Bella Kombo - Nifinyange (Official Live Recorded Video)

  Рет қаралды 3,235,338

Bella Kombo

Bella Kombo

Жыл бұрын

.Nifinyange ni wimbo uliobeba maono ya Ibada ya RE-BIRTH EXPERIENCE iliyorekodiwa Tarehe 24 Octoba 2021, Dar Es Salaam.
Nifinyange ni wimbo wa maombi ambao Roho anaimiza kwa Kanisa kwa habari ya unyenyekevu, Ili atufanye kama apendavyo kwa wito wake kwa kazi hii.
Ni maombi yangu kwa kwamba Ukiri huu ukawe halisi kwenye maisha yako yako,Kufanywa upya, Kurejeshwa, Na kurudi katika nafasi ambayo Mungu ametukusudia.
WARUMI 8:11
Lakini, ikiwa Roho yake yeye aliyemfufua Yesu katika wafu anakaa ndani yenu, yeye aliyemfufua Kristo Yesu katika wafu ataihuisha na miili yenu iliyo katika hali ya kufa, kwa Roho wake anayekaa ndani yenu.
ACKNOWLEDGEMENTS
THE MUSIC BAND
Music Director : Elisha Julius ( KORG )
Aux : Daniel
Bass guitarist : Benjamin Makolobela
Lead Guitarist: Hagai Makuzi
Drummer : Andrew Chitete
Sound: Sound Solution (SSI)
Event Audio Engineering: Gady
Audio Mixing and Mastering: Mujwahuki
THE BGV's and the Vocal Arranger John Kavishe
SOCIAL MEDIA HANDLES
Instagram : officialbellakombo
youtube : Bella Kombo
#NIFINYANGE #BELLAKOMBO #REBIRTHEXPERIENCE

Пікірлер: 1 600
@TIMELESSGOSPELSONGS
@TIMELESSGOSPELSONGS 17 күн бұрын
Hallelujah......I was homeless, got into drugs, went into prisons, then i got to know Jesus, He changed my life.. 🍀🍀Now i have a home, a wife, a lovely daughter and a new identity... A child of God
@KimathiGikunda-pk7di
@KimathiGikunda-pk7di 12 күн бұрын
Amen....
@Sarahthegreat181
@Sarahthegreat181 2 күн бұрын
May God's grace sustain you.
@pychologistBeatrice
@pychologistBeatrice Күн бұрын
To the Almighty God be Thou Glory.🙏
@boazdanken
@boazdanken Жыл бұрын
Unifinyange Bwana wasinione MMI wakuone wewe YESU. Asante sana Dada Bela kwa Ujumbe wa Revival
@pendomaduhu9374
@pendomaduhu9374 Жыл бұрын
Nifinyange wakinitazama wakuone ww ,nifanye upya 🙏
@gloriouschoirtz
@gloriouschoirtz Жыл бұрын
Ubarikiwe saana
@annaamadea940
@annaamadea940 Жыл бұрын
May God increase your portion for this sir
@lilianjames7537
@lilianjames7537 Жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/pqGzepx9fc2GhZI
@janeysemagogwa2670
@janeysemagogwa2670 Жыл бұрын
Barkiwa
@kafedhakarimi9067
@kafedhakarimi9067 Ай бұрын
Here after Sarah K's Tuesday worship 30th April 2024
@consistentink5616
@consistentink5616 Ай бұрын
Same🥳🥳🥳
@annahlwambia3686
@annahlwambia3686 Ай бұрын
SAME 😅😅
@gracemartin2023
@gracemartin2023 Ай бұрын
Pia mimi
@rispathequeen
@rispathequeen Ай бұрын
From Sarah k
@gracekamau1450
@gracekamau1450 Ай бұрын
Same😂
@gracemartin2023
@gracemartin2023 Ай бұрын
Who is praying along with me?In the year 2024,May her outer packaging conform to Christ,In Jesus name,Amen.
@mercynjeri5998
@mercynjeri5998 Жыл бұрын
This song "nifinyange" taught me to love people no matter how wicked they are to me, it is not easy to be moulded. It needs submission😢
@carolinejkipruto
@carolinejkipruto 3 ай бұрын
You're right. God makes it happen by His grace. He is doing a new thing
@floranyefwe3464
@floranyefwe3464 2 ай бұрын
Absolutely 💯
@dorothymaritim1876
@dorothymaritim1876 Ай бұрын
Amen
@GloriaSifaOchieng
@GloriaSifaOchieng Ай бұрын
Bry
@bensonmunene3
@bensonmunene3 2 ай бұрын
Am jobless currently but trusting in God anaifanya jambo jipya
@suekarara974
@suekarara974 Ай бұрын
Our God is faithful
@cyrosemusembi9518
@cyrosemusembi9518 Ай бұрын
Our God will open doors for us
@lindanyaga1654
@lindanyaga1654 Ай бұрын
May the Lord open a door for us,He remember you the way am waiting for Him for a job opening too
@jackiefavour7284
@jackiefavour7284 Ай бұрын
The power that rose Jesus is within us that power is doing a new thing in our lives new permanent jobs is our (my) portion
@issabelasanta-qp2wb
@issabelasanta-qp2wb Ай бұрын
Amen to our prayers.
