BEHIND THE GRAM DIVA & SHEIKH - EPISODE 3

  Рет қаралды 22,633

ZamaradiTV

ZamaradiTV

Ай бұрын

Usisahau ku"SUBSCRIBE" KZbin channel yetu kwa videos nyinginezo
#zamaraditv #mambonimengi

Пікірлер: 179
@salmaalsharji8205
@salmaalsharji8205 15 күн бұрын
Mungu akusaidie to sana unataka makubwa sana na sio your level at all . Time ya kujirekibisha ipo. Since utapata mshahara utaishi vizuri maisha mepesi na yenye baraka na furaha. Unawaza makubwa hayana faida wa mustkbali.
@esthermakelemo2864
@esthermakelemo2864 Ай бұрын
Me nampendaga tu Diva ,she is such a lovely lady with a pure and a clean heart
@masalakulwa7601
@masalakulwa7601 Ай бұрын
duh..una shida upstairs..dva ni fake mtupu...huenda mmefanana tabia..
@modenasayi
@modenasayi Ай бұрын
@@masalakulwa7601😂😂😂😂 siyo kwa mchambo huo 😂😂😂
@nancyg8664
@nancyg8664 Ай бұрын
​@@masalakulwa7601😂😂😂
@steveabel5819
@steveabel5819 Ай бұрын
For what thingg jmn😂
@maryamtanzania9743
@maryamtanzania9743 Ай бұрын
Sasa kama humpendi ni wewe unamchukia mtu kwa maisha ya mtandaoni si ujinga​@@masalakulwa7601
@salmaalsharji8205
@salmaalsharji8205 15 күн бұрын
Aaaaaa diva hio Haitwi kupika inaiitwa kukoroga.
@rajabdibwa6415
@rajabdibwa6415 Ай бұрын
Tatizo la diva friji lake haligandishi😂
@pamelapaul7643
@pamelapaul7643 29 күн бұрын
Mbona Sasa kapikia sufuria aliyo unguzia njegere😂😂😂😢
@user-eo4hd8xu6d
@user-eo4hd8xu6d Ай бұрын
😂😂😂picha linaanza bi.mzungu kaunguza njegereee
@glorybrayankessi7002
@glorybrayankessi7002 Ай бұрын
🙌😂😂😂😂😂
@rizikiabdalla2501
@rizikiabdalla2501 Ай бұрын
😂😂😂
@aminaali792
@aminaali792 Ай бұрын
😂😂😂😂😂
@mwaminievelyne9189
@mwaminievelyne9189 Ай бұрын
😂😂😂😂😂😂
@isaacmaomba
@isaacmaomba Ай бұрын
😂😂😂😂
@hamjanikera1234
@hamjanikera1234 Ай бұрын
Diva nipe mm hizo Deras zako ambazo huziwezi.without unoffence njoo nikufundishe upishi kiasi na Insha'Allah utapenda my dia. Nakupenda bure❤
@user-do4md7jo6x
@user-do4md7jo6x Ай бұрын
Mbn cyo lazima uchemshe njegere mi sichemshagi na zinaiva vizuri
@rosehaule6765
@rosehaule6765 Ай бұрын
Tena kwenye pilau unakaanga tu Jamani 😂😂 unajua ukiwa unapika Mara kwa Mara unakuwa mbunifu jiko.linahitqji uzoefu kamamuingii jikoni Mara kwa Mara kila ukipika avinogi
@NanaNana-oe5ft
@NanaNana-oe5ft 16 күн бұрын
Kibonge kweli ndio maana hata nganga hakutaki
@AishaHaji-jn7sg
@AishaHaji-jn7sg Ай бұрын
