VIVA KOMREDI LISSU....VIVA CHADEMA....WATANAZANIA WOTE BILA KUJALI VYAMA VYETU NA MAMILIONI WASIO NA VYAMA TUKO PAMOJA NA NYUMA YENU....NGUVU YA UMMA IKO NYUMA YENU.
@stephanogervas1207Ай бұрын
sema viongozi wa chadema akili nyingi sana asee hawana mchezo ndio maana nawakubali sanaa
@iddysekambaАй бұрын
Huyu LISSU ana brain kubwa sana..that's why serikali inamuhofia sana huyu kamanda..naunga mkono hoja zake
@FlaviosafariАй бұрын
Hekima za Lissu.
@OscarKasalileАй бұрын
Jambo TV naikubali sanaaa
@othmarluwawilo8308Ай бұрын
Lisu the Great 👍👍👍
@MathewNathan-yb2bzАй бұрын
Lissu ni mteule wa Mungu na hazina ya Taifa hili.Huyu ni zawadi toka kwa Mungu katupa watanzania tumtumie kujenga nchi yetu iwe na mifumo imara na nchi yenye utu na haki.
@adelinelyaruu3036Ай бұрын
Mungu azidi kumtunza na kumlinda 🙏🙏
@JohnMabustarАй бұрын
Imeisha iyoooo tuanzie apo apo..... Makamu mwenyekiti Asante saana kwa darasa huru 😊😊
@Queen-be1ufАй бұрын
CCM wamejinyea mwaka huu bara na visiwani. Kule zanzibar kuna dhalim pia anataka anyamaziwe aogopwe. Mwaka huu wananchi wamechachamaa , mauaji yamezidi bara na visiwani basi tena ENOUGH IS ENOUGH. Mungu awaangamize kama alivyomuangamiza firauni, AMIIN
@GeorgeAkasha-zx2rjАй бұрын
Kwani Hadi Zanzibar yapo hayo? Nasikia wanasema ni bara tu eti ndo yapo?
@happybajuta9769Ай бұрын
😅@@GeorgeAkasha-zx2rj
@DhamiriSinkambaАй бұрын
Excellent
@kelvinathuman8545Ай бұрын
Lissu wew ni Mwamba aisee Akili nyingi hakuna wa kukufikia ata kwa robo
@JoycejeradАй бұрын
Hizi habari kamwe huwezi kuzikuta Millard ayo....global tv Wala tbc.....never
@salehkhalfan7345Ай бұрын
Hyo Millard ndo kazidi
@jacksonrange3926Ай бұрын
Maneno yako n kweli kabisa na ni ya kisheria
@HajiMwangamaАй бұрын
Mandamano tusilud nyuma pole sana mhshimwiwa
@Dismasbccmiraclecenter-rv9qiАй бұрын
Mwamba huyu hapa, Lisu mmoja ni sawa na maficiem 1000
@davidsamson8292Ай бұрын
Hiki kichwa tukikipa nchi Jambo la kwanza ni katiba Rais amepewa madaraka makubwa sana jambo ambalo ni kosa kubwa. Mwenye akili ataelewa kuwa Tundu Lisu alichozungumza sio ishu ya Chadema bali ni issue ya nchi. We need changes CCM tumeichoka watoke.
@MashakaMagesaАй бұрын
CCM siyo mbaya viongozi baadhi wa CCM ndiyo shida mtu kama Majaliwa akipewa hii Nchi mbona itakuwa sawa na CCM Watu wataipenda
@AlfredAlfred-yd2mgАй бұрын
Serikali yetu ni maumivu matupu ila Mungu ata
@justine_JLEАй бұрын
Lissu anaongea anasikilizika ana sauti ya kimamlaka
@ZakariaMnzava-q1vАй бұрын
Kupatikana kama Lisu labda miaka 50 ijayo
@MashakaMagesaАй бұрын
Wapo sema wengi ni waoga wanaangalia matumbo yao
@mweyoms5548Ай бұрын
Hiki kichwa hiki... Ndio maana wale wengine hawapati usingizi.
@novathmsanyamsanya7702Ай бұрын
Hivi hili jamaa linawekaje vitu vyote hivyo kichwani?
@williammbuzimai5744Ай бұрын
😂😂😂 hiki kichwa levo nyingine kabisa
@adelinelyaruu3036Ай бұрын
Ukiwa na passion na kitu chochote utashinda
@DavidSoka-b7hАй бұрын
✌️✌️✌️
@jacksonrange3926Ай бұрын
Nikweli lakin tayari tumeshapitwa na wakati tujaribu kurekebisha haya ya sasa
@DavidSoka-b7hАй бұрын
Wameshindwa kumnunua wanaumiza kichwa😂
@brucardkomba616Ай бұрын
Lissu ni kiongozi pas kujali Cha Ma
@mangashajunior242Ай бұрын
Long live Jakaya Kikwete ulijenga Taifa kubwa na la heshima Tanzania....
@themanofgod7562Ай бұрын
Heshima ipi hiyo
@IlhamKhalid-mt3jpАй бұрын
Muuaji kama wauaji wengine
@IlhamKhalid-mt3jpАй бұрын
Tatizo lenu kuitwa ikulu tu msijali😂😂😂
@AziziharunabigirwaАй бұрын
Lissu ww ni mwamba kwelkwel
@HappyGazingIguana-on2dhАй бұрын
❤
@christianmwabukusi8132Ай бұрын
Kukawiza marekebisho ni kuahirisha tatizo, mbeleni watoto na wajukuu wa viongozi watabeba aibu na fedheha ya wazazi wao
@adelinelyaruu3036Ай бұрын
Now that we know the constitutional problem, let the current generation deal with this problem now. Serikali iwe sikivu ili wajukuu wetu na vitukuu vyetu waje wafurahie nchi yenye Utawala bora na haki za Binadamu
@ramadhanikhalfan848Ай бұрын
Na mbowe amejuwa Mwenyekiti wa CHADEMA Kwa mda gani na Ni kwa nn awe mbowe mda wote ?
@DicksonMoshaАй бұрын
Katiba mpya ni sasa
@adelinelyaruu3036Ай бұрын
Mungu simama hili TAIFA na viongozi wake tupate KATIBA MPYA mapema iwezekanavyo
@DenisGodwin-uu6zzАй бұрын
Chadema kitabaki kuwa chama pekee cha siasa chenye vichwa vinavyochemka
@kurwakturwa8472Ай бұрын
Chadema ni vichwaaa
@muharamijuma1569Ай бұрын
TUSHUĹIKA MA MPIRA ŴAPINZANI HASA CHADRMA NA KANIISA NI WSTU WA RWANDA
@ambitiousholyspirit395Ай бұрын
Tuuwishe mchakato wa warioba tusikwepe kwepe jambo hili tujenge jamii yetu inayoheshimu Taifa na future yake.
@adelinelyaruu3036Ай бұрын
Kweli kabisa
@danielmakubowatzАй бұрын
TUME YA UCHAGUZI SI HURU KABISA HIYO NI KWELI SWALI NI, KWANINI MNAKUBALI KUSHIRIKI UCHAGUZI?