@HappynessEdward-sk2pn
@HappynessEdward-sk2pn Ай бұрын
Kama umesikia Furah na Amani kusikia wimbo huu kuimbwa kwenye semina ya Mwl Mwakasege. Weka like. Ahsante YESU kwa jiri ya Mtumishi wako Bella.🙏🙏
@pascalinamwabena99
@pascalinamwabena99 Ай бұрын
Kiukweli Leo Gordian amekuja kivingine huu wimbo umenifanya nije kuusikiliza tena
@HappynessEdward-sk2pn
@HappynessEdward-sk2pn Ай бұрын
@@pascalinamwabena99 Endelea kubarikiwa na BWANA.
@Dmsiris5
@Dmsiris5 3 күн бұрын
Anafanya jambo jipya katika maisha yangu🙌🇹🇿❤️
@anithakaijage9078
@anithakaijage9078 Жыл бұрын
IT TAKES THE HOLY GHOST TO WRITE AND SING THIS SONG.THANK YOU HOLY SPIRIT YOU WHO MOLD US DAY BY DAY TO BE JUST LIKE YOU! PERHAPS IT MAY TAKE TIME BUT YOU NEVER GIVE UP ON US EVEN WHEN WE WANNA GIVE UP ON OURSELVES. I CANT EVEN IMAGINE A LIFE WITHOUT YOU! HALLOWED BE YOUR NAME LORD
@lilianjames7537
@lilianjames7537 Жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/pqGzepx9fc2GhZI
@mercyayanga
@mercyayanga 3 ай бұрын
Amen
@jasminelove7900
@jasminelove7900 Ай бұрын
Hallelujah 🙌🏾🙌🏾
@mlagz8032
@mlagz8032 Ай бұрын
Indeed it is
@immaculatendinda3900
@immaculatendinda3900 Жыл бұрын
This song rescued me from a very dark place when I was about to do unimaginable damage.. But God right moment sent it at that time,....it ministered to me And all I could do is cry and pray...thanks u Jesus! For taking suicide thoughts away,i bless your servant my sister bella for this wonderful song ..mungu azidi kukuinua wewe na uduma yko...shalom
@lilianjames7537
@lilianjames7537 Жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/pqGzepx9fc2GhZI
@bridgetmmbone8039
@bridgetmmbone8039 Жыл бұрын
Waooo nice song. May God continue to bless you and lift you
@motivationtoday901
@motivationtoday901 Жыл бұрын
GOD loves you
@thomaskashuru5841
@thomaskashuru5841 11 ай бұрын
May God lift you
@mourinemaria5061
@mourinemaria5061 11 ай бұрын
⁰0
@crispinakimaro3821
@crispinakimaro3821 3 ай бұрын
DR SARAH K FROM KENYA ON TUESDAY WORSHIP AMEIMBA HUU WIMBO NI ZAIDI YA ORIGINAL
@rajivmogaka
@rajivmogaka 3 ай бұрын
I tell you
@lillytv741
@lillytv741 3 ай бұрын
❤❤❤ yeah i tell you
@Leezy05
@Leezy05 3 ай бұрын
Me pia nmesikia kwake mpaka nikalia
@nancykamunya1361
@nancykamunya1361 3 ай бұрын
Ni kwa neema Tu,we thank God.
