️❤️🚣🚣♀️🚣🚣♀️🚣🚣♀️🚣♀️🚣♀️🚣♀️🚣♀️🚣♀️🚣♀️🚣♀️🚣♀️
@JuliasMsongole-c5k16 күн бұрын
We want slaa be free innocent and saint person
@ShesheKaoneka15 күн бұрын
Ana faili milembe huyo anajulikana
@MusaOgwoko16 күн бұрын
Lisu wa mungu
@saidrakwe872715 күн бұрын
mbowe hana jipya tena na akifosi basi chadema kisha😅😅
@ukweliunauma457015 күн бұрын
Tundu lissu unaweza kuhutubiaa chama kama mbiwe na kuwaweka watu kitu kimoja, naona kila wakati kazi yako ni kuongoa mambo ya mama na hasira hasira. Mbowe akihutubia speech zake zinakuingia rohoni na unahisi huyu ni kiongozi mwenye uzoefu
@EdwardMasalu-fk5se14 күн бұрын
Lisu ni wakati wako,wasikutishe,wewe nimtu wa khaki,mbowe kwasasa hawezi
@EdmundContractor16 күн бұрын
Anaongea bila ushaidi
@EdmundContractor16 күн бұрын
Tundu atobowi
@goodluckjohnuiso-gt1fg16 күн бұрын
Hivi lisu haoni wenge alilonalo?anapokea rushwa hadharani anangangania Abdul ambae hasemi alitoa sh ngapi lakini 5000000 aliopewa hasemi
@MathewThobias-g6d15 күн бұрын
Shida lisu hana staha ni mropokaji mno
@MohamedIbrahim-bn1gz16 күн бұрын
Tundu Lisu kaachiwa makusudi ili avuruge CADEMA hata akimtukana Raisi WANAMUACHIA TUU
@issakazi275816 күн бұрын
Lissu mjinga tu hana jipya ni mwenye lugha za uchochezi
@ZaidAKissinza16 күн бұрын
Wewe issa na Lissu nani mjinga, jitafakari bro.
@issakazi275816 күн бұрын
@ZaidAKissinza lissu mpuuzi hana lugha za kistaarabu
@GodfreyMwamaso15 күн бұрын
Wewe na Lissu ni yupi mjinga? Naona hata hao unaowashabikia wanamjua Tundu lisu ni mtu mwenye maono
@issakazi275815 күн бұрын
@GodfreyMwamaso Hana maono ila ushoga ume mjaa
@Ba6382816 күн бұрын
Wewe Lisu huwezi kuongoza hata mtaa.
@markoshem-ij6cf16 күн бұрын
Mama Ako naye anaweza Nini
@adamlubawa128116 күн бұрын
@@markoshem-ij6cfMatusi hayajengi ila lissu hafai
@Ba6382816 күн бұрын
@markoshem-ij6cf mimi mama yupo tu wewe mama yako anatembeza mkundu wake shauri ya ushoga wake.
@daudimaembe336016 күн бұрын
Ila anaweza kupeperusha bendera ya urais kwa tiketi ya CHADEMA,kama alivyofanya 2020.
@festofute5816 күн бұрын
😂
@ShesheKaoneka15 күн бұрын
Hatupati mahitaji yetu kupitia siasa zenu, madaraja, hospitali, mashule, maji, maji nk vinafanyika sasa ninyi mtatuletea nini? Ninyi kila siku serikali hii srikali hii. Chadema tu mnaparurana kugombea uenyekiti na umakamu je watz wawaamini kwalipi. Ishieni hukohuko kwenye chadema yenu, serikali hamtaweza kabisa kabisa kabisa msipoteze muda angalao ishieni kwenye ubunge tu baasi.
@gabrielsaelie809115 күн бұрын
Shida ni ufinyu wa kuelewa mambo ya nchi kwa upana wake. Jaribu kujifunza, na ukibahatika kuelewa utajiona mtazamo wako kulingana na maoni yako sio sahihi.