Mimi sio Mkatoliki lakini huu wimbo unanibariki sana nikusikiliza kila Mara nikiwa kazini Nyumbani, Ubarikiwe sana Mtumishi wa Mungu
@AnsbertNgurumo5 жыл бұрын
Ndugu yangu Bernard, hii ni kazi nzuri sana miongoni mwa kazi zako nyingine nzuri. Mungu wa Huruma akuzidishie neema na baraka!
@stanslausmteme84553 ай бұрын
Kabisa hii KAZI is the best one ingawa anakaz nzuri nyingine
@LilianLaswai2 ай бұрын
Amina kaka
@andrewkamande8351Ай бұрын
I'll leave the lyrics here Mwanzi uliopondeka. 1. Utambi mchafu wa moshi mzito Hatauzima kadhalika mwanzi Uliopondeka kamwe hatauvunja Hatanitupa Bwana yesu Milele yote Hataniacha Bwana Yesu Niangamie 2. Najua mtetezi wangu ni mwema Mwenye huruma mwingi wa rehema Asiyeyahesabu maovu ya watu. 3. Nakiri mimi mdhaifu Kabisa Nimeanguka kulitii neno Lakini nitamuangukia Mwenyezi. 4. Nanyi ndugu zangu kwenu natubu Niliyofanya sikuwapendeza Nisameheni nichukulieni pia. 5. Sikati tamaa kwa kuwa najua Yesu mwokozi amenisamehe Kwa kuwa hiyo ndio tabia ya Yesu.
@vicnazar4926 Жыл бұрын
This song was the best gift to my mum when we laid her to rest on Monday 23rd January 2023. I dedicate it to my late mum Anne Múthanje Mbúí. Christ whom you loved and served ndo mtetezi wako. Atakupigania. Hatakuacha ,mama heri ya milele
@Njagiist Жыл бұрын
Pole, may your mums soul rest in eternal peace. Kindly keep her legacy alive and burning.
@lilianchacha5576 Жыл бұрын
pole sana ndugu... may soul of mum rest in peace.
@hillarylumanyi8094 Жыл бұрын
i like the song too, sorry for the loss
@lawrenceking604610 ай бұрын
A very nice song haswa kwa wakati huu wa kujirudia, kuona makosa na kutubu, wakati wa kwadrajesma
@hellenmuvangei79329 ай бұрын
Sorry 😢😢
@mrokozeustad6532 Жыл бұрын
Me nasali kkkt Ila napenda snaa kusikilza nyimbo za Romani katoliki
@hermanluoga20216 жыл бұрын
Who else feels greatly humbled when listening to this song? Hand up!
@Frank-qx1tg5 жыл бұрын
Me
@teresiamuthaka71005 жыл бұрын
🤚🙏
@blessedlady27415 жыл бұрын
🙏🙏🙏
@franciscahmunyanya69425 жыл бұрын
Me
@wuodnyarae16304 жыл бұрын
Me
@Shemahonge-ku7xxАй бұрын
Mpaka mwili unanisisimka nikiusikiriza
@DarliotonTumaini21 күн бұрын
Kipaji kikubwa🎉🎉
@DeonisMashagara-i8z3 күн бұрын
Ndugu yangu Mukasa, nafarijika nikisikia wimbo huu, unanifariji na kunitia nguvu maishani mwangu. Ni mimi Dionis mashagara.
@andreaalfeolunyungu8879 Жыл бұрын
Sauti ya matumaini
@monicakaranja2683 жыл бұрын
Thanks......kweli hataniacha yesu
@mjkinuthia3864 жыл бұрын
I can't have enough of this song since the moment I first heard it. Voices are angelic. Penitential songs have a way of touching the very core of our souls. Maybe it's the realization that we are all sinners and God's MERCY is forever sure. The Mukasas are a powerhouse in liturgical music and have richly blessed us👍🙏👍
@japhetntumba84263 жыл бұрын
Vv
@viviansalome7292 жыл бұрын
The song leaves me feeling like am confessing my sins before God. May He bless the Mukasa's family 🙏🙏
@mayermhoja11342 жыл бұрын
mubarikiwe sana na Mungu enyi wanafamilia kwa kutuinjilisha
@margaretkings17434 жыл бұрын
Hatanitupa Bwana Yesu,milele yote atanipigania Hataniacha Bwana Yesu,niangamie atanipigania
@wagithiesther95833 жыл бұрын
this song consoles me very much when am lonely god bless you mr good evergelization
@elizabethkapoko Жыл бұрын
You make feel like crying , in ukweli kabisa
@veromugo19776 жыл бұрын
kidole juu kwa kazi nzuri Bernard Mukasa Mungu azidi kukuinua,nakutaza nikiwa Kenya
@annaanorld72625 жыл бұрын
Ama kweli hatanitupa atanipigania
@christopherkalikawe15755 жыл бұрын
Mwalimu wangu berenado mukasa naupenda wimbo wa mwanzi uliopondekek unanifaliji loho yangu inafulahi kweli
@budagjuma81294 жыл бұрын
Mamb
@ananiaaugustino76434 жыл бұрын
Karibu Tanzania
@AbdulkharimSharif Жыл бұрын
❤may god bless your dear father ❤❤❤❤
@benedattakatumbimutiso52222 жыл бұрын
Who is with me listening to this angelic voices with a strong message 💗
My favourite song it ringers in my mind always live long with ur family Bernard
@maureenokinda601 Жыл бұрын
I sing this song every day, because I have seen the Lord fight my battles. He doesn't count my faults, all forgiving... I fall at his feet every time I feel low.
