Huu wimbo umenikumbusha ule wimbo Barnabas aloimba na pipi.. unaitwa njia panda
@eliudijustinyindi59392 жыл бұрын
Hatari sana huyu dada anakuja kwakasi ya kirusi Cha korona 🔥🔥🔥
@omarylukindo53062 жыл бұрын
Mungu muweza,kamfanya vannesa mdee aondoke bongo aache mziki alinde ndoa yae.ila kaleta huyu saraphina kuziba lile pengo la V, money
@depsonbasil4852 жыл бұрын
From USA 🇺🇸 Barnaba unajua sana my brother huu wimbo ndio naupenda sana ndio umekuwa wimbo wangu pendwa sana
@georginamika74942 жыл бұрын
Phina sounds like vmoney for me she killed it
@muhimpundulareine41472 жыл бұрын
That truth her sound like vmoney.👌
@djgthehotstepper2 жыл бұрын
Definitely 🇰🇪🇰🇪🤣🤣🤣👊🏾 phenomenonal
@archiebelar98002 жыл бұрын
true....
@mkulimasephania90402 жыл бұрын
Ok
@becadoksultan81442 жыл бұрын
Kali sana kaka,,, unyama mwingi 🔥🔥💯💯🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇰🇪🇰🇪
@loycelucas38632 жыл бұрын
Hiii nyimbooo yanguu jamniii😂😂😂😂hata sielewiii kbsaaa kbsaaa if am in love au tunataniana wallah😩😩😩
@Mayatimatv2 жыл бұрын
Saraphina kama Vanessa mdee💥💯 lovely
@deejaybmm2 жыл бұрын
I am slowly falling in Love with Saraphina. She killed this track. Go and conquer the world Girl! This Album is definitely fire!
@savimbialex84522 жыл бұрын
Big Musik my brother nyimbo pendwa kwangu kwenye hii Album ...Safi sana🇩🇪🇩🇪🇩🇪🇩🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@idareyoutodream60302 жыл бұрын
Saraphina+ Banarbas=🔥 Can't wait for this video
@mrhomeelectricaldesigner70742 жыл бұрын
Daaah kiukweli nimejaribu kupango ngoma zangu kali kwa list kiukweli kila ninayo play nihatari nimeishia ya 1mario na barnaba 2 rayvan na brnaba kiukweli na sounafic arbam nikali kinoma mwaka huu barnaba nakuona mbali sana kweli hii ndomaana ya mpao kaka 🙌🙌🙌🙌 kiukweli nihatari
@yusufulimo57372 жыл бұрын
Mpaka sasahiv nimesikiliza nyimbo4 TU na zote Kali hi Ni Moja ya album kubwa Sana mwaka huu imeandaliwa vzr na ina sound nzuri maudhui na mazr kila kitu so nice mopao B,classic ❤️🙏🙏🙏
@mercyboucher9918 Жыл бұрын
Much love...my long time favourite artist 😘😘😘😘😘😘
@oscarlyrics58192 жыл бұрын
Saraphina much love from 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪💙💙💙💙❤️❤️❤️
@Phina_2 жыл бұрын
🥰🥰🥰
@mariamali13442 жыл бұрын
Track no 1 and track no 11 💯💕💕 my favorite 🇧🇮
@thegrill2542 жыл бұрын
Kama ujaskia Sarafina my friend just level the ladder bana this girl is on another level she only needs a good sponsor and a strong marketing department team otherwise atawasumbua my friend the originality and the chemistry or baranaba and Sarafina oooh my
@Idri72 жыл бұрын
My favorite track 🔥🔥🔥🔥🔥 Saraphina killed as she always does
