EXCLUSIVE: MASHAMBA YA MSTAAFU MIZENGO PINDA NI GUMZO!

  Рет қаралды 307,350

Global TV  Online

Global TV Online

Күн бұрын

EXCLUSIVE: MASHAMBA YA MSTAAFU MIZENGO PINDA NI GUMZO!
Wakati Wastaafu mbalimbali Nchini hasa Baadhi ya Viongozi waliowahi kushika nyazfa tofauti tofauti Nchini Kuhamia Nchi za nje na kufungua biashara za Mahoteli na Miradi ya Mashirika Makubwa kwa upande wake, Waziri Mkuu Mstaafu, Mizengo Kayanza Peter Pinda, imekuwa Tofauti.
Global tv tumefunga Safari mpaka Mkoani Dodoma Kwenda kushuhudia kwa macho kujionea jinsi gani alivyoamua kuhamishia Maisha yake shambani na kuwekeza kwenye Kilimo na Ufugaji wa Kisasa ambao umegeuka Faida kubwa kwa jamii kuliko watu walivyotegemea.
Tazama video hii kujionea mengi.
Https://www.youtube.co.... Watch More Videos here: goo.gl/GvVdZw Watch More Videos here: goo.gl/ae33fL Website: www.globalpublishers.co.tz FaceBook: globalpublishers Instagram: globalpublishers Twitter: GlobalHabari Install Global App: ANDROID: goo.gl/QvT6RV Install Globa
Category
News & Politics

Пікірлер: 462
@nayopamlimbatv1382
@nayopamlimbatv1382 5 жыл бұрын
Unalamba pamoja na asali yaan aaah! Bomba kabisa alie sikia kauli hii like hapa
@aishaomar4318
@aishaomar4318 5 жыл бұрын
😁😁😁
@petersume2780
@petersume2780 5 жыл бұрын
kabisa
@gadikipenda7409
@gadikipenda7409 5 жыл бұрын
Aliemtuma huyu muandishi kwa Mh Mtoto wa Mkulima big up, Mzee wa kusikiliza sana ila maneno machache yenye nyama. Big up Mzee wangu Mh. Mtoto wa Mkulima, ulifikiria vzurii kuwekeza M/Makuu ya Nchi hongera kwa wazo jema pia. Dodoma juuu
@osodowilberforce2321
@osodowilberforce2321 3 жыл бұрын
Pongezi sana Mhe.Mizengo Pinda kwa shamba lako nzuri sana.Inapendeza.
@johnngowi1487
@johnngowi1487 4 жыл бұрын
Ni mfano wa kuigwa na watu wote hongera Sana Mzee pinda.
@yusufhassan5
@yusufhassan5 5 жыл бұрын
UNALLAMBA ......UUUUU..... BOMBA KABISA ! I like that ! Very beautiful Farm.
@eligiusvitalis3504
@eligiusvitalis3504 5 жыл бұрын
Mweshimiwa yupo. Makini kujibu Maswali sana .
@cottonempire6804
@cottonempire6804 5 жыл бұрын
Good Mashalah mama uko vizuri mrembo na hongera kwa kazi nzuri
@kamekafuraha1465
@kamekafuraha1465 4 жыл бұрын
Duh huyu mzee hakika ni mfano wa kuigwa Anastahili kuwa kiongozi wa mfano Hongera sana Mtoto wa mkulima ulielazimishwa kuwa waziri mkuu Na ukalazimishwa kuvaa mpaka suti
@hansmhalila9019
@hansmhalila9019 4 жыл бұрын
Hongera Waziri Mkuu Mstaafu Pinda-Mtoto wa mkulima kwa kuonyesha mfano katika kilimo.Hususani Mkoa wa Dodoma.
@kamishina7853
@kamishina7853 5 жыл бұрын
Hii inaidhininisha kuwa mtoto wa mkulima hukujali ngazi ya uongozi uliyotoka ulitambua utu na kuishi na watu wa hali zote hongera sana Pinda
@danielchilongani2385
@danielchilongani2385 5 жыл бұрын
Hongera sana PM mstafu kwa kilimo cha kisasa Tusaidie wakulima wadogo wadogo wa zabibu Dodoma kuimalisha kilimo haswa viwanda vya kununua zabibu za wakulima Tembelea vijiji vya ngahelezi handali chanhumba ndebwe mvumi uone wakulima walivyohamasika
@jamessitati7396
@jamessitati7396 5 жыл бұрын
The story is good, the music is not necessary, kwanza miziki yenyewe ni kama ile ambayo huchezwa msibani.
