PART II: MUWEKEZAJI WA KITANZANIA MWENYE MIAKA 32/ UFUGAJI NA KILIMO VIMEMTOA

  Рет қаралды 57,267

Crown Media

Crown Media

Ай бұрын

Follow us on Social Media Platforms
Instagram:
Crown FM - / crownfmtz
Crown TV - / crowntvtz
Twitter (X):
CROWN MEDIA SWAHILI: / crownmediatz
CROWN MEDIA ENGLISH: / crownmediaen
Facebook:
CROWN MEDIA: profile.php?...
TIKTOK:
- www.tiktok.com/@crownmedialiv...
SUBSCRIBE & WATCH OUR SHOWS: / @crownmediatz

Пікірлер: 256
@CrownMediaTZ
@CrownMediaTZ Ай бұрын
Tunashukuru nyote mliopenda maudhui haya, usisite kushare Link hii kwa wengine ili wengi wapate kujifunza zaidi.
@SumaiaIssa-px4pl
@SumaiaIssa-px4pl Ай бұрын
Kazi mzuli crown
@georgemcharo642
@georgemcharo642 Ай бұрын
The guy is brilliant
@georgemcharo642
@georgemcharo642 Ай бұрын
Jamaa anaijua kazi yake..na kichwa kimetulia sana...
@SpartMaina
@SpartMaina Ай бұрын
really awesome project,nice work. nice interview. can we get the contacts for the ranch?
@ukendejenipher3942
@ukendejenipher3942 28 күн бұрын
Big up crown media kwa watangazaji mahiri wenye kujua kuuliza maswali ya msingi keep it up
@kinanaissango3492
@kinanaissango3492 Ай бұрын
Madini kama haya vijana ndio tunayataka crown mnajipambanua Pakubwa sanaa
@zeddybass6672
@zeddybass6672 Ай бұрын
Pendelea kuwasikliza watu wenye akili utakuja kunishukuru
@Bardizbah-nr9qi
@Bardizbah-nr9qi Ай бұрын
Shule ni bure mchawe ni bando tu ❤
@collinsburton2522
@collinsburton2522 21 күн бұрын
Huyu jamaa ana akili sana na amesoma na anahela. Ujana sio madisco tu, ujana shambani pia ❤❤
@user-tg7vq3ty8p
@user-tg7vq3ty8p Ай бұрын
Mwenyezi Mungu ambariki huyu kijana (mwanangu ,he is the same age as my son ,he is in USA) aweze kupata mafanikio zaidi. Alichonifurahisha hakuonyesha ufedhuli au majidai pamoja na mafanikio aliyoyapata.
@tugaraamos2546
@tugaraamos2546 Ай бұрын
Tunahitaj kujifunza kwenu baba yangu
@khalfanaltaley
@khalfanaltaley Ай бұрын
Mashallah tabarak Rahman. He is a visionary young person with a lot to give and contribute in teaching others who have passion in making their living ahead wisely. Although it is not easy to follow his steps, unless you have means to do do so, however there is a lot to lean from the strategies he has taken forward the family business towards success. Wishing him all the best of continuing the business! May Allah guide him forward!
@nailaomar4810
@nailaomar4810 29 күн бұрын
Mashaallah
@rosemnzava4696
@rosemnzava4696 6 күн бұрын
Nimependezwa na ujitahidi kijana. Tutakutafuta kwa ushauri
@salimsaid3943
@salimsaid3943 Ай бұрын
Huyu jamaa smart sana ma sha allah....mm pia nimezaliwa dec 1991 safi sana yuko makini hata anavyongea!
@JumaMwanga-xd9gy
@JumaMwanga-xd9gy Ай бұрын
Ntaman n like ata mara100.. Vile npenda vitu iv
@zainabzain3434
@zainabzain3434 5 күн бұрын
Nikweli maana somo zima lipo kwenye point ya mafanikio ni makubwa yanashawishi
@marychuwa8159
@marychuwa8159 Ай бұрын
Wow niliona hayo maonesho wakati naenda Dodoma sikuelewa sasa Mr Nawid umenifungua macho zaidi you are doing great job aksante kwa taarifa nzuri sana sijutii bando langu
@augustinet9530
@augustinet9530 Ай бұрын
Maudhui mazuri, vijana smart,dah kweli elimu haiongopi, i appreciate crown media kwa elimu hii, jamaa yuko vizuri, wasasi tuwekez kwene elimu zenye tija, huyu jamaa ana upeo mkubwa sana ulio jengwa kupitia wasasi na elimu, ee mwenyezi Mungu tupe watu smart wengi Tanzania like Crown media and the guest Mulla. Inshallah ikawe heri kwetu kupitia eleimu hii.
