Asante Katibu Wangu Kwa Majbu Mazur Wenye Akil Tumekuelewa Kama Wamutumwa Bhas Wamekuelewa
@erastuskajuna812 Жыл бұрын
Wanaosema Bashiru in mpya kwenye Chama nadhani mnaona Magufuli alivyokuwa makini katika kuchagua viongozi! Wengi wanaojidai muda mrefu kwenye Chama hawawezi kuwa kama Bashiru. Bado Bashiru anauzika ndani na nje
@PelekabhodoBoywd3 ай бұрын
joo uwe rais baba
@charleschangare52084 жыл бұрын
Charles Mauzo . ww bashiru mbona unatapika bada ya kuongea unacho kihitaji kwa hao wanawake unaongelea ya jilani wakati yako yamekushinda?
@abumasoud19964 жыл бұрын
ccm wanathani wataakaa milele katika dolla.kwa mtizamo wangu chama cha ccm hakipo katika vitabu takatifu quraan na bible,mda wowote ccm wanzaweza kuwachia dolla.ccm haitoweza kushika dolla milele
@princeragy77004 жыл бұрын
Hamna alie kosea? Kweli
@charlesjoseph17254 жыл бұрын
Kwa nn madiwa wengi wameuguliwa
@mr.majeni58174 жыл бұрын
We zuhura kwan mikutano ya trump na wengine huwa wanaulizwa maswali au wao ndio wanatoa hoja hebu tumia taaluma yako vizur
@barikilinus52744 жыл бұрын
Ninyi mnao hoji suala la maendeleo juu ya kauli za Magu mbona pia mnakwepa kutizama matendo yake kwa majimbo yaliyokuwa chini ya upinzani kwa miaka 5 iliyopita? Tusichoshane kwa mifano kama huoni umejipofua mwenyewe ama kiburi tu..
@fredymkanza4 жыл бұрын
Bushiri unatetea kitu ambacho kiongozi wako amesema na anakitekeleza kutokupeleka maendeleo majimbo ambayo ccm haikuchaguliwa mojawapo kwenye Jimbo langu same mashariki
@sarafinafranci84813 жыл бұрын
Anzisha chama tutakuunga mkono.
@princeragy77004 жыл бұрын
Unatupanga hapo bashiru mmefate sheria hipi zaidi ya wengine
@fredymkanza4 жыл бұрын
Bushiri unatetea kitu ambacho kiongozi wako amesema na anakitekeleza kutokupeleka maendeleo majimbo ambayo ccm haikuchaguliwa
@kobelomengi35014 жыл бұрын
Sasa basi
@princeragy77004 жыл бұрын
Wee bashiru vp
@beautifullyafricatv1843 жыл бұрын
189b nijasho la nan
@charleschangare52084 жыл бұрын
Kwani ni lipi geni kwako? Na pia tunajua manachokitafta kwao hao wanawake wa bawacha mana hakuna kingine tofauti na mahusiano. Ww kibaraka wa ccm. Kwani mnapo zungumza ujinga kuhusu kufutiwa wanachama hao akina halima mdee na wenzake. Huwezi kuona kuwa ni jins gani hiki chama cha Chadema kilivyo na misingi imala
@philemonjonikenyato29194 жыл бұрын
Maswali mazuri ila anayejibu anatetea ugali wake!
@الزنجباريعلي-خ3ك4 жыл бұрын
ww waijua njaa uyu jamaa hajitambui
@charleschangare52084 жыл бұрын
Leo hii mnapanua midomo yenu eti mbowe kuchukuwa mamka ya ilani ya chama chake kama m/kiti wa chama Leo hii unasema bila aibu eti mbowe ameshidwa kuheshimu haki za wanawake acha siasa za maji taka wewe kwa ccm hakuna wanawake wa kuwapa hizo nafasi? Na pia hamuoni kuwa mnajidharilisha juu ya uongozi wenu? Acheni uviereere wenu tena mbona Mnajipendekeza Chadema?
@hamadsobo3044 жыл бұрын
Bashiri via kofia kk kushashindwa mwaka huu
@charleschangare52084 жыл бұрын
Kingne kaa ujitambue kuwa ww ni katibu wa chama tu wala si kiongozi wa nchi maneno yako waeleze wanachama walio chini yako katika ccm kwani hao wanawake pindi woko mlikuwa mnawapiga marungu na kuwadharirisha Mbele ya umma na vyombo Vya habari, je? Mda huo hamkujua kuwa mnakiuka haki za wanawake?
@abubakarihamissi41783 жыл бұрын
haya sasa kipo wapi mshenzi ww ulitumika kununua wapinzani pesa ambazo mngezitumia kukopesha watu masikini mkazitumia hovyo haya ss umeshadhalilishwa na mkuu wako kafa malipo ni hapa hapa duniani
@jnote92833 жыл бұрын
Acha ujinga wewe. Huyu bwana safari yake ya siasa ndio kwanza imeanza. Changamoto zake sio za kudumu na atarudi kwa nafasi kubwa zaidi ya ukatibu.
@abubakarihamissi41783 жыл бұрын
@@jnote9283 basi imeanza vibaya kwa kifupi hao ni wachumia tumbo ambao walikuwa wanawagombannisha viongozi kwa maslahi yao mapana alisema cheo cha katibu mkuu ni kikubwa mno na hata kubali cheo kingine chochote ss mbona alivyoteuliwa mbunge hakukataa!?, ok how about humphrey polepole alisema nn kabla ya kuteuliwa na magufuli! je baada ya kuteuliwa aliendelea na zile harakati zake za katiba mpya!?, je baada ya katibu mwenezi sasa hivi anabahave vipi!? situka ww acha kukaririshwa.
@richboy10414 жыл бұрын
Mbona warabu tz wahapo huru
@mussaluhubila78684 жыл бұрын
Kwahiyo wewe na Magufuri nani mkweli kama yeye amesema kuwa hatopeleka maendeleo kwenye majimbo ya wapinzani, mbona wewe unakanusha?
@luciansanga51953 жыл бұрын
Haya sasa kwanini?una kubali kuhojiwa na Zuhura. ona anavyo ku umbua siku nyi ngine kataa sema sina Muda
@charleschangare52084 жыл бұрын
Na pia ukiwa na akili timamu unazungumzia upuuzi mtupu, ama kweli nimeamini kuwa akili zako zimelala kama maziwa mgando na pia inabidi uchunguzwe kama huna utindio wa ubongo,
@massoudsultan61494 жыл бұрын
Bashiru unatia aibu fanya umebanwa na kikohozi angusha mic wewe Ndugai pole pole na Makonda ndo mumushusha heshim a ya CCM Leo majuto ni mjukuu
@georgezablon35224 жыл бұрын
Hamna kitu hapo, Bashir njaa itakuueni,
@hasnunokassim92824 жыл бұрын
Ni uongo na kujigamba sana na pointi alizozingumza uyo jamaa hazina mantiki yeyote na chama kinaonesha kipo masilahi zaidi. Na chama tawala ndo kinachoongoza kutofata (kuvunja) sheria kwa viongozi wake na hili limekua ni tatizo kwa upande wa 2.
@josephramadhani75354 жыл бұрын
Mbna Kam Teja vile
@masoudkipara50534 жыл бұрын
Zuhura unamaswali yakipumbavu sana, tena shukuru Dr Bashiru hajakujibu kipumbavu amekua mstaharabu