Usisahau ku"SUBSCRIBE" KZbin channel yetu kwa videos nyinginezo #zamaraditv #mambonimengi
Пікірлер: 28
@Gloria-vh5bz6 ай бұрын
Ukiwa na rafiki km diva u have everything she is so loyal as a friend
@Sunshine02226 ай бұрын
Yani akuna loyalty show naipenda kama ya diva na mganga wake😅
@ashaali71546 ай бұрын
Mke wa Sheikh anaweka vitu vyake hapo mambo hayo
@AminKanefu6 ай бұрын
Nakipenda Sana hiki kipindi
@annajoseph99556 ай бұрын
Diva kavaa kigodolo
@nancyg86646 ай бұрын
😂😂😂 ndio yan kabisa
@ashaali71546 ай бұрын
Ulikuwa nae nyumbani wakati anavaa kigodoro au uneamua tu kuongea pumba? Hebu acheni chuki.
@naserianlolmodooni57686 ай бұрын
aliye kukataza ww kuvaa ni nani
@nancyg86646 ай бұрын
@@ashaali7154 kwani kusema mtu kavaa kigodoro ni chuki jaman. Inaonekana umjui vizuri diva namna umbo lake lilivo ndomana hujaielewa hii comment ya anna
@nancyg86646 ай бұрын
😂😂😂 muuza madafu bwana, et raisi akasema poa leteni hahaha
@nancyg86646 ай бұрын
😂😂😂 diva kipenzi umetoa wapi tako lote ilo mama
@hadijamshimbula76166 ай бұрын
Diva kipenz changu kila cku hikikipindi kiwepo
@aminaali7926 ай бұрын
Diva kwanza huo uvaaji sijauwelewa kabisa 😂😂😂maana hata wewe mwenyewe haukuwa comfortable kabisaa🤦🏽♀️💀😂
@JacqpatPat-rq9ok6 ай бұрын
Nakupenda diva jamani
@Rizikialiamechannel7636 ай бұрын
Nyiie mm na piga gym ila kilo 65 huw ivo mishavu iyo nyote mmekutana kwa uongo leo😂😂😂
@nancyg86646 ай бұрын
mahi diya kilo sio mashavu ni mifupa mfano mimi mrefu mwembamba naweza nikawa na kilo sawa na mtu mfupi mnene kiasi coz mifupa yetu ipo tofauti.
@nancyg86646 ай бұрын
si mmeo alisema unashida mayai hayakomai sijui kizazi chepesi...sasa uchawi unatoka wapi mam
@patriciacarlo72366 ай бұрын
Rip captain ❤❤❤🙏
@AmanaHussein6 ай бұрын
Huyu hakufudwa utanisamehe diva ila huo ndio ukweli🇰🇪
@zaharaidd84456 ай бұрын
I love diva the way she always compliment her friend....❤❤❤
@fathiyahmuzney73676 ай бұрын
Mama brand 😂
@abdulkadirgafla38896 ай бұрын
Huyu si sheikh wala hawezi kua sheikh
@AmanaHussein6 ай бұрын
Hayo yalisababishwa na diva ila ukweli unamungu
@jacklinechuga25696 ай бұрын
Kwan ni shee au mgangaa
@AmanaHussein6 ай бұрын
Abdul ni mtoto wa sheikh salum daruweshi mti mkavu kwaiyo mtoto wa nyoka ni nyoka kiufupi ni sheikh sawa😎
@FatiaAhmed-m1u6 ай бұрын
Hata hujawasalimia watu unauliza chooni wapi ndiomana hawajakujibu