Mungu Baba katika Kristo Yesu ni mtoaji hivyo nasi tu Wana na Urithi wake tu watoaji
@kijiweninarohomtakatifutv88264 ай бұрын
🙏🏾🙏🏾
@tumikiaelinassary54064 ай бұрын
Asante sana kijiweni na Roho Mtakatifu kwa Maarifa haya ya utoaji. Hakika utoaji siyo pesa tu Bali ni ufahamu Sahihi wa nini Bwana amenipatia. Asante sana ROHO MTAKATIFU kwa meza yako hii.
@kijiweninarohomtakatifutv88264 ай бұрын
Amina❤️
@farajihamisi25254 ай бұрын
Asante sana team nzima ya Kijiweni kwa kipindi bora kabisa.. Mungu azidi kuwajaza kwa kila utajiri wake katika Kristo Yesu❤
@kijiweninarohomtakatifutv88264 ай бұрын
Amina🎖❤️🙏🏾
@machageorge90834 ай бұрын
Halleluya🥳🥳 Katika kutoa tunamwona Mungu na sio Mchungaji, kama jinsi kupokea ni Neema pia utoaji ni Neema. Hatutoi kwa nguvu na uwezo wetu ila ni Neema ya Mungi tuliyoiruhusu ituwezeshe kutoa
@wilbertmaridadi61054 ай бұрын
Kipindi bora cha muda wote Kijiweni na Roho mtakatifu
@kijiweninarohomtakatifutv88264 ай бұрын
❤️Amina
@mbalaerney18864 ай бұрын
Kwakweli si sadaka yangu inayomtajirisha Mchungaji😂.. Hongereni sana kwa kutuletea ufahamu sahihi wa utoaji ndani ya Ufalme wa Mungu 🎉
@partsonjustine70594 ай бұрын
Utoaji ni asili, ni afya, ni maisha, ni utamaduni wetu ndani ya Ufalme wa Mungu. Leo hii tunaufurahia wokovu ikiwa no matunda ya utoaji wa Mungu Baba Mwenyewe. Heko Team nzima ya Kijiweni, heko Mwana na Mfalme katika Kristo Yesu.