Bella Kombo - Nifinyange (Official Live Recorded Video)

  Рет қаралды 3,400,705

Bella Kombo

Bella Kombo

2 жыл бұрын

.Nifinyange ni wimbo uliobeba maono ya Ibada ya RE-BIRTH EXPERIENCE iliyorekodiwa Tarehe 24 Octoba 2021, Dar Es Salaam.
Nifinyange ni wimbo wa maombi ambao Roho anaimiza kwa Kanisa kwa habari ya unyenyekevu, Ili atufanye kama apendavyo kwa wito wake kwa kazi hii.
Ni maombi yangu kwa kwamba Ukiri huu ukawe halisi kwenye maisha yako yako,Kufanywa upya, Kurejeshwa, Na kurudi katika nafasi ambayo Mungu ametukusudia.
WARUMI 8:11
Lakini, ikiwa Roho yake yeye aliyemfufua Yesu katika wafu anakaa ndani yenu, yeye aliyemfufua Kristo Yesu katika wafu ataihuisha na miili yenu iliyo katika hali ya kufa, kwa Roho wake anayekaa ndani yenu.
ACKNOWLEDGEMENTS
THE MUSIC BAND
Music Director : Elisha Julius ( KORG )
Aux : Daniel
Bass guitarist : Benjamin Makolobela
Lead Guitarist: Hagai Makuzi
Drummer : Andrew Chitete
Sound: Sound Solution (SSI)
Event Audio Engineering: Gady
Audio Mixing and Mastering: Mujwahuki
THE BGV's and the Vocal Arranger John Kavishe
SOCIAL MEDIA HANDLES
Instagram : officialbellakombo
youtube : Bella Kombo
#NIFINYANGE #BELLAKOMBO #REBIRTHEXPERIENCE

Пікірлер: 1 700
@boazdanken
@boazdanken 2 жыл бұрын
Unifinyange Bwana wasinione MMI wakuone wewe YESU. Asante sana Dada Bela kwa Ujumbe wa Revival
@pendomaduhu9374
@pendomaduhu9374 2 жыл бұрын
Nifinyange wakinitazama wakuone ww ,nifanye upya 🙏
@gloriouschoirtz
@gloriouschoirtz 2 жыл бұрын
Ubarikiwe saana
@annaamadea940
@annaamadea940 Жыл бұрын
May God increase your portion for this sir
@lilianjames7537
@lilianjames7537 Жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/pqGzepx9fc2GhZI
@janeysemagogwa2670
@janeysemagogwa2670 Жыл бұрын
Barkiwa
@TIMELESSGOSPELSONGS
@TIMELESSGOSPELSONGS 28 күн бұрын
Hallelujah......I was homeless, got into drugs, went into prisons, then i got to know Jesus, He changed my life.. 🍀🍀Now i have a home, a wife, a lovely daughter and a new identity... A child of God
@KimathiGikunda-pk7di
@KimathiGikunda-pk7di 23 күн бұрын
Amen....
@Sarahthegreat181
@Sarahthegreat181 12 күн бұрын
May God's grace sustain you.
@pychologistBeatrice
@pychologistBeatrice 11 күн бұрын
To the Almighty God be Thou Glory.🙏
@BelindaJomo-jl8rm
@BelindaJomo-jl8rm 8 күн бұрын
My almighty shower you with more blessings 🎉🎉🎉🎉, and continue shining with his grace
@emtichebs3049
@emtichebs3049 Күн бұрын
Amen
@miriamsarange8629
@miriamsarange8629 9 күн бұрын
Huku Saudi Arabia,wakinitazama Yesu wakuone wewe.my humble prayer
@kafedhakarimi9067
@kafedhakarimi9067 Ай бұрын
Here after Sarah K's Tuesday worship 30th April 2024
@consistentink5616
@consistentink5616 Ай бұрын
Same🥳🥳🥳
@annahlwambia3686
@annahlwambia3686 Ай бұрын
SAME 😅😅
@gracemartin2023
@gracemartin2023 Ай бұрын
Pia mimi
@rispathequeen
@rispathequeen Ай бұрын
From Sarah k
@gracekamau1450
@gracekamau1450 Ай бұрын
Same😂
@bensonmunene3
@bensonmunene3 2 ай бұрын
Am jobless currently but trusting in God anaifanya jambo jipya
@suekarara974
@suekarara974 2 ай бұрын
Our God is faithful
@cyrosemusembi9518
@cyrosemusembi9518 2 ай бұрын
Our God will open doors for us
@lindanyaga1654
@lindanyaga1654 Ай бұрын
May the Lord open a door for us,He remember you the way am waiting for Him for a job opening too
@jackiefavour7284
@jackiefavour7284 Ай бұрын
The power that rose Jesus is within us that power is doing a new thing in our lives new permanent jobs is our (my) portion
@issabelasanta-qp2wb
@issabelasanta-qp2wb Ай бұрын
Amen to our prayers.