Anakaa ndani Hana hata hela ya kitunguuu😦😦😦eti ajifunze kutumia simu yake kutoa hela 😂😂😂😂😂😂 Kumbe ma celeb wako kama sisi tu choka mbaya
@munaomar9532
@munaomar9532 Ай бұрын
Mie nayapenda mapezi yao ❤😂mashaaallah japo mnawafanyia figisufigisu
@rehemayona2223
@rehemayona2223 Ай бұрын
Uchafu huwoo nawaa mikono bhana kupika hujui uchafu ndo huwoo😂😂
@user-hr4hm2iz3f
@user-hr4hm2iz3f Ай бұрын
Kwanza anapikaje na wigi hakuna hata kitambaa kichwani
@bennamush4616
@bennamush4616 Ай бұрын
Tuanzie hapo kutiana tuu kichef chef bure
@jamillahkheir6536
@jamillahkheir6536 Ай бұрын
Nna wasiwasi na hyu shogaake sio mwema sana
@AmanaHussein
@AmanaHussein Ай бұрын
Wewe😂😂
@Zainab_salat
@Zainab_salat Ай бұрын
Unajuaje? 😂😂😂😂😂😂😊
@jamillahkheir6536
@jamillahkheir6536 Ай бұрын
@@AmanaHussein ona anavyojirembua et kutomba ruhusa🤣🤣🤣af anavyomzodoa mwenzie🙌🙌🙌ndio maana sinaga marafiki mimi
@jamillahkheir6536
@jamillahkheir6536 Ай бұрын
@@Zainab_salat 🤣🤣🤣🤣shoga nishogoe
@Zainab_salat
@Zainab_salat Ай бұрын
@@jamillahkheir6536 hajui hata kupika 🤣🤣🤣🤣
@EmmyNamoyo
@EmmyNamoyo Ай бұрын
My God Diva mafuta mengi sana unatia kwenye chakula 🙆
@salmaalsharji8205
@salmaalsharji8205 15 күн бұрын
Mawigi mabaya nabaya pesa nyingi tenure mabove. Nadhani watu wanajudanganya. Ila ukimsikikiza Abdul maisha kwa Amani na maisha ya kwenda sawa .
@user-fx7ig1uy6t
@user-fx7ig1uy6t Ай бұрын
Shoga kupika hajui kabisaaaa😅😅😅😅😅😅😅
@rehemayona2223
@rehemayona2223 Ай бұрын
😂😂
@antybabybintrashid2333
@antybabybintrashid2333 Ай бұрын
😂😂😂😂Yani anavyohangaika ata hajui anafanya nn jkin😊
@nancyg8664
@nancyg8664 Ай бұрын
😂ilo pilau naisi litakuwa boko maana sio kwakukoroga huko
@AmanaHussein
@AmanaHussein Ай бұрын
Alikua yuataka apike biriyani ya mayai😂😂😂
@zuwenashabani7100
@zuwenashabani7100 Ай бұрын
Mm sijui kupika lkn Diva hajui zaidi
@nargishans2431
@nargishans2431 Ай бұрын
Yote tisa😂 kumi hapo kweny kuchanganya kachumbari na mkono hivyo kanifukuza kula kwakweli
@kimzymamy6594
@kimzymamy6594 Ай бұрын
More love from 🇶🇦 ❤❤❤❤
@christinenere4696
@christinenere4696 Ай бұрын
Kwakweli chakula chako sikuli n’go mwanamke mchafu unashika shika na mikono 😞😏
@user-rn6rr8cw5v
@user-rn6rr8cw5v Ай бұрын
Ila mashoga wengine, wee unakaa kwa mke wa mtu mpk saa nne za usk , ata wasi wasi huna Haki yao wakuulize mana .....
