Tabarak Allah ahsani khaalyqin, Jazzak Allah kheri mola akulipe na akujengee msikiti peponi inshaallah.
@MuddyAlly-q1t9 ай бұрын
MaashaAllah
@hassanrashid94369 ай бұрын
aaamin
@khamisroro45899 ай бұрын
Allah humma Amin yaarrabbi waiyakum 🤲
@absm80849 ай бұрын
Hapo Samatta umeweka record milele mimi ni Mkristo ila nimekubali hii kazi ya kuweka mahali pazuri pa kumuabudia Mwenyezi MUNGU utakumbukwa vizazi na vizazi
Sanaa haswa Kwa ss waislam wallahi namuonea wiv Yan swadak yeny kuendelea mpk kiama
@sabihaibrahim1439 ай бұрын
@@ShadrackNdunguru-ir4cphee mbona mkaliii
@donvanpierre43699 ай бұрын
mzee hongera sana kwa kuwa ulikuwa na uwezo wa kumwambia ajenge nyumba ya kumuingizia kipato ila ukamuelewa mwanao ... Mungu akusimamie
@abdulkaleemmbarak66709 ай бұрын
MashaAllah tabarak Allah. Shuqran Samatta mungu akulipe jazza njema kama ulivyo tujengea msikiti na ww cku ya kiama mungu akupe qasiri lako peponi. Umetukongo nyoyoo zetu waislamu. Vijana mashuuri na wenye uweze tuige Kwa Samatta. Proud of you Mbwana Samatta.
@abdalahsaid99099 ай бұрын
Wallah moja ya ndoto yangu kubwa hii IN SHA ALLAH
@hassanrashid94369 ай бұрын
MashaAllah Allah amlipe kila lakheri
@FatumaJumanne-p4d9 ай бұрын
MAASHAAALLAH MUNGU azd kukuongezea ulpotoa na akupe Hatma njema 🤲🤲🤲
@wemakalama64589 ай бұрын
JazakaAllahu khyran .
@hildamakundi2819 ай бұрын
Samata Mbwana hongera Sana Kwa kujenga nyumba ya kumwabudu Mwenyezi Mungu. Mungu akubariki Sana.
@PaskaliCharles-pz8ds9 ай бұрын
Asante sana samatta kwa kazi nzuri ya mungu mzee pia tunakushukuru kwa hekma na busara zako maana wanasiasa hawachelewi kudandia gari kwa nyuma
@sa3dasa3da879 ай бұрын
Ma sha allah Ma sha allah Ma sha allah
@iswlahiking9 ай бұрын
Mashaallah Hakika umefanya jambo kubwa na la kuigwa ndg yetu mbwana ally Samata Allah akulipe kheri nyingi na Baraka Allah azidi kukufungulia kila lakheri na akulinde na kila lashari hongera sana
@omargargaar56119 ай бұрын
MashaAllah MashaAllah MashaAllah TabarakAllah Allah amuhifadhi na family
@jamaliibrahim62549 ай бұрын
Masha Allah, Mola amjaaliye kila la kheri ndugu yetu samatta Mbwana
@fathiyaalrawahi63829 ай бұрын
TabarakAllahu jambo zuri lakheri ameshajiwekea akiba ya usoni Mashaallah msikiti mzuri sans
@Salimdid9 ай бұрын
Ma sha Allah tabarak rahman alhamdulillah
@yaasirjuma35809 ай бұрын
Jazakallah kher
@faustamarussu55469 ай бұрын
Allah akujaaliye afya njema na akuzidishie zaidi ya kile ulichotoa Kwa ajili ya Allah
Barak Allah figh Mbwana Allah akulipe heri nyingi hapa duniani na Kesho Akhera uipate Pepo yake ya Firdaus Allahumma Amiin
@issarachide14749 ай бұрын
Masha allah, yaa allah hakuzidishiye
@Saidiamiri-lp8lw9 ай бұрын
Mashallah,dah zakah yenye kudumu Allah akupe kila kheri
@IsihakaRajabu-y6v9 ай бұрын
Swadaqatujaalia ,Yan sadaka yenye kudumu yenye kuendelea sio zaka hii
@stonetown5789 ай бұрын
Masha'Allah TabarakaAllah, Allah akuzidishie imaan katika kufanya mambo ya kheri
@JumaDotto-c3q9 ай бұрын
Mungu akuzidishie kaka ulipotoa🙏🙏🙏
@ibrahimsalim72479 ай бұрын
Hongera mbwana samatta mungu akuzidishie umeingia kwny list ya watu maarufu baada ya kiba na mondi kujenga mskiti mashallah
@maftahmusa95139 ай бұрын
Kiba na mondi huenda wasinufaike na huo ujenzi wao wa msikiti kufuatana na asili ya kazi yao na vipato vyao ni machukizo mbele ya Allah na pia hawasali kwa sababu kazi zao na sala haviendani huwezi kua mpiga mziki ukawa mtu wa msikitini never kwa hiyo labda waache shughuli ya miziki na watubu kweli. Ila Samata atafaidika kwa juhudi yake