@gracemartin2023
@gracemartin2023 Ай бұрын
Who is praying along with me?In the year 2024,May her outer packaging conform to Christ,In Jesus name,Amen.
@salomemjema8242
@salomemjema8242 Күн бұрын
Huu umekuwa wimbo wangu kila asubuhi. Asante sana Mtumishi wa Bwana Bella Kombo. Mungu Aendelee Kukuinua na Kutumia kinywa chako kusema na sisi tuliopotea. Nifinyange Bwana 🙌🏾 🙏🏽
@modelvinstrikah5381
@modelvinstrikah5381 3 күн бұрын
Nifunike na damu yako takatifu mfalme ...wanao nipangia mabaya yapate kuwarudia wacha wanapo ni tazama wakuone wewe...wacha wakapate kushuhudia ukiniinua Mungu wangu❤❤❤🙏🙏🙏🙏
@emilyphellicia2885
@emilyphellicia2885 2 ай бұрын
I was in a salon today and there was a lady siting by my side, and i heard her singing this song.....so i didn't know the name of the song but i had to master some words in the song she was singing " wakini tazama wakuone wewe" and i came to search on KZbin the i got this.....am blessed 🤗😢😢
@anneafandi8574
@anneafandi8574 Ай бұрын
That's me too.I heard it in someone's car.I searched it immediately I arrived home❤
@mercynjeri5998
@mercynjeri5998 Жыл бұрын
This song "nifinyange" taught me to love people no matter how wicked they are to me, it is not easy to be moulded. It needs submission😢
@carolinejkipruto
@carolinejkipruto 4 ай бұрын
You're right. God makes it happen by His grace. He is doing a new thing
@floranyefwe3464
@floranyefwe3464 2 ай бұрын
Absolutely 💯
@dorothymaritim1876
@dorothymaritim1876 2 ай бұрын
Amen
@GloriaSifaOchieng
@GloriaSifaOchieng Ай бұрын
Bry
@catherinenafula1366
@catherinenafula1366 11 сағат бұрын
Hallelujah thank you Jesus for our sister for ministering to us ,,,,,I don't understand kiswahili but every time I listen to this wonderful so I feel the presence of the Holy spirit
@HappynessEdward-sk2pn
@HappynessEdward-sk2pn Ай бұрын
Kama umesikia Furah na Amani kusikia wimbo huu kuimbwa kwenye semina ya Mwl Mwakasege. Weka like. Ahsante YESU kwa jiri ya Mtumishi wako Bella.🙏🙏
@pascalinamwabena99
@pascalinamwabena99 Ай бұрын
Kiukweli Leo Gordian amekuja kivingine huu wimbo umenifanya nije kuusikiliza tena
@HappynessEdward-sk2pn
@HappynessEdward-sk2pn Ай бұрын
@@pascalinamwabena99 Endelea kubarikiwa na BWANA.
@anithakaijage9078
@anithakaijage9078 Жыл бұрын
IT TAKES THE HOLY GHOST TO WRITE AND SING THIS SONG.THANK YOU HOLY SPIRIT YOU WHO MOLD US DAY BY DAY TO BE JUST LIKE YOU! PERHAPS IT MAY TAKE TIME BUT YOU NEVER GIVE UP ON US EVEN WHEN WE WANNA GIVE UP ON OURSELVES. I CANT EVEN IMAGINE A LIFE WITHOUT YOU! HALLOWED BE YOUR NAME LORD
@lilianjames7537
@lilianjames7537 Жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/pqGzepx9fc2GhZI
@mercyayanga
@mercyayanga 3 ай бұрын
Amen
@jasminelove7900
@jasminelove7900 2 ай бұрын
Hallelujah 🙌🏾🙌🏾
@mlagz8032
@mlagz8032 2 ай бұрын
Indeed it is
@leahmasicha
@leahmasicha 4 күн бұрын
Amen I love this song wakinitazama wakuone wewe mungu nifinyage yesu
@immaculatendinda3900
@immaculatendinda3900 2 жыл бұрын
This song rescued me from a very dark place when I was about to do unimaginable damage.. But God right moment sent it at that time,....it ministered to me And all I could do is cry and pray...thanks u Jesus! For taking suicide thoughts away,i bless your servant my sister bella for this wonderful song ..mungu azidi kukuinua wewe na uduma yko...shalom
@lilianjames7537
@lilianjames7537 Жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/pqGzepx9fc2GhZI
@bridgetmmbone8039
@bridgetmmbone8039 Жыл бұрын
Waooo nice song. May God continue to bless you and lift you
@motivationtoday901
@motivationtoday901 Жыл бұрын
