BARAFU ZA MAZIWA// Mapishi

  Рет қаралды 241,721

Ika Malle

Ika Malle

Күн бұрын

Пікірлер: 82
@ivonafrans1245
@ivonafrans1245 4 жыл бұрын
Dada unajua kuelekeza jamani mashallah.....nakupenda sana...naomba kuuliza kama sina maziwa ya unga je nitumie nn maan uku kwet kidg bei ghal
@didahsalim360
@didahsalim360 4 ай бұрын
Corn flour kisha utie maziwa yaunga kidogo isaidiane na corn flour
@sarahwilson586
@sarahwilson586 5 жыл бұрын
Nice.. Ntatengeneza this weekend. Ntakupa mrejesho. Luv u
@BUKULUROBERT
@BUKULUROBERT 11 ай бұрын
Naomba namba yako🎉🎉🎉
@BUKULUROBERT
@BUKULUROBERT 11 ай бұрын
Naomba namba ya Ko🎉🎉🎉
@MariamNgaa
@MariamNgaa Жыл бұрын
Asante kazi nzur lakini vyakuchanganyia pakuvipata sasa
@Shariffamaulid-v9j
@Shariffamaulid-v9j Жыл бұрын
Tuoneshe namna yakutengeneza mix za hizo colours
@salmasulleysh7101
@salmasulleysh7101 Жыл бұрын
Yn juzi nimeona Ghana tui la nazi n maziwa bila kuchemsha nasema kuharisha c uku 😞
@FatumaMohamed-pb5gp
@FatumaMohamed-pb5gp 2 ай бұрын
Nitauza bei Gani Ili inilipe?
@ElizabethPaulo-se9kk
@ElizabethPaulo-se9kk Жыл бұрын
Naitaji kujifunza zaidi
@tinonoah6819
@tinonoah6819 4 жыл бұрын
Umetisha sana
@susanwangui7580
@susanwangui7580 5 жыл бұрын
Asante dada,pengine ungeweka maandishi ya kizungu unapozungumza iliupate pia views nyingi kote duniani!😉🙏
@petralwena1072
@petralwena1072 3 жыл бұрын
Tafadhar nifundishe vzr
@airlights
@airlights 5 ай бұрын
Waaaaoooo real nice
@elizaelia344
@elizaelia344 3 жыл бұрын
Good idea, weka video nyingi
@hasinarashid5059
@hasinarashid5059 3 жыл бұрын
👌👌👌lakin kma haunaa maziwaa ya unga unaweza tumiaa nn?? Kma mbadalaa??
@khadijasalum5666
@khadijasalum5666 2 жыл бұрын
cornstarch powder
@khadijasalum5666
@khadijasalum5666 2 жыл бұрын
au condensed milk
@fatumaally8831
@fatumaally8831 2 жыл бұрын
@@khadijasalum5666 ndo nin hicho mamy?
@sarahkinemo7039
@sarahkinemo7039 2 жыл бұрын
Kwa ujazo uwo Kwa Lita Moja ya maziwa hutoa vifuko vingap
@Tadeo-s4h
@Tadeo-s4h 3 ай бұрын
Tisha ❤
@marywangari1537
@marywangari1537 Жыл бұрын
Na flavor ni tumiye gani
@rahmansekela4651
@rahmansekela4651 4 жыл бұрын
Kwa vipimo hivyo unaweza kutoa ice cream pisi ngapi?
@devothabahati6548
@devothabahati6548 9 ай бұрын
Samahani naomba kujua vipimo Maji kiasi gani,rangi kiasi,vanira,
@beatricemmari6305
@beatricemmari6305 2 жыл бұрын
Maziwa lita moja nusu zinatoka barafu ngapi?
@mohamedkikale7241
@mohamedkikale7241 4 жыл бұрын
Safi kazi nzuri sana.
@joycegeorge4712
@joycegeorge4712 Жыл бұрын
Sasa itakulipa kweli?maziwa ya unga kias gan na sh ngapi,?
@aliloutfiya3
@aliloutfiya3 5 жыл бұрын