@shaziahbusoloh5026
@shaziahbusoloh5026 2 ай бұрын
I knew this song through her and I was like where was it all this while...it's a powerful song..been singing it on repeat
@njerimuigai2703
@njerimuigai2703 2 ай бұрын
As I'm counting down hours to my birthday, my prayer to God is for Him to mould me into a new person both physically and spiritually for His glory. Listening on 02/04/2024 @9:31pm
@juliakaroki213
@juliakaroki213 2 ай бұрын
May God answer your prayers and grant all your hearts desire... happy birthday 🎉🎉 to you
@njerimuigai2703
@njerimuigai2703 2 ай бұрын
@@juliakaroki213 Amen 🙏... Thankyou
@foikay1118
@foikay1118 27 күн бұрын
I never really comment but the Lord pushed me to.. Happy Belated beautiful. May it be unto you in accordance to His riches in glory. Believe it.. God bless you. Foi
@njerimuigai2703
@njerimuigai2703 23 күн бұрын
@@foikay1118 thanks and God bless you Foi
@ngendongigi5648
@ngendongigi5648 Жыл бұрын
Warembo na yesu.....💪God will raise a generation that will praise him without fear..👏👏she is part of that generation
@lyidiakapapa7679
@lyidiakapapa7679 Жыл бұрын
I also agree with you she is so cute but for his groly
@lilianjames7537
@lilianjames7537 Жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/pqGzepx9fc2GhZI
@mlagz8032
@mlagz8032 Ай бұрын
Amen
@jardinemwasi8123
@jardinemwasi8123 21 күн бұрын
Bwana naomba uzidi kunifinyanga katika jina la Yesu Kristo. Nifanane nawe Mungu wangu. Barikiwa sana mtumishi wa Mungu. From Kenya 🇰🇪
@lydiamaniawafaith9819
@lydiamaniawafaith9819 Ай бұрын
Maombi yangu yafike kwako,Baba yangu yakufikie,urejeshe maisha ya mtoto wangu,rejesha masomo yake,mpatie dhamili iliyo hai Baba yangu muonekanie,mfanye msikifu kwa jina la Yesu,mfanye upya kwa maisha yake,ni ombi langu ni haja yangu Baba,usimpite Mwokozi najua wewe hushoki na wanao,utamtembelea utabadilisha kila kitu maishani mwake,atakupenda tena na arejee kwako Baba yangu kwa Jina la Yesu Kristo,mfungue minyororo yote ebu asikie sauti lako maana neno moja tu lako Baba labadirisha,ebu afanane nawe kwa kutenda kwake kwa kila jambo in Jesus Mighty name I believe Amen Amen Amen
@cynthiakamene-vk6tl
@cynthiakamene-vk6tl Ай бұрын
Amina😊😊
@user-nq7ir2ll3h
@user-nq7ir2ll3h 4 ай бұрын
Mungu naomba nijifungue salama kwa week zilizobaki
@theblessedone7526
@theblessedone7526 4 ай бұрын
Amen same to me here🙏May GOD hear our prayers 🙏
@georgekyonjola
@georgekyonjola 4 ай бұрын
Na Mungu asikie haja zenu kwa rehema zake Kutoka 23:26 [26]Hapatakuwa na mwenye kuharibu mimba, wala aliye tasa, katika nchi yako; na hesabu ya siku zako nitaitimiza. There shall nothing cast their young, nor be barren, in thy land: the number of thy days I will fulfil.
@periswanjiru8710
@periswanjiru8710 3 ай бұрын
Amen me too
@naomimwakisha6959
@naomimwakisha6959 3 ай бұрын
Amen
@lizzychengo2171
@lizzychengo2171 3 ай бұрын
Amen
@emilyphellicia2885
@emilyphellicia2885 2 ай бұрын
I was in a salon today and there was a lady siting by my side, and i heard her singing this song.....so i didn't know the name of the song but i had to master some words in the song she was singing " wakini tazama wakuone wewe" and i came to search on KZbin the i got this.....am blessed 🤗😢😢
@anneafandi8574
@anneafandi8574 26 күн бұрын
That's me too.I heard it in someone's car.I searched it immediately I arrived home❤
@neemakingazi5900
@neemakingazi5900 Жыл бұрын
Nmejikuta nabubujika nikiwa ofisini, asante kwa kuianzisha siku yangu kwa upako wa nguvu, Mungu akubariki
@user-sq5yu7rf4e
@user-sq5yu7rf4e 22 сағат бұрын
Wakinitazama wakuone mungu nifanyie jambo jipya
@franciscahkabuka9428
@franciscahkabuka9428 2 ай бұрын
Niko down sana but najua mungu atanifanya nisionekane mm mwenyewe aonekane yy maishani mwangu juu pekeangu siwezi na nikionekana mm watanidhihaki mungu nisaidie juu vita ninavyopigana kila kuchao si vyangu mm
@FrancisFisha
@FrancisFisha 2 ай бұрын
Kristo tumaini letu mtazame yeye
@Miss_Mukasiah
@Miss_Mukasiah Ай бұрын
May he come through for you
@kulwashimiyu
@kulwashimiyu Ай бұрын
Mungu atafanya
@sarahsarakikya8926
@sarahsarakikya8926 Ай бұрын
Mwangalie Yeye, Ongea nae anasikiliza, Jipe ujasiri kwakuwa anaishi na yupo kwa ajili yako, usiogope kwa ajili ya Jambo kwake Kila kitu kinawezekana.