GOD loves you
@thomaskashuru5841
@thomaskashuru5841 Жыл бұрын
May God lift you
@mourinemaria5061
@mourinemaria5061 11 ай бұрын
⁰0
@njerimuigai2703
@njerimuigai2703 2 ай бұрын
As I'm counting down hours to my birthday, my prayer to God is for Him to mould me into a new person both physically and spiritually for His glory. Listening on 02/04/2024 @9:31pm
@juliakaroki213
@juliakaroki213 2 ай бұрын
May God answer your prayers and grant all your hearts desire... happy birthday 🎉🎉 to you
@njerimuigai2703
@njerimuigai2703 2 ай бұрын
@@juliakaroki213 Amen 🙏... Thankyou
@foikay1118
@foikay1118 Ай бұрын
I never really comment but the Lord pushed me to.. Happy Belated beautiful. May it be unto you in accordance to His riches in glory. Believe it.. God bless you. Foi
@njerimuigai2703
@njerimuigai2703 Ай бұрын
@@foikay1118 thanks and God bless you Foi
@user-nq7ir2ll3h
@user-nq7ir2ll3h 5 ай бұрын
Mungu naomba nijifungue salama kwa week zilizobaki
@theblessedone7526
@theblessedone7526 4 ай бұрын
Amen same to me here🙏May GOD hear our prayers 🙏
@georgekyonjola
@georgekyonjola 4 ай бұрын
Na Mungu asikie haja zenu kwa rehema zake Kutoka 23:26 [26]Hapatakuwa na mwenye kuharibu mimba, wala aliye tasa, katika nchi yako; na hesabu ya siku zako nitaitimiza. There shall nothing cast their young, nor be barren, in thy land: the number of thy days I will fulfil.
@periswanjiru8710
@periswanjiru8710 4 ай бұрын
Amen me too
@naomimwakisha6959
@naomimwakisha6959 4 ай бұрын
Amen
@lizzychengo2171
@lizzychengo2171 4 ай бұрын
Amen
@patrickkubuya
@patrickkubuya 2 жыл бұрын
nifinyange Bwana, wakinitizama wakuone wewe Bwana
@user-eu1yk7mz3m
@user-eu1yk7mz3m 2 ай бұрын
Amen
@user-eu1yk7mz3m
@user-eu1yk7mz3m 2 ай бұрын
Glory to God
@mildredmasakhwe279
@mildredmasakhwe279 7 күн бұрын
amina, Mungu nifinyange, finyanga mamangu, finyanga wanangu, wakinitazama waone wewe, nifungulie milango ya kazi Bwana, amina
@crispinakimaro3821
@crispinakimaro3821 3 ай бұрын
DR SARAH K FROM KENYA ON TUESDAY WORSHIP AMEIMBA HUU WIMBO NI ZAIDI YA ORIGINAL
@rajivmogaka
@rajivmogaka 3 ай бұрын
I tell you
@lillytv741
@lillytv741 3 ай бұрын
❤❤❤ yeah i tell you
@Leezy05
@Leezy05 3 ай бұрын
Me pia nmesikia kwake mpaka nikalia
@nancykamunya1361
@nancykamunya1361 3 ай бұрын
Ni kwa neema Tu,we thank God.
@shaziahbusoloh5026
@shaziahbusoloh5026 3 ай бұрын
I knew this song through her and I was like where was it all this while...it's a powerful song..been singing it on repeat
@MoureenKiarie-vz7qp
@MoureenKiarie-vz7qp 3 күн бұрын
My favorite songs worship teach me alot of things about sick people to the hospital breath with oxygen .... To thank to god for life 😭😭😭😭🙏🙏🙏🙏
@annastaciamwongela6003
@annastaciamwongela6003 Ай бұрын
Here from Sarah K on tiktok.....😢back to the roots of worship... I'm listening it on repeat, what a blessing
@lydiamaniawafaith9819
@lydiamaniawafaith9819 Ай бұрын
Maombi yangu yafike kwako,Baba yangu yakufikie,urejeshe maisha ya mtoto wangu,rejesha masomo yake,mpatie dhamili iliyo hai Baba yangu muonekanie,mfanye msikifu kwa jina la Yesu,mfanye upya kwa maisha yake,ni ombi langu ni haja yangu Baba,usimpite Mwokozi najua wewe hushoki na wanao,utamtembelea utabadilisha kila kitu maishani mwake,atakupenda tena na arejee kwako Baba yangu kwa Jina la Yesu Kristo,mfungue minyororo yote ebu asikie sauti lako maana neno moja tu lako Baba labadirisha,ebu afanane nawe kwa kutenda kwake kwa kila jambo in Jesus Mighty name I believe Amen Amen Amen
@cynthiakamene-vk6tl
@cynthiakamene-vk6tl Ай бұрын
Amina😊😊
@jardinemwasi8123
@jardinemwasi8123 Ай бұрын