@alfricko2 жыл бұрын
[Lyrics hapa. gonga like] Kuna muda nakupata kwa wakati Kuna muda nakupata kwa manati Nikikupata bahati Hautoshi wakati Kuna muda najiuliza tuko wangapi Maana unatupanga kama mishikaki Huenda sina bahati Unatupindua kama chapati Labda hali yangu duni Ndio maana unanifanyia ushenzi Simudu kucha simudu saluni Ndio maana Tell me tupo in love Ama tunataniana Hata sielewi Sielewi sielewi sielewi Tell me tuko in love Ama tunazinguana Hata sielewi Sielewi sikuelewi baby Mmmh Ooooh mmmh Kuna muda tukipanga tuwe wote We unavunja miadi Labda unakimada pembeni Ndio maana unakosa wakati Mara uko bize Utanicheki baadae mmh Na hiyo baadae upitilize Hupatikani bibie We unachukulia easy Mi si ndio kauka nkuvae Haja zako nitimize Unaponihitaji babae Na hakuna muda najiona kama kipozeo tu Ukiwa nami unanipa magwanda Ukiwa haupo sina cheo duuuh Ala, nami kuna muda najiona kama kipozeo tu Hupokeagi simu ukiwa umejaa Unapokea ukiwa na shida tu Tell me tupo in love Ama tunataniana Hata sielewi Sielewi sielewi sielewi Tell me tuko in love Ama tunazinguana Hata sielewi Sielewi sikuelewi baby I swear to God when I decide to love you Never ever break your heart I swear to God when I decide to love I never never break your heart Umeniweka kwenye timing timing Usinipoteze timing baibe Usiniweke kwenye timing timing Tukapoteza timing baibe Mapigo moyo yatakua jujujuu Pressure nayo itakua jujujuu Tunafunga kesi wangu bubu-uu Maisha bila wewe pesa bila kibubu Tell me tupo in love Ama tunataniana Hata sielewi Sielewi sielewi sielewi Tell me tuko in love Ama tunazinguana Hata sielewi Sielewi sikuelewi baby (I don't understand) Sielewi sielewi
@sheilamaziku59802 жыл бұрын
Good🤗🤗
@kevohthavocalist6785 Жыл бұрын
❤️❤️❤️❤️❤️
@AgnesSoila-b2s Жыл бұрын
❤❤❤❤❤
@emmanuelnkwabi86102 ай бұрын
Wimbo safi sana aiseee kusikiliza rika zote
@stephenkamau50552 жыл бұрын
Who is feeling the same.vibe as I am.feeling ,I feel.that love from them.two😘I show love to saraphina
@christinangonyani44452 жыл бұрын
Barnabas umeua sana hiii ww n 🔥🔥🔥✌️
@stevenmeshack467 Жыл бұрын
Hiii ngomaa ingekuwaa na video ingekuwaa balaaaaa tena vdeo yake iwee kwenye fukwee kababaakee
@AdelinaKamgisha Жыл бұрын
Saut nzuri nimekutana duh weee hatari 🎉🎉🎉
@furahalewa478310 ай бұрын
Nyimbo nzuri but view kidogo anyway much love from kenya ❤❤❤❤❤
@kubwayophanuel74282 жыл бұрын
Best album of the year...LOVE SOUNDS DIFFERENT and FOA...melody,voice all is good 👍
@lbmaasai9292 жыл бұрын
The hit Maker iponyonyo💕💕Saraphina Manze big up
@sinarikakka2 жыл бұрын
This my favorite... 254 support Wewe ni role model pia kwangu... you're a legend....