@kaulimbiu181
@kaulimbiu181 3 жыл бұрын
Kweli mziki wa nini na zaidi ni mziki inaoibua hisia za huzuni na kugubikwa na simanzi
@neemamdami7466
@neemamdami7466 3 жыл бұрын
😂😂😂😂😂
@ezekieljacob5795
@ezekieljacob5795 5 ай бұрын
Usitukane wewe sikiliza elimu unayopewa,muziki haukuzuii kusikiliza
@ivansutta166
@ivansutta166 4 жыл бұрын
muandishi ana weka miek kwake tuu.... na video editor ameweka ma sauuti ma melody tuuu.... hongera mzee Pinda that my passion
@mathiasmwale1554
@mathiasmwale1554 3 жыл бұрын
Waziristan mkuu mstaafu hongera Sana kwakujituma ktk kilimo umetisha saaaana
@emmynico
@emmynico 5 жыл бұрын
Safi sana Mzee Pinda.. ni kitu cha kujifunza kwa sisi vijana
@matalo0551
@matalo0551 4 жыл бұрын
Nakukubali sana mheshimiwa Waziri mkuu Mustafa, Mizengo kayanza
@ngaboibrahimu7647
@ngaboibrahimu7647 5 жыл бұрын
Hongera Sana Mzee Pinda. Hii inahamasisha ushiriki WA watu wengi has vijana kwenye kilimo kwa kiasi kikubwa.
@jamessanga3138
@jamessanga3138 3 жыл бұрын
Hongera sana muheshimiwa waziri mstaafu,unanivtia sana kwa habari za kilimo.Ningepata fursa ya kukutana na wewe.OMBI LANGU LINGEKUA NI MOJA TU (NATAMANI KUFANYA KAMA WEWE, UNIPE FURSA TU.
@edwardsilingo4963
@edwardsilingo4963 5 жыл бұрын
Mbona mmefupisha jamani mngefa hata saa limoja nimeipenda 👏🏽👏🏽👏🏽👏🏽👏🏽👏🏽
@jafabanda6382
@jafabanda6382 4 жыл бұрын
Mzee pinda safi sana kweli ww mfano wa ukweli mungu akubariki sana.
@EK-kp2np
@EK-kp2np 5 жыл бұрын
U mfano wa kuigwa mkuu👏🏻👏🏻👏🏻
@kulwasengaauasengapaul9676
@kulwasengaauasengapaul9676 5 жыл бұрын
Aisee hongera mzee
@marijanimrope6503
@marijanimrope6503 3 жыл бұрын
Da jamani aya ni maojiano au kuna film ndani yake yaani huo mziki unaosikika back playe unapoteza umakini wa kusikia vizuri hayo maojiona next time mshughulikie mambo kama ayo sauti iko too much sana asanteni
@ussikhamisussi4882
@ussikhamisussi4882 5 жыл бұрын
Next time hii funneral/sadness background sound msiweke kwa sauti ya juu na isitoshe mjue sounds za kuweka si hii ya funneral/sadness, kila sound ina mahali pake wazee.
@lembrismongi103
@lembrismongi103 4 жыл бұрын
Sawa kabisa mr hili nami nililiona sio poa kbsa
@mjukuuwakaswaga1808
@mjukuuwakaswaga1808 4 жыл бұрын
Huu mradi ni wa mamilioni But hongera sana mheshimiwa.
@stevenmasato5787
@stevenmasato5787 4 жыл бұрын
Apigwe tu kama akikaidi apigwe tu, 😂😂😂😂 i remember dis moment. keep it up mstaafu wangu
@fadhiliidafa5044
@fadhiliidafa5044 5 жыл бұрын
Aliyeedit hii show kashindwa kubalans kati yasauti yamuziki na mahojiano...
@blasiusabel2576
@blasiusabel2576 5 жыл бұрын
Wonderful Content!!, music is distracting though!!
