Huu wimbo unanikumbusha mbali Ben Pol nakumbuka ulivyokua unafanya mazoezi usiku uwanjani ajentina kule yombo nakumbuka kuna siku usiku nilikua na baba yangu ulikua unafanya mazoezi baba alikua ananifundisha Gari akaja kukusalimia nakumbuka ulimwambia "ndo kama hv bro Napambana" akakuambia "unaweza sana mdogo wangu kaza utatokaa" leo hii yametimia I'm so proud of you cause I witnessed your struggle mungu akubariki sana na aendelee kukuinua
@SimuliziNaSauti7 жыл бұрын
Ni muda wa kuonesha tofauti kati ya muimbaji na msanii. Ben wewe ni muimbaji na Mungu amekupa sauti. Asante kwa wimbo huu. Utarudisha matumaini kwa watu wengi waliokata tamaa na maisha kutokana na changamoto zinazowakabili. Hakika, bado kidogo, mambo yatanyooka. Heko Hanscana, kwa kuupa wimbo huu video inayostahili. Mwaka 2018 umeanza kwa kishindo. Nina furaha
@fraviusmanyika75217 жыл бұрын
SimuliziNaSauti Sijutii kukukubali kaka, #Skywalker unajua #Muimbaji Vs #Msanii
@suedissa75007 жыл бұрын
SimuliziNaSauti true talk a wise words from the mouth of one of the best analyst in this music industry, it will live forever in any circumstances...
@bobleeswagger81667 жыл бұрын
Nimejikuta naangalia na kusikiliza tu nashangaa umeisha. Huu wimbo ni universal kiukweli unagusa wengi Sana kwa namna moja au nyingine
@mamafranjovlog727 жыл бұрын
Well said sns . You say it allllllll kaka
@BenPol7 жыл бұрын
Asante sana Kaka yangu Sky, nashukuru kwa blessings zako since day one nilipokusikilizisha
@sekitauniquedesigns88137 жыл бұрын
Huyu ndo Ben Paul ninayemfahamu tangu enzi za "Sikati tamaa" Thank you brother. Mambo ya kutekana waachie magaidi😃
@fabianmodern67527 жыл бұрын
acha ni comment brohh dahhh ulikokuwa unaelekea kubaya na Yale makiki uliyoanza kufanya now umerudi benpol wa kipindi kile niliyekuwa nampenda safi sana nyimbo nzur sana
@benliboywa50782 жыл бұрын
Ukimwaminia,Utajiaminia; MWENYEZI MUNGU.
@Yegon2546 жыл бұрын
Huu wimbo ni bora zaidi na ninaamini kuwa hautatoka kwe ye chati za muziki kwa miaka na mikaka, Ben pol umedhibitisha kuwa sio lazima msanii aimbe kuhusu mapenzi na kuonyesha wasichana uchi ndio wimbo uhit, keep it up, Mombasa kenya ninakukubali naamini bado kidogo ndio nifanikiwe
@esupatmolel74812 жыл бұрын
Amina kaka
@mch.deosinkala31208 ай бұрын
Njoo umwimbie Bwana Yesu Muumba wako naona unaenda hadi mataifa ya mbali ukimwimbia Mungu. Karibu
@recholeonard94572 жыл бұрын
Dah ama kweli mung akubark Ben Po
@tujifunzepamoja2268 Жыл бұрын
I can't believe cjawahi ckiliza huu wimbo till this day, I missed smthng worthy. Hongereni 🙌👏💪
@dastonamichaels18547 жыл бұрын
Hili ndo G nalikubali bongo.. Greetings from mombasa 254
@marymbwiga79857 жыл бұрын
#Bado kidogo usife moyo ,,,, Amina ben Mungu yupo pamoja na wewe
@janethmwema59287 жыл бұрын
kama huna kinyongo na benpol gonga like yako
@agustinosimonn87714 жыл бұрын
Akika nimetokea kuikubali Ben pol nice
@evodmtena6954 жыл бұрын
I'm appreciate . My brother
@KINGSONPATRICK4 жыл бұрын
Huu ndo wimbo wangu,hapa umeniimba mimi aiseee!!!very inspiring,heartouching!!!ahsante kwa hili song bro!!!
