wewe unaesoma hii comment esabu sku mbili kwanzia sasa tajiri wa matijir atakutendea jambo make sure unarudi kulike❤
@clairenaivasha18864 жыл бұрын
i beliave Amen
@edgarbruchald60314 жыл бұрын
Amen
@deogratiusdesderius70534 жыл бұрын
AMEN
@cuthbertmarkyshirima96474 жыл бұрын
Amen
@reymi_teamdechristian39424 жыл бұрын
Inshallah
@danieldavid50692 жыл бұрын
I don't understand why this beautiful song hasn't reached over 1million vies
@Onicavee Жыл бұрын
Imagine 🤷♀️🤷♀️
@finestford007 Жыл бұрын
I come discoverd it in bro fid library today, it has blessed my saturday
@elishangoma82354 жыл бұрын
Mwambieni ney wa mitego aje ajifunze namna ya kumuimbia Mungu kwa njia ya hip hop, sio kuimba nyimbo ya makufuru hii sasa ndio nyimbo achana na ile ya ushetani ya ney wa mitego
@msaranga_4 жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/qZe8qH54oLFkqbc
@jipangetz86724 жыл бұрын
Kwakweli Fid Q kaimba vizuri, ni muhimu kama msanii kufikiria vizuri anachotupatia. #neyAjifunze😉
@isackyakobo78294 жыл бұрын
@@jipangetz8672 Mwana FA pia #Mfalme
@isackyakobo78294 жыл бұрын
@@jipangetz8672 Mwana FA pia #Mfalme
@jipangetz86724 жыл бұрын
@@isackyakobo7829 kweli, Mwana FA pia anajua sana. Napenda anavyotupa maarifa. Watu kama wananitia moyo ndio maana na mimi nikaanzisha youtube channel yangu mzee.
@barakadaprince37424 жыл бұрын
Wanao kubari kua fid Q katisha kwenye hili song ngonga like hapa twezetu kama kuna nyimbo za Q ninazo zipenda bc hii imechukua number 1🔥🔥na hakika mungu ni mungu to
@shibilitimedia33124 жыл бұрын
Ngosha kama Ngosha tumpe like Hipop ngumu kumeza
@msaranga_4 жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/qZe8qH54oLFkqbc
@SAMTANAK4 жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/jpm2daFjaNacnac
@msaranga_4 жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/qZe8qH54oLFkqbc
@jipangetz86724 жыл бұрын
Kiukweli,sijasikiliza kwa makini sana kuelewa, alichoimba Fid Q lakini jamaa katisha. Watu kama hawa wanatuwakilisha vyema kama watanzania. Wananitia moyo kuendelea kukomaa kutoa maarifa kwenye youtube channel yangu.
@alimzandimwamzandi54052 жыл бұрын
I put this comment so anyway gonna like nor comment will make me to remember this song always #tajiriyangu
@MlOscar-b9y5 ай бұрын
Tanzania inahitaji wasanii kama haw kwenye hiki kizazi kilicho potoka,tunakuitaj mzee mbuzi undelete kuelimisha hiki kizazi❤🎉🎉
@infomediatz16714 жыл бұрын
Weusi - Makao Makuu Dogo Janja Feat Lady Jay Dee - Asante Fid Q feat Paul Clement - Tajiri Yangu Rapcha Feat Lady Jay Dee - Amen 🎷🤗Good Music Alive LIKE HAPA KAMA UNAAMINI HIP HOP vs GOSEPL is strong
@timothmwakakusyu45634 жыл бұрын
Asante tajiri yangu makao makuu amen
@tonykipobota42654 жыл бұрын
ongeza na wimbo mpya wa Kikosi kazi unaitwa SALA
@avizpaul30864 жыл бұрын
Chid natubu killer, Mungu baba mbishi , Mr Blue, Kk Fid Hey lord
@mudricahmed6354 жыл бұрын
Mwana fa - mfalme
@avizpaul30864 жыл бұрын
@@mudricahmed635 Chid benz natubu,
@frankdanford82453 жыл бұрын
Nyimbo ya kipekee Sana hii
@ahmadijuma-p5r7 ай бұрын
Huyu mwamba hua namuelewa sana mungu aendee kukupa maisha marefu ili undelee kuipa jamii vitamin muzik
@hillarytheworshipper4 жыл бұрын
Nipeeni likes za Paul Clement Such an amazing mentor
@Alvidosa4 жыл бұрын
kwangu Furaha ni kuwa na Mungu sio Mlungura/ Na pia siku zote Mla raha na Uchungu hula/ Ninajua nilipotoka na ninajua wapi Nilipo/ Isipokuwa ni wewe pekee Unajua lini nitafika Mwisho/ #KitaaOlojiaEra
@shebbysadiki4 жыл бұрын
Kama unaangalia hii video huku unasoma ryrics zake hapa chini kama mimi weka like hapa
@msaranga_4 жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/qZe8qH54oLFkqbc
@jameslukumay5006 Жыл бұрын
Ngoma nzuri duu
@ramatoni73944 жыл бұрын
Lord ni ngumu kujua uko wap ila unajua nilipo 🙏🙏
@msaranga_4 жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/qZe8qH54oLFkqbc
@Kingbenzinho4 жыл бұрын
Siwezi nunua uhai sa najidai kwa lipi .... 🔥🔥🔥🔥
@Mbeyaconscious4 жыл бұрын
Hujawahi Niangusha 🙌🙌🙌🙌🙏🙏🙏🙏
@adamnehemia83164 жыл бұрын
Fid Q;Mtumishi wa MUNGU kuna wimbo wangu hapa naomba nipigie chorus Paul ;hapana,mi nimeokoka Fid Q;please nataka kuzungumza na MUNGU nimpe sifa zake kupitia mistari yangu Paul ;hebu nisikilize kidogo....... FID Q;......... Paul;RRRRRRRRRRRRAPAPPAPAPAAAAA Haleluyaaaa .... FID Q;LORD....