@benjaminilunga8826
@benjaminilunga8826 4 жыл бұрын
Mungu mwema ambariki mzee wetu Pinda
@charlesambrose1708
@charlesambrose1708 5 жыл бұрын
Big Up Former PM Pinda
@kisombolaestate8425
@kisombolaestate8425 5 жыл бұрын
Former hahah
@polloz77
@polloz77 5 жыл бұрын
Hongera sana Huku ni mfano mzuri sana kwa. Viongozi wengine na watanzania wengine Inspiration
@ilovejesus9303
@ilovejesus9303 5 жыл бұрын
😄😄😄😄 inspiration? Hela za wananchi ukiwa madarakani
@gilbertjackson55
@gilbertjackson55 5 жыл бұрын
Inspiration kweny kodi yko asee think big
@andreadaniel214
@andreadaniel214 4 жыл бұрын
Very good work..for our African leaders...
@nyavaelly497
@nyavaelly497 4 жыл бұрын
Daaaaah nimeenda ghafla kubali sana mzee wetu Mizengo Pinda
@erickmachua8829
@erickmachua8829 5 жыл бұрын
Kipindi kizuri sana Ila hiyo Soundtrack imekuwa too Loud.. na hii imekuwa tatizo kubwa sana kwa Tanzania iwe ni interview au Movie,Mnapenda sana Loud Back ground Music..After All sijaona umuhimu wa kuwa na Hiyo Background Music.
@fadhiliakida8609
@fadhiliakida8609 5 жыл бұрын
Brother umeongea ki technically hili ni tatizo kweli kwa clip nyingi sana
@malcomg1004
@malcomg1004 5 жыл бұрын
Tatzo vyuo vya kusomea taaluma hii ni vya uchochoron na serikali inadai imevisajili.huwez kufanya upuuzi kma huu katka karne hii halafu unaweka youtube ambako kuna wabobezi zaid wa hizi mambo.ujinga sana
@ezekieljacob5795
@ezekieljacob5795 5 ай бұрын
Wengi tunapenda hii miziki yaani nyie mmezoea lingala
@abditajir4048
@abditajir4048 4 жыл бұрын
Kila mtu ana complain sounds..hebu jaribuni ku focus kwenye story bhnaa msituchoshe kwn lazima muangalie??? Kama mliwatuma vilee..! Kazi ya watanzania ni kutafuta mapungufu tu kila siku..story iko sawa ,sound iko sawa, niko busy naskiliza story wala sound siskii mpaka nilipo ona complain
@geofreymahujilo9600
@geofreymahujilo9600 3 жыл бұрын
Sound iko owk tu ..sijui wancomplain nn jmn
@africanhappyadventure6951
@africanhappyadventure6951 5 жыл бұрын
Nafikiri kama mngetumia zile wireless Mic ndogo za Kuweka kwa shati tu ingekuwa Poa Zaidi..Nawaza tu
@longshot4484
@longshot4484 5 жыл бұрын
Ndugu wewe ndio umenena
@shubackmashinga3535
@shubackmashinga3535 4 жыл бұрын
Point
@abuuaymankhudhaifa7981
@abuuaymankhudhaifa7981 4 жыл бұрын
Cha msingi umeelewa acha usenge.
@deepahans2390
@deepahans2390 3 жыл бұрын
Leading by an example. A True Role Model. Impressed by the farm layout.
@joycekingu1530
@joycekingu1530 3 жыл бұрын
The music is not necessary at all . Mheshimiwa hatumsikii kabisa
@pascalnganguli3029
@pascalnganguli3029 4 жыл бұрын
"Kweli mtoto wa mkulima umetimiza na kuonyesha mfano kweli kweli," hongera sana kiongozi wetu.
@bishopfestobenjamin6118
@bishopfestobenjamin6118 5 жыл бұрын
sauti ya mziki ipo juu sana
@victormavika9168
@victormavika9168 7 ай бұрын
Quality content but the background music spoils the whole thing. With 5M subscribers one would think editors wanajua hili.
@georgerichard6951
@georgerichard6951 5 жыл бұрын
Global mnapo kua mna fanya ivi punguzeni izo back voice tune
@soccertv293
@soccertv293 5 жыл бұрын
Hii system ya kuweka musik kwenye maongez siipend maudhui hayasikik
@rahelmilami1271
@rahelmilami1271 5 жыл бұрын
hongera sanaa Mzee wetu 😘😘😘😘😘pinda
@abdulmahamud9269
@abdulmahamud9269 5 жыл бұрын
Vzr sana kiongozi, ila kwa ushauri wangu waite vijana wadogo waeze kujifunza jambo, u have good idea
@hawa4968
@hawa4968 5 жыл бұрын
Nice
@abdulmahamud9269
@abdulmahamud9269 5 жыл бұрын
@@hawa4968 waaleykum salam warahma tullah wabarakatu
@hawa4968
@hawa4968 5 жыл бұрын
Shukran
@arqamibnarqam.7185
@arqamibnarqam.7185 5 жыл бұрын
Hawa.waalykumussalaamu.vp Hali ndugu yangu?
