Asante Mh. Bashe,Waziri/kilimo kwa utoaji taarifa,ila pia ni taarifa elemishi (inayotoa elimu) Mungu,WaTanzania tunazidi kukuomba umwezeshe Rais wetu kwa kumwinulia wasaidizi wenye kuwa na nia yadhati kumsaidia Rais kufikia Malengo yake kwa Maendeleo ya Nchi yetu - Tanzania. Mungu Ibariki Tanzania.
@RomanMwinyi5 ай бұрын
Unaombea nn wakati uyo ana uzaaa sukalii Kwa Wana nchi naailusiwii yeye anafungua kampuni ana uzaa bei yajuu wakati mbungee ai luusiwi
@karimjuma40195 ай бұрын
Kuna watu hata hawafuatilii wao ni kusifia tu unasifiaje jitu juzi km hili?
@newagecommunications72585 ай бұрын
Hongera sana kwa Mh Bashe.Nyaza cooperative imepata pia boss sahihi jamaa ni genius sana,natumaini atairejesha Nyanza ya zamani na zaidi hongera sana Mzee Kilele🎉
@iam_deo5 ай бұрын
Safi sana . Nimejiskia mwili unasisimka. Mama Usije mtoa Huyu Kaka hii Wizara. Anaijulia sana sana. Kila kijiji kingenunuliwa Tractor na wilaya combine harvesters . Chakula kitashuka bei kwa Watanzania na tutauza nje bei ya soko na kupata foreign currency. Viwanda vidogo vidogo Kila wilaya kwa Mazao yanayo zalishwa. Hakuna Atakae Lala njaa Tanzania. Hongera Hon Bashe.
@davinno235 ай бұрын
Huyu waziri ana data kamili tena zipo kichwani sio kusoma kama anasoma gazeti hii inamaanisha anahusika moja kwa moja katika uandaaji na ufatiliaji wa wizara yake kwq ukaribu sana
@robertphilip3855 ай бұрын
Uchawa umeanza
@AlfredGeorge-n2o4 ай бұрын
We mjinga hujui tu yanayo tokea sijui unaish wap ww
@robertphilip3854 ай бұрын
@@davinno23 tumekosa viongozi mpaka tunawapa ma Al shabab
@kishoshamisungwi5 ай бұрын
Asante mh bashee, natamani sana sana kukutana nawewe siku moja
@allyasia36625 ай бұрын
Nampenda Sana huyu kaka yuko smart kwa maneno mpaka brain
@josephk905 ай бұрын
Wezi huwa ni watu smart😮
@princesaha32625 ай бұрын
Anakwenda na Data
@jacksonngusi41225 ай бұрын
Ungekuwa mkulima maumivu ungeyaona direct
@HapsaHaji-bg5jk5 ай бұрын
Hongera mama Kwa kweli umejua shida za wanao nakaka kwa uwezo wa Jalali anakusaidia kuwapambania WaTanzania Allah AwasimamieAtusimamie
@SamweliMwashilindi-fq1me5 ай бұрын
Warusuni nchi jilan waje kununua mahindi yani wakongo,wazambia,wakenya mheshimiwa kwani mkusanye ushuru tuu kwani mkulima atapata Bei nzur zaidi,kwani nakuamini utajua namna sahihi ya kuwawezesha zaidi wakulima,kwani wewe ni mtu mahiri Sanaa👍👍
@rajabrwambow96605 ай бұрын
Huyu mh bashe anajua kaz alafu ana roho nzur sana tulienda kwake alitutriti vzr sana kama siyo wazir
@Nedjadist5 ай бұрын
Uislamu huo! Kila anayejua na kufuata maadili ya Kiislamu angalau kwa asilimia 10, hathubutu kuwa jeuri, fisadi au mbadhirifu. Usiniambie juu ya Kikwete!
@hanifa91535 ай бұрын
Ukiona ivo anejisalimisha mbele ya muumba wake hawezi kua na kibri anajua dunia tunapita tu mashallah nampenda kwaajili ya Allah azidi kua na imani Allah ampe mwisho mzuri amuepushe na dhulma amiin yarrab
@fredmwazembe41955 ай бұрын
Mungu akujalie uendelee kuwa kiongozi wa Taifa hili ukilinda maslahi mapana ya Taifa letu.
@emielmkwizu46895 ай бұрын
Mheshimiwa Raisi tunakushukuru sana kwa kumteua Bashe kweli tunaona Mwanga. All the best
@rehemarwanda60395 ай бұрын
Basheeee uko vizuriiii sanaaa
@FatnaAlly-go7yt5 ай бұрын
Mashallah ❤
@jabiriselemani61695 ай бұрын
🎉🎉🎉🎉
@danielkure96175 ай бұрын
Haya ndo mambo tunataka TZ, kongole mhe. BASHE
@jacksonngusi41225 ай бұрын
Bei ya mahindi ilikua angalau kabla awajataja bei elekezi nfra walipotaja bei huku imekua mbaya zaidi wamezuia nchi za jiran kununua hali mbaya sana sina hamu na kilimo kinaumiza sana
@hanifa91535 ай бұрын
😢😢😢
@davidrweyemamu9385 ай бұрын
Bashe yuko vizuri kwenye eneo hili!