@patrickkubuya
@patrickkubuya Жыл бұрын
nifinyange Bwana, wakinitizama wakuone wewe Bwana
@user-eu1yk7mz3m
@user-eu1yk7mz3m 2 ай бұрын
Amen
@user-eu1yk7mz3m
@user-eu1yk7mz3m 2 ай бұрын
Glory to God
@monyanza
@monyanza Жыл бұрын
Every morning before I go to my daily routine or when I am down this is my song I play. Thanks Bella God continue uplifting you to bring more souls to Him.
@broimani454
@broimani454 10 ай бұрын
This song siz Bella is a great blessing , more grace for more revelation, barkiwa Sana and Ur team.
@cheao2544
@cheao2544 2 ай бұрын
Dr.Sarah K brought me here.She sang it and it appeared original
@BupeElly
@BupeElly 2 ай бұрын
Nifinyange Kwa upya ee Bwana
@mercyjebet2494
@mercyjebet2494 Ай бұрын
Me too. Iv searched this song thinking Sara k was the one who sang it. It has blessed my soul
@beatricedwale2710
@beatricedwale2710 6 күн бұрын
Sara k made me to know the owner now❤
@Shazkits23
@Shazkits23 3 ай бұрын
Tears flow 😭 because it's not easy. Kufinywa Kuna uchungu mwingi sababu binadamu kiburi...lakini ukijipeana kwa Mungu mambo yanakua rahisi. Unifinyange Eh Baba, niwe kama wewe Yesu🙌
@victorcase2056
@victorcase2056 2 ай бұрын
Real touching song....nimesikia this song since morning....machozi yakini dondoka
@itikamlagalila1911
@itikamlagalila1911 8 ай бұрын
I love this Woman of God to the moon and back ❤Bwana Yesu na ayafunike Maisha Yako Kwa namna ya ajabu🙏
@dianasilole5877
@dianasilole5877 6 ай бұрын
amen
@Canaankingdom
@Canaankingdom Жыл бұрын
THIS IS NOT A SONG, THIS IS AN HEAVENLY ANTHEM... This is. Prayer everyone of us NEED to pray always. I am so blessed and touched. Mold and make me to be more like you Jesus!!!!
@Canaankingdom
@Canaankingdom Жыл бұрын
@@bellakombokizito6834 I can't stop listening to this heavenly anthem. Tears flowing down my cheeks. Tears of a deep hunger amd thirst for God!!!!! Thank you ma'am for allowing God to use you.
@lilianjames7537
@lilianjames7537 Жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/pqGzepx9fc2GhZI
@mlagz8032
@mlagz8032 Ай бұрын
Amen this song is heavenly ❤️ the holy spirit is here ❤️
@DoreenJohn-pv4fd
@DoreenJohn-pv4fd 2 күн бұрын
Unifinyange niwe jinsi utakavyo Yesu🙌, Barikiwa sana Bella Kwa huu wimbo🔥🙏
@reubenmtakatifu1467
@reubenmtakatifu1467 Жыл бұрын
Unifinyange Bwana wangu unifanye kama wewe,wakinitazama wakuone wewe Yesu wangu...barikiwa zaidi wimbo mzuri sana
@lucymwakateba7146
@lucymwakateba7146 Жыл бұрын
Unifinyange Bwana Yesu
@annaamadea940
@annaamadea940 Жыл бұрын
Dear Bella...may you be increased and reach the levels you desire. Proud of you girl. From 🇨🇦
@marymakame241
@marymakame241 Жыл бұрын
Umenibariki sana mwanangu mungu akuinue sana
@citamkisumuchurch
@citamkisumuchurch 3 ай бұрын
May God bless you Bella Kombo for the powerful ministration.
@kenogembo7255
@kenogembo7255 Жыл бұрын
This song is full of holly spirit, More grace my sister. Receive More love and support from KENYA.
