Hussein Bashe excellent!! Excellent!! Kura zote kwa Hussein Bashe kwa maoni mazurii
@wilonjahatua20676 жыл бұрын
Kama unamkubali hussen bashe acha ubishi gonga like yako hapa hili ni jembe👏👏👏👏👏👏👏👏
@halimachezue9266 жыл бұрын
kura yangu haikwenda bure namkubal sna. mbunge wangu
@wilonjahatua20676 жыл бұрын
Halima Chezue 👏👏👏
@hawaaally16396 жыл бұрын
hongera kwa kuwa kweny jimbo la bashe
@halimachezue9266 жыл бұрын
wilonja hatua najivunia sna
@bimumaulid11716 жыл бұрын
👏
@khaleedndoni57076 жыл бұрын
Wasomali wengi akili zao ziko vizuri sishangai.Mungu akubariki
@saimonlazaro9256 жыл бұрын
Nakupenda sana Bashe..Nitafurahi SIKU moja ukiwa Rais wa nchi hii
@edisonmwambokela33645 жыл бұрын
Wambunge wa ndioo jifunzeni kwa Bashe Mungu akulinde mweshimiwa big up
@fadhiliitambu62105 жыл бұрын
Wabunge wa CCM wangekua kama Bashe nchi hii ingekua mbali kimaendeleo.....🇹🇿
@nyabahailani31695 жыл бұрын
Bashe unaakili sana ww kijana na pia nimkweli sana barikiwa sana mungu akutunze""
@allenregnald5066 жыл бұрын
hongera bashe upo vizuri
@thomasmwombeck71325 жыл бұрын
Mungu akutangulie Bashe
@richardmugacostantine27915 жыл бұрын
Asante sana kututetea. sisi wakulima wa Kahawa ndoa tumeisha kabisha Tunaibiwa wazi wazi na Kdcu ltd na serikali ina fumba macho!.tutakutana 2020.
@davidmwandenuka17125 жыл бұрын
Safi Sana na mungu atakulinda kwa kuwa mkweli na kweli itasimama daima
@geraldsenkondo43345 жыл бұрын
Mheshimiwa Hussein Bashe Mungu Akulinde wanasiasa igeni mfano wa Bashe huu ndio uanaume Afadhali kufa ukiwa unausimamia ukweli kuliko kuishi ukiwa mtumwa
@chescomnyangali86016 жыл бұрын
KAMA UNAMKUBALI BASHE GONGA LIKE TWENDEEE TUMSAPOTI BASHE
Nakuombea bashe uwe raisi wa nchi yetu tz nakupenda
@wawahatv87835 жыл бұрын
Mie nasemaga siku zote kama wabunge wote wa ccm wangekuwa kama bashii,mie ningejiunga ccm Mara moja na bashii mungu akupe maisha marefu na ccm wenzio waige nyendo zako
@johariabdallah72386 жыл бұрын
I real appreciate u brother Hussein Bashe may Allah bless u and long live brother
@josephmwasota58405 жыл бұрын
Be blessed Mheshimwa Bashe, michango yako Bungeni yote mimi naikubali sana unafanya analysis nzuri sana mkuu wangu.
@leonidaobed29526 жыл бұрын
Safi sana mr.bashe mungu akutangulie
@danielnjile8836 жыл бұрын
huyu mbunge amenitachi kweli kwenye mifugo. maana kukamatwa kumezidi.
@magomakabanja480 Жыл бұрын
Tanzania Nzima Wabunge Nao Wakubali ni Mh Hussein Mohammed Bashe na Zitto Zuberi Kabwe Wengine Nawafikilia Bado Hawanishawishi
@kamboarheritage4616 жыл бұрын
Evaluative speech! Salute kubwa sana Mh. Mbunge. We need people like you.