@chagileRealEstateCoLtdViwanja5 ай бұрын
Bashe kwa data ni noma.
@robertphilip3855 ай бұрын
Kawaida ya tapeli lazima uwemakini
@fauzishabani26225 ай бұрын
Safi safi safi sana.
@jonathaneliabu22985 ай бұрын
Good brain
@ramadhanirashidi41755 ай бұрын
Huyu jamaa mashine sana
@AnociathaChuwa-cb5nk5 ай бұрын
SIO WAO TU HATA MADAKTARI NA WAALIMU WAMESAHAULIKA SANA SANA SANA WAFANYAKAZI WOTE WA SERIKALI VIJIJINI WAMEVURUGWA NA WAMEVURUGWA!!!! WANAHITAJI KUSAIDIWA NA KUTHAMINIWA!!!
@martinkisha63075 ай бұрын
Wakulima tunaumizwa hapa kwenye bei za mazao kuwapa kipaumbele wenye makampuni ya wazawa tu huko nyuma kulikuwa na upinzani wa ununuzi wa mazao kwa wakulima nawageni kutoka kenya na uganda bei ilikuwa zuri leo hatuna faida yoyote mpaka kilimo tunaanza kukichukia hakilipoi kulingana na uzalishaji
@jacksonngusi41225 ай бұрын
Unasema ukweli ghalama ya uzalishaji haviendani kabisa na bei iliopo yaani kilimo ni hasara sana isee
@SharifuMlulah5 ай бұрын
@@martinkisha6307 jopo
@wilbatnyato46795 ай бұрын
Safi sanaaa Basheeee
@princesaha32625 ай бұрын
Pamoja Hussein piga kazi
@jitabojilala61625 ай бұрын
Safi sana Mungu akubariki sana
@giztony20095 ай бұрын
Huyu jamaa yani hachoshii kabisa kumsikiliza
@EdnaMbowe5 ай бұрын
🙌🙌🙌🙌
@karimjuma40195 ай бұрын
Msomali mpigaji sana uyu
@DonaldkilianiMmbaga5 ай бұрын
Uko vizuri sana
@Thegame-6075 ай бұрын
Huyu msomali ba apa ipo yupo vizuri
@halimamasai22345 ай бұрын
Msomali ni mchapa kazi We angalia Kenya wanavyo fanya beshara ni watu makini lakini ndugu yangu huyu Bashe ni mzaliwa wa Nzege siyo Somalia sasa kumita msomali kidogo ni kama unambagua kwani sisi wa Tanzania wengi tunaasili za kongo ruanda burundi malawi msumbiji sasa sioni mtanzania ambaye anauhakika yeye ni mtanzania hata baba wa taifa alikua akisema yeye asili yake ni malawi
@abdul-azizzubair5 ай бұрын
MashaAllah
@Nedjadist5 ай бұрын
Burkina Faso wanajenga kiwanda cha simenti kitakachozalisha tani 60 za sementi kila siku....kwa gharama ya dola milioni7. Tanzania inailipa kampuni ya Australia ya kuchimba madini kwa kuvunja mkataba, dola milioni 75! Hiyo ndiyo Tanzania!
@paschaljoh57295 ай бұрын
Akajibu hoja za MPINA aache uhujum uchum
@alisalimo28615 ай бұрын
chapa kazi nd yangu tunakupenda mama yetu anakusapoti na ss tunakusapot
@AbdMohamedi5 ай бұрын
Tulio soma Cuba tunakuelewa majibu kwenye uchaguzi hivi vyama vya ushirika co rafiki kwa mkulima kwanini unaumiza wakulima
@rechopiahmusic93315 ай бұрын
Wakwanza 🎉🎉❤😊
@zumbeshauri81145 ай бұрын
Kiukweli hapa tuna waziri anaeijua wizara na upendo kwa wakulima
@ngalamawecheslous99765 ай бұрын
Ongelea maendeleo sio magari na okoka
@bakariomari24omar215 ай бұрын
Huyu jamaa natamani siku Moja kama sikua raisi basi japo waziri mkuu.hes very serious in his governess
@robertphilip3855 ай бұрын
Kwahiyo tumpe urais msomali
@bakariomari24omar215 ай бұрын
@@robertphilip385 raisi kapewa Samia ambae nimzanzibari hujielewi ww .mm baba na mama wakenya lakini nimtanzania.museveni mrwanda na niraisi wa uganda.tatizo umbea elimu zero.roho ya kichawi.kamuondoe na uwaziri pia Samia ukaanza hivohivo
@robertphilip3855 ай бұрын
@@bakariomari24omar21 kaka umesema kweli lkn wazee wetu waliharibu tangu mwanzo
@SharifuMlulah5 ай бұрын
Kwel
@RomanMwinyi5 ай бұрын
Ivi nyinyi mnapongeza uyo mbunge kwao kila ki2 kime panda bei baada ya yeye kungia mabalakani ana jinufaishaa mwenyewe siowana nchii wake alafu nynyi mnamuona mtandaoni eti uyu nampenda sasa una mpenda ana faida gani tuambieni nyinyi mnae mpenda kafanya nn mkoani kwao tuambieni nyinyi mnae sifiaa
@fauzishabani26225 ай бұрын
Kazi Kazi
@alanusrespicius17965 ай бұрын
Sijawahi kujua mnazungumzia wakulima wapi!! Nendeni kwa wakulima muone walivyochoka mpo kwenye majukwaa kubwabwaja ujinga. Hamfai kwa chochote
@MarcBoniphace-lj8lz5 ай бұрын
Mbunge pendwa 🎉
@afmabeat95675 ай бұрын
Caption zenu zimekaa kisenge sana. Hapo bashe kawakaje sasa?!