@user-rx7te2px5d
@user-rx7te2px5d Ай бұрын
Kilimo biashara/Angrobusiness.Faida tupu,ukizingatia kutrust prosess.
@anthonyrichard2931
@anthonyrichard2931 Ай бұрын
Mawasiliano hamjatupa wakuu ni Elimu nzuri sana
@sadikidaudi460
@sadikidaudi460 Ай бұрын
Naweed unaakili nyingi saana ila sifa kubwa nikwawazazi wako walikuandaa vyema
@farouqhibrahim
@farouqhibrahim Ай бұрын
Wengi wajifunze matumizi ya lugha ya kiswahili kwa ufasaha kama wa Mulla ,anazungumza kiswahili kwa ufasaha kuwashinda watanzania wengi wenye lugha yao
@inthezone5927
@inthezone5927 Ай бұрын
One word RESPECT!!!! 👊
@killerwizzyofficial2157
@killerwizzyofficial2157 Ай бұрын
This real life crown midia is the best
@nsajimwasege68
@nsajimwasege68 Ай бұрын
Ni mtulivu na mwenye akili tulivu, ni mwenye staha na uelewa mkubwa!!!
@user-fn6fs8oy5l
@user-fn6fs8oy5l 27 күн бұрын
Sana Kwa ujumla na ana roho ya utajiri,iliyotulia,yaani Hana wenge ni mwalimu mzuri wa vijana Kwa kweli
@shammhagama2527
@shammhagama2527 18 күн бұрын
Namna ya kufika hapo mbogo farm ndo kipengele, maana hawajatoa mawasiliano ya moja kwa moja.​@@user-fn6fs8oy5l
@shammhagama2527
@shammhagama2527 18 күн бұрын
Jinsi ya kufika sehemu husika ili ujifunze ndo kipengele maana hawajatoa mawasiliano yao ​@@user-fn6fs8oy5l
@DafiMohamed-dz8xk
@DafiMohamed-dz8xk Ай бұрын
Safi sana mimi napenda sana mazingira na kilimo pia
@shyfettymtunda4619
@shyfettymtunda4619 Ай бұрын
The kind of interview I can watch without skipping a single minute!! I'm so impressed by his commitment and dedication to that project!🎉
@AbdoullrahmanYusuph-xq2hq
@AbdoullrahmanYusuph-xq2hq 19 күн бұрын
jamaa anajua inshort
@henryjohn4781
@henryjohn4781 29 күн бұрын
Kazi nzuri Crown Media fanyeni E03 ambayo ni mtakuwa kwenye mabanda tu tuone wanyama tu.
@ibsk88salim98
@ibsk88salim98 Ай бұрын
Safi Sana hapa unajifunza kiukweli
@bakarijumakupaza4351
@bakarijumakupaza4351 Ай бұрын
Sijawahi sikiliza interview nzuri kama hii, mwandishi anajua maswali na mhojiwa pia. Kiufupi wote ni watu wenye elimu. Hata Kiswahili chao sio cha mitaani.
@gulinjaezekiel8489
@gulinjaezekiel8489 21 күн бұрын
Kabisa aisee. Hata mimi nimefurahia hili
@stevenmnzavajoseph
@stevenmnzavajoseph Ай бұрын
Big up Crown Media. Interview ni nzuri nimejifunza mengi na kupata hamasa.