@albanbros67054 жыл бұрын
Lazima ukubali si kwa mistari hii.
@happymakambi2334 жыл бұрын
😂😂😂 kama kwel vile
@adamnehemia83164 жыл бұрын
@@happymakambi233 SORRY utani tuu😂😂😂
@happymakambi2334 жыл бұрын
@@adamnehemia8316 najua ni utan ila kama umekaribia ukwel hivi,nimecheka sana yaan😂😂😂
@gabrielsamweljr4 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@thisiskinye86314 жыл бұрын
Raptcha, Dogo Janja na Fid Q...BWANA ASIFIWE, Roho ilipoguswa leo na iguswe siku zote...hatimaye tuna nyimbo za kusikiliza na familia zetu, nyimbo za kutazamika na kila rika pasipo kuhofia nyuchi na matusi.
@johnnzao64604 жыл бұрын
Na weusi pia
@vfieldmarshal_tz4 жыл бұрын
Dah hii ngoma sikuwahi kuisikia ndio naiona apa ch10+ fid katandika gospel kumbe👏👏👏 safii sana
@iamvogah4 жыл бұрын
Tajili kama tajili na wewe fid ni tajili mistari gonga like moja kwa mwana taholojia hapa
@davidbahati37482 жыл бұрын
Wimbo mzur sana Ila umegoma kabsa kutoboa sokoni dah, so sady
@chrissjoel77524 жыл бұрын
*Kwangu furaha ni kuwa na MUNGU sio mrungura* 🙌🙌🔥🔥🙌🙌🙌 Huyu jamaa ni balaa gonga like kama wamkubari ngosha
@joem95694 жыл бұрын
Daah bonge la Song asee, mbarikiwe sana nyie Matajiri wa Vipaji Fid Q & Paul Clement 🤝🤝
@georgengadada24292 жыл бұрын
FidQ the great.
@sophiasophia38803 жыл бұрын
Haunip shida bila namna ya kuisove
@boazsamwel61114 жыл бұрын
Amina amina .Jehovah ni tajiri wa matajiri,maana alisema Mari zote na vitu vya thamani ni vyake. Shida ya mwanadamu anashindwa kuishi maisha yanayo mpendeza Mungu that why .be blessed amen
@maruramjomba17184 жыл бұрын
My favourite Tanzanians in one song!!!. Never saw this coming. God is good!
@mosesmnyantope95342 жыл бұрын
Eewe tajiri yangu bonge yangoma ya kumsifu mungu
@blackwingsattorneys49864 жыл бұрын
Wasio muelewa hawaelewi wanacho kielewa! Lyricist Tanzania nzima huyu hapa aje mwengine tuone ...Fid Q mwana aliye juu 🐐 2020
@vannymponzi86994 жыл бұрын
Nice motivation song big up bro hujawahi niangusha
@alobogastcharles93144 жыл бұрын
Wee jamaa ni dunia nzima mistari yako inatupa uhuru wa kujitambua nakupenda bule mwanamalundi
@zebrinalkarim85294 жыл бұрын
nampenda Fid na nyimbo zake zote but naskia kabisa hii imekuwa favourite kabisaa imeingia moyoni direct kabisa...
@emmanuelabel22654 жыл бұрын
Akili kubwaa inaimba! Big thumb fareed! Tajir wa mistar na flow akimsifu tajir wa ulimwengu na muumba wa vyote! Vinavyoonekanaa na visivyoonekana! Shikamoo fid q!
