BELLA KOMBO AWEKA WAZI "NIKO SINGLE"/VITU VITATU TUSIVYOFAHAMU KUHUSU YEYE/CHAKULA ANACHOPENDA SANA.

  Рет қаралды 81,160

Pazia TV

Pazia TV

11 ай бұрын

Leo Tarehe 29 June 2023 ,Muimbaji Wa Muziki wa Injili Tanzania Bella Komba amefunguka Mengi kuhusu Maisha na Huduma.

Пікірлер: 165
@RachelMkumbo
@RachelMkumbo 3 күн бұрын
❤❤ my sister
@nuhumathewsalasala1708
@nuhumathewsalasala1708 11 күн бұрын
Bella nikikuangalia naona neema ya Mungu inavyotenda kazi kwa watu mbalimbali. Uendelee kukua katika Bwana na kumuelewa zaidi na zaidi. Na kamwe usiache kumuinua Bwana ata kama vikwazo viweje songa mbele.
@SiaCollins
@SiaCollins 2 күн бұрын
Bella nakuelewaga sana,,Sasa hiyo tattoo ya nini ?si vema kuchora tatoo
@ebbyescor7614
@ebbyescor7614 9 ай бұрын
Vita wanazopitia waimbaji inabidi tuwaombee sana
@lizzynkifu4179
@lizzynkifu4179 8 ай бұрын
Sana
@juddiewandera
@juddiewandera 4 ай бұрын
Asante sana Kwa mtazamo wako. Waimbaji kama watumishi wengine, wanapitia vita sana haswa wakiwa Kwa ndoa, wanapigwa vita sana Kwa sababu ya Ile mwito walio nao
@rev.mariamarthachazkailemb609
@rev.mariamarthachazkailemb609 27 күн бұрын
Uko sahihi kabisa watu wanahukum bila kufikiri..waimbaji wanapigwa sana na majeshi ya kuzim
@darcasgodfrey8082
@darcasgodfrey8082 16 күн бұрын
Well said
@mosesmaingi-ep6gb
@mosesmaingi-ep6gb Ай бұрын
Bela kombo The blood of Jesus cover you in Jesus name ❤❤
@highnessnkini
@highnessnkini 9 ай бұрын
Bella nimekuelewa pia nakupenda Sana nyimbo ya nifinyange imenivusha pakubwa Sana ubarikiwe Sana
@lifecoachwithlina1879
@lifecoachwithlina1879 9 ай бұрын
Dada Bella i love you for real has kwa eneo la ndoa .Maisha ya ndoa siyo ya mteremko, yanakuwa na ups and down kama tu yalivyo maisha ya wokovu yasivyo mepesi. chamno ni kuomba sana.kumbuka shetani anapinga sana ndoa na ndo maana ndoa ndoa nyingi zina changamoto.Mwanandoa dumu katika kuomba sana. usisikilize maneno msikilize Mungu.
@user-bx3ko9ft5t
@user-bx3ko9ft5t 27 күн бұрын
Jinsi ulivo jibu kweli wew umeokoka dada uko vizuri
@CanBoy-iu4mz
@CanBoy-iu4mz 23 күн бұрын
Nakupenda bela ila zivutiwi ulivyochora mwili nimachukizo mbele ya uso wa Mungu
@angelemmanuel7143
@angelemmanuel7143 23 күн бұрын
Hiyo ni zamani kabla ya wokovu nadhani wajua tatu haifutiki
@CanBoy-iu4mz
@CanBoy-iu4mz 23 күн бұрын
I like you
@hellenrichard187
@hellenrichard187 20 күн бұрын
Alijichora kabla hajaokoka jmn alikuwa bongo fleva huko na kama unavyojua tatoo hazifutiki so inabidi uishi nazo hivyo hivyo lkn ndani yako umekuwa mtu mpya
@sosthenesmaemba
@sosthenesmaemba Ай бұрын
Naomba jina Hilo la NJUU, Litume, ni jina zuri sana My dada tafadhali sana,
@lynnettemas8513
@lynnettemas8513 22 күн бұрын
Wokovu haujigambi,hauringi n that's what I have seen in you Bella
@lynnettemas8513
@lynnettemas8513 22 күн бұрын
Now I believe, the thing is the HOLY SPIRIT,he must intervene n do it, not me not you. You are real n I love it. Am strongly touched by the song MUNGU MMOJA. Be blessed Bella