@kakawamashariki8978
@kakawamashariki8978 Ай бұрын
Pongeziii..zangu ziwaendee nyote;Mwanahabri na mgeni wa kipindi kwa maswali na majibu sanjali, mwanzo wa pachko sikutegemea rangi ya mgeni kutililika kiswahili rafiki.Binafsi nimehamasika haswaa hiyo kauli mbiu yko"kilimo ni maisha ya Utulivu": salaam toka mwanza 🐟
@fabienuwimana9559
@fabienuwimana9559 Ай бұрын
Huyo boss Naweed na mtangazaji yaaani wote nawaona wako watu poa sana hiyo sehem nitakuja kuangalia
@jumasafi2635
@jumasafi2635 Ай бұрын
Mahojiano ni mazur sn na nimepata elimu 💪
@saimonwantango9569
@saimonwantango9569 25 күн бұрын
Nina ndoto ya ufugaji 100% mpaka sasa nimenunua shamba kwa ajili hyo,nitakuja kujifunza zaidi make ndoto yangu ni kufuga mbuzi na kondoo
@fatmasalim8293
@fatmasalim8293 Ай бұрын
Mashallah vizuri sana akhuyi ❤❤❤❤
@AbdoullrahmanYusuph-xq2hq
@AbdoullrahmanYusuph-xq2hq 19 күн бұрын
jamaa anjua sio poa
@emilegentil9538
@emilegentil9538 Ай бұрын
Inzi njo habari😊
@msemakwelitv9325
@msemakwelitv9325 3 күн бұрын
Mkiendelea hivyo,Crown Media itakua unbeatable
@ElshaddaiEnterprise
@ElshaddaiEnterprise Ай бұрын
Hii safi sana
@nassoroigalawa5329
@nassoroigalawa5329 Ай бұрын
Waoooo. Ndugu mwandishi upo vizuri,hauna kimemo wala iPad mkononi
@mosesmdindile332
@mosesmdindile332 Ай бұрын
Anasimu kaweka kwenye paja Hapo anapitia kdg japo naungana na wewe yupo vizuri
@nassoroigalawa5329
@nassoroigalawa5329 Ай бұрын
@@mosesmdindile332 nimeona mwishoni
@MabelaShija
@MabelaShija Ай бұрын
Nimependa sana interview hii,crown msifuate tu wakulima/wajasiriamali waliofanikiwa, ninyi muwe chachu yakuwaibua wadogo na nyinyi muwakuze.
@keddy1629
@keddy1629 14 күн бұрын
Mashaallah mwenyezi mungu akuzidishie kila la kheir na uwe mfano kwa vijana wetu.
@AhmedHassan-vl5zf
@AhmedHassan-vl5zf Ай бұрын
Crown ndio media ya kuifatilia
@baudizo
@baudizo Ай бұрын
Temidayo umeupiga mwingi sana,big up kwa Host (Mbogo) amekuwa sio mchoyo wa kutoa madini.
@Mbaley
@Mbaley Ай бұрын
Nice one congratulations kwa kipindi
@RaphaelHhari
@RaphaelHhari Ай бұрын
Ahh nadhani watu kama ndiyo Hawa wanahitajika kwa nchi yoyote kwa ajili maendeleo SI kwa upigaji wa pesa uwizi kwa ni hata pesa inakuwa katika mzunguko wa kiuchumi
@yasrikomba7874
@yasrikomba7874 Ай бұрын
Daah kweli crown mnajua kutafuta habari wapo wapi hawa jamaa
@farujohn622
@farujohn622 Ай бұрын
Hongereni sana Crown
@jaribudizza4217
@jaribudizza4217 Ай бұрын
Kujifunza kwa vitendo kunasaidia sana ❤❤❤
@cecykaitanus7873
@cecykaitanus7873 8 сағат бұрын
Best interview.hongereni sana Crown mmetufaa
@rashidkopa
@rashidkopa Ай бұрын
Hapaninyumbani
@MujuniMuta
@MujuniMuta Ай бұрын
Next time ukihoji mtu wa shamba na mifugo, umuhoji huku mkiwa mnatembea shambani, kama nia nikuhamasisha tunataka kuona shamba na mifugo inayozungumzwa zaidi kuliko owner
@benjaminmwampamba-ox1mc
@benjaminmwampamba-ox1mc Ай бұрын
Jamaa inaonekana ana madini sana
@zainabzain3434
@zainabzain3434 5 күн бұрын
Yaani nimefatilia part 1 mpk 2 bila kuchoka Asante sana
@perfectchoiceenterprises
@perfectchoiceenterprises Ай бұрын
Congrats bro Haya ndio mambo tunahitaji kuyasikia kwenye media
@jumamanzi4531
@jumamanzi4531 Ай бұрын
haya ndo mambo tunayotaka kuyasikia sisi vijana hongera sana Crowm Media Mmeanza vizurii
@gulinjaezekiel8489
@gulinjaezekiel8489 21 күн бұрын
Hii ni moja ya interview bora sana. Temi ameonesha weledi katika kuhoji bila kutoka nje ya key lakini bila kuwa mjuaji nadhani amefanya pre study nzuri. Naweed, ametoa details vyema sana tena amekuwa honest sana. Nimeenjoy
@kalengashoppingcenter1108
@kalengashoppingcenter1108 Ай бұрын
Hapa huwa ndipo ninapowapenda watu waliosomea ukweli hawaongop bilion 60-70🎉
@ticianmarando9027
@ticianmarando9027 Ай бұрын
ila hapo kaongopa sasa , sasa sijui kama utawapenda zaidi au laah
@emmanuellaswai7272
@emmanuellaswai7272 Ай бұрын
​@@ticianmarando9027Nafikiri hapo alimaanisha value ya shamba kuanzia mifugo na mkonge
@glorykastai3996
@glorykastai3996 Ай бұрын
Safi sana nimejifunza vitu vingi sana na nimehamasika ila siku nyingine tuone utalii wa shambani,maana panavutia kweli
@GeorgeAkasha-zx2rj
@GeorgeAkasha-zx2rj Ай бұрын
Kabisaa glory, ww uko wapi?
