BASUTA KESHO JUMATATU NI RAMADHAN MOSI, BAKWATA JUMATATU TUNANGALIA MWEZI MWANDAMO WA RAMADHAN

  Рет қаралды 15,745

KHIDMA TV

KHIDMA TV

Күн бұрын

• BASUTA KESHO JUMATATU ... KHIDMATV #BASUTA #BAKWATA #SHEIKHBARAHIYAN

Пікірлер: 52
@salumtakao9828
@salumtakao9828 8 ай бұрын
Basuta ni taasisi iliyepeukana na upotoshaji kuliko hizi ofis za must zinazokataa taarifa za mwezi mwandamo. Allah awahifadh awape nguvu pia. Gumekosa Imani na viongozi wa bakwata baadhi yao sio wadilifu wamekuwa wakiukataa mwezi mara kadhaa tena wa hapa hap tanzania. Ila wajijie wan dhima kubwa kwa mungu kwa kuwapotosha watu wasiojua mambo yadini yao na kuburuzwa kisiasa .
@husseinmaula4965
@husseinmaula4965 8 ай бұрын
Inshaalha Allha akuhifadh shekhe wetu tupo pamoja Inshaalha.
@lawskuli9876
@lawskuli9876 8 ай бұрын
ALLAH awahukumu KHIDMA TV kwa kusema uongo na kupotosha umma kusema eti hili ni tangazo la BASUTA na BAKWATA na pia kutumia picha za Mufti Mkuu ili kupotosha Waislamu
@idrissalum7013
@idrissalum7013 8 ай бұрын
Lini utakua na akili sheikh wangu?
@amerwelder7786
@amerwelder7786 8 ай бұрын
Amin ya rabi
@sabihaibrahim143
@sabihaibrahim143 8 ай бұрын
​@@idrissalum7013mulaaniwe pumbavu waongo wa uislamu
@kulwamkota2459
@kulwamkota2459 8 ай бұрын
Ukweli na uamnifu na ukamilifu anaomungu,anaeamn afunge jta na mwenye shaka aanze jnne Haina haja kupigana majungu,
@mohamedisalimu
@mohamedisalimu 8 ай бұрын
A alykm nawapongeza wanajumuia wa basuta kwa misimamo na kujiamini kwao lakini nataka kukumbusha tu kwamba hata huu msimamo ni kwamba si wa kufata kimataifa..hapo bado ileile ZONE kwa sababu sisi na Saudia tupo zone moja ya mstari wa latitude vinginevyo mngefatilia kwenye miji ambayo siku mpya anaanza kuingia miji iliyo mashariki zaidi ya dunia Japan..korea au hata Indoneshia na Malaishia
@abakibibi9917
@abakibibi9917 8 ай бұрын
Sio lotitudo ni longtudo
@mohamedisalimu
@mohamedisalimu 8 ай бұрын
@@abakibibi9917 Unajua tofauti ya latitude na longtude?
@hafidhikawambwa3360
@hafidhikawambwa3360 8 ай бұрын
Ukiangalia kalenda yao ya dunia mwez walishauona mwez mmoja kabla
@mariamsaidi7899
@mariamsaidi7899 8 ай бұрын
Shukran
@froma3732
@froma3732 8 ай бұрын
Kwa hivo hapa Tanzania kalenda yetu ya Mwezi Shaaban unakuwa 28
@rebecadaud6459
@rebecadaud6459 8 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂kumekuchaaa
@salimmohd2987
@salimmohd2987 8 ай бұрын
MBONA MWEZI UKIPAWA SAUDIA NYINYI HAMUSIMAMI NA KUSALI NYINYI NI WAZUSHI TUU
@kitwanashem3272
@kitwanashem3272 8 ай бұрын