@fathiyahmuzney7367
@fathiyahmuzney7367 Ай бұрын
Janele utoton unaonekana ulinyonya sana vidole ona sasa unavyoongea utadhan unatonge mdomon 😂😂😂
@dorahbenard1837
@dorahbenard1837 Ай бұрын
Jamn
@HalimaChuwa-kk5lt
@HalimaChuwa-kk5lt Ай бұрын
Alikuwa n madeko meno yamesogea mbele 😂😂😂
@fathiyahmuzney7367
@fathiyahmuzney7367 Ай бұрын
@@HalimaChuwa-kk5lt 😆😆😆😆😆
@witnessmlay7415
@witnessmlay7415 Ай бұрын
Hayo mafuta sasa yanavyojazwa uhuhuhu🙌🏽🙌🏽
@catrinavampire8547
@catrinavampire8547 Ай бұрын
Ila diva
@maryamtanzania9743
@maryamtanzania9743 Ай бұрын
Mimi mwenyewe nsprnda mafuta
@user-mz6lq3gr9l
@user-mz6lq3gr9l Ай бұрын
Diva sefulia, imeungulia njegele dada harafu unapikia hvyo hvyo
@Rogathe-Rogathe
@Rogathe-Rogathe Ай бұрын
😅😅😅😅 nkajua mie tuu ndo meona
@nargishans2431
@nargishans2431 Ай бұрын
Lol afalu sufuria yenyewe ni ya rice cooker 😅😅
@JacklineNamundengozi
@JacklineNamundengozi Ай бұрын
😂😂​@@nargishans2431
@jasminmsuya
@jasminmsuya Ай бұрын
Kuendekeza mdomo tu kupika aaah jifunze kupika ushakua mbibi maana sio dada🙂
@mariamusaulo4429
@mariamusaulo4429 Ай бұрын
Diva mwache mama mkwe sio vema kumsema kwenye mitandao
@blandinamyinga9489
@blandinamyinga9489 29 күн бұрын
Saa nne ucku,hata mimi ningepuliza dawa😂😂chaaaa
@steveabel5819
@steveabel5819 Ай бұрын
Huyu shehe mstaarabu ingawa sifa ndo zinamsumbua
@esuvathmollel2475
@esuvathmollel2475 Ай бұрын
Pilau limeugua Hadi Mimi huku Msumbiji naskia harufu Divva😢😂😂
@jocelyneliaminarukundo3633
@jocelyneliaminarukundo3633 Ай бұрын
😂😂😂😂
@bennamush4616
@bennamush4616 Ай бұрын
😂😂😂
@RandB_Channel
@RandB_Channel Ай бұрын
Huyu mwana mke nimuchafu kweli unaweza pigiya muchungu iliunguza emo unapiga bila kuosha?? Makubwa wasani mnaishi maisha yakuigiza hawuna hata sufuria yamana sufuria zakisasa zenye haziungizi zinaja sana hawuna hata moja . Ww tu kaa maisha yabu single tu hakuna mwana umme asiye penda mke wake amupigiye chakula anyway hawa wamesha achana hizi show nizahapo nyuma
@lilianestephanie7881
@lilianestephanie7881 Ай бұрын
Divaaaa 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂aiseeee nguo ndefuuuuu nmechekaaa😂😂😂😂
@namelockmaasailady8002
@namelockmaasailady8002 Ай бұрын
Ila my dear hujui kupika kabisaaa,wala sio msafi🙆🙆🙆🙆🤦
@user-qq2oc4bt3i
@user-qq2oc4bt3i Ай бұрын
Mimi nikoo nawaswas sijee deraaa likaunguaaa na honeeeeyyy kama ndioo mara yakwanza vilee kupika😂😂😂😂
@nancyg8664
@nancyg8664 Ай бұрын
sura nzito kuliko matatizo yangu
@marciawambui1965
@marciawambui1965 Ай бұрын
Huku hakupikwi,gas imeisha aje tena daah 😂😂😂😂
@zoab2699
@zoab2699 Ай бұрын
D hilo sufuria halipikiwi kwenye moto hilo ni la umeme tu bibiye 😂
@miniee_134
@miniee_134 Ай бұрын
Yanı mm mwenyewe nimejiuliza hapa nimeishiwa hadi na pozi 😂😂😂
@SharifaOman-bf1bn
@SharifaOman-bf1bn Ай бұрын
Diva. Mdogoangu. Hujui kupika daa. Aibu. Niajiri nikufundishe. Kupika my
@beatricejohn1659
@beatricejohn1659 Ай бұрын
Nachependa huku nilipo yaani gas uweza kununua hata kilo moja tu unaendeleaje kufanya mambo😊
@dayana5513story
@dayana5513story Ай бұрын
Sipendi kupika na sijui, but diva😅 🙌🙌🙌
@mariamhussein7620
@mariamhussein7620 Ай бұрын
Kashasema mpigeni muuweni😂😂😂
@dayana5513story
@dayana5513story Ай бұрын
