BARAFU ZA RANGI MBILI/ MAKING ICE CANDY (2019)

  Рет қаралды 209,698

Ika Malle

Ika Malle

Күн бұрын

Пікірлер: 104
@chikumbutsobaluwa7831
@chikumbutsobaluwa7831 2 жыл бұрын
Made mine yesterday, thanks for the recipe
@everlyinebazil9655
@everlyinebazil9655 4 жыл бұрын
Dada Kama za biashara inakuaje ili kupata Na faida
@tajiriskitchenswahiliflavo1723
@tajiriskitchenswahiliflavo1723 5 жыл бұрын
Ninavyopenda rambaramba, naweza kuzila nyingi sana hizo na vile ulivyo zitengeza👌
@hamisichenji5989
@hamisichenji5989 5 жыл бұрын
Ziko vizuri sana dada yani umenishawishi niingie kwenye hii biashara jaman
@rehematawalani733
@rehematawalani733 2 жыл бұрын
Hapo sawa nimesha elewa
@mela6963
@mela6963 3 жыл бұрын
Mambo hii corn flour ni unga wa mahindi tu kawaida au nnin?
@lucysanka2570
@lucysanka2570 2 жыл бұрын
Ahsante sana
@GetrudeTarimo-o7t
@GetrudeTarimo-o7t Жыл бұрын
Je nikitengeneza bila kuweka hiyo comflawer
@maryahelena5794
@maryahelena5794 3 жыл бұрын
Nice and pretty
@queeneva3709
@queeneva3709 5 жыл бұрын
Waoo ahsante kwa elimu nzuri
@nyendokaombwe8362
@nyendokaombwe8362 4 жыл бұрын
He hapo kula moja sh ngapi kwa biashara
@sasakhseif9550
@sasakhseif9550 Жыл бұрын
Kutengeneza bila jelly inawezekana?
@missryntomzee2622
@missryntomzee2622 7 ай бұрын
Akhsante sana
@atuganilemwakipesile4979
@atuganilemwakipesile4979 4 жыл бұрын
Mmeejua kunifurahisha, mbarikiwe sana
@suzanemarate2088
@suzanemarate2088 3 жыл бұрын
Ubarikiwe
@mohamedshafiqahmed7573
@mohamedshafiqahmed7573 5 жыл бұрын
Naomba uniambie namna kuchanganya corn flour ikiwa natengeneza ice(ramba ramba)
@MonicaNderege-gb2rx
@MonicaNderege-gb2rx Жыл бұрын
Zina shawishi kula hatar daaah
@raysaraysa8186
@raysaraysa8186 Жыл бұрын
Sisy naomba nielekeze kutumia cmc kwa barafu nashindwa kuimix inaweka mabuje
@jacobtesha4043
@jacobtesha4043 4 жыл бұрын
Nmependa sanaaaa hongera
@sharifamisomba498
@sharifamisomba498 4 жыл бұрын
Asante saana nimeipenda
@ilhamprecious8816
@ilhamprecious8816 4 жыл бұрын
Unapata faida kweli
@hafidhmashairi4643
@hafidhmashairi4643 2 жыл бұрын
Kutengeneza bila ya maziwa inawezekana
@fridafungo948
@fridafungo948 5 жыл бұрын
Ahsantee dada wewe ni zaid ya msaada
@mamybotha1761
@mamybotha1761 5 жыл бұрын
Nitajaribu
@tabithajohn2440
@tabithajohn2440 Жыл бұрын
Mamb
@aishaabdallah4560
@aishaabdallah4560 5 жыл бұрын
MashaaAllah mwaya nimexipenda
@ikamalle
@ikamalle 5 жыл бұрын
Asante 🥰
@oliverfrancis3254
@oliverfrancis3254 5 жыл бұрын
Aisha Abdallah
@PelinaFrancis
@PelinaFrancis Жыл бұрын
Natamani kama uone comment yangu na uijib.
@johnmtulya528
@johnmtulya528 3 жыл бұрын
Kwaio unaweka cornflower Mara 2?!
@robb4547
@robb4547 4 жыл бұрын
Napenda Mapishi yako dada
@berithatilutoza5492
@berithatilutoza5492 4 жыл бұрын
How much do Sell at a one pack cwty
@aminafuraha1645
@aminafuraha1645 2 жыл бұрын
Nitamusana
@kamarahmed2607
@kamarahmed2607 4 жыл бұрын
nita pata wapi hizo karatasi za barafu plse reply
@halimakaman7580
@halimakaman7580 5 жыл бұрын
Eg nataka kutengenezea ya ubuyu process zake zinakuwa kama hvyo
@mwatumubakari8345
@mwatumubakari8345 5 жыл бұрын
Sasa kama kwa biashara utauza shiling I ngapi?
@zlatan2913
@zlatan2913 4 жыл бұрын
kwa biashara za faa endapo kaweka hatua nyingi
@barikikaroli6088