@georgeanthony1547
@georgeanthony1547 25 күн бұрын
Leo nimeona mtu aliyenufaika na Elimu. Pili kuna Tundu ambalo Elimu yetu ya Tanzania inahitaji kuliziba. Hongera sana Muwekezaji
@lynusjacob6727
@lynusjacob6727 13 күн бұрын
Mungu huwa anaongeza baraka kwako kwa jinsi na wewe unajiongeza kwenye alivokupa
@marckyfarrenyrwezaula7641
@marckyfarrenyrwezaula7641 29 күн бұрын
Nashukuru sana kwa documentary hii, hakika ina madini makubwa sana, mi naomba tu contacts za huyo anayeshughulika na cattle guest house, amemtaja kuwa ni Sandra kama sijakosea, ahsante sana.
@nakundwamkubwe7823
@nakundwamkubwe7823 28 күн бұрын
Mash Allah na Alhamdulilah kwa kutupa elimu Allah akuzidishie mwanangu kwasababu umri wako nakuzaa.
@mussaelia8693
@mussaelia8693 Ай бұрын
Mawasiliano yao Nmependa content
@aishaomary4498
@aishaomary4498 Ай бұрын
Asante crown Naweed
@fra_nyuki
@fra_nyuki 22 күн бұрын
Daaaaaah asante sana Crown Media., darasa la bure kabisaaa... good job brothers
@inspiremedia6267
@inspiremedia6267 12 күн бұрын
Interview nzuri sana nimejifunza mengi.
@bernadethakessy4188
@bernadethakessy4188 Ай бұрын
Hongereni sana Kwa kazi kubwa hii. Mungu aendelee kukunyanyua zaidi
@masoomwati2408
@masoomwati2408 Ай бұрын
Excellent ,keep shining
@mrenjoyfootball8403
@mrenjoyfootball8403 Ай бұрын
Asanteni crown media
@user-do1xs4om1b
@user-do1xs4om1b Ай бұрын
Ahsante crown media, jikiteni kwenye habari kama hizi zinazo tufungu vichwa vyetu
@mohamedkassim9072
@mohamedkassim9072 17 күн бұрын
Uwekezaji mzuri sana. Nimependa mahojiano haya. Nimejifunza mambo mengi
@ThadeoBernard
@ThadeoBernard Ай бұрын
One lifetime best interview
@user-pd5hl9di2q
@user-pd5hl9di2q 16 күн бұрын
Hongera sana kwa kuthubutu umetengeneza ajira
@mohdmohd8428
@mohdmohd8428 Ай бұрын
Kumbe kuna vijana wa kuiongoza ata simba🎉🎉
@lazaromaria5334
@lazaromaria5334 Ай бұрын
watakutukana asee usiseme hivo
@Wakishua926
@Wakishua926 Ай бұрын
👂
@raphaelmwenda9100
@raphaelmwenda9100 Ай бұрын
Nilikuwa nasubiri kwa hamu kupata mawasiliano, kwenye interview yote part 1&2 sijaona. Nimevutiwa na kipengele cha mfugaji mgeni, mawasiliano please!
@azzaalhabsi1505
@azzaalhabsi1505 25 күн бұрын
Mashaallah. Allaibarik feek.
@olicendayihimbaze4074
@olicendayihimbaze4074 Ай бұрын
🎉🎉🎉
@kylemcfarlane7945
@kylemcfarlane7945 Ай бұрын
Hey Naweed, I enjoyed this very much and am remembering our field trip to your farm when you were a student at HOPAC.
@silverpadana
@silverpadana Ай бұрын
Nakufatilia sana bro nishafika hadi mbarali napenda sana mambo unafanya ndoto yangu kabisa kupitia interview zako napiga hatua siku tutakutana inshallah
@hamoudyahya7635
@hamoudyahya7635 Ай бұрын
Hongera sana crown media. Content ya maana sana
@Dmsiris5
@Dmsiris5 Ай бұрын
Qyt impressing .Am inspired asanten sana crown media for the Awesome interview with the Investors.