Umetishaa kakaa, subiri ninywe maji mwanzo....umenikausha koo, sio kwa spidii hiii I love this whole album🔥❤
@goodluckhamaro34472 жыл бұрын
Kaka and Dada tunataka video
@goodluckhamaro34472 жыл бұрын
Kaka and Dada tunataka video
@shayotheking48052 жыл бұрын
Hii ngoma ni kali sana kwenye hii Album cha ajabu haiendi kabisa... 🙌🙌🙌🙌 Saraphina kaua sana❤️❤️❤️❤️❤️❤️
@yunaisamidd75872 жыл бұрын
Yan hata mie nashangaa kwakwel kwangu mimi hii ndo ngoma kali Zaid kwenye hii album 🤔🤔🤔
@erickmurithi53532 жыл бұрын
This is the dope track in this track🥰🥰🥰🔥🔥🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@shalimwile92782 жыл бұрын
Saraphina never disappoint❤️❤️
@bulalinyawate74022 жыл бұрын
Barnaba Classic... washa moto kabisa 🔥 🔥 🔥 🔥
@chaolizzie85412 жыл бұрын
OMG Daaaamn girl killed here🔥Barnaba we missed you and you've come back so strong Go go go 💯💯💯🔥🔥🔥🔥🔥
@TinahFrank2 ай бұрын
Jamani kipozeo 🙏🙏🖤🖤❤❤❤🙆♀️🙆♀️
@joaofirminomomade21842 жыл бұрын
Best song of the Album. Mozambique 🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿
@rosebm63452 жыл бұрын
Sjakosea kukuchagua wewe barnaba aiseee minaacha mond kiba mimi nininakupendaga tu jamani dah saraphina hanaga kazimbovu jamani duuuuuh huu ndo wimbo wangu wamwaka😘
@SharifaMkangajela Жыл бұрын
Naomba nlale na hii nyimbo nzur san ❤
@doreenmbuya662 жыл бұрын
Chiii💥🙌🙌 hatarii sanaaa de whole albums I like it..❤❤
@RedBee.2 жыл бұрын
Aki tuuuu. Aaaah is tamu much
@mosesmahinya96542 жыл бұрын
Saraphina kill it bring happy in this song
@jacksonnyagali7512 жыл бұрын
good album kila ngomai a sound fresh ,,keep it up, mashairi yametulia
@Zippyboytena254102 жыл бұрын
Kwa hii album the sound inanipa feeling n hii sasa congrats Barnaba from Kenya love uu tz
@messaabbas7392 жыл бұрын
wow this is amazing 🤩😍 but the test and,, Flavour of v money,, wallah,,,, amazing voice saraphina ❤️❤️❤️
@williamstephano85182 жыл бұрын
Hi ngoma n hatr ni kwanzia jna naisikiliza
@ferozmohamed41172 жыл бұрын
Hujawahi kutuangusha Barnabas, ngoma kali sana
@mcdeanmoto96542 жыл бұрын
Saraphina all the way, Barnaba sisi wakenya twakupenda jamani 😍
@moseya04792 жыл бұрын
Huu mwezi nimeguswa pahali na hii album ....barnaba wewe ... 🔥 🚒
@reeombima2 жыл бұрын
My number one barnaba ft Sarafina, barnaba ft nandy , barnaba ft mario so far
@nyarugusucaptv19542 жыл бұрын
Favorite one💯💙💥
@grethagranya26412 жыл бұрын
For a sec thot Vanessa she back.. phina sound more vmoney she murdered those lines🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰
@everforever18352 жыл бұрын
Phina🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@wanyamashakillagranddaught5776 Жыл бұрын
Nice saraphina with your friend 💕💕💕
@tommboya19662 жыл бұрын
barnaba i've listened to your music but this one killed it OMG # HATA SIELEWI falling in love with the queen saraphina
@emmymweta83582 жыл бұрын
❤️❤️❤️❤️❤️ Nyimbo nzuri sana
@HusseinRj2 жыл бұрын
Hii Albam kali sana🔥🔥🔥🔥
@bennie21992 жыл бұрын
🙌🙌🙌🙏🙏🙏pepo bila kupingwa 👋👋👋
@janethmsogoti86772 жыл бұрын
Unyamaa ni mwingiii 💥💥
@TinahFrank2 ай бұрын
Ata sielewi ❤❤❤❤❤ apo kiboko
@othmanissa44152 жыл бұрын
THIS IS MY FAVOURITE TRACK
@georgeburchard48722 жыл бұрын
Phina kwa sauti tu aaah noma Sana! Hii combo Ni noma Sana! Ni combo ya mziki haswaa! Na sio janja janja!