@@mariamhussein7620 😁😁
@reginamluviji9405
@reginamluviji9405 15 күн бұрын
IYO KAchumbari nisingekula mm
@chainbre275
@chainbre275 Ай бұрын
Hivi mtu a nahisi vipi anapo itwa bby na shoga ake jamni hmmm mm spendi kwa kweli 😅😅
@beatricejohn1659
@beatricejohn1659 Ай бұрын
Love you Diva hata wakuponde ❤❤❤❤❤❤❤❤
@nailamimi20
@nailamimi20 Ай бұрын
Diva kama kapagawa jmn anavopika khaaa hovyo kabisa we sufuria limeungua na njegere mmh hovyo kabisaa 😢😢
@nancyg8664
@nancyg8664 Ай бұрын
😂😂😂😂
@temeketv
@temeketv Ай бұрын
Acha ushamba sufuria hiyo ndo ilivo ivo ndg yng, mweh😂😂😂
@nailamimi20
@nailamimi20 Ай бұрын
@@temeketv we nae kusoma hujui hata picha huoni hadi mwenyew kasema imeungua na njegere
@nancyg8664
@nancyg8664 Ай бұрын
@@nailamimi20 🤣
@queenshoo3884
@queenshoo3884 Ай бұрын
Ni basmati lkn imetoka boko hahahahah divaaa bhnaaaa c ujifunzee tu kupika
@consolatamsacky6400
@consolatamsacky6400 Ай бұрын
Unatakiwa kuwa na mitungi miwili je ikikatika usiku
@AshaMussa-kk4yv
@AshaMussa-kk4yv Ай бұрын
Kha mganga alishwa matibwili😅
@lilianestephanie7881
@lilianestephanie7881 Ай бұрын
Divaaaa unaweka mafuta mengiiiii jamani yeeee
@daughterofaking186
@daughterofaking186 Ай бұрын
Mnooo....yaani ukiweka kijiko mdomoni unafuta mafuta
@dorahbenard1837
@dorahbenard1837 Ай бұрын
😳😳😳hayo mafuta au maji ?? Jamn 😢huzuni kwakweli
@jocelyneliaminarukundo3633
@jocelyneliaminarukundo3633 Ай бұрын
😂😂😂😂
@yakfizahran4536
@yakfizahran4536 Ай бұрын
Me nisengekula kachumbar kwa mikon ivoo hapan
@user-oo5sj8hb5m
@user-oo5sj8hb5m Ай бұрын
Hahahaha diva we kiboko kachumbali unachanganyia na mikono mmmmh
@nancyg8664
@nancyg8664 Ай бұрын
😂😂 unaweza fanya hvo ukiwa pemben ya camera sio mbele ya camera jmn😂
@zawadichalale4047
@zawadichalale4047 Ай бұрын
Sijawahi kuona pilau likigeuzwa kwa kupetwa kachumbari ikichanganywa kwa mkono 😂😂😂😂 mapishi mapya hayo chezea diva wewe 😂😂😂
@graceabdallah2670
@graceabdallah2670 Ай бұрын
😂😂😂yani hata hasubiri kuulizwa mbona kama anakurupuka
@RutyNatalia-uu5uj
@RutyNatalia-uu5uj Ай бұрын
Linakorogwa kama kachumbari 😅😅
@maidimples8236
@maidimples8236 Ай бұрын
How came unashika chakula like unachambua mtumba no bby nini kaz ya vijiko
@agriparose3942
@agriparose3942 Ай бұрын
Hilo jishangazi taahira kujifanyisha
@ms_teeonly
@ms_teeonly Ай бұрын
Diva uko mchafu unashika hiyo kachombari na mikono hata km umeosha mi siwezi kula
@salisali3738
@salisali3738 27 күн бұрын
Kupika ni zirooo bibiie
@salisali3738
@salisali3738 27 күн бұрын
Mara paaa wigi lina shika moto anavo jaza mafuta
@maryamtanzania9743
@maryamtanzania9743 Ай бұрын
Sinki lakuoshea vyombo la divs ni safi
@shangwefisima54
@shangwefisima54 26 күн бұрын
Si wameachana😂
@annamussa185
@annamussa185 Ай бұрын
Hahaha,anajiongelesha English anajibiwa Swahili hata hainogi 😅😅
@taturamadhan5940
@taturamadhan5940 21 күн бұрын
Mume anashida huyu
@salmaalsharji8205
@salmaalsharji8205 15 күн бұрын
Better change life style ushike pamoja labda wewe hio english kidogo ya kuombea maji to only. Maana nazingira yote hujui passport sheria hujui kuipanga family yako hujui. Saraha sijui una experience gani ya maisha? Better huyo mtumishi akipata huo mshahara wa ko atajuwa nini maaana ya maisha.