@abdullahabdul9246
@abdullahabdul9246 Ай бұрын
Mwenyezi mungu akujalie wewe kijana mwenye kampuni .ni mwekezaji mzuri sana
@muhammedwakif6216
@muhammedwakif6216 10 күн бұрын
Mtangazaji unajua kuuliza 😊😊
@Emma_Bernard
@Emma_Bernard 7 күн бұрын
Life changing interview
@Binahmed1234
@Binahmed1234 Ай бұрын
🎉🎉🎉,Ma Sha Allah
@AmigoTv7
@AmigoTv7 16 күн бұрын
Nilisoma Agriculture nikawa napiga picha za Ukubwa huu lakini mazingira yakanisonga songa Sahivi nauza tu bandles❤
@nailaomar4810
@nailaomar4810 29 күн бұрын
Mashaallah allah akuhifadhi na akubarik kwenye kazi zako inshallah mashaallah mtt huna kibri umelelewa mashaallah mungu akuhifadhi
@royfigueiredo7222
@royfigueiredo7222 26 күн бұрын
Nimependa Sana hongereni. Guest keeping is the best for starters
@timilaisengenge1400
@timilaisengenge1400 Ай бұрын
Tunawezaje kushiriki kwenye tour ya shamba?
@christiannjau7191
@christiannjau7191 Ай бұрын
Ni mfano mzuri wa kuigwa
@zuwenahamoud6690
@zuwenahamoud6690 28 күн бұрын
Hongera Naweed,nataka kufugiwa, nipe maelekezo.
@conesmo5266
@conesmo5266 Ай бұрын
Kijana anajitahidi sana kongole kwake
@valenakomba7686
@valenakomba7686 29 күн бұрын
Hongera sanaa. Ni kitu kixuri sanaa kwa kweli. YAANI INAPENDEZA.
@AbilahSalumu-qx1cb
@AbilahSalumu-qx1cb Ай бұрын
Mungu Awenawe Blo Ufike Kama Wao Ishall Tumesikiya Vijana
@asnalimtv7690
@asnalimtv7690 Ай бұрын
Nimefurahi sn dah aisee huyo mwamba yuko vizur
@stonetown578
@stonetown578 Ай бұрын
Masha'Allah TabarakaAllah, Allah azidi kukuongoza.
@gwamakamwasongwe8053
@gwamakamwasongwe8053 Ай бұрын
Huyu jamaa ni kiogozi bora sana
@user-uu1nx8lj7f
@user-uu1nx8lj7f Ай бұрын
Nime elimilka Sana, ubarikiwe SANA by Yasinta walyuba
@musakalangahe6876
@musakalangahe6876 27 күн бұрын
Subscribed....Good channels...hizi ndio contents za kwenda hewani zaid
@SalimKombo-xo4pq
@SalimKombo-xo4pq Ай бұрын
Thanks bro
@johnmessi6831
@johnmessi6831 Ай бұрын
Mbona hamkutoa mawasiliano?
@yusuphraphael3422
@yusuphraphael3422 20 күн бұрын
Mungu ambariki sana
@GeofreyChipeta-i8r
@GeofreyChipeta-i8r Ай бұрын
Nimfurahi sana mwisho ulisema utatoa namba ya simu lakini hukufanya hivyo Kama ulivyoahidi tafadhali fanya nipatie namba ya simu
@yasrikomba7874
@yasrikomba7874 Ай бұрын
❤❤❤❤ilove crown
@user-rm3qx8jw5b
@user-rm3qx8jw5b 20 күн бұрын
Utajiri wenye maelezo yanayoeleweka. Mikakati, miradi, sio mtu kama Godlove anaonyesha maburungutu hayana maelezo😂
@julesbakita7966
@julesbakita7966 Ай бұрын
Nimeipenda sana.
@humphreypeter4507
@humphreypeter4507 19 күн бұрын
Nimejifunza sana
Little girl's dream of a giant teddy bear is about to come true #shorts
00:32
Spot The Fake Animal For $10,000
00:40
MrBeast
Рет қаралды 164 МЛН
PART 1: UTASHANGAZWA NA UWEKEZAJI HUU/ NG'OMBE ANAUZWA MILIONI 30
31:59
"Hizi hesabu mnaona nazidisha mimi nilipata F ya hisabati"
33:56
BBC News Swahili
Рет қаралды 99 М.
Jump Round kick 🥋 #taekwondo #wushu #karate
0:13
Farakicks
Рет қаралды 3,7 МЛН
Самые спортивные страны #сша #ссср #китай
0:52
Послезавтра
Рет қаралды 1,3 МЛН
Dad's disbelief turns to pride as daughter scores as a boy #shorts
0:32
Fabiosa Animated
Рет қаралды 1,1 МЛН