@FainesyKyando
@FainesyKyando 22 күн бұрын
Mungu anawapenda watu wote hata wenye tatuu ni wake.usiangalie madhaifu tu.inawezekana wewe Mungu anakuonyesha madhaifu ili uombe sio uhukumu.hakuna aliyekamilika tunakamilishwa na Roho Mtakatifu kila siku
@user-nb6hl5lc9g
@user-nb6hl5lc9g 19 күн бұрын
Bella kombo MUNGU akutangulie zaidi ❤❤
@JOJoButchery
@JOJoButchery Ай бұрын
Mungu akuongoze dadaangu
@anitajohn3834
@anitajohn3834 9 ай бұрын
😮bella kumbe ni mtz
@CanBoy-iu4mz
@CanBoy-iu4mz 23 күн бұрын
Mungu akubariki daima
@syriansanguli4765
@syriansanguli4765 10 ай бұрын
My favourite🎉@bella kombo
@PhilipoSaimon
@PhilipoSaimon 11 күн бұрын
Mungu akubariki na barikiwa na huduma zako
@robertadolf562
@robertadolf562 28 күн бұрын
Bella my bby. pole dear
@DeboraKyembela
@DeboraKyembela 8 ай бұрын
Yanii kama ni kitu watu especially wanawake maarufu wanapaswa kujifunza basi ni hii kitu ya ndoa.. Yanii nimekuelewa sana ma Mtumishi.. keep it up !!! Natamani ningekupongeza nikupe mkono kabisaa sema uko mbali. Huo uelewa ni making sanaa.. Safiii
@jaquelineokioma840
@jaquelineokioma840 Ай бұрын
Amen.purpose and vision
@agnesnnko8872
@agnesnnko8872 9 ай бұрын
Waaa ooooh kumbe Pazia una TV.👏👏👏👏
@DastanKulwa
@DastanKulwa 16 күн бұрын
Bella I thought your from Nigeria,be blessed bella
@oumabyronproduction
@oumabyronproduction 20 күн бұрын
Wonderfull
@annatemu4488
@annatemu4488 7 ай бұрын
Nimemuelewa vizuri sanaa Bella,Mungu akutunze
@theroofofafricaadventures6578
@theroofofafricaadventures6578 10 ай бұрын
I want to meet you next time I come to TRanzania!
@happynessyusufu8258
@happynessyusufu8258 10 ай бұрын
Good sana dada umenifundisha jambo
@maurismbonimpa4568
@maurismbonimpa4568 8 ай бұрын
I love you bella
@upendojoseph7912
@upendojoseph7912 10 ай бұрын
Good dada
@kayombo4730
@kayombo4730 11 ай бұрын
Una maswali mazuri, #MrJohn #Inspired
@florencemalonza3441
@florencemalonza3441 29 күн бұрын
Wow,this lady is very wise and blessed
@levizwannah
@levizwannah 7 ай бұрын
Well, I think you guys need to work on your audio. But great job.
@jameskataliko6392
@jameskataliko6392 Ай бұрын
Belle Komboa, acha neno yangu ibaki moyoni. Oza kitoko
@winnifridaashery4449
@winnifridaashery4449 10 ай бұрын
Nakupendaga sana we mdada jmn.Umeongea point sana
@tabithakitundu8736
@tabithakitundu8736 28 күн бұрын
Ukisema mwombaji naamini your songs zinathibitisha hilo
@BabygirlDadiyo
@BabygirlDadiyo 3 күн бұрын
For the very 😅😅😅
@raphaelkessy7360
@raphaelkessy7360 29 күн бұрын
Bela ubarikiwe barikiwa
@Rachou94
@Rachou94 9 ай бұрын
Yesu akutiy nguvu dada unanibariki saaaana nakupenda saaaana
@JackieMichael-je6tw
@JackieMichael-je6tw 28 күн бұрын
Asante dada
@martinejustinee3633
@martinejustinee3633 9 ай бұрын
Amina
@RoseMsele
@RoseMsele Күн бұрын
Hiyo tatoo jmn
@witnescholela1156
@witnescholela1156 8 ай бұрын
Jaman Bella nakupenda mama yangu unanifundisha saaana❤❤
@johtimoth4250
@johtimoth4250 9 ай бұрын
Maneno yako ni mazuri MUNGU akubariki sana.