Bwana naomba uzidi kunifinyanga katika jina la Yesu Kristo. Nifanane nawe Mungu wangu. Barikiwa sana mtumishi wa Mungu. From Kenya 🇰🇪
@neemakingazi5900
@neemakingazi5900 Жыл бұрын
Nmejikuta nabubujika nikiwa ofisini, asante kwa kuianzisha siku yangu kwa upako wa nguvu, Mungu akubariki
@laurasreality2671
@laurasreality2671 Ай бұрын
Dear Heavenly Father, though I walk through the called and the shadow of death, I will fear no evil, for your rod and thy staff, they are with me! Baba, do something new in my life! Wakinitazama wakuone wewe❤
@ngendongigi5648
@ngendongigi5648 Жыл бұрын
Warembo na yesu.....💪God will raise a generation that will praise him without fear..👏👏she is part of that generation
@lyidiakapapa7679
@lyidiakapapa7679 Жыл бұрын
I also agree with you she is so cute but for his groly
@lilianjames7537
@lilianjames7537 Жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/pqGzepx9fc2GhZI
@mlagz8032
@mlagz8032 2 ай бұрын
Amen
@Shazkits23
@Shazkits23 3 ай бұрын
Tears flow 😭 because it's not easy. Kufinywa Kuna uchungu mwingi sababu binadamu kiburi...lakini ukijipeana kwa Mungu mambo yanakua rahisi. Unifinyange Eh Baba, niwe kama wewe Yesu🙌
@victorcase2056
@victorcase2056 2 ай бұрын
Real touching song....nimesikia this song since morning....machozi yakini dondoka
@winnieokumu2899
@winnieokumu2899 2 күн бұрын
Wakinitazama wakuone wewe Ee Yesu...tupe ushuhuda..
@EgibertDamian-hq7ik
@EgibertDamian-hq7ik 8 күн бұрын
MUNGU ni moja 2 asubi ya leo inaenda kua tofauti katika maisha yangu mungu nakushulu
@Canaankingdom
@Canaankingdom 2 жыл бұрын
THIS IS NOT A SONG, THIS IS AN HEAVENLY ANTHEM... This is. Prayer everyone of us NEED to pray always. I am so blessed and touched. Mold and make me to be more like you Jesus!!!!
@Canaankingdom
@Canaankingdom 2 жыл бұрын
@@bellakombokizito6834 I can't stop listening to this heavenly anthem. Tears flowing down my cheeks. Tears of a deep hunger amd thirst for God!!!!! Thank you ma'am for allowing God to use you.
@lilianjames7537
@lilianjames7537 Жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/pqGzepx9fc2GhZI
@mlagz8032
@mlagz8032 2 ай бұрын
Amen this song is heavenly ❤️ the holy spirit is here ❤️
@Iamnanapeak
@Iamnanapeak 19 күн бұрын
I known this song through sarah k.. Your a blessing kombo
@tabithasalim1644
@tabithasalim1644 3 күн бұрын
Thankyou for this song. It's holding me up during my postpartum
@antymzungu1219
@antymzungu1219 Ай бұрын
In this season when people are dying of floods havoc, Dear Lord hear us
@rehabmuthonik4581
@rehabmuthonik4581 Жыл бұрын
A broken and contrite spirit you will not despise, break me, mold me according your will Oh Lord! Glory to Jesus
@lilianjames7537
@lilianjames7537 Жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/pqGzepx9fc2GhZI
@marianandisi1641
@marianandisi1641 Жыл бұрын
🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🙏🙏🙏💗💗💗 After loosing my mum this song gives me comfort
@brendarandiga3077
@brendarandiga3077 23 сағат бұрын
🫂
@cheao2544
@cheao2544 3 ай бұрын
Dr.Sarah K brought me here.She sang it and it appeared original
@BupeElly
@BupeElly 2 ай бұрын
Nifinyange Kwa upya ee Bwana
@mercyjebet2494
@mercyjebet2494 2 ай бұрын
Me too. Iv searched this song thinking Sara k was the one who sang it. It has blessed my soul
@beatricedwale2710
@beatricedwale2710 17 күн бұрын
Sara k made me to know the owner now❤
@rachaelmukuhi4771
@rachaelmukuhi4771 Ай бұрын
God bless me and my family...God I pray you protect my small family...may we never lack my sweet lord
@jeremyobat6731
@jeremyobat6731 2 ай бұрын
Wakinitazama wakuone wewe.. huu mstari hunibariki sana.