@mosesthadeus39647 жыл бұрын
tuli kumiss kwenye game master wa masaut pol hapa ni kazi kazi
@nurloy5107 жыл бұрын
Big up aiseee Benpol. bagi kidogo. ...asante sana umenipa moyo sitakufa moyo
@strongnana22267 жыл бұрын
Kabla ya jua kutua kuna mengi yatafunguliwa..usife moyo sifi moyo kabisa..bado kidogo ..tuendelee kusugua hamamu kwa bidii..song of the year..from Kenya nimekubali 👊👊👊keep it up Ben unaenda mbali
@princekassim40897 жыл бұрын
Like hapa Kama ww unamkubari huyu #Jamaa +255🇹🇿
@siwalejoseph47046 жыл бұрын
mmmmmm kali
@davidmagundu22857 жыл бұрын
Kuna mtu anaurudia rudia huu wimbo mara mbili mbili km mm? Heb bonyeza like kuonyesha siko peke yang 😁😁😇
@neemamasaoe20777 жыл бұрын
hakika aliyekupa kipaji azid kukuinua kwa viwango vingine vya juu zaid,hongera sanaa
Ni wimbo Ambao Unatupa Matumaini Kwa watu Tunaopitia Changamoto Mbali Mbali katika hii Dunia . Benpol Hongera Kijana Kwa Nyimbo Nzuri Unayoinspire Jamii inayotuzunguuka Katika Hii dunia Blessed more ,, Hata Mie Najua Bado Kidogo Sana Ntafanikiwa Katika Hii Dunia Never Give up.
@rechodergrellah8840 Жыл бұрын
Nimesikiliza zaidi ya Mara tanoo Yan napata nguvu ya kupambana 2023
@albertrukeisa91087 жыл бұрын
This is where you belong brother. This song is awasome. Be blessed.
@therose25697 жыл бұрын
Listening this song makes one forget about NJAANUARY..fanya collabo na Nyashinsky 254
@gloriamahongo46037 жыл бұрын
Wow.. This is what we need in Tanzania., Tired of love songs 😏
@sadingolo20887 жыл бұрын
gloria mahongo I Agree with you Na Sio Tz Bali Ulimwengu Mzima Ulitakiwa Uelekeze Ujumbe Wao Kwa Wa Mziki Ki Ushauri, Historia Mwelekeo wa Mahisha na Sio JEURI Mapenzi Na Matusi Kila Kukicha Unafikiri Mziki kama Huu nani Ataona Wanawake waliovaalia Nusu Uchi au Nani Ataona Ahibu Kuutazama ?
@raphaelgodlove10707 жыл бұрын
gloria mahongo true
@josephmashishanga23967 жыл бұрын
exactly mamaah
@mudysagamba67066 жыл бұрын
Good job
@bplusinfotz29947 жыл бұрын
Ni muda sahihi kwa hii ngoma kulingana na Hali halisi iliyopo sasa ..Coz Naliona Kundi Kubwa la Watanzania waliokata tamaa.Ila hapa tunaamini Kupitia Hisia za Kimungu na kuamini kila Zito lina Wepesi wake ..#Asante Benard
@keagleeagle8215 жыл бұрын
Duuh wimbo nzuri hivi hujafila 1M Kweli wabongo tunapenda mwimbo zisizokua na ujumbe
@mariamukajiru18985 жыл бұрын
Wimbo upo powaa na zaidi umenivutia ulivyoimbia Lushoto kwenye jengo maarufu la Vuga Press ...Big up .
@asteriakimaro45937 жыл бұрын
Umeanza mwaka vizuri mnoo.. Big up broo kwa kumbuka kutufariji nass
@eliyagwinji65886 жыл бұрын
Daaa huwezi amini tangu wimbo huu utoke nimekuwa naurudia sana but leo naona ngoja nishiki japo kwa kucoment tuu ###BIG UP BEN### by shabiki makini wa ben pol from u started ur movement of music
@officialmologa7 жыл бұрын
This can be played at church and any where on the planet earth
@hawaabdallah42826 жыл бұрын
God bless you my dear brother hatujutiii kuwa na msaniii Kama wewe unae Angalia taifa zima bila kujali wewe ni mtu wa Aina gani Inshaallah mungu akupe maishaaa marefuuu yenye baraka na mafanikio mema 🙏🙏🙏🙏
@raheljames29852 жыл бұрын
Never give up wimbo uliojaa ushindi katika maisha
@subiramomburi91485 жыл бұрын
Ben Paul vizuri sana. Yaan Mungu asikuache katika kazi hii ya uimbaji uliyonayo. Hakika hiki ni kipaji kitumie vizuri katika jamii uliyopewa kuinua Mioyo ya watu, kuelimisha lakini pia kuburudisha. Mungu akusaidie.