@lilianmbedule46646 жыл бұрын
dah bashe nkukubli xan kama n muelewa gpnga like hapo
@elisonguomsaki62086 жыл бұрын
Bashe umetisha ndg yng'!!! We ni zaidi ya mzalendo
@hangimasunga59596 жыл бұрын
having people like you in the country, is a great asset
@samsonjuliusjuliuslukinda58976 жыл бұрын
kweli bashe uko vizur ndugu unaweza hongera
@hermanmwailanga6425 жыл бұрын
Bashe unapoint zamana Sana mkuu niwachache wasema ukweli ambao wapo ndani ya serikali kama ww chapa Kazi mungu akupe nguvu namaisha malefu ktk kazi yako
@jafethzakaria61134 жыл бұрын
Hongera bashe
@nicksonkiyeyeu3835 жыл бұрын
Mhhh!ila Bashe ,Mungu akubariki sana kweli waliokupa kura hata hawakukosea.
@jamesmpepo43865 жыл бұрын
dah Jamaa yuko vzr Sana,big up kiongozi .
@emanuelwilbrod87205 жыл бұрын
mungu akubariki sana huseni bashe
@muyumbasimba70355 жыл бұрын
SIJUI KWANINI HUKUWA MBUNGE TOKEA MWAKA 1990 BASHE? YAANI UNASTAHILI SANA KAKA. KEEP IT UP, USIRUDI NYUMA.
@hangimasunga59595 жыл бұрын
Mungu akupe hekima if possible I wish you to become president of this Nation in future
@jonasmwita18376 жыл бұрын
Nakupenda bure Mh Mbunge
@mpelienock6 жыл бұрын
good Mr.Bashe, good Mr.Job Ndungai.
@acray24375 жыл бұрын
bashe yupo vizuri aisee!
@frankzominister14736 жыл бұрын
Asantee sanaa bashe ila jipange 2020
@ebenmsuya24926 жыл бұрын
kweli yani 2020 apewe tu.
@ayubusanga37966 жыл бұрын
We lijamaa upo vizuri sana dah
@nohatredbutlove57866 жыл бұрын
Hahah! Maashallaah, "Namuheshimu na nimefunga"
@neshenijohn78226 жыл бұрын
bashe endelea hivyohivyo wananchi tanzania kote wanakuelewa sana bashe big up
Yaani nakukubali sana ww ni mbunge unaejitambua na cyo mbunge ndioooo
@jamilamwanzalila19825 жыл бұрын
wewe ndo mbunge sio msukuma amekua zuzu
@barakamfugale10494 жыл бұрын
Khalid Bakari bora hata angekuwa mbunge wa njombe maana libunge langu cjui linafanya nin
@ombenimshana91625 жыл бұрын
Ningekuwa nzega kura yangu unalamba mdogo wangu,upo sawa
@pascusmathew48096 жыл бұрын
Kiswahi kinge , uko sawa Bashe
@shabanikibana42796 жыл бұрын
Safi sana bashe mungu akubariki na akupe maisha marefu
@joelmbise21896 жыл бұрын
Bashe nakupendaga bure tu, lkn tatizo ni chama chako
@fitinaelias4216 жыл бұрын
Kimefanyaje we kilaza?. ni mambo mangapi mliyokuwa mnayapigia kelele sasa mmeyasaliti?. mwache MH atimize wajibu wake nadhani hujui hata Wajibu wa Mbunge!