Allahu azidi kukubariki nitajaribu na mimi
@theresiajames630
@theresiajames630 4 жыл бұрын
naomba namba yko please
@anthonynjoka6146
@anthonynjoka6146 Жыл бұрын
Jambo hapo. Hizi vijifuko za karatasi unanunua wapi Nairobi?
@angelgoodluck563
@angelgoodluck563 3 ай бұрын
Burundi 😅
@gemmahmrema2669
@gemmahmrema2669 4 жыл бұрын
Mm naomba kuuliza ukitaka kutengeneza unatumia sukari yakawaida au kunaskar maalumu
@ikamalle
@ikamalle 4 жыл бұрын
Ya kawaida
@humphreykamera1100
@humphreykamera1100 5 жыл бұрын
Dada ubarikiwe sana kwa hii fursa,nakuomba unisaidie kwa hivyo vifuko ktk hiyo material vinatoka vingapi,asante
@boke9196
@boke9196 2 жыл бұрын
50
@neemamasawr165
@neemamasawr165 Жыл бұрын
asante sana dada umetisha hongera kwakaz nzur
@neemafungo7278
@neemafungo7278 4 жыл бұрын
M naona kama hakuna maziwa tutumie unga wa ngano
@shannyshaaban8287
@shannyshaaban8287 3 жыл бұрын
Kwan ubuyu haufai rang mbili
@jamilahemed5131
@jamilahemed5131 Жыл бұрын
Kama unataka ice cream nyingi je unauwezo wakuweka maji
@rehematawalani733
@rehematawalani733 3 жыл бұрын
Mi hapo ilipo kuwa nzito pamenipita sijui ulifanyaje hadi ikawa nzito
@hafsahcletty5968
@hafsahcletty5968 5 жыл бұрын
Inshaallah Ntafanya.Shukran
@saliymahmed8221
@saliymahmed8221 4 жыл бұрын
Habar yako dada ahsante kwa maujuzi ss kwa mfano maziwa ya unga sina itakuaje??
@ahmednassor3061
@ahmednassor3061 3 жыл бұрын
Weka castard
@mafundafundi9537
@mafundafundi9537 2 жыл бұрын
Kama huna maziwa ya unga
@talibissa1664
@talibissa1664 2 жыл бұрын
Mbona.yang.yanakuwa.na.baraf
@hasnuuahmed9834
@hasnuuahmed9834 3 жыл бұрын
sorry for one litre how many ice may i get pleasss🍜
@farajangandu9111
@farajangandu9111 2 жыл бұрын
Hiki kikombe kimoja ni kipimo gani
@mariammbughi2702
@mariammbughi2702 5 жыл бұрын
Yaan katika Chanel nazoziaminia yako no 1
@neemamsuyas3084
@neemamsuyas3084 5 жыл бұрын
Like it sisy @ika male
@bishuniahmed5035
@bishuniahmed5035 4 жыл бұрын
Hii nataka kuuza biashara hiyo lakin mifuko hakuna huku kabisa Kenya naomba utanisaidiaje inbox mm plz
@kichenwearkitchen6460
@kichenwearkitchen6460 5 жыл бұрын
sasa hizi utauza sh.ngap
@jeniphermati2347
@jeniphermati2347 11 ай бұрын
100
@aishaabdallah4560
@aishaabdallah4560 5 жыл бұрын
Nimezipenda da je km za biashara zalipa kwl?
@hellenmgonja6137
@hellenmgonja6137 4 жыл бұрын
Hazitalipa kwakweli
@SamwelFelex
@SamwelFelex 5 ай бұрын
Axant ntajarb
@halimamasatu5412
@halimamasatu5412 5 жыл бұрын
Uwe unatuandikia na hivyo vitu vinakopatika my ni kwny maduka ya aina gani
@aminamakame7746
@aminamakame7746 2 жыл бұрын