@leahwaithera3707
@leahwaithera3707 Жыл бұрын
I just can't get enough of this song... She sung from a point of revelation, this is not just a normal song but a cry of the heart. God bless you WOG for allowing God to use you powerfully
@philemonwanga1511
@philemonwanga1511 Жыл бұрын
Indeed it really touches
@zebedemirambi3067
@zebedemirambi3067 Жыл бұрын
East Africa tunawamama wanao juakuimba♥️😔🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🙌🙌🙌🙌 nabarikiwa sana, unifinyange Yesu kristo 🙌
@rehabmuthonik4581
@rehabmuthonik4581 Жыл бұрын
A broken and contrite spirit you will not despise, break me, mold me according your will Oh Lord! Glory to Jesus
@lilianjames7537
@lilianjames7537 Жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/pqGzepx9fc2GhZI
@humbemusa3480
@humbemusa3480 Ай бұрын
Very marvalous, spiritual and humbled one. Kila nikiuimba unanitoa machozi 1. Maombi yangu yafike Kwako Mungu 2. Nifanye kama Wewe 3.Unifinyange 4. Wakinitazama wakuone Wewe(Yesu, Mwokozi Wangu 🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉
@annastaciamwongela6003
@annastaciamwongela6003 20 күн бұрын
Here from Sarah K on tiktok.....😢back to the roots of worship... I'm listening it on repeat, what a blessing
@maryloyce9391
@maryloyce9391 Жыл бұрын
Wow, yesterday our reverend Ruth wamuyu led this song in all services, it's a powerful song,a song of surrendering and letting God do what he wants with you,thank you minister Bella kombo for responding to the Holy spirit and allowing Him to use you 🇰🇪
@julietkioko2939
@julietkioko2939 Жыл бұрын
We also sang it in our church yesterday during worship! Powerful 🇰🇪
@radhiaahmad6661
@radhiaahmad6661 Жыл бұрын
This song, umenihudumia siku nzima I was in bad shape mpaka nimeruhusiwa kutoka hospital right now! Ubarikiwe sana mtumishi wa MUNGU! Never live out of Christ Bella you are just a blessing to this world. 💕
@radhiaahmad6661
@radhiaahmad6661 Жыл бұрын
Amen I receive in Jesus Name! 🙏🙏🙏
@philemonwanga1511
@philemonwanga1511 Жыл бұрын
@@bellakombo am really touched please May God bless you just always shed tears as i listen to this powerful song
@sarahsamson-ql3hw
@sarahsamson-ql3hw Жыл бұрын
Amen, utukufu kwa Mungu
@salomeatienoonyango3657
@salomeatienoonyango3657 18 минут бұрын
Nifinyange nifanye upya juu ya maisha yangu
@judithkyeliza8451
@judithkyeliza8451 3 ай бұрын
Dr Sarah K brought me here it has been my anthem for a week now. Everytime I listen to it it's like I have never heard the song God bless you queen 👑
@judithakinyi3705
@judithakinyi3705 3 ай бұрын
The same here
@user-eu1yk7mz3m
@user-eu1yk7mz3m 2 ай бұрын
Glory be to God
@CatherineMwaura-pn1iz
@CatherineMwaura-pn1iz 6 күн бұрын
Me also after Sarah kiarie singing
@celinekhasandi2738
@celinekhasandi2738 Жыл бұрын
This has been my prayer this season 🙏🙏 Unifanye kama wewe😭 wakinitazama wakuone wewe"🤗🤗✨✨
@jeremyobat6731
@jeremyobat6731 Ай бұрын
Wakinitazama wakuone wewe.. huu mstari hunibariki sana.
@bettybless6914
@bettybless6914 9 күн бұрын
Wacha maombi yangu yafike kwako maana siwezi nimeshindwa nifinyange Bwana yesu.
@antymzungu1219
@antymzungu1219 Ай бұрын
In this season when people are dying of floods havoc, Dear Lord hear us
@laurasreality2671
@laurasreality2671 19 күн бұрын
Dear Heavenly Father, though I walk through the called and the shadow of death, I will fear no evil, for your rod and thy staff, they are with me! Baba, do something new in my life! Wakinitazama wakuone wewe❤
@Iamnanapeak
@Iamnanapeak 8 күн бұрын
I known this song through sarah k.. Your a blessing kombo
@tabithawaithira5282
@tabithawaithira5282 Ай бұрын
We'll certainly never have enough of this one. This one will last past generations...its such a healing stream. Thank You for this one.
