Рет қаралды 28
Kuelekea kumbukuzi ya Rais wa zamani wa Tanzania, hayati Benjamini Mkapa inayotarajiwa kufanyika mwishoni mwa mwezi Julai, Taasisi ya Benjamin Mkapa (BMF) kupitia mradi wa USAID AFYA ENDELEVU imetoa mafunzo kwa watunza kumbukumbu wanaoshughulika na masuala ya Ukimwi mkoani Arusha.