Mche mola wako hatuhitaji i maneno ya Maudhi kila mtu hapa anajua kukujibu karaha lkn kwa rehma za Allah na mwenzi mtukufu atuepushie mbali na maneno mabaya na Allah akusamehe kwa yote
@modyworldmody4297
@modyworldmody4297 8 ай бұрын
Mimi nipo qatar mwezi haukuonekana... Ispokuwa wamefunga kwa kalenda sio kwakuona mwezi
@FatwimaZahrau
@FatwimaZahrau 8 ай бұрын
Duh
@seifseifmohamed7118
@seifseifmohamed7118 8 ай бұрын
Waongo kabisa huko hakukuandama mwezi bali wametumia kalenda. Na ktk nchi ulizo taja basi mwezi uwezekano wake kuonekana ni zero-% na 2% within 6minutes kwa hivyo hii invisiable yaani hauonekani.
@abdalla8193
@abdalla8193 8 ай бұрын
Hamujiu
@RamadhaniAbdallah-b6n
@RamadhaniAbdallah-b6n 8 ай бұрын
Muwe mnasikiliza kwanz
@nasseralaufi9308
@nasseralaufi9308 8 ай бұрын
Nyie Ansari ni wanafiki na wapotofu
@abdallahsuwed65
@abdallahsuwed65 8 ай бұрын
Sawa wewe ni mtukufu.lkn hatukufuati
@HusnaSalum-p1q
@HusnaSalum-p1q 8 ай бұрын
Mboni mnajua hivyo Oman nzima hawajafunga umeiona nyumbani kwako
@nureinimohamed449
@nureinimohamed449 8 ай бұрын
Na huyu mtu naitwa Salim Barahiyani na wenzake si watu wazuri na wachungeni sana li ajli ya kuboresha usalama za inchi za afrika mashariki.
@MwarabuHassan-to1wx
@MwarabuHassan-to1wx 8 ай бұрын
@muktarkassim6647
@muktarkassim6647 8 ай бұрын
Ahlusunnah walajama'a hakuna siku watafaulu Kila kukicha Wana husudiana Kila mmoja ni mbora
@muktarkassim6647
@muktarkassim6647 8 ай бұрын
Waislamu wachaniwambie hatuwezi kuwa kitu kimoja mpaka tuondowee chuki ndani ya nafsi zetu....Itikadi inatufanya tusiwee kitu kimoja... Mimi SI somi maulidi sikufati unaesoma maulidi....hizo chuki ondoweni
@safimatola4436
@safimatola4436 8 ай бұрын
Safi sana
@Saad-o5f
@Saad-o5f 8 ай бұрын
Tunashkur kwa hilo
@NassirSaid-d7i
@NassirSaid-d7i 8 ай бұрын
Hapana kufata mwezi wa saudi arabia kwaio zamani watu walikua wanafata saudia ?
@hajjisanga789
@hajjisanga789 8 ай бұрын
Kauli yenye nguvu ni kufunga mwezi WA mwandamo kkoo ktk sehemu zenu kwa hadithi ya kuray kauli ya in jamhur ulamaa haina mashiko kWa haditlhi ya kurayb kwani ipo die toka fatwa hiyo ya jamhur ilikua haijapatikana hadeithi sahihi kwahiyo maimamu wa jamhur wamesema ikija hadithi sahihi ifatwe headithi ndio madhehebu yao sasa mbona kauli hii hamuoni au hamja soma waulizen wenye madhehebu yao je kauli yao hii bado inafanya kazi kwahiyo kama nyi nyinyi ni wasomi na wakweli
@Ibunmaulanashirazy-sn5ui
@Ibunmaulanashirazy-sn5ui 8 ай бұрын
Wemzee unafujo KTK dini Allah akupe hidaya
@HanafiZayumba
@HanafiZayumba 8 ай бұрын
