Naam subra ilikuwepo Allah amlipe miongoni walio subiri Ameen ya rabby
@w40582 жыл бұрын
Vijana mnakuwa ndio target kwa kuwa subra zenu fupi hivyo mkifanya papara mtajiharibia wenyewe Mhe Othman Masoud alikuw kwenye International Organisation kakubali kuwacha kuja kutusaidia mnashindwa kuendelea na Subra subra chungu na inataka muda mrefu mkivunjika moyo mtajiumiza wenyewe
@abdulhamis98253 жыл бұрын
Tumekuelewa Othman Msaoud Ukwel Sisi Wananchi Bado Hutujaona Umuhimu Wa Kuwa Na Serikal Ya Kitaifa Zaid Tunaona Kuumizwa Na Ukali Wa Maisha Tu
@ahmedkombo12673 жыл бұрын
Othman masoud ni kiongoz wa kimaslahi tu
@seifseifmohamed71183 жыл бұрын
Hayo ni maoni yako lakin kwa bahti ambaya pia ndio faida yenyewe ya utanda wazi ni kumjibu msemaji gizani mnakuwa hamuonani hivyo bas sina ya uhakika kuwa wewe ni mtu au ni kiumbe tu wowote. Pole na darasa lako la std.
@salyali78073 жыл бұрын
OMO alikua na maslaha zaidi kuliko hivi sasa
@khatibuhijja4592 жыл бұрын
Kafata maslahi gani huku,kwa kipato bora huko alikotoka
@sharifjuma12202 жыл бұрын
Kwani aliomba hii nafasi. Au viongozi wa act wamemfata wao ili awawakilishe kwenye Serikali. Au ulisikia kaomba nafasi ya uongozi. Sasa utasemaje kafata maslahi. Watu bwana ndio hivyo tena? Mungu akujaalie uwelewa.
@aulidriver31022 жыл бұрын
una haki ya kutoa maoni yako ila pia usilolijua ni usiku wa kiza