@kingraba63346 жыл бұрын
Namkubali xn bashe good xn brother
@angelmasaki66675 жыл бұрын
Penda sana bashe
@emmanuelbonifase11143 жыл бұрын
Ulitaka awe WAP mbise
@maxwelljulius25416 жыл бұрын
Safi sana tunawaitaji wabunge kama hawa
@davidmbilinyi41986 жыл бұрын
Ubarikiwe bashe kwa kuipenda nchi yako ingekua amri yangu ungetawala baada ya magufuri ,japokua pale ikuru maraisi wakifika wanabadirika sijui pana shetani gani .hata angeshuka maraika pale anakua shetani
@salomemwansile39462 жыл бұрын
Duh unaongea point sana na ufike had urais
@lucasfrednand8956 жыл бұрын
Hakika kura yangu haijawahi kukosea kwenda ccm ila ningekua jumbo LA nzega bashe kula yangu ungeipata unanikusha marehem firikunjombe
@pilmungure54095 жыл бұрын
Bashe huko ccm unapotea...njoo chadema ulilie haki ya wananchi
@ibrahimdavid62195 жыл бұрын
Lucas Frednand acha tu filikumjombe yan#
@hanifaharet37396 жыл бұрын
Bashe unafaa kua president,inshaallah
@shukurukinzasa533 жыл бұрын
Daaa itapendeza mh rais ambadilishe kuwa wazir kamili co unaibu naimani atatupeleka mbali huyu jamaa namkubali sna bashe mungu akujalie upate vyeo zaidi ya hivi
@shininisoipano49736 жыл бұрын
hongera sana nikweli kabisa wafugaji awatambuliwi kabisa waambiye kama wa tatambuliwa
@andrewsailen76286 жыл бұрын
Daaah mpaka nimesisimkwa vinyweleo this is a very nice speech huku na swaumu kali lkn umejitahidi kukaza sauti na point nzito
@abuaymanalshirazy24726 жыл бұрын
Andrew Sailen fine
@DavidNoloame3 жыл бұрын
Bashe bashe hakika were in mbunge unae penda kuweka kira kitu wazi barikiwa
@fredikagi17085 жыл бұрын
Bashe unagusa wanachi ila nikweli ayo yanatoka moyoni Kama nikweli mungu akutie nguv
@simonnyasa94984 жыл бұрын
Jaman mungu akubariki sana
@hassanjoseph23986 жыл бұрын
Mungu akujalie afya njema uzidikulitumikia taifa
@huseinkudrat20523 жыл бұрын
Nais kama nakuelewa bashe kiukweli wizaran ya kilimo umwagiliji na ufugaji bajeti yake indigo Sana nakuunga mkono
@daudimaembe33605 жыл бұрын
Safi kabisa mbunge wa Nzega mjini.
@johnnasunga555 жыл бұрын
Thanks alot big man your light and your point is understandable big up Sir
@mwinjumathomas51326 жыл бұрын
Hongera raisi mtarajiwa husen bashe na iwe hivyo Nina matarajio makubwa na wewe katika taifa hili mungu mbariki mja wako mzalendo wa kweli.
@mwilogokadunda91145 жыл бұрын
Uko vizuri kaka kuwa muwazi
@dicksonwambura98405 жыл бұрын
We are supporting you
@hamisichuma32706 жыл бұрын
bro wew na nape sarudi aki kwaza uchama badae
@femmyyakobo21166 жыл бұрын
uko vizuri sana bashe
@elishakayagwa93716 жыл бұрын
Wakimnyima ubunge kupitia CCM, tutamteua kuwa mgombea binafs
@manish-fp1fb5 жыл бұрын
Bajeti ilipita and business as usual.
@ibrainktz3076 жыл бұрын
nakubali sana uyu jamaaaa
@bonabonala82535 жыл бұрын
Yombaga mamy bashe nzagamba wiswe wanyanyembe wa ntobora
@dittorichard81436 жыл бұрын
namkubali saana bashe
@rosemarykaroli95726 жыл бұрын
Muh huyu kweli ni ccm na wasiwas naogopa yarakukuta uwiiiii hongera saana
@edwardbenedicto55245 жыл бұрын
safi sana bashe kwa kuwa mkweli
@leonardmsusa97956 жыл бұрын
Ww ni kichwa na nape nawakubali sana kti ya wanachama wa ccm ninyi wawili ni vichwa
@mcmackone19586 жыл бұрын
Bashe, we we ni miongoni mwa watu wachache makini tulio nao tz. wengine ni kitambi mbeleee.