@a.8569 ай бұрын
Jazakallah khayran
@MkungwaNgwarumbwa9 ай бұрын
ALHAMDULILLAH MAA SHAA ALLAH 💞 🙏
@SalmaJuma-p7b9 ай бұрын
Mashallah allah akufanyie wepesi ktk kazi zako
@ghalibzahir49449 ай бұрын
MashaAllah Allah akulipe kheir Pia hongera sana bro MashaAllah
@munamuna46219 ай бұрын
MASHAA ALLAH ❤❤❤
@salamasefu54949 ай бұрын
Mashaallah ALLAH YABAREEQ. DAMU ZA MWILI ZIMENISISIMUKA KWA FURAHA.ALLH KUKUONGOZA KWENYE KHERI.HONGERA SANA
@rehemamahendeka-rm2ek9 ай бұрын
Alhamdulillahi,Rabbi amjaze heri Duniani/Akhera Mbwana Samatta kwa kuikumbuka KESHO YAKE,M'Mungu awahifadhi wazazi wake wawili kwa kizazi chema,Aamin !
@Papagallo06079 ай бұрын
Maa Shaa Allah Maa Shaa Allah
@ezekielmirambo87049 ай бұрын
Hongera sana kwa Mbwana Samatta Mungu akujalie baraka zaidi
@husseinhemedi93149 ай бұрын
MashaAllah mwenyezi mungu amjaalie kilalakher
@HarunaKashushu9 ай бұрын
Jazakallah kheir yah almukhtaram samatta
@nicksonthomas54299 ай бұрын
Huu ni mfano bora sana na ndio maana halisi ya kipato halali, kwa hilo Mungu hawezi kumwacha kamwe
@alibinali_9 ай бұрын
Masha'Allah Jazakallah Khairan Ramadan Kareem Wa Saum Maqbul 🤲🏽
6:12 Jambo hili alilolifanya Mbwana ni jema sana mbele ya macho ya wanadamu wenye hofu ya Mungu na mbele ya Mungu muumba. Barikiwa sana na Mola akuzidishie hekima ya utambuzi kuendelea kutenda yale yote yenye kibali toka kwa Mkuu wa mbingu na Ardhi, Amina!
@MohammedJaizan-yf5yt9 ай бұрын
Mashallah. Jazakha llah kher. Kila kheri familia ya samata
@suleimankhalid84659 ай бұрын
Masha Allah ❤ Masha Allah , Allah azidi kukubariki na kukufungulia riziki zaid
@mwantumjaff16029 ай бұрын
Allah ampe mbwana maisha yenye aman Duniani mpaka akhera, sio kila mwenye pesa anawez kukumbuka hili wengne wanadhamin watu wanatembea uchi Kwny majukwaa,,,Allah akulipe kaka angu
@RamadhanHussein-u6n9 ай бұрын
Mashaallah msikiti ni mkubwa Allah amfanyie wepec samatta kwenye kazi yake ya miguu
@zainabtumba11869 ай бұрын
🇹🇿/🇺🇲Baaraqa Allah. Shukran za Allah na Zetu Wajaaa zikufikie. FANTASTIC!!! Allah ukufungamanie Zaidiii Mbwana Samata na ukooo pia kwa Sadaka Jariiya ya Mema yako Duniani na Aheraaaa. Jazaak kheri waajazak Allahu wa Karim Alhamdullah Rabiil Alamin. AMEEN🙏👍💖
@salumkarama13069 ай бұрын
Mbwana Ally Samata popa Mashallah Allah akupe shufaa duniani mpaka Ahera
@TausiKaseko9 ай бұрын
ManshAllah, Mwenyezi Mungu akupe pepo Inshallah
@BertinaCharlie9 ай бұрын
Safi sana Mungu akubariki sana Mzee Samata Mungu amekubariki mtoto mwema Mungu ambariki kijana wako uhai mlefu na afya njema azidi kupaa kimaendeleo🙏🤲
@رقيهالخصيبي9 ай бұрын
MashaAllah MashaAllah Mwenyeez Mungu amlipe kheri hapa dunian na kesho akhera
@aishaissa25122 күн бұрын
Mashaallh mungu akuzidishie zaidi 🤲❤
@kijonalusay9 ай бұрын
Ma Shaa Allah
@abdulshebe56899 ай бұрын
Allahu barik mungu akuzishie duniani na akhera
@salumjuma31529 ай бұрын
Mash allah Allah amruzuku zaidi na zaidi na zaidi
@IssaAliy-z7e9 ай бұрын
Allah akulipe kila kheri na akupe badali kaka yetu mungu akujengee nyumba peponi. Aameeeen
Ubarikiwe sana Mbwana Samatta, Mungu akuzidishie kwa kujenga yumba ya ibada, umejenga kimya kimya bila hata kuita media
@NassibUkasha9 ай бұрын
Mashallah jazzak Allah kheir
@swalehmohamed30349 ай бұрын
Mashaa Allah ..Allah ibaarik..na sisi Allah atujaalie tuje kuekeza kwake kama hivi In sha Allah
@jumaazuberi93179 ай бұрын
MAAASHAALLAH ALLAH AKUTAQABALIE AMALI YAKO HII NA NYINGINE. SASA FANYA UAJIRI WALIMU NA IMAMU. ILA PAWE HAI ZAIDI.