@puritykarimi_
@puritykarimi_ Жыл бұрын
O.M.G. I love your voice💥Hallelujah. Amen.Anafanya jambo jipya🙏♥️ from kenya🇰🇪 with love
@imanikenya254music8
@imanikenya254music8 9 ай бұрын
The song I love most. Kila asubuhi ndio wimbo unaonibariki. Yesu nisaidie nifanane nawe
@kimitag39
@kimitag39 Жыл бұрын
This is now a worship song! Deep lyrics and the production is top notch, I'm happy for East African revival coming from Tanzania. Kudos From Nairobi
@lilianjames7537
@lilianjames7537 Жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/pqGzepx9fc2GhZI
@titusamukune6418
@titusamukune6418 7 ай бұрын
Amefanya jambo jipya kweli
@getrudevoyefu1845
@getrudevoyefu1845 6 ай бұрын
Kila saa ,kila majira, ni kiu yangu ni haja yangu nifanane nawe......wakinitazama wakuone ww.just blessed
@tabithaadisa2017
@tabithaadisa2017 Ай бұрын
This sound is an anthem in my heart and group. After He's moulded us ,he is doing a new thing What a prayer! What a declaration! More grace to you Bella From secular music to a very deep place in God. Grace personified
@marianandisi1641
@marianandisi1641 Жыл бұрын
🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🙏🙏🙏💗💗💗 After loosing my mum this song gives me comfort
@inzaialbert4881
@inzaialbert4881 6 ай бұрын
the favourite part"wakinitazama wakuone wewe"" .. Bella kombo you are a blessing to many❤
@mwflossy
@mwflossy Ай бұрын
Mine "moyo uliobondeka hutadharau" -Psalms 51:17
@rachaelmukuhi4771
@rachaelmukuhi4771 24 күн бұрын
God bless me and my family...God I pray you protect my small family...may we never lack my sweet lord
@elizabethnduta3407
@elizabethnduta3407 Ай бұрын
moyo uliobondeka hutadharau..wakinitazama wakuone wewe, unifinyange, unifinyange.. thank you Lord
@mwangyfrank4109
@mwangyfrank4109 Ай бұрын
Unifinyange Bwana wasinione Mimi,Wakuone Wewe Yesu.Nifinyange Yesu Wangu ili wakiniona,wakuone Wewe ,Nifanye Upya 🙏 Huu wimbo umekuwa Wa Baraka Sana kwangu.Kwa Mara ya Kwanza niliuskiza kwenye Back to the Roots of Worship Moments by Dr. Sarah K Nairobi
@tressorkizengajeremiah.c9410
@tressorkizengajeremiah.c9410 Жыл бұрын
"As each has received a gift, use it to serve one another, as good stewards of God’s varied grace." - 1 Peter 4:10 "Whatever you do, whether in word or deed, do it all in the name of the Lord Jesus, giving thanks to God the Father through him." - Colossians 3:17 🔥🔥This song will do a lot of miracle in this world 🌍
@lilianjames7537
@lilianjames7537 Жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/pqGzepx9fc2GhZI
@thestandardoflivingchurchi213
@thestandardoflivingchurchi213 2 күн бұрын
This is very powerful glory to God. Watching from Kenya 🇰🇪
@halimasanga3830
@halimasanga3830 Ай бұрын
Hakika nyimbo inanibariki Sanaa. Nauludia tena na tena. Mungu nakusihu unifinyange tena.
@lucyjohn4216
@lucyjohn4216 Жыл бұрын
What a True Worship 😢😢😢..Wakinitazama Wakuone wewe..Unifinyange
@mikelangat8452
@mikelangat8452 Жыл бұрын
Worship crushes my heart, I can listen watch this worship the whole day, Halleluya.
@lilianjames7537
@lilianjames7537 Жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/pqGzepx9fc2GhZI
@jumbamusickenya
@jumbamusickenya Жыл бұрын
This is the kind of worship we want. They bring someone closer to God. More blessings sister Bella.
@dorcaschepkoech7605
@dorcaschepkoech7605 11 ай бұрын
I have received total healing just now when worshipping God with this song...I can't stop crying.
@JohnNelson92
@JohnNelson92 Жыл бұрын
Hallelujah Bwana wa majeshi nisaidie niwe kama wewe wakiniona wakuone wewe.... Wimbo huu unabariki sana.. Neema ikuongezekee mtumishi wa Mungu
@jacquilineshiroshamala8505
@jacquilineshiroshamala8505 3 ай бұрын
It renews me each time I listens to it. Glory be to the most High. Am just but a piece of clay. Mould me oooh God
@concepternyabs293
@concepternyabs293 11 күн бұрын
My every day song before praying, and truly to this, I'm seeing His Mighty work🙏
@itsmidonah
@itsmidonah 5 ай бұрын
I met a missionary in Hungary who told me about your songs and ministry and now I find myself following your songs...