@asteriambwei956 жыл бұрын
Uko vinzuri ile mbaya nakukubaligi maana una point
@ndaysengaalon47325 жыл бұрын
Daaaaaaaaaaah! watanzania tupige magoti tuiombee nchi yetu, hii sio hali yakawaida kabisa hawa wakijani hawafai kabisa na iposku watajutaa
@josephatjonya69055 жыл бұрын
Nakukubali sana Mh bashe
@matheihaule85866 жыл бұрын
bashe ukovizur mm nakuelewa sana Asante sana
@lucasludonye73445 жыл бұрын
You are good Mr bashe
@triplanetboy57032 жыл бұрын
Uko vizuri mbunge bashe kwa hoja ulioitoa ila sijaelewa utofauti kati ya serikali na wananchi kwasababu najua serikali inaundwa na wananchi sasa kwanini mnatofautisha serikali na wananchi wakati wananchi wenyewe ni serikali duuuh
@sadikingonyani3155 жыл бұрын
Hongera kwa kuukata UNAFKI
@petermwanyondo64596 жыл бұрын
uyu binadam yupo vizuri
@evarinyelias13166 жыл бұрын
katika wabunge wa ccm huyu ni watofauti Niko chadema ila wewe tofaut kabisa wewe ni mbunge wao ni wajaza viti
@bonifasiemanueli27086 жыл бұрын
Mheshimiwa Bashe mimi niko Kigoma ila ninakukubali sana Mungu amekujalia akili sana, Mungu akujalie ,akufadhili na kukulinda,
@anthonyamani51206 жыл бұрын
Bashe upo sawa mbunge wng
@godymashana19686 жыл бұрын
Mungu akulinde mh ww sio wa ndiooooooooooo
@fredrickfrank57506 жыл бұрын
brilliantly speaking!
@tajinehemia39616 жыл бұрын
This is Good Speach,
@lugendondayanse49105 жыл бұрын
YOU SO GOOD, , REMEMBER ALSO THAT JESUS LOVES YOU MORE THAN ANY BODY SAY
@reddyjulius39976 жыл бұрын
Big up sana bashe wakulima wanaonewa sana wananyanyaswa sana angalia Mbolea 50,000/=mahindi gunia 30,000/= tutafika ????
@michaeljoseph99035 жыл бұрын
Tatizo chama mh,bashe
@michaeljoseph99035 жыл бұрын
Tatizo chama mh,bashe
@babylidyaandrea45686 жыл бұрын
Tumbua majipu bashe 💪💪
@magdalenakidumbuyo15055 жыл бұрын
Hongera
@jolojist79595 жыл бұрын
Bashe ni kiongozi yupo wazi
@davidlissu90996 жыл бұрын
Safi Bashe.
@robertringi64345 жыл бұрын
Hua wabunge ninae wapenda ni bashe na waupinzani🙏
@sechokivega97476 жыл бұрын
Mungu akulinde mh bashe.
@rashidinjuki18296 жыл бұрын
Secho Kivega mungu akuhifadhi
@rashidinjuki18296 жыл бұрын
Mungu akuhifadhi
@sangalucian86846 жыл бұрын
Secho Kivega Nakukubali sana Bashe semaa tupone Baba
@ahmadomar27114 жыл бұрын
Makini sana
@peterkilwale59545 жыл бұрын
Tunaitaji vijana kama nyie co wale wa kugonga gonga tu kwa kwa kwa uko vizuri bashe
@othmansaleh1775 жыл бұрын
Kama hajakupa nafasi 2020 njo ukawa
@paschallucas2676 жыл бұрын
Safi nakuelewa sana bashe , wewe akili unazo wala hutetei chama , ila jichunge maana ukipewa wizara watakuandama kama nini. Lakin siku zote bungeni point zako nazikubali nahisi mawaziri wangekuwa wanasikiliza na kufanyia kazi mawazo yako tungekuwa mbali sana .
@mussahaji45985 жыл бұрын
Yes uyo jamaa namkubali 100%
@zakaboy13056 жыл бұрын
the best member of parliament in ccm
@mgishajibaba73986 жыл бұрын
safi sana jembe
@hanssheby94326 жыл бұрын
uko vizuri
@consolathaconsolatha40956 жыл бұрын
Vzr sn mh bashe
@dicksonwambura98405 жыл бұрын
Most intelligent man
@oloshokiabdikorle52096 жыл бұрын
huseni bashe saluti big up
@adammakoye41986 жыл бұрын
kwani waziri huwaga na sifa zipi kma sio huyu aisee! au naonaje