@omarymansuri24064 жыл бұрын
Q Ngosha Unajua Sana Unakipaji sio cha kubahatisha (NAREKWINA 95%)
@japhetkileo11384 жыл бұрын
Tajiri wa mashairi salute kwakwo Q
@samuelmwaipopo13024 жыл бұрын
Great song. My son is addicted to the chorus.
@mikelmweuc96193 жыл бұрын
Hii ngoma imetungwa,imeandikwa,imeimbwa na naickiliza kimoja hadi kingine nani kackia sexaphone ,gitaa vizuri ktk hii ngoma
@albanbros67054 жыл бұрын
Kwangu furaha ni kuwa na MUNGU na sio mlungula Najua siku zote mla raha na uchungu hula. Hatari sana.
@cdeegwau5514 жыл бұрын
Nafrai sana Kua na Wewe, Hip-Hop ntakupenda Milele....
@samuelmwaipopo13024 жыл бұрын
Bonge la Gospel song. Hakika nabarikiwa sana nikisikiliza huo wimbo #putonreplay
@razackmwakibolwa83954 жыл бұрын
kazi nzuri niliiskia muda kidogo ila barikiwa kaka kwa hii video na ujumbe mzuri kazi nzuri
@nyakai51824 жыл бұрын
Huwa nakubali kazi zako bro ziko 🔥🔥🔥🔥 kila mala
@jeovangisc79574 жыл бұрын
Duuu Fid anaangusha vyuma htr
@realfaboy41553 жыл бұрын
Mwanadamu anakwapua 🙏 mpaka asivyohitaji bila kubakiza
@athumanihamadi66194 жыл бұрын
This song is dope. Inatukumbusha turudishe heshma kwa aliye juu. Happy b day rock city native
@msaranga_4 жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/qZe8qH54oLFkqbc
@officialmrtop10184 жыл бұрын
Fd Q nakukubali saana
@ndahanyared95804 жыл бұрын
Video kari sana gosha
@nurdinidris_234 жыл бұрын
Fid Q... Barz zimetulia kama lamar😂😂✊🏾✊🏾🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@idrisssir69794 жыл бұрын
Unajua sana kaka sijawahi kukupinga ata siku moja
@mwenjealela18983 жыл бұрын
ngoma safi sana....FIDQ naomba ule wimbo wa "Malaika remix"...tafadhali
@peterhugokisoli8354 жыл бұрын
Hi ngoma ni kali sana Fid Q zaidi nimependa style ya ku rap
@jameskapange3034 жыл бұрын
Asante sana kaka kwa mafundisho haya wala sio wimbo nimafundisho makubwa sna. Barikiwa sna
Waoooh kazi nzuriiii ingawa video umechelewa kutoka,like please
@godloveyamo37714 жыл бұрын
We ndio boss... sio wale wanaowahi kazini ili wafoke tukichelewa.
@wazirmlogi75324 жыл бұрын
Ngoma kali sn,fid q kumbe akichana kilaini anapendeza zaid na ana fillings kali sn,jitahid kuondoka na miondoko hii brother husifanye hip hop ngumu
@hamdanmrisho46064 жыл бұрын
Nakubari brother ngosha mlaraha hata pia michungu halikura
@zavaramponjika74114 жыл бұрын
SHukuran sana mpwa kwa hii zawadi yetu nyingine ya mwezi huu adhimu wa uzawa wako. Yaani nahitaji kurasa kadhaa kutoa shauku na hamasa nloipata humu, kwa sasa acha tu niendelee kupiga duru kadhaa kwenye hili chupa. Hongera asante wewe na washiriki wote humo, mpwa Paul Clement amewakilisha ipasavyo. Walojitokeza wote humo wana nafasi ya kuipa hii kazi heshima kubwa sana. Tuko pamoja sana kaka
@nehemiahnkotagu67424 жыл бұрын
Muislam amshirikisha mkristo katika nyimbo moja wakimuimbia mungu "RESPECT".
@shaphyvuai68054 жыл бұрын
Kichupa kikaliiii flows Kama kawiz Kama daiz....Ngosha
@classicmediaenter10ment444 жыл бұрын
Izi ni propanganda Za ngosha na maalika. Kuitangaza Njia na mapito ya MUNGU.
@saganyajackson68174 жыл бұрын
Nakubali sana Mkubwa nyimbo nzur y'a Shukran kwa Mungu. Zid kubarikiwa Zaid kila kuitwapo Léo # TAJILI ANGU
@avizpaul30864 жыл бұрын
Dahh ,Huyu msanii Mwenyez akup pumz
@sleimanfakihhajjir93894 жыл бұрын
Ninachokipenda kwenye mziki wa hip hop hamuna comment za wanawake couse huu mziki hauelewi. Cause sio wabana pua. Hogera ngosha.
