Рет қаралды 18,337
Wiki hii, Tanzania bara na visiwani Zanzibar itaadhimisha mwaka mmoja tangu kufariki kwa kiongozi na mwanasiasa mashuhuri katika siasa za Tanzania Maalim Seif Sharif Hamad.
-
Huku kukiwa na maandalizi ya siku yake ya kufariki ambayo ni Februari 17, mwandishi wetu Aboubakar Famau amemtembelea mke wake maarufu kama mama Aweina na kufanya nae mahojiano nyumbani kwake Unguja na kwanza alimuuliza ni kitu gani hasa ambacho wanamkumbuka nacho Maalim licha ya kwamba hamko nao?
#bbcswahili #zanzibar #tanzania