@barikikaroli6088 5 жыл бұрын
Nitakuja kujaribu na mimi 😀
@marthaalibinus5480
@marthaalibinus5480 4 жыл бұрын
Samahan kiungo gan kinafanya ice cream iwe lain
@mwasitiomtima1896
@mwasitiomtima1896 4 жыл бұрын
Martha Alibinus kilainishi kinaitwa CMC
@rosejoseph9378
@rosejoseph9378 5 жыл бұрын
Nice nlkuwa nasubiri ili somo kwa hamu ubarikiwe ika
@ikamalle
@ikamalle 5 жыл бұрын
Amen 🥰
@zainabsaid403
@zainabsaid403 4 жыл бұрын
@@ikamalle iyl spitali h
@fayasevetu8620
@fayasevetu8620 3 жыл бұрын
Hiyo pinki imetokeaje anaejua plz msaada
@mwatumubakari8345
@mwatumubakari8345 5 жыл бұрын
Nashukuru maana nikuwa najilaza uwa zinatengenezwaje
@marycatherinewangeci855
@marycatherinewangeci855 4 жыл бұрын
Mfuko nitapata wapi
@judynjeri5105
@judynjeri5105 4 жыл бұрын
Where can I get those small papers
@Kenchiyh
@Kenchiyh 5 жыл бұрын
Rangi imependeza sana
@jamilashee1052
@jamilashee1052 4 жыл бұрын
fantastic
@agnessahia415
@agnessahia415 4 жыл бұрын
Ika Asante Sana naanza UJASIRIAMALI sasa
@nyamburijames7259
@nyamburijames7259 3 жыл бұрын
Unaweza kuweka rangi mchemsho ukiwa bado jikoni
@christinamelikioli9201
@christinamelikioli9201 3 жыл бұрын
Samahani my hizi za vijiti mim ninafliz ya kawaida tu naweza kutumia nazikagada kawaida vikop hivyo vinauzw wapi
@chadianduwimana3324
@chadianduwimana3324 5 жыл бұрын
Unaweza tumia unga wowote
@bellaabu5726
@bellaabu5726 5 жыл бұрын
Kiungo gani kinafanya barafu kua laini ukikosa kueka barafu zinakua kama jiwe?
@shakilaemmanuel825
@shakilaemmanuel825 4 жыл бұрын
Katafute kitu inaitwa cmc
@madamhisabati2793
@madamhisabati2793 2 жыл бұрын
Sorry kama nataka kuuza ntauza kwa sh. Ngp
@luvunodzunga5131
@luvunodzunga5131 5 жыл бұрын
Discozaboz🤣🤣🤣🤣 ila Asante mummy good work
@floraelias5712
@floraelias5712 2 жыл бұрын
Hyo cornflor inapaa6ikana wapina bri gani?
@muniramunira401
@muniramunira401 4 жыл бұрын
Sante sana
@jenminja2368
@jenminja2368 5 жыл бұрын
Samahan dada naomba kujua hizi rangi znatokana na nini
@mwasitiomtima1896
@mwasitiomtima1896 4 жыл бұрын
Jen Minja rangi za chakula
@rehemakatundu7027
@rehemakatundu7027 3 жыл бұрын
😋😋😋😋
@kurusumun9645
@kurusumun9645 4 жыл бұрын
Tupe maelekezo kuusu ngisi ulivyo tengeneza izo rangi
@jainaboman8952
@jainaboman8952 5 жыл бұрын
Nzurii daah nikirudi tz zitanikomaa
@kibouttv7148
@kibouttv7148 5 жыл бұрын
Hi ika male mambo, natumia VLLO kuedit video zangu ila nashindwa kusave wewe huwa unafanyaje? Naomba nielekeze. Asante
@nadiaabdallah8931
@nadiaabdallah8931 5 жыл бұрын
First viewer❤️❤️❤️
@ikamalle
@ikamalle 5 жыл бұрын
Thank u dear🥰
@josephpesa5192
@josephpesa5192 5 жыл бұрын
Hiyo Cornflour mbona haujasema nikwaajili ya nini dada
@mossyhamza7750
@mossyhamza7750 5 жыл бұрын
Yasababisha kuwa na uzito
@anjelaslim1149
@anjelaslim1149 5 жыл бұрын
Kuwa laini
@zuwenaalbogast7180
@zuwenaalbogast7180 3 жыл бұрын
Asante kwa darasa nimejifunza
@hafsahcletty5968
@hafsahcletty5968 5 жыл бұрын
Mashaallah
@cutiethuma9931
@cutiethuma9931 5 жыл бұрын
Hio jell Waeza tu kueka tu arufu ya kawaida
@ikamalle
@ikamalle 5 жыл бұрын
Hii jelly, ndio inaleta ule uzito
@mariamkalova8852
@mariamkalova8852 4 жыл бұрын
Sorry ila,,HV mbon mm nikitengenez za ubuyu zikishagand maji na ubuyu vinajitenga??
@athumaningekewa7509