@itikamlagalila1911
@itikamlagalila1911 8 ай бұрын
I love this Woman of God to the moon and back ❤Bwana Yesu na ayafunike Maisha Yako Kwa namna ya ajabu🙏
@dianasilole5877
@dianasilole5877 7 ай бұрын
amen
@citamkisumuchurch
@citamkisumuchurch 3 ай бұрын
May God bless you Bella Kombo for the powerful ministration.
@hidayamakunga8715
@hidayamakunga8715 5 күн бұрын
Barikiwa sana Mtumishi wa Mungu Kwa uimbaji mzuri na kutufikishia ujumbe mzito 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏💗💗💗💗💗💗💗💗💗💗💗💗 ujumbe huo ni🔥🔥🔥🔥🔥
@maryloyce9391
@maryloyce9391 Жыл бұрын
Wow, yesterday our reverend Ruth wamuyu led this song in all services, it's a powerful song,a song of surrendering and letting God do what he wants with you,thank you minister Bella kombo for responding to the Holy spirit and allowing Him to use you 🇰🇪
@julietkioko2939
@julietkioko2939 Жыл бұрын
We also sang it in our church yesterday during worship! Powerful 🇰🇪
@annaamadea940
@annaamadea940 Жыл бұрын
Dear Bella...may you be increased and reach the levels you desire. Proud of you girl. From 🇨🇦
@marymakame241
@marymakame241 Жыл бұрын
Umenibariki sana mwanangu mungu akuinue sana
@Dmsiris5
@Dmsiris5 14 күн бұрын
Anafanya jambo jipya katika maisha yangu🙌🇹🇿❤️
@justndolo4483
@justndolo4483 21 күн бұрын
I believe this song has redemptive power to heal and refresh oneself..within and wothout
@puritykarimi_
@puritykarimi_ Жыл бұрын
O.M.G. I love your voice💥Hallelujah. Amen.Anafanya jambo jipya🙏♥️ from kenya🇰🇪 with love
@humbemusa3480
@humbemusa3480 Ай бұрын
Very marvalous, spiritual and humbled one. Kila nikiuimba unanitoa machozi 1. Maombi yangu yafike Kwako Mungu 2. Nifanye kama Wewe 3.Unifinyange 4. Wakinitazama wakuone Wewe(Yesu, Mwokozi Wangu 🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉
@dianandinda83
@dianandinda83 Күн бұрын
Maombi yangu yafike kwako (May my prayers reach You) Moyo uliyobondeka, hutadharau (For You will not despise a broken heart) Kiu yangu, haja yangu (It is my thirst, and my need) Nifanane nawe, nifanane naye (To be like You, to be like You) Maombi yangu yafike kwako (May my prayers reach You) Moyo uliyobondeka, hutadharau (For You will not despise a broken heart) Ni Kiu yangu, haja yangu (It is my thirst, and my need) Nifanane nawe, nifanane naye (To be like You, to be like You) Maombi yangu yafike kwako (May my prayers reach You) Moyo uliyobondeka, hutadharau (For You will not despise a broken heart) Kiu yangu, haja yangu (It is my thirst, and my need) Nifanane nawe, nifanane naye (To be like You, to be like You) Maombi yangu yafike kwako (May my prayers reach You) Moyo uliyobondeka, hutadharau (For You will not despise a broken heart) Kiu yangu, haja yangu (It is my thirst, and my need) Nifanane nawe, nifanane naye (To be like You, to be like You) Nifanye kama wewe unifinyange nifinyange (Make me like you, mould me, mould me) Wakinitazama wakuone wewe (When they look at me, let them see me) Unifinyange, nifinyange (Mould me, mould me) Nifanye kama wewe unifinyange nifinyange (Make me like you, mould me, mould me) Wakinitazama wakuone wewe (When they look at me, let them see me) Unifinyange, nifinyange (Mould me, mould me) Nifanye kama wewe unifinyange nifinyange (Make me like you, mould me, mould me) Wakinitazama wakuone wewe (When they look at me, let them see me) Unifinyange, nifinyange (Mould me, mould me) Nifanye kama wewe unifinyange nifinyange (Make me like you, mould me, mould me) Wakinitazama wakuone wewe (When they look at me, let them see me) Unifinyange, nifinyange (Mould me, mould me) Anafanya jambo jipya (The Lord is doing something new) Je, hatukuliona? (Did we no see it?) Macho yana shuhudia (The eyes witness it) Masikio kusikia (And the ears hear it) Anafanya jambo jipya (The Lord is doing something new) Je, hatukuliona? (Did we no see it?) Macho yana shuhudia (The eyes witness it) Masikio kusikia (And the ears hear it) Ooh ooh Ooh ooh Anafanya jambo jipya (The Lord is doing something new) Je, hatukuliona? (Did we no see it?) Macho yana shuhudia (The eyes witness it) Masikio kusikia (And the ears hear it) Ooh ooh Ooh ooh
@brianava_25
@brianava_25 3 күн бұрын
Heeeey,ever since nianze kumsikiza bella ,hata sina haja na bongo dana kama pale awali
@kenogembo7255
@kenogembo7255 Жыл бұрын
This song is full of holly spirit, More grace my sister. Receive More love and support from KENYA.