@Phina_2 жыл бұрын
🥰🥰🥰
@KevinWafula-rk9xs10 ай бұрын
This is art we call it music 🎵🎵🎵🎵 👏👏👏👏👍👍👍👍❤❤❤❤❤❤❤
@faustinkigahe46902 жыл бұрын
Yes nyimbo nzuri wote wamefanya vzr sana
@drtobias_2 жыл бұрын
Kwa Niaba ya Channel Yangu na team Nzima ya Dr Tobias chini ya Eagles Production Nina wapongeza Kwa Kazi Nzuri
@iannganga9042 жыл бұрын
🔥🔥🔥🔥😍 woooh 😳
@neysteriamwetha90592 жыл бұрын
Naenjoy na hii song...keep up broo unajua🎶🎶🎵 album iko so hot
@Mnankale119 ай бұрын
This dude always gets me anauzi ya amani nampenda sana
@DeusdedithyAmul Жыл бұрын
This is barnaba fundi and this is my all the time favorite goma Yani each day lazima nisikize
@salhashaban93469 ай бұрын
Jmn nymbo naipenda hii❤️💯
@aquinoowour60672 жыл бұрын
This song is on another level 🔥🔥🔥🔥
@alexkamau71482 жыл бұрын
What a beautiful song ❣️❣️
@eugenebusutu71382 жыл бұрын
kwa album yote these my favourite you kill it boss na that queen.kenya on air
@arseneboss3832 жыл бұрын
After the song 🎧 Cheketua ft Alkiba, this is my second favourite hit 💿
@naommainye21472 жыл бұрын
Woow!!! This one is 🔥🔥🔥🔥
@Swahili142 жыл бұрын
Saraphina should collaborate with ZUCHU their voices would blend like Whitney Houston and Mariah Carey/Celine Dion ❤️
@sharonesther7632 жыл бұрын
Nandy too 😘😘
@Eliza-cr5ml11 ай бұрын
❤❤❤❤ kunamaisha Fran hiv nayakumbuka daaah
@abdallahturula48232 жыл бұрын
Hatari sana 💥🔥💣
@abdulhalimsalim22742 жыл бұрын
Diamond platnamz ni superstar cheki track no 1 views ndio utaelewa🔥🔥🔥
@abdulcharles34302 жыл бұрын
Kila ngoma ni fire fire hongera sana barnaba
@kellymarclays.7872 Жыл бұрын
Killer hit this one 🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@michaelmsokwe19212 жыл бұрын
Goma la Moto 🔥🔥 🔥
@fei_faith97382 жыл бұрын
Saraphina much love from 🇰🇪🇰🇪❤️❤️❤️💯💯🔥🔥🔥🔥🔥
@Phina_2 жыл бұрын
🥰🥰🥰
@carolinewakio98302 жыл бұрын
You all have kill its.more collabos we a waiting
@erardmporoto26602 жыл бұрын
"Tell me tuko in love au tunataniana" hatari sanaaaaaa, hata sielewi.
@dennismusili5652 жыл бұрын
Saraphina on 🔥🔥🔥🔥
@zetuzetaMC2 жыл бұрын
Nice one 🤗 bless ya from Slovakia 🇸🇰♥️
@paulamoka99232 жыл бұрын
This song oooohh woiiii what the....
@paulkiplagat92322 жыл бұрын
Barnaba is the king of Dialogue songs
@ummymbaraka18752 жыл бұрын
Hujawah niangusha much 🥰
@rukaiyamohan74902 жыл бұрын
Phina killed this one💞
@Phina_2 жыл бұрын
🥰🥰🥰
@Teti783 Жыл бұрын
I always turn on the radio to sooth me to sleep.... I had fallen asleep when I heard this song on the radio and I immediately woke up,and looked it up on KZbin,so that when I wake up in the morning I can listen to it again. .... I love your voices. I am a singer too.
@humphreykithy8570 Жыл бұрын
I can relate😊
@neemakyaruzi8852 жыл бұрын
They killed it🥰🥰
@mimz25flow232 жыл бұрын
Here comes a compliment....you are an AMAZING ARTIST BRO THUMB UP 👍🔥🔥🔥
@sohagahmed69312 жыл бұрын
Am in love with Barnaba 💘I love this man sana tuuuu