@hawa4968
@hawa4968 5 жыл бұрын
@@arqamibnarqam.7185 alhamdu Lilah waallakuli halli namshukur Allah kwa kuniamsha mwenye afya njema na kuiyona Leo tena alhamdu Lilah
@kambamazig02024
@kambamazig02024 5 ай бұрын
Mh. Pinda hongera sana kwa mchango wako mkubwa kwenye kilimo cha kisasa na uwezo wako wa kuwafundisha watanzania wengine. Nyuki ni muhimu sana, huku California wakulima wanalalamika sana kuwa pollinator bees wamepungua sana kiasi mimea mingi ya matunda sasa inashindwa kutoa matunda.
@yusuphphilbert4165
@yusuphphilbert4165 4 жыл бұрын
Nimekuelewa waziri mkuu mstafu we ni mwl mzuri endelea kufundisha watanzania kwa vitendo MUNGU AKUBARIKI
@umfarid247
@umfarid247 3 жыл бұрын
Nimependa sanaa mashamba mifugo na vyote vilivyomo ndani asante mweshimiwa
@wrestlingupdates7256
@wrestlingupdates7256 5 жыл бұрын
Ondoeni uwo mziki bhana unazingua kinoma atusikii vizuri
@patricknamangoa6468
@patricknamangoa6468 3 жыл бұрын
Hongera sana Mheshimiwa Pinda kwa uwekezaji bora kabisa.
@edwinrichard3924
@edwinrichard3924 4 жыл бұрын
Yuko vzr mzee
@EsterPaul-uc7ny
@EsterPaul-uc7ny 4 ай бұрын
Duuuuh pongez mhe hakika wew mchapakaz sanaaa baba angu
@latenitepiano
@latenitepiano 4 жыл бұрын
“🤩 Ndiyo inavyo takiwa namna hii” “MWENYEZI MUNGU ibaraki Tanzania 🇹🇿 🙏🏾” “😍 🇹🇿🦚🌴🏝🌳❤️🌹🥀🙏🏾”
@edhe9772
@edhe9772 4 жыл бұрын
Very well presented, may be the first one I have seen in a while 🙏🙏
@nelson01empire96
@nelson01empire96 11 ай бұрын
This is superb,order in the farm is 💯 I like the farm
@misschagga8042
@misschagga8042 5 жыл бұрын
Mziki unakera sanaaaahata sisikii vizuri kwani bila mziki ujumbe si unafika?tunakosa kusikia vitu vya muhim kuhusu kilimo.
@amryzarck3255
@amryzarck3255 5 жыл бұрын
Ajakosea
@hizamwaimu7634
@hizamwaimu7634 5 жыл бұрын
Inapendeza Sana
@dorothyannan8184
@dorothyannan8184 5 жыл бұрын
Napenda sana...maendeleo ya Mzee Pinda...naiga sana kutoka kwake
@emanuelmoshama3899
@emanuelmoshama3899 5 жыл бұрын
Kuna watu wana comment "mfano wa kuigwa" iga ufe investment ya mabilioni iyoo, ilo shamba ni hela tuu
@500gts9
@500gts9 4 жыл бұрын
Unaanza kidogo kidogo kaka, matonge madogo...usivamie
@mahamoudabas8555
@mahamoudabas8555 4 жыл бұрын
Hayo mashamba ni ya mali ya wananchi wa Tanzania, na pesa zilizotumika hapo ni pesa zetu wananch za kodi
@albanbros6705
@albanbros6705 4 жыл бұрын
@@mahamoudabas8555 Hiyo pesa ni juhudi zake binafsi ambapo wakati anazitafuta wewe na Mimi hatukuwepo.Hilo ni jasho lake lililotoka kwa muda mwingi.
