KUTENGENEZA BARAFU ZA RANGI 3 Nyumbani/ Colored Ice popsicles

  Рет қаралды 137,731

Ika Malle

Ika Malle

Күн бұрын

Пікірлер: 92
@hasinarashid2768
@hasinarashid2768 4 жыл бұрын
Imeuuwaaa,asante sanaa haika wew umenifanya niwe mjasiliamali wew pamoja na mziwanda.jamaan asanten sanaa nawapendaa
@fatumamhada651
@fatumamhada651 4 ай бұрын
asante kwa somo nilitaman sana kujua znatengenezwaje Mungu akubark
@Angel-h5t-q9m
@Angel-h5t-q9m 10 ай бұрын
I tried it wow it’s really amazing
@ashrasaghira6552
@ashrasaghira6552 4 жыл бұрын
I will try this aisee,watoto wanapenda colourful things..nice video Ika
@aishaabdallah4560
@aishaabdallah4560 4 жыл бұрын
MaashaaAllah nimezipenda haswa hizo za vikopo
@MariamMsangi-vp7sm
@MariamMsangi-vp7sm Жыл бұрын
Nmeipenda Sana hii asante kwa ujuzi Mungu akubariki
@FebineAwuor
@FebineAwuor 4 жыл бұрын
Jamani, nimetamani barafu sasa. Zinaonekana tamu sanaaa.
@janethrichardpaulo2712
@janethrichardpaulo2712 2 жыл бұрын
Dah nimejua nilikua najiuliza wanafanyaje Asante sana 🙏
@fatmahassan8153
@fatmahassan8153 4 жыл бұрын
Recipe Maziwa 2 little Corn flour one table spoon Maziwa ya power one cup Sugar 2 cups Vanilla one tbsp Boil till thick Divide into three put colour each it's different colour
@emmanuelnyalali1444
@emmanuelnyalali1444 2 жыл бұрын
Mngeandik kiswahili maitaji jmn ili kila MTU afahamu
@joachimmmanga7962
@joachimmmanga7962 2 жыл бұрын
Nahitaji kujifunza zaid kutoka kwako nafanyaje?
@VailethBiyobha
@VailethBiyobha Жыл бұрын
Dada ko kutokana na ivo vipimo vya lita mbili za maziwa unatoa mifuko ngap ya barafu?
@mariasshilla4528
@mariasshilla4528 4 жыл бұрын
Nzri sana Dada Asànte
@OlivaNgoha
@OlivaNgoha 10 ай бұрын
Wooow nimependa sana
@terrycarty6815
@terrycarty6815 4 жыл бұрын
Wow looks very sweet 👌🏽💯💙💙💙 thanks
@tajiriskitchenswahiliflavo1723
@tajiriskitchenswahiliflavo1723 4 жыл бұрын
Barafu zavutia hadi raha😋👌
@christinenjuguna2838
@christinenjuguna2838 8 ай бұрын
Zinavutia kweli. Yummy 😋
@HadijaSheban
@HadijaSheban 4 жыл бұрын
Wanikumbusha utotoni😋😋😋😋😋 recipe rahisi nitajaribu
@latifamkulazi8378
@latifamkulazi8378 4 жыл бұрын
Asante dada Ila samahani maranyingine hivyo vikopo vyarangi ya ugoro funika kwa foil ili vijiti vikae sawa😍
@fredliroy6107
@fredliroy6107 4 жыл бұрын
Nice video 👏🏽
@hevenlightminja8343
@hevenlightminja8343 4 жыл бұрын
Somo lijalo Naomba ziwe zakuuza 100_200 please maana hapo niakula nyumbani hata ukiuza kwabei zamitaani hupati faida
@balisanyukapatience1679
@balisanyukapatience1679 3 жыл бұрын
I love your sessions thank you so much
@kahambujulie7131
@kahambujulie7131 10 ай бұрын
Asate sana❤❤
@ashurakabura345
@ashurakabura345 3 жыл бұрын
Asante saana dada sa sa mim nataka kutengeneza sa kuuza je naweza kuongeza maji?
@DottoIdd
@DottoIdd 10 ай бұрын
Nimependa MNGU Akubaliki
@fadhilamalindi7855
@fadhilamalindi7855 4 жыл бұрын
Dada unafundisha vizur sana
@AsifaSaidy
@AsifaSaidy Ай бұрын
Maziwa lita 2 maji unaweka kiasi gani? Na unatoa icekreem ngapi?
@reginajohn4048