@hafsalucky1088
@hafsalucky1088 Ай бұрын
Mungu Akubariki sn Bella na Azidi kukutumia🙏
@puritycherotich8591
@puritycherotich8591 4 ай бұрын
Awesome God
@samwelmwiru6782
@samwelmwiru6782 Ай бұрын
Very authentic responses
@Teresiabundala
@Teresiabundala Ай бұрын
I Love you Bella.
@user-it5gj7ls8t
@user-it5gj7ls8t 8 ай бұрын
Mwambie na mpenda ❤❤❤
@edsonmwijage546
@edsonmwijage546 27 күн бұрын
Ubarikiwe sana dada yangu!! Huduma yako ni njema
@SalamaNauthary-ip4iy
@SalamaNauthary-ip4iy 10 ай бұрын
Ama kweli Duniani hakuna mwembamba jamani,!!!!
@themgizi
@themgizi 28 күн бұрын
You have nailed it, Hofu ya Mungu is KEY.
@esterngirwa1022
@esterngirwa1022 10 ай бұрын
❤❤❤❤
@jasperswai9320
@jasperswai9320 10 ай бұрын
❤❤❤❤❤
@emmaculategideon
@emmaculategideon 10 ай бұрын
Nimekuelewa Bella, kua na Nia ya Kristo...huo ndo msingi!! Mungu akubariki mtumishi wa Bwana, Leo nimekujua Kwa upya...be blessed
@pastorbarakangata606
@pastorbarakangata606 9 ай бұрын
imani pasipo matendo imekufa,anavaa suruali haoki kwamba anawaingiza wanaume kwenye tamaa ya uzinzi kupitia mwili wake
@Charlotte-zi3cz
@Charlotte-zi3cz 9 ай бұрын
@@pastorbarakangata606 Kwanini mtu alie okoka anamjua Mungu aingizwe kwenye uzinzi na suruali
@pastorbarakangata606
@pastorbarakangata606 9 ай бұрын
anaemtamanisha mwenzake na atakaetamani wote watahukumiwa,suruali inachora maumbile ya mwanamke kaaa na wanaume wakuambie jiulize
@odilomwemeziernest646
@odilomwemeziernest646 Ай бұрын
@@pastorbarakangata606 wewe ndo hujaokoka hata ukiona waliovaa dela unatamani tu,hampendi kuokoka mnasingizia kuvaa masuluali
@pastorbarakangata606
@pastorbarakangata606 Ай бұрын
@@odilomwemeziernest646 wewe unajua sababu ya ibilisi kuleta suruali za kike duniani au unavaa tu kwa kuiga watu jiulize,duniani kila jambo linakusudi lake kusudi jema au baya,kama akipata mtoto wa kiume atamfundisha nn kupitia suruali zinazochora makalio na uke atamuingiza mtoto kwenye tamaa.kwanza jiulize pale unapotaka vaa suruali lengo lako ni nini,wanaume wanaume wayasifue na wayatamani matako na hips,wasanii wa bongofleva nyimbo zao zinasifia nini matako,hips,miguu ya bia na kuvaa suruali kumeanzia kwenye bongofleva na sasa hawavai suruali wanaonesha utupu ili maumbile yao yaonekane vizuri zaidi na kwasababu gospel singer huiga wataiga kuwa uchi,wanaume kusuka rasta,dredi,kukata mauno na mengineyo.wewe kama ni wakala shetani kwako ni sawa na mshindwe kwa jina la yesu lengo lenu tushalijua wanajifanya wameokoka na kuanza kuimba gospel song au kuhubiri huku tabia zao hazijabadilika,lengo lenu ni kuaribu maadili ya ukristo hamtaweza kwa jina la yesu na amini ivyo
@mosesmaingi-ep6gb
@mosesmaingi-ep6gb Ай бұрын
The blood of Jesus cover you in Jesus name
@jasirimjasirimedia7940
@jasirimjasirimedia7940 10 ай бұрын
💪💪💪💪🔥🔥🔥
@user-tf8mx2if5q
@user-tf8mx2if5q 8 ай бұрын
❤❤❤❤❤❤
@daudiazizi8495
@daudiazizi8495 12 күн бұрын
Tuwaombee jaman
@graysonsika
@graysonsika 8 ай бұрын
@kennedybrown348
@kennedybrown348 28 күн бұрын
Women of God
@ezekielmichael9431
@ezekielmichael9431 9 ай бұрын
Mmmmh hio TATOO ya nin kifuani
@WITNESSHAULE-km8ou
@WITNESSHAULE-km8ou Ай бұрын
Alichora kabla hajaokoka
@AmosObanda23Thursday16Nov8am
@AmosObanda23Thursday16Nov8am 23 күн бұрын
Thank you Bella for pointing out about your oneness as worship ministers, we're called in different capacities, further more depending on God as the source which we ought to be anchored to.