@concolatakalinga31877 жыл бұрын
bado kidogo usife moyo yaani huu wimbo umenibariki mno kaka nakupa big up
@inommjn50336 жыл бұрын
Wimbo huu nautazama taaaratibu nikiwa na mamangu mzazi....hata sina wasiwasi wowote.....Tazama Mungu anatenda mambo mapya BADO KIDOGO.....Mwenezi Mungu akusitiri na akuepushe na kiburi unapozidi kuinuliwa.
@cellynesombi65697 жыл бұрын
Wallah ukisikiliza hii nyimbo unasahau matatizo yote na inaleta matumaini. Ben hongera kwa nyimbo nzuri sana.
@aswellalihoka86177 жыл бұрын
wimbo nzur unafarij sana aiseeeeeee kati ya wasaniii rnb wanaweza bas ni wew kaka benpol, tumefungua mwaka vyema kabisa
@gospelvibestv39147 жыл бұрын
bwanaaa eehh sisi watanzania tunahitaji muda huu creativty na si vinginevyoo safi sana ben pol your very creative broooo,..............................
@bilhaanthony88426 жыл бұрын
kabla ya jua kuzama utaona meng yaliyofungwa yatafunguliwa..............bado kidogo🙏🙏🙏🙏🙏
@tuombesunzuesperance51967 жыл бұрын
Ubarikiwe Snaaa kwa wimbo huuu Mwenyezi Mungu amekupa sauti ya kuimba nyimbo za Gospel tunakuomba keep this up na watu wengi wataokoka kwa kupitia nyimbo zako nime barikiwa na wimbo wako my brother May the Lord give you more powerfully thanks so much
@MrBlaqgee7 жыл бұрын
Now this's some real music outta bongo land.....gonga like!!
@davidmorthon72686 жыл бұрын
Mwimbo mzur sana ever, unatia moyo sana,unakupa nguv ya kusonga mbele zaid.......Naweza kuusikiliza kila siku na kila wakati na nisiukinai(hauchuji😊)
@alexandarkulwa36907 жыл бұрын
Ben unafit sana kwenye inspiration, nafikiri ukijikita huku utaokoa wengi sana walo kata tamaa
@janethgitano923 жыл бұрын
Nikiwa na jambo langu napita huu wimbo unanifaliji Sana'a Ben Mungu azidi kukutunzaaa
@godmancity14366 жыл бұрын
Sauti angavu fikra bunifu na uhofu wa mungu. God b wit ben poul
@fraviusmanyika75217 жыл бұрын
Uwezi kuamini nnlikuwanaisubiri hii ngoma respect brothers Ben & Wyse Keep it up #Badokidogo
@salvatorybakerabe50126 жыл бұрын
guda song
@mk_akili6855 жыл бұрын
Jaman kuna msanii na mwimbaji Ben n mwimbaj nac msanii ......bado kidg nackia kila wakat
@YouTuuuuuuube4 жыл бұрын
Pamoja na CORONA lakini BADO KIDOGO inanipa moyo. Wimbo mzur sana . AMEN.
@vincenth.deoglatius57524 жыл бұрын
Natamani kumuona Ben akiendelea kuimba nyimba za kumwabudu #Mungu maana hata voice hii imefika mbali!ombi langu!