@ellymwitakichonge84164 жыл бұрын
Daaa hili goma kali sana fid Q ft poul clement mmekalisha kinyama big up kwenu!!!!
@juliusemanuel90584 жыл бұрын
Ngosha kama Ngosha mshushie like zake kwa ngoma kali
@JhoseMulokozi-fl4io8 ай бұрын
Nyimbo ya mwaka🎉
@freegospel4 жыл бұрын
Wooooooow Bonge la wimbooooo
@ndeseboyndeseboy49114 жыл бұрын
Nyimbo saf ujumbe saf iko sarama kwa matumiz ya wanadam
@triphonechami1037 Жыл бұрын
Waooo nyimbo imenitouch
@Tfsfedexpilot4 жыл бұрын
Ngosha kama Ngonsha 👏🏻👏🏻👏🏻
@bonfacechibungu3794 жыл бұрын
Fid Q's music is Gold. 🙏🙏🇰🇪🇰🇪
@msaranga_4 жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/qZe8qH54oLFkqbc
@mohamedharuna90504 жыл бұрын
Hbd mzee baba long life more success mkuu
@msaranga_4 жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/qZe8qH54oLFkqbc
@starterfm4804 жыл бұрын
Kwelii
@silvabrown91164 жыл бұрын
Kila kilicho chake Mungu hakiwezi kudondoka kwa roho mbaya ya mwanadamu (shetani)
@davidmagundu22854 жыл бұрын
Huu wimbo umechelewa sn kutoka video!
@mlwanikamchizi35074 жыл бұрын
Happy birthday Ngosha
@cdeegwau5514 жыл бұрын
Tajir wa Matajir 👏🏼
@hamzamtelea93384 жыл бұрын
Mabraza respect nying kwen
@seifothuman51964 жыл бұрын
kwangu ni furaha kua Na MUNGU C MRUNGURA✊✌ SIKUZOTE MLA RAHA NA UCHUNGU PIA ULA
@jovinonesmo1244 жыл бұрын
Mwanza kwanza .natembea kifua mbele utazani nimedundwa ngumu ya mgongo 👉🏿💪
@michaelezekiel21434 жыл бұрын
Hppy brn dei king wa hiphop nakukubare Q
@pancrasmayala11845 ай бұрын
Tajiri yangu 🙌🏿🙌🏿🙌🏿
@saidinoti69353 жыл бұрын
King of the hip-hop
@benjaminchiluba90164 жыл бұрын
Ama kweli fid q unaweza with hongera sana mungu akutie nguvu..
@jacksonzakayo67594 жыл бұрын
Ma Dada danga wanabamba vifo salute sana fd
@suleimancani52224 жыл бұрын
Ujawai kuniangusha fid q nilikupenda toka nipo tumbon kwa mama yangu.. Kambalu son
@sostainlenn94954 жыл бұрын
wangap wamekuja hpa baada ya kuona jina la paul clement
@davidjuvenary94224 жыл бұрын
Ngoma kali saana @Faridi Kubanga
@emanuelnkya57644 жыл бұрын
Paul kasound Kama banana zoro aisee Bro kazi nzuri
@abinelymalima89074 жыл бұрын
Ngosha umetisha sans ngoma Kali sana
@ebctvonline4 жыл бұрын
niliwait mda sana kaz nzur broo
@g-mystic_ke4 жыл бұрын
Hii song imani touch nimerudia Mara 20 niskiZe flow ya Q
@nebyink14154 жыл бұрын
Lesa wa Mapalo Means Mungu Wa Baraka Wanangu wa Tunduma na Zambia Gonga Like Basiii
@victorwisdom7342 жыл бұрын
God bless you Fid Q
@wangwemwitapeter9334 жыл бұрын
Happy borndate mwamba @therealFidQ
@siasazaafrikanaburudani1712 Жыл бұрын
Hii ngoma kali sana, inamadini halali sana
@dullahmzee85674 жыл бұрын
ngosha nakusikiliza nikiwa oman yani we ni noma yani nasikiza bila ya kuchoka.
@Emma199334 жыл бұрын
Msanii asiesikia watu lakin anajiskia mwenyewe ogopi mtu anahofu ya mungu
@sampart26694 жыл бұрын
sijawahi kukuponda mkuu, ni number one "hihop for me"....... 😎😎😎😎😎
@gadimbajo4 жыл бұрын
Huyu ndo ngoshaaaa sasa ze swaga Don,....verse ya 2 umetembea aiseee, nimesalute