@judithkyeliza8451
@judithkyeliza8451 3 ай бұрын
Dr Sarah K brought me here it has been my anthem for a week now. Everytime I listen to it it's like I have never heard the song God bless you queen 👑
@judithakinyi3705
@judithakinyi3705 3 ай бұрын
The same here
@user-eu1yk7mz3m
@user-eu1yk7mz3m 2 ай бұрын
Glory be to God
@CatherineMwaura-pn1iz
@CatherineMwaura-pn1iz 16 күн бұрын
Me also after Sarah kiarie singing
@AnnaGia-bn8yb
@AnnaGia-bn8yb Күн бұрын
Honger sana kombo bella kondoa kunavipaji
@tabithaadisa2017
@tabithaadisa2017 Ай бұрын
This sound is an anthem in my heart and group. After He's moulded us ,he is doing a new thing What a prayer! What a declaration! More grace to you Bella From secular music to a very deep place in God. Grace personified
@lucyjohn4216
@lucyjohn4216 Жыл бұрын
What a True Worship 😢😢😢..Wakinitazama Wakuone wewe..Unifinyange
@reubenmtakatifu1467
@reubenmtakatifu1467 Жыл бұрын
Unifinyange Bwana wangu unifanye kama wewe,wakinitazama wakuone wewe Yesu wangu...barikiwa zaidi wimbo mzuri sana
@lucymwakateba7146
@lucymwakateba7146 Жыл бұрын
Unifinyange Bwana Yesu
@monyanza
@monyanza Жыл бұрын
Every morning before I go to my daily routine or when I am down this is my song I play. Thanks Bella God continue uplifting you to bring more souls to Him.
@broimani454
@broimani454 11 ай бұрын
This song siz Bella is a great blessing , more grace for more revelation, barkiwa Sana and Ur team.
@concepternyabs293
@concepternyabs293 22 күн бұрын
My every day song before praying, and truly to this, I'm seeing His Mighty work🙏
@mirriammutheu-nv4yu
@mirriammutheu-nv4yu 8 күн бұрын
Nani mwingine ametoka tiktok 2024
@dorcaschepkoech7605
@dorcaschepkoech7605 11 ай бұрын
I have received total healing just now when worshipping God with this song...I can't stop crying.
@mariaringo-hd9vm
@mariaringo-hd9vm 3 күн бұрын
Fantastic upya, Maisha Yangu Yesu nifinyange
@franciscahkabuka9428
@franciscahkabuka9428 2 ай бұрын
Niko down sana but najua mungu atanifanya nisionekane mm mwenyewe aonekane yy maishani mwangu juu pekeangu siwezi na nikionekana mm watanidhihaki mungu nisaidie juu vita ninavyopigana kila kuchao si vyangu mm
@FrancisFisha
@FrancisFisha 2 ай бұрын
Kristo tumaini letu mtazame yeye
@Miss_Mukasiah
@Miss_Mukasiah 2 ай бұрын
May he come through for you
@kulwashimiyu
@kulwashimiyu Ай бұрын
Mungu atafanya
@sarahsarakikya8926
@sarahsarakikya8926 Ай бұрын
Mwangalie Yeye, Ongea nae anasikiliza, Jipe ujasiri kwakuwa anaishi na yupo kwa ajili yako, usiogope kwa ajili ya Jambo kwake Kila kitu kinawezekana.
@elizabethnduta3407
@elizabethnduta3407 Ай бұрын
moyo uliobondeka hutadharau..wakinitazama wakuone wewe, unifinyange, unifinyange.. thank you Lord
@zebedemirambi3067
@zebedemirambi3067 Жыл бұрын
East Africa tunawamama wanao juakuimba♥️😔🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🙌🙌🙌🙌 nabarikiwa sana, unifinyange Yesu kristo 🙌
@mlagz8032
@mlagz8032 4 ай бұрын
Nifanane nawe maombi yangu yafike kwako ni kiu yangu nifanye kama wewe unifinyange nifinyange wakinitazama wakuone wewe, unifinyange. Bwana anaenda kufanya jambo jipya. Anafanya jambo jipya ..... Yenye hatukuliona masikio kusikia, oooooooooooooooohhh oooooooooooooooooohhh anafanya jambo yenye hatukuliona .......masikio kulisikia Amen🙌🙌🙌🙌🙏🙏🙏🙏 God bless you dada Bella
@estherwairimu1920
@estherwairimu1920 18 күн бұрын
Lord may you mold me my prayer Life my Faith and my trust in You Jesus...I need Lord in every step of the way..😭😭🙏🙏
@tabithawaithira5282
@tabithawaithira5282 Ай бұрын
We'll certainly never have enough of this one. This one will last past generations...its such a healing stream. Thank You for this one.