@puritywakochwe7894
@puritywakochwe7894 Ай бұрын
The first time I heard this song I was much blessed, now I am talking to God everytime through this song, 🙏
@mercychee9027
@mercychee9027 Жыл бұрын
I really ushered this year with this powerful song, I'd play it back to back,now lemme tell you maina😊....I love what the Lord is doing in my life,in all dimensions, spiritually, physically, financially....🙌 I testify,and I still trust on Him with much more with the jam 'Nakungoja' then I'll praise with the 'Nikama Naota/Asante'😊 blessed is you Bella,as a generation, we thank God for you❤️
@lucykavere
@lucykavere 5 ай бұрын
That’s my song this coming year
@estherwairimu1920
@estherwairimu1920 7 күн бұрын
Lord may you mold me my prayer Life my Faith and my trust in You Jesus...I need Lord in every step of the way..😭😭🙏🙏
@lilianmatemba9030
@lilianmatemba9030 15 күн бұрын
MUNGU akutunze
@jamesjoseph6825
@jamesjoseph6825 3 ай бұрын
Kuandika huu wimbo inahitaji uwe na roho mtakatifu, thanks God, Thanks Bella
@AlexJoseck
@AlexJoseck Жыл бұрын
AWESOME!!!! I CONNECT WITH THESE PRAYERS!!!! #NIFINYANGE YESU NIFANANE NAWE! Such a powerful song, vocals ndio tusiseme kabisaaaa be blessed more Mtumishi! Mafuta zaidi upon you 🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾 nimeinadaika kabisa 🙂🙂🙂
@sarahkabiru889
@sarahkabiru889 5 ай бұрын
Can't stop worshipping in this song,it's the work of the HolySpirit
@justndolo4483
@justndolo4483 10 күн бұрын
I believe this song has redemptive power to heal and refresh oneself..within and wothout
@margaretwaithera2978
@margaretwaithera2978 Жыл бұрын
listening to this song daily it makes me realize that unless we surrender our lives to God we cant do a think we have to let him mould us.thanks sister
@naomizacharia2365
@naomizacharia2365 Жыл бұрын
My daily Song Mungu azidi kunifinyanga na kuniimarisha
@chrissywaga8949
@chrissywaga8949 Жыл бұрын
​@@naomizacharia2365 ;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;iiiii
@mercynjeri5998
@mercynjeri5998 Жыл бұрын
True
@danielkimeu7759
@danielkimeu7759 Жыл бұрын
This song has so grown in me. It's my driving song, my personal devotion song, my testimony song. God bless you sister Bella!
@lilianjames7537
@lilianjames7537 Жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/pqGzepx9fc2GhZI
@neygibson4455
@neygibson4455 Ай бұрын
Jambo jipya litokee kwangu, Mungu nifinyangee, wakiniona wakuone wewe Mungu
@josephkimani3750
@josephkimani3750 Жыл бұрын
Thank You Jesus......My all time prayer.....mold me oooh God and create in me a pure heart..a contrite Spirit.......NIFINYANGE BWANA YESU......God bless you sis Bella...Much love from Kenya.....May this Spirit of worship poured in the land of Tanzania overflow to Kenya........Thank Jesus.......You're doing exploits in the body of Christ.......More Grace IJMN........
@ndungemartinofficial
@ndungemartinofficial Жыл бұрын
Hallelujah , hallelujah. Nifinyange Baba, nifanye kama wewe, niunde upya Yesu....heeeey😭😭😭😭😭😭😭 . Nifanyie jambo mpya Yaweh, very spiritual worship. barikiwa sana Mtumishi..
@GladysNyae
@GladysNyae 2 ай бұрын
Mungu unayesoma mioyo yetu jibu maombi yangu katika jina la yesu
@fridahndanu8268
@fridahndanu8268 5 күн бұрын
In my playlist I can't stop listening to this "wakinitazama wakuone wewe" Such a blessing 🙏🙏
@irenendungwa-jn6dr
@irenendungwa-jn6dr 2 ай бұрын
Bwana nifinyange wasinione Mimi wakuone wewe.thank you bella and may God continue lifting you. Listening you every moment .here in 🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@Godsgirl01
@Godsgirl01 3 ай бұрын
Dr Sarah k team back to the roots of worship,we are here to say you really blessed us on Tuesday live with this song🇰🇪
@marymakame241
@marymakame241 Жыл бұрын
Mungu akuwezeshe binti akupe haja ya moyo wako unatuponya wengi
@kelvinnzioka8816
@kelvinnzioka8816 4 күн бұрын
Kiu yangu, haja yangu nifanane na wewe ndio ombi langu. Halleluyah.
@mercywangari9077
@mercywangari9077 Күн бұрын
Amen this is my prayer oh Lord.
@catherinekarigaca1469
@catherinekarigaca1469 7 ай бұрын
Not a day passes before this song plays on my local radio FM. More grace, God give you more revelations 🙏🏽🇰🇪
@MichaelMnzava-uk7py
@MichaelMnzava-uk7py 4 ай бұрын
KAzi nzuri sana really worship Asante sana dada bela
@user-db9wl9uc1u
@user-db9wl9uc1u Ай бұрын
Whenever i play this song my heart is always in peace. This song really touches my heart 🙏
@mlagz8032
@mlagz8032 Ай бұрын
Amen
@martinmwenda7887
@martinmwenda7887 20 күн бұрын
By the Blood of the Eternal Covenant I call my Body, Soul and Mind into Submission of the Holy Ghost. This my prayer that The Holy Ghost and Jesus being be made manifest in me. This my whole being lifetime Prayer.