@claytonkellymwaisango5283
@claytonkellymwaisango5283 4 жыл бұрын
Ogopa kuiga baadae wenzako walioanza kidogo kidogo kwakuiga wakifanikisha kukuza brand zao wewe ubaki kuamini ktk freemason nakumtuza shetani
@lucasbartazari7797
@lucasbartazari7797 4 жыл бұрын
Kwao ni Sumbawanga/Katavi, amewasaidia wakulima wangapi? Yeye anauza mazao kwa jina la nafasi yake, halafu anajidai kudanganya watu hadhalani. Maembe, zabibu, asali nk. siyo mazao mageni nchini, Leo hii yeye tu ndo agundue soko bora kuliko wananchi wa mikoa yote? Anawazidi hata waliomfundisha! Wapi bhana!
@johnstonemwesiga236
@johnstonemwesiga236 5 жыл бұрын
MWANDISHI/MTANGAZAJI KILA MUDA WAOOOH LOH; ALAFU HIYO BACKGROUND MUSIC INALETA SHIDA
@gilbertsalvatory9590
@gilbertsalvatory9590 5 жыл бұрын
Mmm ndgu kwa iyo hakuna zuri alilo lifanya?
@felixkamkala3303
@felixkamkala3303 5 жыл бұрын
GREAT MZEE PINDA
@amtawakal
@amtawakal 5 жыл бұрын
Hongera baba. Umeyaishi maneno yako. Natamani wengi tungekuwa na fikra na uwezo kama wako.
@dorcasassenga2005
@dorcasassenga2005 5 жыл бұрын
Kweli jamani hii sauti ya music inaboa sana. Cha msingi tupate hiyo habari na si muziki.
@mbarikiwambarikiwa3988
@mbarikiwambarikiwa3988 4 жыл бұрын
Jamani pesa ndio kila kitu, bila pesa huwezi Fanya haya yote make hata km ni kuku peke yake kuwafuga ni gharama kubwa sn. Mzee alijipanga hyo.
@meedaafarai9677
@meedaafarai9677 5 жыл бұрын
Nice👍
@joshuabanda8673
@joshuabanda8673 4 жыл бұрын
hongera mkuu kwa uwekezaji
@noelngowi2700
@noelngowi2700 5 жыл бұрын
Hongera mheshimiwa. Ni mfano bora
@raphaelkatanga5335
@raphaelkatanga5335 3 жыл бұрын
Mzee safi
@ethelkatambala1659
@ethelkatambala1659 5 жыл бұрын
Siku nyingine msiweke mnaweka makelele wala hayatusaidii zaid tunapoteza kusikiliza ya msingi yanayoongelewa. Studio una matatizo gani.
@PaskaliCharles-pz8ds
@PaskaliCharles-pz8ds 6 ай бұрын
Hongera sana mh pinda
@emmanuelaggrey8830
@emmanuelaggrey8830 5 жыл бұрын
mtangazi hajajiandaa vizuri kimaswali kumhoji Mkuu. ..
@rithadonatus8110
@rithadonatus8110 5 жыл бұрын
Anaonyesha limimba lake hapo
@mwanzandaki786
@mwanzandaki786 5 жыл бұрын
Kbsaaa sijui alkua anaogopa?
@annamushiaminaaa4367
@annamushiaminaaa4367 4 жыл бұрын
Daaa ekar ngpii hizo ebu muda mwingine elekezeni nguvu Angalau kidogo kuangalia yatima, hongera mzee.