@Benzo_Mkemia9 ай бұрын
Mungu akubariki zaidi, umefanya jambo jema sana.
@yusufyusuf-br5qk9 ай бұрын
MaAshllh allah amuhifadh na azidi kumfungulia
@hamadmasoud63869 ай бұрын
Mashalla mashallah mashallah kila jambo jema hufanywa na watu wema Allah akuzidishie imani yakumjua mungu zaidi
@SalhaHayuma9 ай бұрын
Mashallah, Allah akulipe.
@BertinaCharlie9 ай бұрын
Safi sana umenifurahisha sana mzee wangu kwa kusema ukweli iyo tabia ipo sana kwenye misikiti mingi kupiga siasa misikitini inaboa sana nakukubali sana mzee
@maulidkiluluwale21909 ай бұрын
Maa Shaa Allah. Hiyo ndiyo swadaqa yenye kuendelea. Allah akulipe kheri nyingi. Illa, nashauri jina lingebadilishwa. Badala ya kuita masjid Samata waite jina jingine tu lisilonasibiana na yeye mjengaji. Hiyo itakuwa kheri zaidi kwake.
@salhaayub13389 ай бұрын
Masha Allah tabaraka Allah ❤Msiwe akuhifadhi na akupe zaidi
@bashiromary65289 ай бұрын
Masha Allah. Jazzakha llah kher
@samuelchiumia90549 ай бұрын
Hongera sana Samatta, Mungu akupe maisha marefu
@RamlahNassoro9 ай бұрын
Maa shaa Allaah Samata Allaah akujaalie killa la kher na akukinge na killa sharri
@AbubakarHabibu-hp2ku9 ай бұрын
Mungu akupe maisha marefu kila laher samat
@josephat669 ай бұрын
Mungu amubariki samata Pia atujie na ss kujenga kanisa kwa ajili kukutanisha waumini kuabudu Muumba wetu amen
@abdullahabdul92469 ай бұрын
Alhamdulilah mwenyezi mungu amjalie
@AminaRashid-wl8fe9 ай бұрын
Allah akufanyie wepesi azidishe kipatochako mungu akupe maisha marefu samata 🕌🕌🙏🙏
@Mwinyi779 ай бұрын
Mashallah! Allah amjaze kheri brother Mbwana
@maryamabdallah31409 ай бұрын
Maa Shaa Allah...Allah azidi kukuongoza kaka mbwana
@Saidiamiri-lp8lw9 ай бұрын
Natamani siku moja na mmi nilitekeleze hili dah namuonea gere maana si kwa miswawabu hiyo uwe na amani basi inshallah.
@AmoIslamicTv9 ай бұрын
Allah atakuongoza pia Inshaallahu
@saeedabdullahsaeed31829 ай бұрын
Mashaalh mungu amjaalie
@Saidiamiri-lp8lw9 ай бұрын
@@AmoIslamicTv amiin
@AbuuAslam-9 ай бұрын
Kikubwa ni Ihlas tu Mana a'mali bila Ihlas ndo hamna kitu ila kama ni Kwa Ihlas Alhamdulillah Allah Atuongoze
@Saidiamiri-lp8lw9 ай бұрын
@@AbuuAslam- Allah atamlipa kwa nia yake!