@activestudios.
@activestudios. Ай бұрын
MAMA ALIKUWA ANAFUKUZA KUNGURU 😂😂😂😂😂😂😂 YA NINI KUJAZA MADIVA NYUMBANI
@AishaHaji-jn7sg
@AishaHaji-jn7sg Ай бұрын
She is very stupid wallah eti babe Janelle anataka kukwambia mama ako alivyofanya na linacheka Abdul I salute you unauvumilivu sana
@3Dshoez
@3Dshoez Ай бұрын
Diva gym inamuhusu kwa kweli
@pamelapaul7643
@pamelapaul7643 29 күн бұрын
Hili tatizo 😂😂😂😂😂😂😢
@user-dj9xx9jl4j
@user-dj9xx9jl4j Ай бұрын
Mama mkwe wangu ni bibi yangu yani napendwq mpk najuaaaaaaaaaaaà
@salmaalsharji8205
@salmaalsharji8205 15 күн бұрын
Mmmmmmmm dear sorry huna maisha at all hamna binaaadam yoyote atakustahamilia hiiii tabia. Si wa soko si wa hilo Abadan si wamazungumzo. Sasa hainashida better kaaaaa kitako ujifundishe ni wife material. Si vibaya . Abdul juuuuuu ya maskin wake anayo skill za maisha vipi aishiiiiiii . Vipi azungumze na vipi heshima. Kwa muonekano only deeeep sijui kama mnyanyasaji au Bakhil au muhuni. Au muongoIlanajuwa Kupanga nkwa kuyapima mazungumzo to anaoneka anao hekhma na bussara.
@user-ji1bc5ti8r
@user-ji1bc5ti8r Ай бұрын
Matha kavaa zake suti
@mwajumalubunga1534
@mwajumalubunga1534 Ай бұрын
😂😂😂😂
@happinesshezron6633
@happinesshezron6633 Ай бұрын
😅😅😅😅😅😅
@Rogathe-Rogathe
@Rogathe-Rogathe Ай бұрын
😂😂😂😂😂
@JOCENTE
@JOCENTE Ай бұрын
😂😂😂😂😂😂
@lucymtui8680
@lucymtui8680 Ай бұрын
😂 mshenzi wewe
@Zainab_salat
@Zainab_salat Ай бұрын
Ninawapenda channel ya zamaradi tv bado gigy
@consolatamsacky6400
@consolatamsacky6400 Ай бұрын
Alafu unatupikia na sufuria la presure cooker duh sisi tunamaisha zaidi ya hayo usitufanye wajinga😂😂😂😂😂
@chunaabdullah1333
@chunaabdullah1333 Ай бұрын
Basi nkaona nimeiona pekeangu nasema hii si sufuria ya rice cooker 😂😂😂Kwani hana sufuria
@MsDidi-wz2rx
@MsDidi-wz2rx Ай бұрын
😂😂😂😂
@MsDidi-wz2rx
@MsDidi-wz2rx Ай бұрын
Alivyofunika na mfuniko ndio nimechoka zaidi😂😂😂😂😂😂😂
@MwaminiyusuphRwekaza
@MwaminiyusuphRwekaza 26 күн бұрын
Sasa at ww mkubwa mzima adi saa nne uck uko kwa watu tena ukweni khaaaa af et unasema ulishangaa😮
@user-fx7ig1uy6t
@user-fx7ig1uy6t Ай бұрын
Kumbe ata mimi mrembo
@gracekenan4665
@gracekenan4665 Ай бұрын
Yani Hawa watu na filter zao unaweza kukufuru kumbe sisi ni wazuri zaidi jamani
@bennamush4616
@bennamush4616 Ай бұрын