@athumaningekewa7509 3 жыл бұрын
Unaweka mwepesi sana
@husnamajid1491
@husnamajid1491 5 жыл бұрын
Pls tuandikie mahitaji
@victoriabjohn1427
@victoriabjohn1427 5 жыл бұрын
Me nataka kujifunza vip unachukuwa wanafunzi binafsi
@shanisuleiman391
@shanisuleiman391 4 жыл бұрын
Safi kabsa
@victoriabjohn1427
@victoriabjohn1427 5 жыл бұрын
💞
@vivianlukumay7876
@vivianlukumay7876 4 жыл бұрын
I will be in a few days to get a good idea to get back with my family
@muznajuneid3206
@muznajuneid3206 2 жыл бұрын
Namba zako plz
@cutiethuma9931
@cutiethuma9931 5 жыл бұрын
Hio corn flour ni unga wa ugali ama na kama ndo yoyote inafaa ama lazima hio
@ikamalle
@ikamalle 5 жыл бұрын
Hahahah! Ni Corn 🌽 flour.... ni mlaini kama ngano but ni corn flour
@cutiethuma9931
@cutiethuma9931 5 жыл бұрын
@@ikamalle Si unga wa mahindi huu
@cutiethuma9931
@cutiethuma9931 5 жыл бұрын
@@ikamalle maana wa mahindi ndo twapikia ugali
@neemamsuyas3084
@neemamsuyas3084 5 жыл бұрын
Nice sisy @ikkamalle
@ikamalle
@ikamalle 5 жыл бұрын
Thank u 🥰
@sikudhanimponda2560
@sikudhanimponda2560 4 жыл бұрын
Mimi Dada nilikuwa naulizia vile vikopo vya kutengenezea ice cream vinapatikana wapi?
@ikamalle
@ikamalle 4 жыл бұрын
Maduka ya vyombo
@sharonvugutsa969
@sharonvugutsa969 5 жыл бұрын
😋😋😋
@ikamalle
@ikamalle 5 жыл бұрын
😋😋😋😋
@bibimzee7880
@bibimzee7880 5 жыл бұрын
Katika barafu yako kuna kitu umeweka kama mafuta kwa jina jingine inaitwa nini daa mimi sijui
@palomabaraka3991
@palomabaraka3991 4 жыл бұрын
Bibi Mzee sona mpz ni maziwa mazito na sio mafuta
@charityjmgonja1946
@charityjmgonja1946 5 жыл бұрын
Nimependa video yako ila tuko wengine tuna allergy na maziwa. Naomba utuonyeshe rangi mbili ya ubuyu au ukwaju
@ikamalle
@ikamalle 5 жыл бұрын
Nitajaribu, then nitawaonyesha
@raysaraysa8186
@raysaraysa8186 Жыл бұрын
@@ikamalle tunasubir ❤
@haniphermuscatoman6554
@haniphermuscatoman6554 4 жыл бұрын
Asante mumy
@zamraiddi6805
@zamraiddi6805 5 жыл бұрын
sorry hivo vijiti vina saidia nn
@janethkiswaga9873
@janethkiswaga9873 5 жыл бұрын
Zamra Iddi nikushikia wakati Wa kula
@falilaseba7210
@falilaseba7210 4 жыл бұрын
Zamra Iddi hello good evening how are you doing please I want to leave this ice cream but still I don't understand
@jafrikakakomba2527
@jafrikakakomba2527 4 жыл бұрын
Xorry naitwa JOHN nipo mpanda katavi nataman sana kujifuza practically sijui utanisaidiaje no ya sm 0742865675
@mziwandabakers8297
@mziwandabakers8297 5 жыл бұрын
😋😋😋
Jinsi Ya Kutengeneza Icecream Lita 20 Rahisi Sana
7:22
Mziwanda Bakers
Рет қаралды 707 М.
How Much Tape To Stop A Lamborghini?
00:15
MrBeast
Рет қаралды 254 МЛН
Чистка воды совком от денег
00:32
FD Vasya
Рет қаралды 4,7 МЛН
MILK RAINBOW JELLY ICE CANDY [Yummy And Sweets]
7:55
Yummy And Sweets
Рет қаралды 136 М.
KUTENGENEZA ICECREAM TAMUU//HOW TO MAKE CHOCOBARS// 2019
4:39
Ika Malle
Рет қаралды 548 М.
Sold out!? Making the popular Dubai Chocolate / Korean chocolate factory
16:33
푸드킹덤 Food Kingdom
Рет қаралды 2,4 МЛН
JINSI YA KUTENGENEZA ICECREAM ZA UBUYU
6:20
Dina
Рет қаралды 121 М.
amazing coconut water, ice cream, jelly making - thai street food
25:20
야미보이 Yummyboy
Рет қаралды 14 МЛН
KUTENGENEZA ICECREAM LITA 5, UJASIRIAMALI  (2021)
8:02
Ika Malle
Рет қаралды 63 М.