@محمدالمشايخي-ج5ج9 ай бұрын
Mashallaah samata tunaomba. Utujengee na madrasa ya wtt inshaallah alhamdurirah ❤❤❤ mana vianzi hatuna. Madrasa ya watt
@benobeno72979 ай бұрын
Allah akbar mashallah hongera samatta mungu akuzidishe upate zaid na zaid na kumkumbuka allah hii ni aaccount kubwa mbele ya mwezi Mungu
@swaumuugata41669 ай бұрын
Manshaalah hongera sana kaka ang utaukuta ujira wako kwa allah 💋
@rogoyassin59 ай бұрын
ALLAHU AKBAR, ALLAH akulipe yaliyo mema 🙏
@nth35129 ай бұрын
MASHA ALLAH, km mlikula mbuzi pasina ya kuita media kwakweli ni kweli mlidhamilia kujenga msikiti na sio umaarufu
@FatmaHalfan-w3l9 ай бұрын
Iyo ni kheri Allah kamtunukia mja wake mashaallah Allah kamuongoza kuwekeza kwaajili ya akhera yake
@MwaijaMustafa9 ай бұрын
Mashaallah Allah akuzidishie
@husseinkombo7799 ай бұрын
Maashallah Jazakalla khair na Mungu atakulipa zaidi ya hicho inshaallah
@staanstaan87229 ай бұрын
Mashaallah Mungu akufanyie wepes katika maisha yako
@ramadhanihudhaifani43769 ай бұрын
Maa Shaa Allah! Allah Akuzidishie zaid,kaka. Amiin!
@aminaamina39729 ай бұрын
Mashallah mashallah mashallah na yeye mungu Amujengee nyumba peponi inshallah
Mungu Amsimamiyi katika kila jambo lake Mbwana samata hamzidishie maladufu👏🏽👏🏽👏🏽🙏🏿
@JumaMachellah3 ай бұрын
Naomba mwenyezi mungu amlipe pepo ya juu na amlinde na udhalimu wa aina yoyote
@beautywithnay59749 ай бұрын
Mashallah mashallah mungu aendelee kufungulia azidi kujenga nyumba ya ibada
@rashidimohamedi51889 ай бұрын
Allah atupe baraka na azid kutupa Imani kamaa Hii
@ntiliyothomas2259 ай бұрын
Mimi ni mkristo ila misikiti yote ni yamwenyezi Mungu kwa hili alilolifanya tumuombee dua njema Inshalla 🙏
@Onlyforfun1992tube9 ай бұрын
Hakuna mkristo anaweza kusema ayo maneno
@kassimmohammed8349 ай бұрын
Mashallah pepo unayo bro Allah na Sisi atupe. Uwezo tujenge mskiti insha'Allah
@rayisadesigns26469 ай бұрын
HONGERA MTOTO WA KINDENGEREKO NA KIZARAMO MBWANA ALI SAMATA... MAASHAALLAH HAUKUIACHA ASILI YAKO YA WEMA... MOLA AKUZIDISHIE KILA LA HERI KWA KUZIDI KUANGALIA NA KUITATULIA MATATIZO MBALIMBALI JAMII YA KITANZANIA KWA KIPATO CHAKO UNACHOBARIKIWA, TWAMSUBIRI RAFIKI YAKO MSUVA NA WENGINE WAFATE NYAYO ZAKO KWA KUITENDEA MEMA JAMII.
@HusseinKarumna9 ай бұрын
Mashaallaah Mungu akubariki ww na familia yako
@kilogreek40509 ай бұрын
Mungu Ambariki Atasaurika daima huyu kijana mbwana Mzee Usiseme wanamuonea gele sio vizuri baba
@ndukulusudikucho_9 ай бұрын
Mwenyezi Mungu amlipe Kwa Nia yake , umri umeenda na sio kila mtu Ni fasaha ktk kuongea, cha muhimu tuwaombee dua hii familia
@MwajumaLwassa8 ай бұрын
ALHAMDULILLAH TUMEPATA MAIKITI WA KARIBU WA KUFANYIA IBADA, ALLAH AKULIPE SAMATA.
@amyboyfighter72819 ай бұрын
Allah akusimamie zaidi❤❤ nibaraka kubwa naamini kila mwenye imani anatamani kufanya ikikitu kwaio nasi Mungu atujaalie lizki namoyo wakufanya mambo kama haya
@laithalfairuz11899 ай бұрын
Masha allah masha allah mwenyezi mungu akulipe kila lenye kheri na ww🤲🤲🤲🤲