Nabarikiwa mnoooo kundi mbona halitoi kazi nyingine
@bonnieclark80693 жыл бұрын
Beautiful
@esthertimba-langa85089 жыл бұрын
Bwana yesu asifiwe milele na milele
@paulinekimollo62168 жыл бұрын
Kwa kwaeli TM mnanibariki sana na uimabaji wenu, ila tunasshindwa kupata DVD zenu. Barikiweni wapendwa!
@Manambastudios13 жыл бұрын
Ndashimye chane kusoma kuva iwawe. Napenda sana nyimbo za injili. Zina ubariki sana moyo wangu. Basi nimefurahi mno kupata 'feedback' yako. Ninaamini haujaacha kuimba pamoja na shughuli nyingi za ulimwengu huu. Mungu akubariki sana.
@ohmsahila13 жыл бұрын
kaka Tegemea urakoze chane for sharing this song ninaufurahia sana ubarikiwe
@joinetjohn53968 жыл бұрын
Mbarikiwe
@penielemanuel856912 жыл бұрын
nyimbo nzuri sana,instrument zimepanwa vizuri,saut zina pishana vizuri san..i like it