Yani wew acha tuu sisi ni wazuri mno Hawa watu ukikutana nao live utakimbia 😂😂😂
@Hajer-be2kh
@Hajer-be2kh Ай бұрын
Ila diva angekua hajifanyi mzungu huyo mwanaume mbona naona mwelewa sn au ni kwakua tu wanashoot hii drama yao😂
@EmmyMo
@EmmyMo Ай бұрын
😂😂😂😂😂ila ww
@user-hp5kl8wd1e
@user-hp5kl8wd1e Ай бұрын
yaani sijaelewa huo mchanganyiko jmni
@bennamush4616
@bennamush4616 Ай бұрын
Kama Mimi tuu sijaelewa kabisa
@jasminmsuya
@jasminmsuya Ай бұрын
Mafuta yamiminwa kama maji khaa anaekula atakua si binadamu kwa kwel
@agriparose3942
@agriparose3942 Ай бұрын
Yaan anayoongeq na anyofanya ni utaahira mtupu hajiamini anajikweza kumbe jitu lenyewe mwajuma ndala ndefu kabisa
@zeshsulesh6084
@zeshsulesh6084 24 күн бұрын
Kizungu/kiswahili
@floraflora9490
@floraflora9490 Ай бұрын
Diva leo uko na sura tofauti na ile unayotuonyesha,
@mwajumalubunga1534
@mwajumalubunga1534 Ай бұрын
Uwo ndo ualisia wa sura yake sasa 😂
@SuleimanKhdija
@SuleimanKhdija Ай бұрын
Utaratibu n nywele zipo nje 😂😂hiyo si pilau ni pilawa 😂😂
@mumyhendry2919
@mumyhendry2919 Ай бұрын
😂😂😂😂😂duuh aibu naona mim!!!!Kweli sometimes wanaume wanavumilia japo hata wao hawajakamilka but this one!!!I salute!!!
@missdija4959
@missdija4959 Ай бұрын
Mbona humvalishi Martha vizuri?🙁
@gracekaboigora189
@gracekaboigora189 Ай бұрын
Unajua Je kama una roho nzuri???
@RahmaAbubakar-cb3jx
@RahmaAbubakar-cb3jx 23 күн бұрын
😂😂😂
@gracekaboigora189
@gracekaboigora189 Ай бұрын
Manguo yako marefu yanakuzeesha
@AishaFadhili-c6r
@AishaFadhili-c6r 26 күн бұрын
Eeeh
@wemaMichael-fr4th
@wemaMichael-fr4th Ай бұрын
wote mmekutana nyuma sifuri
@user-bj6cr8nr6v
@user-bj6cr8nr6v Ай бұрын
😅
@fathiyahmuzney7367
@fathiyahmuzney7367 Ай бұрын
Janele Abdul anaonekana hakupend hebu kaa mbal na ndoa yao😂😂😂
@chany9950
@chany9950 Ай бұрын
Duuuh uyu mama ajuwi kupika jmn🥺
@mwajumalubunga1534
@mwajumalubunga1534 Ай бұрын
😂😂😂😂
@ZulekhaAmar-fy4pm
@ZulekhaAmar-fy4pm Ай бұрын
Umeonaee anazunguka tu mwisho wigi liingie kwenye pilau😂
@zaynababdullah3061
@zaynababdullah3061 Ай бұрын
​@@ZulekhaAmar-fy4pm😂😂😂😂
@user-yo3jv1ry3t
@user-yo3jv1ry3t Ай бұрын
😅😅😮😅😅😊​@@ZulekhaAmar-fy4pm
@fatimaharoun-np8uv
@fatimaharoun-np8uv Ай бұрын
😂😂😂😂
@annajoseph9955
@annajoseph9955 Ай бұрын