@abasabasimwache5844
@abasabasimwache5844 4 жыл бұрын
Zabibu tunda zuri Sana mungu akubariki mkuu
@angelomfilinge8662
@angelomfilinge8662 6 ай бұрын
hongera sana umeonyesha wazi kuwa wewe mjasiriamali halisi
@valentineevarist5628
@valentineevarist5628 5 жыл бұрын
mbona sauti iko chini sana sema nime penda mzee ame invest kilimo vizuri sana
@laurentmpangala534
@laurentmpangala534 5 жыл бұрын
Mzee katisha sana
@simonequintine9355
@simonequintine9355 5 жыл бұрын
Nakukubali baba peter mizengo
@mickeykibabu6999
@mickeykibabu6999 5 жыл бұрын
Shida mmeeka soundtrack kuubwa muheshimiwa maneno mengine hayasikiki vizuri
@siwemamichael690
@siwemamichael690 5 жыл бұрын
Cm yako mbovu pole
@mwalukoerick2801
@mwalukoerick2801 5 жыл бұрын
Mickey Kibabu
@fatherjaytz
@fatherjaytz 5 жыл бұрын
Hv mnaolalamikaga kuhusu soundtrack huwa mnatumia cmu gani
@siwemamichael690
@siwemamichael690 5 жыл бұрын
@@fatherjaytz hahahaha hata mie sijui nacheka tu
@asengasefu2767
@asengasefu2767 4 жыл бұрын
Mzk umeharibu, Hongera mzee
@elinazadaniel3721
@elinazadaniel3721 4 жыл бұрын
Mzee umeni inspare najipanga kuja dodoma kwenye zabibu
@jumasaid8892
@jumasaid8892 4 жыл бұрын
Hongera sana Mheshimiwa lakin ushauri kilimo na mashamba unakua mtumwa unakua na stress mara madawa ,mbegu,palizi,ujenz,hiyo ndo shida
@mohammedali7296
@mohammedali7296 5 жыл бұрын
Please if you don't mind try to reduce the music sound a bit louder. Congrats mheshimiwa great job
@susanapollo284
@susanapollo284 5 жыл бұрын
Music not necessary
@paulokilenga1116
@paulokilenga1116 5 жыл бұрын
Huyu sio mtangazaji kabsaaaa
@williamamon8440
@williamamon8440 Жыл бұрын
Mwandishi ukifanya interview mambo ya kusema naruhusiwa kuonja, doh, si sawa, mpaka nimejisikia aibu
@mahamoudabas8555
@mahamoudabas8555 4 жыл бұрын
Wote mnaongelea Sound track! Hamuon kwamba ni pesa zetu za kodi ndio zimewekezwa hapo? Hayo mashamba ni ya wananch
@claytonkellymwaisango5283
@claytonkellymwaisango5283 4 жыл бұрын
Vp kuhusu elimu yake na ajira yake aliyo itendea haki miakayote mpaka alipo fikia umri wa kustaafu?
@georgemassebu2083
@georgemassebu2083 7 ай бұрын
Sasa hii music background ni ya nn?
@LaurentMasele-f4c
@LaurentMasele-f4c 6 ай бұрын
Safi sana PM
@praygodmbisse-cc1tx
@praygodmbisse-cc1tx Жыл бұрын
Hongera sana mizengo pinda
@johannesmaloda8209
@johannesmaloda8209 4 жыл бұрын
Mzee mzalendo sana na mstaarabu kweli kweli,lkn makelele ya mziki story imeboa
@500gts9
@500gts9 4 жыл бұрын
Tuko pamoja Kiongozi...motisha wa kutosha... 🇹🇿
@allymanyika3502
@allymanyika3502 3 жыл бұрын
Sass hayo makelele ya miziki ya nini?tunashindwa kusikiliza yanayosemwa
@shijandipo
@shijandipo 4 ай бұрын
Hellow...may I get contact? I wish to vist there?
@gregorychogelo2013
@gregorychogelo2013 5 жыл бұрын
Safi sana!!
@sss3s867
@sss3s867 5 жыл бұрын
Mzee naona ktk suala Zach zabibu ameshikwa kichwa kujikuna. Lakini Amejibu vizuri mno.
@frankmgendi8751
@frankmgendi8751 5 жыл бұрын
Cathelin umekua.mweupe kama unakunywa maji ya ray kigosi😂😂
@mohammedabdallah6390
@mohammedabdallah6390 5 жыл бұрын
Mimi pia sikumjua daaah
@husseinnyomi6120
@husseinnyomi6120 5 жыл бұрын
Nikunyaga tu
@farhatfatma12
@farhatfatma12 5 жыл бұрын
Ni aibu kumuona muafrika anachukia rangi yake kiasi hiki. Ni aina fulani ya mental slavery.
@jessemathew4696
@jessemathew4696 4 жыл бұрын
Mziki upo juu kiasi kwamba hatumsikii vizuri
@ababuumwana5102
@ababuumwana5102 5 жыл бұрын
Safiii Tanzania Mbeleeee Mzee wetu uko vizuri Sana'a mambo kama hayo tulitakiwa vijana ndio tuchangamkie lakini bahati mbaya tumezongwa na ushabiki kuliko kufanya maisha yetu yawe vizuri Tatizo kubwa Sana'a Tanzania Kwanzaa Mengine Baadae
@rashidseif7420
@rashidseif7420 5 жыл бұрын
Very true
@ilovejesus9303
@ilovejesus9303 5 жыл бұрын
Vijana mitaji inatoka wapi? Mzee alivuna pesa akiwa kiongozi, wapi na wapi. Vijana wanalia hawana mashamba, hawana mitaji!