@AmosObanda23Thursday16Nov8am
@AmosObanda23Thursday16Nov8am 23 күн бұрын
the illustration of different cultures in Parenthood entails maturity is very clear and maybe at some point I've also been judgmental as a person. May God give us grace and revelation to understand this. following from KE
@kassimualli1755
@kassimualli1755 Ай бұрын
Watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa
@odilomwemeziernest646
@odilomwemeziernest646 Ай бұрын
Kwa tunayemjua huyu Dada kabla na baada ya kuoka daaa lazima umtukuze Yesu
@nkoydavid9658
@nkoydavid9658 28 күн бұрын
Ni Mtanzania?
@lilianhumphrey2401
@lilianhumphrey2401 28 күн бұрын
Nimesoma nae uhuru mchanganyiko secondary school alikuwa ni .....ila yote kwa yote kaokoka anampenda yesu nimefurah kuona anambra sana mungu na kajikabidhi kwa mungu nakupenda mungu akubariki sana
@HellenLemilya
@HellenLemilya 17 күн бұрын
Enewe umeongea mengi ,kwangu Mimi mrudie ule aliyekuacha kama hajaoa au uolewe maana kuishi mwenyewe utashindwa mwishowe utakuja fanya zinaa
@moseskatindasa6364
@moseskatindasa6364 5 ай бұрын
Wewe utakaa mwenyewe ujue
@simontv8124
@simontv8124 10 ай бұрын
Mbon una katattoo tena, Dada bela
@sailicekomba8075
@sailicekomba8075 10 ай бұрын
Katatuu ka zamani wakati wa bongo star search
@DeboraKyembela
@DeboraKyembela 8 ай бұрын
Binafsi kiukweli nimekuelewa sana Bella... Yanii nimekuelewa.. Na mi nakukaribisha sana Mwanza ( Ukerewe na Magu). MUNGU akujalie Neema yake usonge mbele
@neemaneychricious6493
@neemaneychricious6493 Ай бұрын
asa huu mkelele wakt mnahoji ndio nin jamn
@daudinzunda8739
@daudinzunda8739 27 күн бұрын
Daaaaaah watu mmeacha kutoa comment mmeshaangalia tattoo
@saimonbikulaofficial
@saimonbikulaofficial 7 ай бұрын
Nimekuelewa bella but utamtambuaje mwanamke au mwanaume mwenye hofu ya mungu coz kwenye uchumba unaweza muona kama Malaika ila mkishaingia kwenye ndoa ndo unaanza kuona baadhinya vitu vinaanza kuonekana .
@mako331
@mako331 Ай бұрын
Huyu dada sikujua ni mbongo aisee, safi sana
@user-gn8vu3tb4h
@user-gn8vu3tb4h 29 күн бұрын
Upo single je una watoto wangapi uliolewa au na kama unao ni kabla kuokoka na kwanni ulimpinga baba au ulilelewa na single mama? Au kama Cristina
@gracemacha9357
@gracemacha9357 26 күн бұрын
Walawi 19:28.