@reginajohn4048 Жыл бұрын
Good job
@achiengselestine4796
@achiengselestine4796 2 жыл бұрын
Looks yummy 😋
@gaudensialugome7223
@gaudensialugome7223 Жыл бұрын
Nimependa
@fatmatwalib8408
@fatmatwalib8408 4 жыл бұрын
Ahsante sana kwa askrim tamu.Mi nahitaji hivyo vipo vyeupe vyenye mfuko wa bluu nitavipata wapi?
@ikamalle
@ikamalle 4 жыл бұрын
Kwenye maduka ya vyombo
@fatmatwalib8408
@fatmatwalib8408 4 жыл бұрын
Shukran
@saadaissa2234
@saadaissa2234 4 жыл бұрын
Nimependa jmn
@sharifamisomba498
@sharifamisomba498 4 жыл бұрын
Je ukiweka cornflouw huweki kilainishi na zitakua laini.asante saana kwa somo
@juliethurio6840
@juliethurio6840 4 жыл бұрын
Nice video
@ikamalle
@ikamalle 4 жыл бұрын
Thank You 🥰
@rachelmwaipungu5069
@rachelmwaipungu5069 4 жыл бұрын
Hiyo nimeipenda
@marywambua6445
@marywambua6445 7 ай бұрын
Zina faida dada
@scholasticagerald6790
@scholasticagerald6790 4 жыл бұрын
Nzuri
@hadijaossodo9665
@hadijaossodo9665 4 жыл бұрын
Sasa mbona sion ukijb maswal? Je kwa biashara hapo faida ipo kwel? Maana watoto weng hununua baraf sh 100
@salummussa1139
@salummussa1139 3 жыл бұрын
Nimeipenda shukran
@upendoswai2327
@upendoswai2327 3 жыл бұрын
Samahan dada je nawezaje kupata rangi mbili kwenye ubuyu??
@elizaraphael-yp5bp
@elizaraphael-yp5bp Жыл бұрын
Dada aika nilikuwa nakuuliza je ice cream ya maziwa zinaweza kukaa siku ngapi bil kualibika
@melinaoswardy444
@melinaoswardy444 4 жыл бұрын
Sorry nilazma maziwa au hata kitu kingne?
@KidawaKhaji
@KidawaKhaji Жыл бұрын
Lazima uweke maziwa?
@agnesahingula657
@agnesahingula657 4 жыл бұрын
Hii corn flour n unga to ya ugali wa kawaida ama vipi
@ikamalle
@ikamalle 4 жыл бұрын
Ulizia Corn Flour dukani (Redgold ama Zesta)
@lilianlema4744
@lilianlema4744 4 жыл бұрын
Asante kwa utaalamu.
@KhadijaKapalale
@KhadijaKapalale 7 ай бұрын
Naomba unifunfishw
@dottoabdallah6860
@dottoabdallah6860 4 жыл бұрын
Nimekuelewa zimependeza nakama za ukwaju naomba unieleweshe
@evakimbory4992
@evakimbory4992 4 жыл бұрын
Ni lazima kutumia maziwa ya unga? Jibu plz
@zaibonge7867
@zaibonge7867 4 жыл бұрын
Jamani mwenzenu huku ngongo LA mboto ..nikinunua rangi za asikilimu napata zinamichumvi hataree
@justaamos2548
@justaamos2548 Жыл бұрын
tuletee icecream za jelly
@pendokanzosifa9985
@pendokanzosifa9985 4 жыл бұрын
Ukijua dadangu
@lindamlaki8103
@lindamlaki8103 4 жыл бұрын
Ziko vizuri sana kwa kweli sasa kwa kuuza utauzaje let's say hizo ulizotengeneza
@kallobenedicto2553
@kallobenedicto2553 2 жыл бұрын
Naomba kujua hivyo kikombe ulinunua wapi nami naitaji
@theadventurousfamilykenya
@theadventurousfamilykenya 4 жыл бұрын
Can you use ordinary food color
@rahmamusa9627
@rahmamusa9627 4 жыл бұрын
Mashalllaha asante khabmt
@emmanuelnyalali1444
@emmanuelnyalali1444 2 жыл бұрын
Zinakua lain au ngumu?
@asmasechonge1424
@asmasechonge1424 3 жыл бұрын
Dada umetisha na Mimi nimejalibu leo nimewezaa
@AishaNjiku-e9b
@AishaNjiku-e9b Ай бұрын
Maziwa hatutii maji
@annayusuph3734
@annayusuph3734 2 жыл бұрын