Pilau,,,wali unapitishwa mwiko mara mbili tu bhana ,,,kila muda unakoroga tu 😂😂😂😂😂
@scholamodestus9386
@scholamodestus9386 Ай бұрын
Anageuza mpka nasikia kizungu zungu😂😂
@annajoseph9955
@annajoseph9955 Ай бұрын
@@scholamodestus9386 Yani sio kwa kugeuzwa huko
@user-pr4hb2yc9j
@user-pr4hb2yc9j Ай бұрын
Pilau linakorogwa hilo
@masalakulwa7601
@masalakulwa7601 Ай бұрын
hayo unayomimina ni mafuta au maji😂
@steveabel5819
@steveabel5819 Ай бұрын
Diva ni mchafu jmn unachanganyaje kachumbari na mkono af unashika shika sehem nyingine bila kunawa jmn🙌 chakula chako sili nisije kuumwa tumbo bure🤮
@lilianestephanie7881
@lilianestephanie7881 Ай бұрын
Matherrrr
@graceabdallah2670
@graceabdallah2670 Ай бұрын
Mmmh kupika hakuna kitu hapo
@gracewairimu800
@gracewairimu800 24 күн бұрын
Body language inaonyesha uyu dada ni fake friend kabisa ana jitaidi kwa sababu unafaidi urafiki na Diva
@user-go9ps3cq2x
@user-go9ps3cq2x 17 күн бұрын
Kabisa 😅😅
BEHIND THE GRAM DIVA & SHEIKH - EPISODE 4
36:03
ZamaradiTV
Рет қаралды 27 М.
KIKAO CHA WAJAWAZITO WITH GLADNESS KIFALUKA - EPISODE 5
31:53
Slow motion boy #shorts by Tsuriki Show
00:14
Tsuriki Show
Рет қаралды 9 МЛН
БИМ БАМ БУМ💥
00:14
⚡️КАН АНДРЕЙ⚡️
Рет қаралды 3,1 МЛН
A teacher captured the cutest moment at the nursery #shorts
00:33
Fabiosa Stories
Рет қаралды 48 МЛН
Salama Na KAJALA Ep 35 | JERAHA LA MOYO Part 1
29:56
YahStoneTown
Рет қаралды 329 М.
ZANZIBAR FORODHANI, AFRICAN CUISINE RESTAURANT LUKMAAN
7:57
Jehufamily
Рет қаралды 10 М.
BEHIND THE GRAM DIVA & SHEIKH - EPISODE 1
26:44
ZamaradiTV
Рет қаралды 21 М.
SHILOLE AKIRI "NITAOLEWA HATA NDOA 30, KWANI KUNA UBAYA?
23:13
Millard Ayo
Рет қаралды 50 М.
KITIMTIM Episode no 5:  Daa Zuu, Zunde, Pili, Masantula
26:36
Gladness Kifaluka [ Pili Kitimtim ]
Рет қаралды 8 М.
BEHIND THE GRAM DIVA & SHEIKH - EPISODE 5
24:23
ZamaradiTV
Рет қаралды 14 М.
Девушка ограбила мажора, но…😳
1:00
Trailer Film
Рет қаралды 7 МЛН
Choices for your loved ones❤️
0:15
ISSEI / いっせい
Рет қаралды 17 МЛН
小蚂蚁那么小气干嘛!#火影忍者 #佐助 #家庭
0:26
火影忍者一家
Рет қаралды 8 МЛН
Secret Experiment Toothpaste Pt.4 😱 #shorts
0:35
Mr DegrEE
Рет қаралды 34 МЛН
The cat chose the right one 🥰🥳😸
0:32
Ben Meryem
Рет қаралды 46 МЛН
Oi Oi Oi & E E Ei Meme Looking For a Girlfriend
0:26
Mischief time
Рет қаралды 30 МЛН