@evawambugha4939
@evawambugha4939 26 күн бұрын
Eeeeh umemuamulia sio let God be the judge. His ways are not our ways neither are his thoughts ata yesu alisema asie kua na dhambi awe wa kwanza kurudha jiwe.
@amosken3281
@amosken3281 2 ай бұрын
Nisaidie number yake please
@agnesnnko8872
@agnesnnko8872 9 ай бұрын
Ila jamani kuchora ngozi Bible inakataza...
@lydianedward4122
@lydianedward4122 9 ай бұрын
Kablq hajaokoka alikuwanayo
@deandralove1100
@deandralove1100 3 ай бұрын
Maybe it was from before,we all did something unclean before gettting saved
@gladyschepchumba9311
@gladyschepchumba9311 Ай бұрын
Msikize, tattoo aliiweka kabla hajaokoka
@vincentonsomu8372
@vincentonsomu8372 23 күн бұрын
utamwambia nini ukimwona.
@user-zu3xm8xx5d
@user-zu3xm8xx5d 11 күн бұрын
Mambo ya Walawi 19 28 Msichanje chale yo yote katika nyama ya miili yenu kwa ajili ya wafu, wala msiandike alama miilini mwenu; mimi ndimi Bwana. ( hiyo scripture na hiyo tatooo yk kibiblia ukirefer hiyo scripture inaruhusiwa au umuamua Kwenda nje na sheria ya MUNGU?)
@marcondokeji8982
@marcondokeji8982 8 ай бұрын
machata chata kwenye mwili bella si mazuri kwako
@WITNESSHAULE-km8ou
@WITNESSHAULE-km8ou Ай бұрын
Hio kabla hajaokoka
@liza6able
@liza6able 25 күн бұрын
Jamani machatachata ni kabla aokoke!! bela unanibariki sana kwa nyimbo za gospel. karibu kenya 🇰🇪 tena.
@davyadamsontz
@davyadamsontz 8 ай бұрын
Bella, some years ago you came at our church with your husband, where is he? Kitu gani kiliwatenganisha? Au mlikuwa mnaishi bila ndoa?
@comsmkemwa2671
@comsmkemwa2671 23 күн бұрын
Kila mtu anataka mwenzi mwenye sifa hizo, si kijana wala msichana, Tatizo liko hapa, unamjuaje mwenye hizo sifa? Kumbuka mtu anapataka chake kwako, pretender ni wengi mno, wasichana kwa wavulana, otherwise ukubali kuishi naye zaidi ya miezi 6 bila ndoa mkichunguzana, sasa je inakubalika? Vinginevyo mwombe Mungu tu ucheze karata, ama sivyo utazeeka bila mume,
@gracemacha9357
@gracemacha9357 26 күн бұрын
Jitahidi kuvaa nguo ufiche tatuu inakupunguzia heshima yako
@ndayizeyefredina-ni8uf
@ndayizeyefredina-ni8uf 6 ай бұрын
Waimbaji wagospel waache kuvaasuruwali. Hapo wanakula hawajaokoka😢😢😢
@immaculatendinda3900
@immaculatendinda3900 Ай бұрын
Kwa hivyo Joyce Meyer muijilisti wa kimataifa na anavaa suruali hajaokoka?