@katanagona7538
@katanagona7538 2 ай бұрын
This is Indeed a masterpiece, naipenda mbaya sana, I listen to this song 24 hours a day. Like it here if we're together
@florentinafabian3537
@florentinafabian3537 Жыл бұрын
The song is really life transforming, has been singing in my mind since last night; I had to repeat it over and over... I believe this song brings tangible worship to everyone who listens🙌..... Keep it high Bella; sauti ya utukufu izidi kupanda 😍.... Personally this song is so😭😭😭😭😭😭🙌🙌🙌🙌
@lilianjames7537
@lilianjames7537 Жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/pqGzepx9fc2GhZI
@johnoluka428
@johnoluka428 Жыл бұрын
Thnx 4 de song , it has healed many things in ma life
@ivylillace
@ivylillace Жыл бұрын
Am feeling the presence of the Holy spirit can't get enough of this song. Unifinyange Jehovah 🙏🔥🕊️🔥 wakinitazama wakuone. Wewe.
@happyallan508
@happyallan508 Жыл бұрын
Bella Kombo una worshipping anointing Mungu atukutuzwe nifinyange BWANA HAJA YO MOYO WANGU NIFANANE NAWE YESU..
@thebiblelounge
@thebiblelounge Ай бұрын
Maombi yangu haya siku zote, kila nifanyalo Bwana Yesu akatukuke. As they look at me to see Jesus and not me. I am His brand ambassador! I represent Him. I don't want to tint His image, but may the Lord mold me to be as He wants to be represented!
@joshuandaki8077
@joshuandaki8077 Жыл бұрын
powerful song! Ni maombi yangu Bwana anifinyange #unifinyange
@selestinalucas2284
@selestinalucas2284 Жыл бұрын
Amazing 🙌 Glory to GOD
@thisiswaithira
@thisiswaithira Жыл бұрын
Wow, hallelujah "Wakiniona wakuone wewe". So much blessed by this song
@gracembodze7872
@gracembodze7872 Жыл бұрын
Be blessed 🙏
@doricahk6580
@doricahk6580 Жыл бұрын
Amen
@doricahk6580
@doricahk6580 Жыл бұрын
Amen
@mosesjoseph2998
@mosesjoseph2998 Жыл бұрын
❤️😍😍
@lilianjames7537
@lilianjames7537 Жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/pqGzepx9fc2GhZI
@doublectv.cctvcalvincorneltv
@doublectv.cctvcalvincorneltv Жыл бұрын
New birth church kwa Bishop Chris Atemo have made me know you more Grace
@HapnessJoseph
@HapnessJoseph 10 күн бұрын
Nifinyange upya yesu dada unanibatiki sana
Rehema Simfukwe - Chanzo (Official Music Video) SKIZA CODE - *812*786#
9:34
I Need Your Help..
00:33
Stokes Twins
Рет қаралды 145 МЛН
ДЕНЬ РОЖДЕНИЯ БАБУШКИ #shorts
00:19
Паша Осадчий
Рет қаралды 5 МЛН
1🥺🎉 #thankyou
00:29
はじめしゃちょー(hajime)
Рет қаралды 78 МЛН
Nifinyange  by bella kombo,guitar intro tutorial.
2:19
TheDon Sollo
Рет қаралды 597
Bella Kombo ft. Zoravo - Ameniona (Official Live Video)
11:50
Bella Kombo
Рет қаралды 2,9 МЛН
Ali Mukhwana Live Ministration MAOMBI YANGU.
6:50
Ali Mukhwana
Рет қаралды 959 М.
PRAISE TEAM TAG FOREST YA KWANZA - BWANA NIMERUDI TENA (FOR SKIZA SMS : SKIZA 6983105 TO 811)
6:39
PRAISE TEAM T.A.G FOREST YA KWANZA
Рет қаралды 6 МЛН
Paul Clement - Amefanya Mungu ( Official Video )    SMS SKiza 9841777 to 811
5:09
Paul Clement Official
Рет қаралды 3,9 МЛН
Uongezeke Yesu | Boaz Danken
11:40
Lucas Kaaya
Рет қаралды 2 МЛН
Jaloliddin Ahmadaliyev - Yetar (Official Music Video)
8:28
NevoMusic
Рет қаралды 3,3 МЛН
Қайдағы махаббат
3:13
Adil - Topic
Рет қаралды 162 М.
Adil - Серенада | Official Music Video
2:50
Adil
Рет қаралды 98 М.
Eminem - Houdini [Official Music Video]
4:57
EminemVEVO
Рет қаралды 31 МЛН
Akimmmich - TÚSINBEDIŃ (Lyric Video)
3:10
akimmmich
Рет қаралды 194 М.