@samirahlaxman73754 жыл бұрын
Na watu hawajui mangapi yanakukabili,Kabla ya jua kuzama kuzama utaona mengi yaliyofungwa kwako yatafunguliwa....... Best song ever
@NaiboiWorldwide7 жыл бұрын
I love this jam.... There's always light at the end of the tunnel..#Badokidogo
@ashuramohamedkimela35386 жыл бұрын
kila nikitizama ama kusikiza huu wimbo nafarijika sana, mungu hamtupi mja Asante benpol
@suzanmazinde20567 жыл бұрын
yani kama umeniimbia mm bro aisee God bless you yani mpaka nimelia aisee
@shijafabianoormtanashatibo54577 жыл бұрын
unajua kaka kuimba ujumbe Mzuriii zaidi tusikate tamaa ktk maisha
@hamisifuko42817 жыл бұрын
Afadhari Bernard Paulo a.k.a mzee wa mafuta au Ben Pol umetuletea kitu tofauti. Tumeshachoka mapenzi tuuuuu, kila nyimbo mapenzi . Safi kabisa. Bado kidooooooooogo,bado kidoooooooooogo
@dicksonmtalaze1147 жыл бұрын
nakuombeaga kila la kheri blood wyse..... mwanzo mzuri sana na hongereni kiujumla ni BONGE LA NYIMBO!!
@maryseriah1575 жыл бұрын
benpol siwez kujizuia for sure unanifariji sana na nyimbo zako hufanani na hao watoga masikio unajiheshim sana kaka Mungu akubarik
@naymah35606 жыл бұрын
Nafatijika na huu wimbo jmn sitokata tamaa bado kidogo, big up Ben pol. it's me from (Oman)
@marymgani20337 жыл бұрын
Waooooh wimbo mzurii unatia moyo nakukubali Sana benpol we ndo Mkali wangu
@linuslivingstone99137 жыл бұрын
Moja ya wakali wa rnb ambao mungu ametupatia big up bro bado kidogo
@oldonyolengai80497 жыл бұрын
That's my boy. Wimbo huu unatupanguvu ya kusimama tena pale tunapoanguka na kuendelea na safari. Bado kidogo utafika. Don't loose hope. This is the real meaning of vitamin music.👑👑👑👑👑
@florianmasawe95206 жыл бұрын
Ngoma kali 🙏bado kidogo / mambo itakaa sawa usife moyo dah!!! Ni 🔥🔥
@munirabreik7 жыл бұрын
Ohhh... bado kidogo sounds beautiful yani bonge la nyimbo much love
@bettylucas67506 жыл бұрын
powerful song Benny, nice voice,be blessed
@micopeter77042 жыл бұрын
Ben pol brother ukija Dom tuonane
@meshackyohana45254 жыл бұрын
Hakika Ben pol umeyagusa maisha yangu nimetokwa na machozi hakika wewe unastahili kuwa msanii
@powerofchoice31767 жыл бұрын
Nice One Kwa Kawaida Msanii Inatakiwa Abadilike Na kuonyesha Uhalisia Sio Wakati Wote Nyimbo Za Mapenzi, Umefanya vizur kutia watu Moyo katika Maisha Yetu Ya kila Siku Tunakupanda N Kushuka hii Ni Moja Ya Hali Ambazo Watu Wanapitia.........................................MOTIVATION SONG
@magdalenamwalongo49994 жыл бұрын
miongoni mwa ispiration song nzuri hapa bongo huwezi acha itaja na hii BIG UP TO U BEN
@fridaelly53697 жыл бұрын
Touching song...unaganga Moyo,ben pol kama vile uje kwa gospel music iviii asee
@eddiemgogo54477 жыл бұрын
nam naamin bdo kdogo huu mwaka nam ntafanya kweli Ben ngoma anahamisisha sana thanks unatufarij wa2 Wengi keep it up
@vickiemarco67656 жыл бұрын
bado kidogo thanks Ben pol unatutia moyo vijana
@godlovegeorge23347 жыл бұрын
Benpol nakukubali Sana hukurupuki, nyimbo ina mafundisho mengi tusikate tamaa
@blacksonismael25017 жыл бұрын
dah yani huu wimbo hadi machozi yana nitoka maisha yangu balaaa tu
@nellymagesa89757 жыл бұрын
Iko Guuuud sana umetupeleka kwenye ladha ingne, sio kila ngoma mapenz tu