Hukouliko onekana kwa Nini waipige parestina na mayahudi
@AbutwalibuMohamedy
@AbutwalibuMohamedy 8 ай бұрын
Kwa faida ya nani kusema uongo wa kuchonga? mtahukumiwa kwa kupotosha watu.
@mbarouksaadhussein290
@mbarouksaadhussein290 8 ай бұрын
Hapana usizungumze Jambo hauna elmu nalo katika dini kwan dini si michi za mpira Suala limekubalika na maimam 3 nao no Abuu Khanifa,Khambal na Maliq je hao hawafai kufuatwa au niuongo Mashekhe wanawazulia? Tafadhali naomba jawab
@nasseralaufi9308
@nasseralaufi9308 8 ай бұрын
Mwezi mumeuona?
@nasseralaufi9308
@nasseralaufi9308 8 ай бұрын
Wenye mamlaka ya kutangaza ni serikalu ya Tanzania au bakwata sio ,rudini Tena madrasa. Nyinyi mmeshapotea na sasa mnapoteza jamii. Fata kuraan inavosema
@abdallahsuwed65
@abdallahsuwed65 8 ай бұрын
Hatutaki.huko fuata wewe.
@salehwaziri5062
@salehwaziri5062 8 ай бұрын
Selikali hainadini kwahiyo mamlakayakutangazamwezi inatokawapi
@Absakindande
@Absakindande 8 ай бұрын
Bakwata imeshindw
@mohamedrashid6578
@mohamedrashid6578 8 ай бұрын
Basuta hiyo kamati yetu ya kufatilia kuandama hua inafanya kazi gani? Na kattu hamuangalii mwezi bali mnaangalia saudia? Au ni kamati ya kuulizia mwezi saudia??
@siwaletv4185
@siwaletv4185 8 ай бұрын
Kama simba na yanga
@williamjackson555
@williamjackson555 8 ай бұрын
Mtume sala na Salam ziwe juu yake "acha likutialo shaka kwa lisilokutia shaka" dini yetu hii inaenda kwa dalili usimuhukumu mtu soma dini ujue utapata utulivu
@hassansalum2572
@hassansalum2572 8 ай бұрын
Kupotosha uislam kivipi?na kesho Ramadhani kweli Jmatatu
@salehally1082
@salehally1082 8 ай бұрын
Acheni kuwachanganya Watu kama wewe umeamua kufuata saudia wewe fuata TU
@Absakindande
@Absakindande 8 ай бұрын
Familia yko inafanya ibada usilaumu huenda wafaakulaumiwa naww
@AlihamadiFaki-o7x
@AlihamadiFaki-o7x 8 ай бұрын
Ww kma hutki kufunga usifunge ww ndio unae sema uongo au ww una dalli kuwa tufunge mwez unao taka ww
快乐总是短暂的!😂 #搞笑夫妻 #爱美食爱生活 #搞笑达人
00:14
朱大帅and依美姐
Рет қаралды 12 МЛН
World’s strongest WOMAN vs regular GIRLS
00:56
A4
Рет қаралды 51 МЛН
ТЫ В ДЕТСТВЕ КОГДА ВЫПАЛ ЗУБ😂#shorts
00:59
BATEK_OFFICIAL
Рет қаралды 4,5 МЛН
Симбу закрыли дома?! 🔒 #симба #симбочка #арти
00:41
Симбочка Пимпочка
Рет қаралды 4,4 МЛН
BACHU AMVAA SHEIKH OTHMAN MAALIM TUHUMA ZA UZUSHI VIGAWANYO VYA TAWHID
26:32
FAHAMU MAMBO WASIYOYAPENDA WANAWAKE KWA WAUME ZAO EPISODE 01. (HUBBULHALAL)
29:17
DUNIA (Ep 23)
19:25
ASMA FILMS
Рет қаралды 65 М.
Epuka sana NZI kama wataka Ndoa yako idumu - Sheikh Izudin
18:01
快乐总是短暂的!😂 #搞笑夫妻 #爱美食爱生活 #搞笑达人
00:14
朱大帅and依美姐
Рет қаралды 12 МЛН