Kilimo hakiihitaji utani hata kidogo badala ya kwenda kuwa chukua wakulima nakuwapa nafasi mnachukua wacheza disco pmj na masharobaro kilimo kinamhusu mkulima hasa wa vijijini nasio watoto wamjini kuweni makini ccm na viongozi wenu mnachezea maisha yenu wewe bashe yangu lini ukashika hata jembe
@dismassymmassy2511 Жыл бұрын
Kweli hii serikali imeamua kuwasaidia vijana ...
@mgongolwajoseph6901 Жыл бұрын
Watanzania ninavoo jua mm sijui kama wata fanya maana niwavivu saba ss watanzania
@JohnMwita-u8p Жыл бұрын
Mh,bashe sisi ni wakulima tumeiuzia serekali mahindi katika Ghala la serekali mkoa wa sumbawanga kanondo tangu tarehe 6hadi leo hii tarehe 10 ,8,2023 malipo ni tatizo lngilia kati tulipwe mh, ni mimi mkulima
Watu walituma maombi walitoa tangazo wanaotaka kwenda kulima
@johnmwambasi2299 Жыл бұрын
@@abdulmpunjo1241 duh sijawahi lisikiaga kabla
@abdulmpunjo1241 Жыл бұрын
@@johnmwambasi2299 Ungeomba na wew ukalime eeh
@iddrashid7054 Жыл бұрын
Kazi nzuri Mhe.Waziri hofu yangu tu kama hao vijana mmewachunguza historia yao wamekiishi kilimo kabla au ndo wameona fursa vijana wa mjini wamekimbilia kuomba ilhali wito wa kulima hawana mwisho wa siku waje kuwa madalali wanakodisha mashamba wao wapo mjini wanakula bia.