@radhiaahmad6661
@radhiaahmad6661 2 жыл бұрын
This song, umenihudumia siku nzima I was in bad shape mpaka nimeruhusiwa kutoka hospital right now! Ubarikiwe sana mtumishi wa MUNGU! Never live out of Christ Bella you are just a blessing to this world. 💕
@radhiaahmad6661
@radhiaahmad6661 2 жыл бұрын
Amen I receive in Jesus Name! 🙏🙏🙏
@philemonwanga1511
@philemonwanga1511 Жыл бұрын
@@bellakombo am really touched please May God bless you just always shed tears as i listen to this powerful song
@sarahsamson-ql3hw
@sarahsamson-ql3hw Жыл бұрын
Amen, utukufu kwa Mungu
@getrudevoyefu1845
@getrudevoyefu1845 6 ай бұрын
Kila saa ,kila majira, ni kiu yangu ni haja yangu nifanane nawe......wakinitazama wakuone ww.just blessed
@puritywakochwe7894
@puritywakochwe7894 Ай бұрын
The first time I heard this song I was much blessed, now I am talking to God everytime through this song, 🙏
@user-pd2et6fl7o
@user-pd2et6fl7o 2 ай бұрын
😭😭😭😭😭😭😭😭😭🔥🔥🔥🔥🔥baraka tele Bella Kombo baraka 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉.
@jumbamusickenya
@jumbamusickenya Жыл бұрын
This is the kind of worship we want. They bring someone closer to God. More blessings sister Bella.
@winfrencemutheki5477
@winfrencemutheki5477 18 күн бұрын
Napenda sauti yako dada❤❤❤❤
@imanikenya254music8
@imanikenya254music8 10 ай бұрын
The song I love most. Kila asubuhi ndio wimbo unaonibariki. Yesu nisaidie nifanane nawe
@kimitag39
@kimitag39 Жыл бұрын
This is now a worship song! Deep lyrics and the production is top notch, I'm happy for East African revival coming from Tanzania. Kudos From Nairobi
@lilianjames7537
@lilianjames7537 Жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/pqGzepx9fc2GhZI
@titusamukune6418
@titusamukune6418 8 ай бұрын
Amefanya jambo jipya kweli
@Godsgirl01
@Godsgirl01 3 ай бұрын
Dr Sarah k team back to the roots of worship,we are here to say you really blessed us on Tuesday live with this song🇰🇪
@halimasanga3830
@halimasanga3830 Ай бұрын
Hakika nyimbo inanibariki Sanaa. Nauludia tena na tena. Mungu nakusihu unifinyange tena.
@thestandardoflivingchurchi213
@thestandardoflivingchurchi213 13 күн бұрын
This is very powerful glory to God. Watching from Kenya 🇰🇪
@celinekhasandi2738
@celinekhasandi2738 2 жыл бұрын
This has been my prayer this season 🙏🙏 Unifanye kama wewe😭 wakinitazama wakuone wewe"🤗🤗✨✨
@jacquilineshiroshamala8505
@jacquilineshiroshamala8505 3 ай бұрын
It renews me each time I listens to it. Glory be to the most High. Am just but a piece of clay. Mould me oooh God
@itsmidonah
@itsmidonah 6 ай бұрын
I met a missionary in Hungary who told me about your songs and ministry and now I find myself following your songs...
@mercywangari9077
@mercywangari9077 12 күн бұрын
Amen this is my prayer oh Lord.
@sarahkabiru889
@sarahkabiru889 5 ай бұрын
Can't stop worshipping in this song,it's the work of the HolySpirit
@inzaialbert4881
@inzaialbert4881 6 ай бұрын
the favourite part"wakinitazama wakuone wewe"" .. Bella kombo you are a blessing to many❤
@mwflossy
@mwflossy Ай бұрын
Mine "moyo uliobondeka hutadharau" -Psalms 51:17
@GladysNyae
@GladysNyae 3 ай бұрын
Mungu unayesoma mioyo yetu jibu maombi yangu katika jina la yesu
@MichaelWahu
@MichaelWahu 29 күн бұрын
My humble prayer too..nifinyange bwana
@leahwaithera3707
@leahwaithera3707 Жыл бұрын
I just can't get enough of this song... She sung from a point of revelation, this is not just a normal song but a cry of the heart. God bless you WOG for allowing God to use you powerfully
@philemonwanga1511
@philemonwanga1511 Жыл бұрын
Indeed it really touches
@jamesjoseph6825
@jamesjoseph6825 3 ай бұрын
Kuandika huu wimbo inahitaji uwe na roho mtakatifu, thanks God, Thanks Bella
@gladysmwangi1837
@gladysmwangi1837 17 күн бұрын
Hallelujah...Maombi yangu yakufikie Eeh Mungu wangu..