He baweza jutengebeza bila kugandisha maji kwanza
@joachimmmanga7962
@joachimmmanga7962 2 жыл бұрын
Naomba kuuliza zinakuwa lain au ndoozile ukinyonya zinaisha utam alafu ngum kama jiwe la barafu
@rosenaantony3328
@rosenaantony3328 2 жыл бұрын
Umepata wap vikopo hivyo?
@joslyjojo221
@joslyjojo221 4 жыл бұрын
Hasante Sana Sasa ukiweka nyingi hizo food color hazitakuwa chungu ?
@ikamalle
@ikamalle 4 жыл бұрын
Hapana
@ilhamprecious8816
@ilhamprecious8816 4 жыл бұрын
Naomba yako dada
@macfancy3065
@macfancy3065 4 жыл бұрын
Corn flour ni unga gani pliiz
@HerenaNjema-xz2gw
@HerenaNjema-xz2gw Жыл бұрын
Samahani naomba kujua hiyo fonfrawa unaweza kurunia kwenye barafu za ubuyu
@veronicawambura4992
@veronicawambura4992 4 жыл бұрын
Lazima nisabscribe hii chanel nimeipenda.
@zaibonge7867
@zaibonge7867 4 жыл бұрын
Umefunga na machine hizo asikilimu za mifuko
@Zuwena-ub1bf
@Zuwena-ub1bf 6 ай бұрын
Nilikuwa naomba namba yako kama hauto jali my dear
@JasminJaph
@JasminJaph 9 ай бұрын
Asnt
@CesyMwacha
@CesyMwacha 9 ай бұрын
Maji huweki
@nasrahatibkiluwasher6039
@nasrahatibkiluwasher6039 3 жыл бұрын
Asante mpnz
@williamngoma8362
@williamngoma8362 2 жыл бұрын
Nime penda sana
@susanogola4950
@susanogola4950 4 жыл бұрын
Izo rangi ni food color ama
@JudithMarwa
@JudithMarwa 8 ай бұрын
Mbona haujibu koment
@mobellamobenimpenda7055
@mobellamobenimpenda7055 4 жыл бұрын
Upatie namba zako my
@prosperikaku9879
@prosperikaku9879 4 жыл бұрын
Kwani iyo corn flour ndio cmc
@ikamalle
@ikamalle 4 жыл бұрын
Hapana
@happymallya6531
@happymallya6531 4 жыл бұрын
Kama nikidilute maziwa itaweza kutoka na uzito huoo
@dianastolp9567
@dianastolp9567 4 жыл бұрын
Ndio uzito unatokana na corn flour
@deborahmwasaga7355
@deborahmwasaga7355 4 жыл бұрын
Asante
@xuismgonda4212
@xuismgonda4212 2 жыл бұрын
Kuna mtu katumia video yako hivi hivi ila ni mkaka
@Getruda-mt2bv
@Getruda-mt2bv 3 ай бұрын
Faniflawa ndio nn
@mwilemwasenga7066
@mwilemwasenga7066 2 жыл бұрын
Contacts
@AishaRamadhan-l3p
@AishaRamadhan-l3p 7 ай бұрын
huwez chujuwa
@saumusaidisaumusaidmaswany3414
@saumusaidisaumusaidmaswany3414 3 жыл бұрын
Naomb namb zako 0718195056
@aminaissare6878
@aminaissare6878 2 ай бұрын
hivi vikopo vinapatikana wapi?
Jinsi Ya Kutengeneza Icecream Lita 20 Rahisi Sana
7:22
Mziwanda Bakers
Рет қаралды 707 М.
MILK RAINBOW JELLY ICE CANDY [Yummy And Sweets]
7:55
Yummy And Sweets
Рет қаралды 136 М.
Quando A Diferença De Altura É Muito Grande 😲😂
00:12
Mari Maria
Рет қаралды 16 МЛН
Lazy days…
00:24
Anwar Jibawi
Рет қаралды 8 МЛН
Кто круче, как думаешь?
00:44
МЯТНАЯ ФАНТА
Рет қаралды 6 МЛН
JINSI YA KUTENGENEZA ICECREAM ZA UBUYU
6:20
Dina
Рет қаралды 121 М.
BARAFU ZA RANGI MBILI/ MAKING ICE CANDY (2019)
5:21
Ika Malle
Рет қаралды 209 М.
7 Easy Homemade Ice Cream Recipes (No Ice Cream Machine)
7:22
The Cooking Foodie
Рет қаралды 7 МЛН
JINSI YA KUTENGENEZA LAMBALAMBA ZA AINA MBALIMBALI
9:43
SUNRISE TZ
Рет қаралды 11 М.
Jinsi ya kutengeneza popsicle/ chostic za maziwa / ice cream nyumbani
8:06