@jitabojilala61625 ай бұрын
Je bajeti ya kilimo imeongezwa lakini je maisha ya wakulima yamebadirika?
@DominicKani-ri9le5 ай бұрын
Tatizo ni ugonjwa mnayolea viongozi wakuu wa nchii yangu pendwa kwani hao mnaowapa vishikwambi mumejiridhisha uwezo wanao hii ni sawa na walimu wa shule zetu za primary wanaletwa tuu ikiwa uwezo ni mdogo kabisa hakuna interview yeyote juu ya uwezo wao hivo utendaji kazi wao haulingani na soko lenyewe sambazeni maafisa ugani angalau ngazi ya degree kila kata hawa mnaowabwaga ni zero plus hivo vishikwambi ni sawa na kuharibu kodi za Watanzania.
@jofreyfungo11125 ай бұрын
Wanaomsifu Bashe ni wale hawakijui kilimo na hujuma anayofanya Kwa wakulima kwani anatumia maneno mazuri ambayo hayatekelezeki .Mpaka Sasa hakuna hata Moja alilotekeleza Kwa mafanikio.Haya yanayoonekana hata wizara ingetengewa Hela ya kulipa wafanyakazi TU.bado haya yangefanyika anatumia vibaya sana Hela za miradi nakujinufaisha mwenyewe.ananyang'anya maeneo ya nanenane ili awape wengine kufanikisha Dili zake
@fredmwazembe41955 ай бұрын
Kwahiyo sisi wengine hatuone anachokionyesha Bashe???Acha wivu Bashe ni kiongozi ambaye watanzania wengi tunamwombea azidi kudumu katika uongozi wake.
@talents79345 ай бұрын
Bei ya bia imepanda sana wakuu.
@adkajisi45365 ай бұрын
Dah kwl ndugu watuone
@talents79345 ай бұрын
@@adkajisi4536 kiwango cha unywaji kimepungua sanaaaa
@yusuphmagida37785 ай бұрын
Vichekesho
@fauzishabani26225 ай бұрын
Kilimo ni uti wa mgongo.
@fabiankachewa45785 ай бұрын
Hili ni jembe,acheni roho zenu Mbaya! Piga kazi mh.
@AliMwingwa5 ай бұрын
Huyu jamaa jembe
@emanuelnisetas75105 ай бұрын
Nikwel mkulima analima kisha anapangiwa bei wakat wao wako afisin
@@naomijohn6041ko wew ndo mkulima wa kimataifaaaa unajua pekeako ety😂😂😂😂???
@NoahMwakyoma5 ай бұрын
Bashe kajibu hoja za Mpina
@halimamasai22345 ай бұрын
We nenda kamjibu huyo mpuzi mwenzako Mpina achana na Bashe hautamfikia ni mtu makini sana
@Mima-cl2im5 ай бұрын
Bashe anajuwa kuwadanganya waranzania. Wenye kuweza kujuwa uchungu na shida wanazopata ni wakulima wenyewe ambao hawana nafasi ya kufika kwenye mikutano kama huu.. Angalieni, kuna wakulima wangampi hapa? Kwa ujanja kaweka campaign ya kapigiwa makofi huku tenda za sukari na musamaha wa kodi anagawa kwa wauza simu. Wakulima wanaumia hawana mahali pa kupaza sauti. Campaign hii yote ni ya kuvuruga kesi inayomukabiri. Sijui katuroga nani!
@jamesmartin70265 ай бұрын
Muuzaji wa vibali vya sukari. Anaupiga mwingi 🙄
@nestor3845 ай бұрын
Tukikumbuka swala la sukari kukuamini inakataa
@halimamasai22345 ай бұрын
We naye mpuzi kweli kwani lazima umuamini au nanai kakulazimisha nyokoe
@maggiechristopher88175 ай бұрын
Tapeli mwizi mkubwa, kusafisha shamba eka moja ni millioni 16 jamani? Kuna mtu tanzania angelima
@martinkisha63075 ай бұрын
Punguzeni ushuru kwa mazao
@abdallahomary5155 ай бұрын
Hamna kitu maneno matamu ya kisiasa tu sukari nyingi mdomoni ila hamna kitu apo pikipiki zenyewe zilikaaa wizarani kwako apo mpaka majaliwa ndo alikuja kuzitoa