Hallelujah! Ninamtukuza Bwana wetu Yesu Kristo kwa maarifa haya ya Ufalme Wa Mungu Baba katika Kristo ya namna ambavyo Ufalme Wa Mungu unavyojali familia. Asanteni Sana kwa maarifa haya
@farajihamisi2525Ай бұрын
Hallelujah Hallelujah! Mwokozi apewe Sifa milele! Asanteni sana team nzima ya Kijiweni na Roho Mtakatifu kwa mfululizo wote wa Maarifa haya ya Ufalme wa Mungu! Hakika kama ilivyo Familia imara ni msingi wa Taifa imara ndivyo ilivyo uimara wa vizazi vyetu ni matokeo ya ufahamu sahihi wa Uana kuanzia katika familia! Huduma ya Wana ni muhimu kuanzia kwa sisi Wazazi katika familia zetu mpaka katika Mwili wa Kristo! Asante sana Mchungaji wa Kristo Erney Mbala kwa Ufahamu huu sahihi ndani ya Ufalme wa Mungu Baba! Uzidi kufurahia Utukufu wa Wito ambao Bwana na Mfalme wetu ameweka ndani yako na kufurahia matunda ya kila kazi Njema unayoendelea kuifanya!
@kijiweninarohomtakatifutv882622 күн бұрын
❤️❤️❤️
@israelollotu439Ай бұрын
Kipindi Bora, mtangazaji bora, maarifa bora, muandaaji wa Kipindi 🙌! Hakika Hii sio yakusikiliza mara moja 😋😋😋
@kijiweninarohomtakatifutv882622 күн бұрын
🔥🔥❤️
@marykopwe177Ай бұрын
Hallelujah, Hallelujah. "Truly, truly, I tell you, the Son can do nothing by Himself, unless He sees the Father doing it. For whatever the Father does, the Son also does." John 5:19 Surely A son can not do without first seeing the Father doing we are always setting examples so our sons and Daughters. Thankyou so much Kijiweni na Roho Mtakatifu for this Precious yet needful Knowledge of the Kingdom of God. May the Almighty Father keep on Blessing and Increasing your reach to thousands and thousands to billions of people worldwide with this Knowledge.