@anoldcharles
@anoldcharles 6 ай бұрын
kachora tatuuu☹️🤔
@DianaTesha-iz4pb
@DianaTesha-iz4pb Ай бұрын
Alichora kabla hajamjua Kristo
@ndayizeyefredina-ni8uf
@ndayizeyefredina-ni8uf 6 ай бұрын
Waimbaji wagospel waache kuvaasuruwali. Hapo wanakula hawajaokoka
@gastonsally4245
@gastonsally4245 Ай бұрын
Sija silica vizuri ila Kama uliwahi kupiga tatuu ifiche na ufanye kaZi ya Bwana naona sina aman nikisikiia hii
@augustinemainde
@augustinemainde Ай бұрын
Ila amwepuke Diamond atakuja Kama malaika kumbe ni shetani
@emmanuelamani983
@emmanuelamani983 24 күн бұрын
😂😂😂😂
@kassimualli1755
@kassimualli1755 Ай бұрын
Malaya tu hakuna kitu hapo
@upendomlelwa57
@upendomlelwa57 Ай бұрын
Mungu akusamehe hujui ukinenacho, Ungejia usinge mhukumu mtoto wa Mungu hujui agano alilonalo mtu na Mungu wake,
@liza6able
@liza6able 25 күн бұрын
thou shall not judge
@clouartmichael7296
@clouartmichael7296 10 ай бұрын
Sasa huyu mtumishi wa Mungu anatetea suruali wakati Mungu anakataz,huwezi upo kwenye ibada umevaa suruali Tena za kubana alafu unasema kanisa Lina judge watu Kumb 22:5 ! Hayo mavazi unayovaa Ni ya kikahaba siyo ya kujistiri 1 Petro 3:3 ,hata hayo mapambo mnatakiwa kukubali mnaenda tofauti na Neno ,wengi mkiuliza mnachukua andiko la kwamba huwezi kwenda Mbinguni kwa matendo ya Sheria ...Ile roho ya Yezebeli inatenda kazi kwa wanawake wengi na hawataki kukosolewa hasa watumishi wa Mungu ..Bado mnaipenda dunia na kumchangany Mungu na Mambo ya duniani .1 Yohane 2:15
@itikamlagalila1911
@itikamlagalila1911 10 ай бұрын
She didn't mention Kama ni suruali ya kubana ama la,,hata hivyo ukweli ni kwamba Roho Mtakatifu ni Mwalimu personal wa Kila mcha Mungu,u don't need to be judgemental,it doesn't build..
@clouartmichael7296
@clouartmichael7296 10 ай бұрын
@@itikamlagalila1911 Neno la Mungu linasema Kila Neno lafaa Kwa Mafundisho na hata kukemea ,Paulo aliwaandikia hivyo Wakorinto...hivyo Leo watumishi wengi Wanaenda tofauti ...Mimi naangalia Neno simjudge maana mm pia ninamtumikia Mungu huyo anaemtumikia Yeye ila Roho Mtakatifu aliye ndani anatushuhudia hayo sio maelekezo ya Neno la Kristo ..hivyo twapasa kukemea ..sio kwamba tunajudge...hata hivyo Yeye mavazi yake mengi si ya Adabu Huw ni ya kubana ...hayo yote hapo katika maandiko matakatifu ,kama wewe ni hekalu la Roho Mtakatifu,Roho hawezi kukushuhudia hayo mavazi ni sahihi 1 Wakorinto 6:19...pia andiko lipo linasema ..Tito 1:16 Wanakiri ya kwamba wanamjua Mungu, bali kwa matendo yao wanamkana; ni wenye machukizo, waasi, wala kwa kila tendo jema hawafai.,Hilo Neno linawaongelea watu wote wanaosema wanamjua lakini hawafati Neno linavyosema na Neno ni Kristo mwenyewe..Hakuna mkamilifu lakini ukiijua kweli itakuwek huru ila wengi wanapinga Neno Kwa tamaa zao za mwilini na wanakiri katik media na kuwapoteza wengi Kwa kuwaamini wao...Mungu akubariki.
@kenedymdemu6943
@kenedymdemu6943 10 ай бұрын
Ki ukweli wanawake wengi mnaomjua mungu shetani kawaweza na kawafunga golf la mkono bila ninyi kujua katika suala la mavazi na kujichorachora miili na matokeo yake mnakuja kuwa approached na watu wa duniani na mwishowe kunakuja kutokea lugha gongana kwenye ndoa zenu, na hayo mmeyataka ninyi wenyewe kwa kuwa mmesha kariri kwamba ukiolewa na mwanaume wa kawaida mnaonekana mmeolewa na watu washamba any way endeleeni shetani atawanyoosha mungu hadhihakiwi wzla sio wa sanaa
@davyadamsontz
@davyadamsontz 8 ай бұрын
Kwa nini mnapenda kudanganya Watu, Biblia imekataza lini Suruali? Hayo mavazi ya Kikahaba unayajuaje? ushawahi kuwa Kahaba?