@eliasmichaelluambano2957 жыл бұрын
umenipa matumaini kwa wimbo huu hakika unajua, yako sauti, wako ujumbe appreciate u ben pl
@dorcasysamwel58656 жыл бұрын
Yan kila nikiusikilza wimbo huu napata nguvu mpyaaa love u Ben pol
@raiphodytzkaundatz53807 жыл бұрын
hii ngoma imelegeza vyuma mpaka saiz akuna cha pambana na hali yako make hii ngoma ni komesha tanzania kazi nzuri kama auna wivu na hii ngoma gonga like twende sawa
@abelysimbeye89037 жыл бұрын
kama saut unayo inanifanya nisahau shida zote hila song Kali sana Ongela Ben pol
@elinikomniko44116 жыл бұрын
Kuna tofauti kubwa Kati ya mwimvaji na msanii,umeimba n this is the song we sing tother forever n ever
@ebronjeremiah8807 жыл бұрын
Nice work a boy from Dodoma Ben pol... Kaza buti
@ebenezerykimendo70347 жыл бұрын
daawa kaka umeomba wimbo mzuri sana unanigusa kila kona. hiki ni kipindi nacho pitia japo kigumu nakaza moyo ile kiume. w
@lilianboimanda74436 жыл бұрын
ubarikiwe Sana Ben Pol Na Rafiki yako kwa Ujumbe mzuriii umenitoa mahali kwa imani wimbo huuu
@crecenciamashauri2986 жыл бұрын
We n msanii pekee wa Tanzania ambaye nikisikiliza nyimbo zake machoz huwa yananilenga, unajua kugusa moyo kwa sauti yako kaka... Keep up the good work
@neemambilinyi47306 жыл бұрын
hongera sana nyimbo yako ni nzur sn inatupa matumain mapya ss tuliokuwa tunaelekea kukata tamaa kwel bado kidogo
@Electri-ambi7 жыл бұрын
Good song inazungumzia aso za maisha sio kila wakati mapenzi tu change your mind good my brother Ben pol
sijuti kuwa shabiki wako, kwani uwa unaniburudisha,unanifundisha na kunielimisha asante Ben
@gervastweve86127 жыл бұрын
Daah, umegusa wengi sana #benpol bless up bless up
@azizalungia54007 жыл бұрын
Nice song..
@affasaas30257 жыл бұрын
hii nyimbo imenipa moyo kwa huk nilipo maan dah nashukru Allah kwakila jambo
@danielmalimi98907 жыл бұрын
Broo natamani kujua ulichowaza lkn the fls gitaa linaamsha hisia sauti yashtua sikio lakin melody yashusha machozi wakati ujumbe unaleta nguvu thanks so much broo you made it...
@philljombs11516 жыл бұрын
Ben Pol umebarikiwa kaka .nakuaminia kwa uimbaji ..so inspiring bro.
@ezeshama2557 жыл бұрын
Ben Paul this is really u mm huwa nakuwa shabiki wako kwa nyimbo hizi na ndo tunaiona tofaut kubwa sana kati ya "ujanja ujanja" na muziki mzurii... Big up sana
@gubajabitandaro87617 жыл бұрын
King of rnb East Africa asante kwa wimbo huu Bado kidogo endelea ivo ivo
@magiejulius16365 жыл бұрын
Wew Ben pol nizadi ya mwembaji yan nihatalii
@abdallahissa28396 жыл бұрын
What a song?? You are a true artist, true R&B...Always you sing the songs that matters. God bless you
@brownjob97567 жыл бұрын
🙇🙇🙇salute brother hizi nyimbo sasa mungu akuinue juu
@prochesiusdtkabarerutaihwa28206 жыл бұрын
Nimekuja kukupenda Ben poll baada ya kufatiria mikiki zako Aisee unatisha sana Hongera sana kaka
@officialkinghezekiah20947 жыл бұрын
bora ww unayagusa maisha ya watu sio mapenzi kila sku tuu...hizi changamoto tunazpitia sana
@nikkimbishiunju24026 жыл бұрын
Original Mlimwengu ...Bravo for this one
@afualusigi9232 жыл бұрын
This is my best song to him,huwa nalia sana hasa kwenye mambo magumu nayopita Mungu nipe uvumilivu