@ababuumwana5102
@ababuumwana5102 5 жыл бұрын
@@ilovejesus9303 Bank zipo zinakopesha tatizo LA vijana ni uwoga Wa kuthubutu ndio maana unawakuta kwa mitandao wakilalama tu wakipewa pesa wanahonga baada ya kutengeneza maisha hakuna mwanasiasa atakae shika madaraka kisha akasema vijana mlale tu nitawalipa pesa hayupo na hakuna atakae kutengenezea maisha yako isipokua ni wewe mwenyewe wengi sisi hatujaajiriwa serikalini lakini tunafanya mambo yetu binafsi na maisha yanaenda sasa kama unataka mtaji kwenye mtandao utasubiri Sana'a Tanzania Kwanzaa Mengine Baadae
@ilovejesus9303
@ilovejesus9303 5 жыл бұрын
@@ababuumwana5102 bank gani hizo zinakopesha km huna kitu cha kuweka rehani mfn shamba au nyumba au mifugo au chochote? Yaani wakupe tu hela wasiojua km itarudi au lah? Mie natetea vijana wasio na mitaji wala hawajui wapi pa kuanzia. Mtu kamaliza chuo ana deni la kulipa mkopo, kakaa mtaani miaka 2 Hana hata Nauli ya kwenda kwa interview wengi nimewasaidia angalau hela ya kula njiani, hoteli kufikia na kufanya interview na kusepa. Akija home anakaa tu hajui aanzie wapi! Km zipo benki zinakopesha vijana wasio na kianzio chochote Naomba kuzijua niwashauri waende huko!
@ababuumwana5102
@ababuumwana5102 5 жыл бұрын
@@ilovejesus9303 Basi kaa tu wenzio tunakopa tunafuga Kuku na wanyama wengine wewe kaa tu humu ulalamike usubiri mwanasiasa akupe hela subiri tu endelea kulalamika na kulaumu utafanikiwa kijana Tanzania Kwanzaa Mengine Baadae
@drchinamodi6373
@drchinamodi6373 5 жыл бұрын
hio miziki ya nn sasa hatuskiii
@nicebatare2737
@nicebatare2737 6 ай бұрын
Waziri ni yeye mfugaji ni yeye mkulima ni yeye watu wa chini hata soko wanakosa jamani 😭😭😭
@summanelson5523
@summanelson5523 5 жыл бұрын
Kwake ni rahisi sana kwa vile uchumi wake si kama wastaafu wengine. Unapata mili moja hadi unastaafu au chini ya hapo utawezaje kununua shamba na kuhakikisha lina mazao? Ngumu sana sana. Lazima mtu upate mpenyo ndiyo utoboe. Waziri mkuu mstaafu lazima awe vizuri sana kama kichwa kiko vizuri!!!
@rehemachaula8621
@rehemachaula8621 5 жыл бұрын
Sauti hiyo veeeep we dada
@aludomakori7692
@aludomakori7692 5 жыл бұрын
Du!!nimevutiwa
PART 1: UTASHANGAZWA NA UWEKEZAJI HUU/ NG'OMBE ANAUZWA MILIONI 30
31:59
BILLIONEA ALIYEFIRISIKA NA KUWA MUUZA GENGE ASIMULIA MAZITO
51:17
Офицер, я всё объясню
01:00
История одного вокалиста
Рет қаралды 5 МЛН
Running With Bigger And Bigger Lunchlys
00:18
MrBeast
Рет қаралды 122 МЛН
EXCLUSIVE: MZEE Anayefuga SAMAKI Elfu 30 NYUMBANI Kwake, AFUNGUKA Haya..
12:04
IJUE HILL FARM TANZANIA KWA UNDANI ZAIDI
29:07
Hill Group Tanzania
Рет қаралды 8 М.
UFUGAJI WA KISASA WA SAMAKI KWENYE MABWAWA
9:36
Mbeyainfo TV
Рет қаралды 10 М.
Mh. PETER PINDA;ASALI NI UTAJIRI MKUBWA
10:43
TanTrade Tanzania
Рет қаралды 13 М.