BEN POL ANAFUNGUKA YOTE, MAGUMU ALIYOPITIA | MAISHA YA JELA | BABA MZAZI | SNR S02EP07

  Рет қаралды 5,074

Dar24 Media

Dar24 Media

5 ай бұрын

Mwanamuziki nyota wa Rnb Ben Pol amekuwa tayari kufunguka yote kuhusu safari ya maisha yake, kutoka maisha duni mpaka kuwa mmoja wa wasanii wa hadhi ya juu Afrika Mashariki.
Kisa cha kifungo cha Baba yake mzazi kilichopelekea sehemu kubwa ya magumu aliyoyapitia kama anavyosimulia kwenye SNR ya Dar24Media
JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA DAR24 MEDIA: +255 679 979 786
⚫️ Email: dar24newsroom@gmail.com
⚫️ Website: www.dar24.com
⚫️ Instagram: @Dar24news
⚫️ Facebook: @dar24
⚫️ Twitter: @Dar24News
#benpol #harountambwe #SNR

Пікірлер: 8
@buoliofficial
@buoliofficial 5 ай бұрын
Ben pow wewe ni mtu ambae unanipa motivation zaidi kimziki na mara nyingi nimevuna points nyingi kwa kava za nyimbo Bira shaka tukizingumzia wa wasanii bora Tanzania you're the best.❤❤❤❤Big up sana..
@Raphael99
@Raphael99 5 ай бұрын
Huyu Ben pol wewe nimtu ambaye ulinifanya nizidi kufanya zaidi, MUNGU akubaliki SANAA
@iddiabdallah7352
@iddiabdallah7352 5 ай бұрын
Mkali wa rnb ingawa r kelly alipitiliza rnb hiphop na pop,sijui kwa kwa ben pol ila ninavyojua ukiwa artist lazima upitie roots stream
@user-fm9pc4cj3c
@user-fm9pc4cj3c 5 ай бұрын
King rnb🤝🚀
@iddiabdallah7352
@iddiabdallah7352 5 ай бұрын
Ukisema r kelly inamaana ben pol yupo kwa bongo anawakilisha dah ila maisha mungu mkubwa ☝️🤲🙏🏿ben pol katoa kitabu cha maisha ni noma ilove life kwakuwa inafundisha inakufanya kuwa na hekima na busara kuwa mpole maisha ya mungu
@buoliofficial
@buoliofficial 5 ай бұрын
Mr.Ben we ni mtu unaeni ensipery
@benedictinelusambo069
@benedictinelusambo069 5 ай бұрын
Ben pol mapenzi ndo yamemrudisha nyuma sana kimziki ila sjui kwann sisi akina ben tunashida sana kwenye mapenzi duuuh
@user-wu3ld2ti1k
@user-wu3ld2ti1k 5 ай бұрын
Mafunzo
Khó thế mà cũng làm được || How did the police do that? #shorts
01:00
He sees meat everywhere 😄🥩
00:11
AngLova
Рет қаралды 12 МЛН
Pleasure, Passion & Pain na Baba Ushauri
54:44
MSASA PODCAST
Рет қаралды 1,8 М.
Khó thế mà cũng làm được || How did the police do that? #shorts
01:00