@davyadamsontz
@davyadamsontz 8 ай бұрын
Bad enough unahukumu makati video uliyopost ni ya mwanaume mwenye hereni...
@gosbertmuta5421
@gosbertmuta5421 10 ай бұрын
Hajawah kunivutia haaaaata kidg kwenye nyimbo zake
@HellenGoodluck
@HellenGoodluck 10 ай бұрын
Kuna wimbo unaitwa unifinyange kausikilize vizuri dear ndo utamuelewa
@gosbertmuta5421
@gosbertmuta5421 10 ай бұрын
@@HellenGoodluck arudi msalabani labda
@ugreatinternationaltz
@ugreatinternationaltz 9 ай бұрын
@@gosbertmuta5421 kwani yeye Yesu...? Na lini alisema alikuwa msalabani!?
@shaluiam4095
@shaluiam4095 9 ай бұрын
It’s okay Kama hajakuvutia… we are not called for everyone but for someone
@kijiwenongwatz
@kijiwenongwatz 2 ай бұрын
Usiangalie
@StivinWambuto-zy5ft
@StivinWambuto-zy5ft Ай бұрын
Huyu kachora tatuu halafu anasema anafanya kazi ya MUNGU! , anasoma KWELI neno la MUNGU? , Walawi 19:28. MUNGU akusaidie dada utoke kifungoni na pia , ninyi waimbaji mmeamua kuyapiga mateke maneno ya MUNGU na kuamua mjiongize wenyewe na si kuongozwa na MUNGU, mmeona kuachana ni kawaida tu . Msijidanganye ipo hukumu mbele yenu , angalieni mapema , mtoke ktk uchafu wa ibilisi.
@amisasadock6857
@amisasadock6857 Ай бұрын
Alikua mwimbaji wa bongo fever ndio alicho akiwa huko badae akaja kuokoka
@musiblijohnbjgjf3799
@musiblijohnbjgjf3799 16 күн бұрын
The evil is trying the best to bring gospel singers down and somehow looks ..the devil is doing well..
@Stanley_Gospel
@Stanley_Gospel 19 күн бұрын
FUTA hiyo tattoo
@juliusandason
@juliusandason 8 ай бұрын
Tattoo maybe kama ulichora wakati hujaokoka, kama ni baada basi unahitaji Neema ya kristo kukusaidia! Ila maneno yako kiujumla nimeipenda, God bless you
@shaddybmc8342
@shaddybmc8342 10 ай бұрын
SIAMIN KAMA YUKO SINGLE MCHUMBA WAKO TUNAMFAHAMU KABISA. YUPO. NA ANAMPENDA SANA SANA
@itikamlagalila1911
@itikamlagalila1911 10 ай бұрын
Bella Kombo ni Mtumishi anayejielewa,u really think tutakuamini wewe kuliko yeye???!as in for real?!huwezi ukamchafua Mpakwa mafuta wa Bwana,it's a serious waste of energy.😮
@shaddybmc8342
@shaddybmc8342 10 ай бұрын
@@itikamlagalila1911 kwani kuwa na mchumba ni dhambi. ???? Na je kuwa na mchumba ni kujichafua?
@elishakayagwa9371
@elishakayagwa9371 10 ай бұрын
​@@shaddybmc8342Anajielewa wakati hapo kifuani ana tattoo?