Sasa izo mfano ukizitengeneza km chostik ukiuza 200 dada zinalipa?
@paulinakelvin1037
@paulinakelvin1037 2 жыл бұрын
Zinalipa punguza ujazo wekazamia nazamiambili
@cutiethuma9931
@cutiethuma9931 4 жыл бұрын
Hio rangi ni just food colour ama please specify
@naomimapenziyaa4144
@naomimapenziyaa4144 2 жыл бұрын
CMC ni Power gani sielewi
@noelakataraiha6692
@noelakataraiha6692 5 жыл бұрын
I cnt wait the next video!
@priscillalilian4767
@priscillalilian4767 5 жыл бұрын
wonderful
@gracenkongo199
@gracenkongo199 5 жыл бұрын
Hizo rangi na radha zinapatikana wapi?
@ikamalle
@ikamalle 5 жыл бұрын
Sokoni na maduka ya vyakula
@hassnhaji8585
@hassnhaji8585 3 жыл бұрын
mashallah
@amizahayola8437
@amizahayola8437 5 жыл бұрын
Hayo maziwa ya unga aina gani au yoyote yanafaa
@ikamalle
@ikamalle 5 жыл бұрын
Niliyotumia mimi niyale yakupima! But unaweza tumia yoyote
@secytarimo3084
@secytarimo3084 5 жыл бұрын
Za biashara zina faida kweli
@shamsahussein2867
@shamsahussein2867 3 жыл бұрын
Naweza kutumia maziwa ya unga pekee ama
@cautharymcharo4582
@cautharymcharo4582 2 жыл бұрын
Zote izo rangi ni maziwa
@jacklineshirima812
@jacklineshirima812 4 жыл бұрын
Sukari uweki
@husnamajid1491
@husnamajid1491 4 жыл бұрын
Vipi nikitumia maziwa ya unga tu Kama Sina ya maji
@ikamalle
@ikamalle 4 жыл бұрын
Ni sawa
@anniedeokari2782
@anniedeokari2782 3 жыл бұрын
😋😋😋😋😋
@sharononyango7668
@sharononyango7668 4 жыл бұрын
Naeliki nini,ukishaongeza maziwa ya unga hiyo ingredient ingine ni gani
@mahranrashma1745
@mahranrashma1745 5 жыл бұрын
Nice. Plz nitag kwenye hiyo video rasmi
@getrudautenga1530
@getrudautenga1530 5 жыл бұрын
Asante tunasubir iingine
@allyzicko8149
@allyzicko8149 5 жыл бұрын
Shukran
@neemamsuyas3084
@neemamsuyas3084 5 жыл бұрын
Nataman nionjee😝😝
@saadaissa2234
@saadaissa2234 5 жыл бұрын
Lv u
@allyzicko8149
@allyzicko8149 5 жыл бұрын
Shukran
KUTENGENEZA BARAFU ZA RANGI 3 Nyumbani/ Colored Ice popsicles
5:50
MILK RAINBOW JELLY ICE CANDY [Yummy And Sweets]
7:55
Yummy And Sweets
Рет қаралды 146 М.
黑天使被操控了#short #angel #clown
00:40
Super Beauty team
Рет қаралды 61 МЛН
Njia rahisi ya kupika barafu za maziwa
8:35
Dydah's Kitchen
Рет қаралды 81 М.
How to make ice cream using milk and custard | Abele walls
5:34
Hawa kitchen
Рет қаралды 9 М.
ICE CREAM USING MILK AND CUSTARD | ABELE WALLS
8:04
Rozy's Kitchen
Рет қаралды 1,6 МЛН
JINSI YAKUTENGENEZA BARAFU TAMU ZA UBUYU (2022)
4:07
Ika Malle
Рет қаралды 42 М.
BARAFU ZA MAZIWA ZA BIASHARA TAMU SANA
5:31
Hadija Sheban
Рет қаралды 27 М.
BARAFU ZA RANGI MBILI/ MAKING ICE CANDY (2019)
5:21
Ika Malle
Рет қаралды 210 М.