@user-sq5yu7rf4e
@user-sq5yu7rf4e 11 күн бұрын
Wakinitazama wakuone mungu nifanyie jambo jipya
@ruthmbatha5659
@ruthmbatha5659 4 ай бұрын
Nifinyange,wakiniona wakuone wewe!halleluyah 🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌
@naomikihara2349
@naomikihara2349 Ай бұрын
100% They have been lead by the holly sprit, i heard it from aradio thought ni Sarah Kiarie glory to almighty God.
@zachariahnjoroge6754
@zachariahnjoroge6754 Ай бұрын
This song is the best I love it ❤❤❤❤❤
@user-jk9gp8rx8q
@user-jk9gp8rx8q 6 күн бұрын
Utukufu ni kwau Mungu ongera kwa uduma
@janemumbe3295
@janemumbe3295 4 ай бұрын
Have listened to this song more than 10times cz it's my blessings .be blessed dada
@danielkimeu7759
@danielkimeu7759 Жыл бұрын
This song has so grown in me. It's my driving song, my personal devotion song, my testimony song. God bless you sister Bella!
@lilianjames7537
@lilianjames7537 Жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/pqGzepx9fc2GhZI
@user-db9wl9uc1u
@user-db9wl9uc1u 2 ай бұрын
Whenever i play this song my heart is always in peace. This song really touches my heart 🙏
@mlagz8032
@mlagz8032 2 ай бұрын
Amen
@emilyowira3935
@emilyowira3935 25 күн бұрын
Anafanya jambo jipya🙏🙏🙏
@LifewithwinnieGithinji.
@LifewithwinnieGithinji. 8 ай бұрын
Nani ako hapa 2023 one year after release of the song aweke likes ...this song is in my timetable of duties i have to listen to it daily
@muniramsigwa8537
@muniramsigwa8537 2 жыл бұрын
Nifinyange Bwana Yesu .🙏🙏🙏🙏
@charityngatiah5026
@charityngatiah5026 2 ай бұрын
I can't have enough of this song
@irenendungwa-jn6dr
@irenendungwa-jn6dr 2 ай бұрын
Bwana nifinyange wasinione Mimi wakuone wewe.thank you bella and may God continue lifting you. Listening you every moment .here in 🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Bella Kombo ft. Zoravo - Ameniona (Official Live Video)
11:50
Bella Kombo
Рет қаралды 3 МЛН
How to bring sweets anywhere 😋🍰🍫
00:32
TooTool
Рет қаралды 31 МЛН
Watermelon Cat?! 🙀 #cat #cute #kitten
00:56
Stocat
Рет қаралды 22 МЛН
Increíble final 😱
00:37
Juan De Dios Pantoja 2
Рет қаралды 36 МЛН
Which one is the best? #katebrush #shorts
00:12
Kate Brush
Рет қаралды 18 МЛН
Ali Mukhwana Live Ministration MAOMBI YANGU.
6:50
Ali Mukhwana
Рет қаралды 1 МЛН
Rehema Simfukwe - Chanzo (Official Music Video) SKIZA CODE - *812*786#
9:34
Ancient of Days (Worship Medley) - Fortune Afaglo
14:57
Fortune Afaglo
Рет қаралды 2,6 М.
Nita Amini (Live)
13:00
Israel Mbonyi
Рет қаралды 843 М.
MAOMBI YANGU Bella Kombo cover YAFIKE KWAKO AND HIYO DAMU, DAMU TAKATIFU WORSHIP BY DANYBLESS
25:33
Bella Kombo - Kama Naota (Re - Birth Moshi Tour)
7:29
Bella Kombo
Рет қаралды 789 М.
Moyo Wangu by Patrick Kubuya dial *811*406# to download this song
7:19
Patrick Kubuya
Рет қаралды 65 МЛН
Artur - Erekshesyn (mood video)
2:16
Artur Davletyarov
Рет қаралды 424 М.
Ернар Айдар - Шүкір [official MV]
5:00
Ernar Aidar
Рет қаралды 68 М.
Dildora Niyozova - Bala-bala (Official Music Video)
4:37
Dildora Niyozova
Рет қаралды 2,2 МЛН
Jaloliddin Ahmadaliyev - Yetar (Official Music Video)
8:28
NevoMusic
Рет қаралды 5 МЛН
Ademim
3:50
Izbasar Kenesov - Topic
Рет қаралды 71 М.