@ignatusrogerslema8650
@ignatusrogerslema8650 10 ай бұрын
​@@itikamlagalila1911ila bella alishawahi kuolewa navyokumbuka
@GwakisaMwaisanga
@GwakisaMwaisanga 9 ай бұрын
Ukisema unamjua mchumba wake ina maana ww ni MUNGU na pia mm ninachokifaham ni kwamba ukwel wa Bella anaujua Bella na MUNGU tu
@petercheto6064
@petercheto6064 10 ай бұрын
Mtoto mzuri lakini Tattoo anazo 😢😢😢, na Andigo la binga!!! Iweje Sasa ndio maana kachelewa kuolewa .....,atubu amurudie Mungu na atafunguliwa...., Kuongea tuta ongea lakini je Mungu Yuko mioyoni mwetu?......,
@amytullah2175
@amytullah2175 10 ай бұрын
1st aliokoka akiwa amechora so Mungu kamsamehe, 2nd alishaolewa na anamtoto tena ndoa ya kanisani nahisi wameachana na mume wake. Hope nimekusaidia huyu alikua mwimbaji wa mziki akitokea bongo star search so usimjaji kwa mambo ya zamani
@ruthstanley6769
@ruthstanley6769 9 ай бұрын
Muangalie bellah wa sasa hv achana na yule wa zaman pia mkubali tu mtumish yoyote wa Mungu kama humkubali bas kaa kmya lkn ucpende kuwajaj
@jacobmakono4399
@jacobmakono4399 9 ай бұрын
Hujaokoka muhuni wewe! Kuokoka ni kutubu dhambi na kumaanisha kuziacha na kumpokea Yesu Kristo awe Bwana na mwokozi wa maisha yako..uishi maisha ya utakatifu!jihoji mwenyewe?milip
@abigailipambe6999
@abigailipambe6999 3 ай бұрын
Mjue kwanza mtu ndio umjaji hukumu sio juu yako ni juu ya Bwana Mungu humuita Mungu kama alivyo ili amfanye vile atakavyo
@conniejoseph5464
@conniejoseph5464 3 ай бұрын
🇰🇪 loves Bella and salvation belongs to the Lord.
@rosemarykimath9337
@rosemarykimath9337 Ай бұрын
Usimhoji ww huna mamlak hayo
@angelalema4804
@angelalema4804 29 күн бұрын
Kama hajaokoka basi muokoe wewe kama unaweza
@williammadafu9518
@williammadafu9518 27 күн бұрын
Nyinyi ndio wale, mnao okota mawe kumponda yule kahaba kwamba ni mzinifu basi kama nyinyi ni watakatifu mpondeni mawe. Ndio maana YESU KRISTO akujakuangalia wema tu Bali pia wenye dhambi ili wapate kuokolewa.
@jacobmakono4399
@jacobmakono4399 9 ай бұрын
milpstick, miheleni..udunia kibao,eti muombaji!huna kibali cha kumuomba Mungu kama hujaokoka!!roho na kweli ni utakatifu..mbali na dhambi!
@unknownbutterfly6310
@unknownbutterfly6310 29 күн бұрын
Wewe mwenye kibali waombee unaoona hawana kibali Cha kumuomba Mungu.
@williammadafu9518
@williammadafu9518 27 күн бұрын
Hata mwenye dhambi anakibali cha kumuomba MUNGU. Na ndipo anaweza kuwa salama maana atakuwa amemkili yeye kuwa bwana na muokozi wake
@user-re8kx3px1e
@user-re8kx3px1e 10 ай бұрын
Mungu akubariki mpendwa, simama wewe kwa ajili ya waimbaji wenzako
BELLA KOMBO: Kuhusu Huduma yake | Kuhusu Ndoa yake | "Namfahamu Zoravo"
54:56
Bethel Radio Tanzania
Рет қаралды 53 М.
Каха инструкция по шашлыку
01:00
К-Media
Рет қаралды 8 МЛН
Эффект Карбонаро и бесконечное пиво
01:00
История одного вокалиста
Рет қаралды 6 МЛН
The day of the sea 🌊 🤣❤️ #demariki
00:22
Demariki
Рет қаралды 13 МЛН
Bella Kombo on how she got into salvation - Cross Over
12:33
NTV Kenya
Рет қаралды 12 М.
Salama Na KAJALA Ep 35 | JERAHA LA MOYO Part 1
29:56
YahStoneTown
Рет қаралды 323 М.
EVELYN WANJIRU | TESTIMONY | PRAISE ATMOSPHERE 2022
23:30
Evelyn Wanjiru
Рет қаралды 1,1 МЛН
MAJIBU YA JENNIFER KUHUSU KUOLEWA
28:50
Jennifer Mgendi
Рет қаралды 157 М.
MAZITO KUHUSU BELLA KOMBO -  ATAKA KUWA NABII (FULL INTERVIEW)
48:09
JOY GOSPEL TV
Рет қаралды 3,6 М.
Каха инструкция по шашлыку
01:00
К-Media
Рет қаралды 8 МЛН