Wakwanza mimi leo nipeni like zangu zakutosha. Nyuma mwiko
@DanieliMziraiАй бұрын
Daah nilikuw namkubali sana uyu aziz tangu akiwa mbeya city karibu xana jangwan
@Carolina-sm5ztАй бұрын
Hongereni Sana na karibu Sana mwanitu gwakukajha
@AbdallahHassan-oc4knАй бұрын
Wakwanza leo jamn 💚💚💛💛
@TchidymbangaАй бұрын
We are champion 🏆🏆🏆
@pambaboniface1199Ай бұрын
Dogo Aziz karibu sana
@LouisMambaAloyce-cu6udАй бұрын
Karibu jagwani maestro
@amaniomar1755Ай бұрын
Hatareeh zaidi 🎉🎉🎉 let's hit 700K before the month ends Ctyzens. Daima mbele nyuma mwiko tuko nanyi kwa maombi wanajeshi wetu 🎉🎉🎉
@nancynana2818Ай бұрын
Huyu mdogo wangu mpoleeee, changamka basi mwaisa😂
@DeBossInvestmentАй бұрын
Kakwanza Leo 😄🤞🏽💚💛🖤
@idybwoytz8485Ай бұрын
Semajiiiiii yupo makiniiiii san
@davidedward2202Ай бұрын
Huu ndio usajili wangu bora
@athumaninyituki7011Ай бұрын
AZIZI andambwileeeeeee
@HusseinJumahussein-lf1xkАй бұрын
Karbu kwa wananchi💚💚💚⭐⭐🔥🏆🙏
@user-hy3en6vk5fАй бұрын
AZIZ KI Daaaah 😭😭😭💔💔💔
@Evance-op4jwАй бұрын
💚💚💛💛💛💚
@user-nm2jq7xo5fАй бұрын
Yanga mbele daima nyuma mwiko
@shaibusaady2420Ай бұрын
Allaah Akbar
@Johnmakombe-on3xvАй бұрын
Karibu ndugu kwenye familia ya furaha
@OmariGidionАй бұрын
Teacher kibwaanaaa mwenyejii😂😂😂😂
@yasrikomba7874Ай бұрын
😂😂😂😂nimecheka sana kibwana anazingua sana eti mbn kama .kono
@chumaramadhani.7581Ай бұрын
Punguzeni Kelele Ally Mnamchanganya Dr mwisho wa siku atatoa majibu yasiyo sahihi please!!.
@user-tu1qq3zx4pАй бұрын
ao kuweka ni rahisi 😂😂
@GreysonMbisseАй бұрын
Ila kibwana
@yasrikomba7874Ай бұрын
😂😂😂😂😂kibwana mchokozi sana
@mitinjemazikuАй бұрын
Daaa Raha 😂nyoomii
@thadeusmarkiminja2282Ай бұрын
Huyu dokta mbona han gloves😅
@Shadia544Ай бұрын
Maana jamaniii mmeshindwa kabisa ili azizi ki kubaki yanga 😢 mbona nimeishiwa nguvu miee 😢😢
@Hilder-y3kАй бұрын
Nasubiri ya Chama
@user-wk5vn3qs4mАй бұрын
Uyu azz andamnwile anatoka timu gani
@harunaally2188Ай бұрын
🤣🤣🤣🤣Ali kamwe Fala Sana Ukitumiwa picha haitoki hiyo🤣🤣🤣🤣
@OmariGidionАй бұрын
❤🎉
@TchidymbangaАй бұрын
For the first time I became the first 🥇🥇🥇
@user-br3oc1dt1xАй бұрын
Nyie azzi akiondoka mtatueleza
@user-nm2jq7xo5fАй бұрын
Usajili woote ninatakwa ya bench laufundi lenye weledi
@francepaul7711Ай бұрын
🙌🙌🙌🙌🙌
@JfourMapesaАй бұрын
💚🧡
@InnocentArchery-zi6vuАй бұрын
Timu kubwa
@naimasbuguza2395Ай бұрын
Dah, Ila cameraman anamzingua jamaa kinoma yan, ingawa ndio ubunifu wnyw
@DeBossInvestmentАй бұрын
Kibwana apewe tu uongozi 😂
@JfourMapesaАй бұрын
1
@user-by9ch4pj7kАй бұрын
Kumbe alli kamwe anakuwaga na akili hivyo
@efraimjohn4956Ай бұрын
nilidhani Aziz K
@LovenessDaudАй бұрын
Ila kibwana😂😂😂
@MatildeBjellandАй бұрын
Hapa tumepgwa
@dinabilemanga1703Ай бұрын
Azizi ki ikowapi wanamchi
@gabrielmoses6860Ай бұрын
Napenda mnavyoishi jamani!! Kabwana anamwambia Andambwile karibu Yanga , eti vidole kama dick,, Eti watu wa Mbeya vidole vyenu sijui vikoje
@user-kr2zi7du7yАй бұрын
Kibwana 😂😂😂
@MTUMZIMADAWAАй бұрын
🎉🎉🎉🎉🎉
@magrethmakauki235Ай бұрын
Semaji wapi chama wap Kii wap Pacome hatuwaon
@SundayMwambola-rl8qjАй бұрын
Msio mjua huyu dogo nakwambia toka moyoni huyu dogo ni moto wa kuotea mbali dogo katoka kyela kwa kina mwaikimba dogo hafai ana piga middle balaaa
@5googleuuu727Ай бұрын
❤❤
@vintz338Ай бұрын
Had dokta nae asajiliwe anatufaa huyo anainekana mtu wa yanga kabisa
@malietamalietАй бұрын
😂😂😂upendo ndo kila kitu jmn yanga wafanyakazi wote wanakaa kam ndugu karibu jangwani aziz kubwana utamzoea tu muulizie nkane atakwambia
@SundayMwambola-rl8qjАй бұрын
Kakaako apa mpalestina
@user-wk5vn3qs4mАй бұрын
Anatoka tm gani
@IvanSedekia-bv8epАй бұрын
😂😂
@kolosii4351Ай бұрын
Mimi sipendi kuwa expose wachezaji hivi wakati wa vipimo. Naona sio lazima.
@tariknassoraucho5814Ай бұрын
Sio mbaya ata ivyo digital platforms inataka content mpya kila leo alaf ata Madrid kwa mfano wanatumia shirika la afya la Sanitas kma Yanga wanavyotumia Agha Khan na wanaposti pia 😂
@DaudipitaАй бұрын
Unyama2
@brandinamwakasendeka4756Ай бұрын
Kuna mwingine kule pembeni ni Nani ?
@mudathirothman3400Ай бұрын
Yanga tamu, ni hivyo tu
@user-uk8pk5vn9bАй бұрын
Usajil wa hovyo hyu kaja kuongeza namba tu
@ridhiwanikhalifa9036Ай бұрын
haujui mpira wewe tulia
@haidarysalehe9056Ай бұрын
Una UHAKIK na usemacho?? AU ukolopwinyo umekujaae??
@amaniomar1755Ай бұрын
Maadam uongozi na benchi la ufundi wameridhika naye sisi pia tuko sawa
@musamagulu2023Ай бұрын
Atawafunnga kolobwanji my
@MzeewaYanga-hm8jqАй бұрын
Umeto xhingap kwny usajili wke
@RehemaDavid-f2lАй бұрын
Azizi k yuko wapi? Mbna tunaambiwa hajasaini mkataba mpya? Tuambieni tuzoee, maana makolo wameanza kutucheka huku jaman