Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili / @bbcnewsswahili #burundi #RWANDA PAUL KAGAME EVARISTE NDAYISHIMIYE BURUNDI YAFUNGA MPAKA NA RWANDA
Пікірлер: 14
@uwezawamungumkuu.amaniafrika8 ай бұрын
Hao afrika kusini wanatafuta balaa na Mungu mkuu. Waafrika mwisho wetu nini juu ya mizozo ya kila siku?. Tutafaka wana wa Afrika tunacho kifanya?.
@davidsaibu29308 ай бұрын
hamna mungu apo ausiki kwenye upuuzi
@user-bz9go2cw9c8 ай бұрын
Nc
@exsonmwakalobo88658 ай бұрын
Nawapata vizuri kutoka border tunduma tz hapa
@noelmmari85708 ай бұрын
Afrika kusini inajisahaulisha ni Nani aliye anzisha vita, mwana kulitafta mwana kulipata.🇮🇱🇮🇱🇮🇱🇮🇱🇮🇱🇮🇱💪💪💪💪
@omodesigner8 ай бұрын
❤❤❤❤❤
@gloriamichael79358 ай бұрын
Pole afrika kusini Ukraine - urusi hujayaona hayo
@hellennjuguna59648 ай бұрын
Afrika kusini hamna security kwa nchi lenu vihelehere za kidpplomacia ndilo mko nalo
@AlexMkwama8 ай бұрын
Warudishe mateka
@gloriamichael79358 ай бұрын
Warudishe tena wote: ila ninawasiwasi km kweli wapo hawajafa pamoja fumua fumua ya mahandaki yote