@rebeccashabani65410 ай бұрын
😊
@Mnyakiusa-g3k Жыл бұрын
Unaniburudisha sana
@catherinekimengele25926 жыл бұрын
Wow At first I thought Ni choir nzima inaimba only to watch and find ni mtu, mkeo na wanawe wow Hongera. I listen to this every day.
@SeviHaule Жыл бұрын
Kaka unajua kumwimbia munguu utfika mbali mungu akubalikisana, sevi toka mbeyaa
@SeviHaule Жыл бұрын
Ukowapi nduguu
@damarisfeisal16735 жыл бұрын
This song makes me cry each time I watch it or hear it, it's sooooo moving, sooooo deep, soooo touching. I'm soooo much in love with it. May Our Almighty God continue blessing our Catholic Church. Atukuzwe Mungu Baba, na Mwana na Roho Mtakatifu
@edwinalexwamalwa98595 жыл бұрын
Amen amen amen!
@christinajoji83494 жыл бұрын
damaris feisal kIToTo cHA
@saitotijohnkim21254 жыл бұрын
Mimi pia
@darliadarl37494 жыл бұрын
damaris feisal amina
@margaret80544 жыл бұрын
Mm..... Mcceegokkkk q. ........ ...........a......q..q.........ss.ssssssßs...w.dwe.ee3eeewe Ewe3e We mom fr mm gm km knee huh uh huh huh uh huh We mom fr mm gm km knee huh uh huh huh uh huh We mom fr mm gm km knee huh uh huh huh uh huh We mom fr mm gm km knee huh uh huh huh uh huh We mom fr mm gm km knee huh uh huh huh uh huh We mom fr mm gm km knee huh uh huh huh uh huh We mom fr mm gm km knee ugh huh uh huh uh huh We mom fr mm gm km knee ugh huh uh huh uh huh We mom fr mm gm km knee ugh huh uh huh uh huh We mom fr mm gm km knee ugh huh uh huh uh huhnnnWe mom fr mm gm km knee huh uh huh sßeseseessskeeekjreeee333èßsssaaaaaaassnaaassaàa..mhhhhjjmmmmmmmmmmmm memkmmmmmmkkkkkurtttrrrrreérrreeeeeeeeeee3eeeeeeweet,,*****,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,*****\\\\[[\[\\[\\]\\\]\\]\\\\\\\\\\\\\\\\\\\\\\\\\\\\\\\\\\\\\\\\\]\\\\\\\\]\\]\\]]\\]]\\]\\\\\\\\]\\\\\][\\ .mmmrmmmmmm. uh Kbb We mom fr mm gm km knee huh uh huh huh uh hu'
@carolineatieno59337 ай бұрын
Huu wimbo hubariki sana moyo wangu na kunitia nguvu ninapopitia majaribio makali. Mungu akubariki sana @Benard Mukasa na familia yako.❤🙏
@sarahsangija29136 жыл бұрын
Napata faraja sana katika wimbo huu. Mungu azid kuwabark siku zote familia hii
@ezranorbert74266 жыл бұрын
Movies
@catherinewairimu55184 жыл бұрын
This song strengthen my spirit I can not have enough. Of It
@deopeter2113 жыл бұрын
Amina
@glorianamwinga86093 жыл бұрын
Naupenda Sana huu wimbo nikiusikia nafalijika sana
@kelvinmichae7285 жыл бұрын
sichokagi kuangalia hii video Nyimbo nzuri sana Mtunzi katulia sana
@irenemacha88265 жыл бұрын
Mbarikiwe sana kwa wimbo huu unanifariji na kunitia nguvu sana kwamba najua pamoja na udhaifu tulionao bado Mungu anatupigania.
@annexmakori58693 ай бұрын
The assurance and comfort I get while listening to this song is unmatched. I know Christ got me always
@sandranetia54382 жыл бұрын
When I hear this song I normally cry but also learned that God is always with me
@elisantesamson17912 жыл бұрын
Wonderful song, unaondoa msongo WA mawazo
@pascalinenungari93146 ай бұрын
Uhh hy
@pascalinenungari93146 ай бұрын
It you
@pascalinenungari93146 ай бұрын
J😊😊😊
@angelinakemuma27485 жыл бұрын
I like these songs. They are inspirational and medicinal to our souls. Thank you my Brother Bernard Mukasa
@antonynzalalila92824 жыл бұрын
Barikiwa sana
@kelvinmusyoki87804 жыл бұрын
Angelina Kemuma cal plz 0704333601
@kelvinmusyoki87804 жыл бұрын
Proud of u all may God keep on empowering u
@veronicamgimba59644 жыл бұрын
Najisikia kulia kwa amani kaka Bernady na familia yako mungu awalinde mzidi kutupa faraja ya mioyo yetu
@teresanevianonyangore91052 жыл бұрын
Sister Angelica my high school teacher 😻😻
@annechepchirchir1082 Жыл бұрын
❤❤❤nice song
@apiyokotieno29184 жыл бұрын
Feeling at Christ's feet when listening to this song,I keep on playing it.
@StephenMacharia-jo2pj10 ай бұрын
Nina imani kuu kwamba bwana yesu atanipigania
@brigitlubia3874 Жыл бұрын
This song helped me go through a tough time in 2020. Indeed God is faithful and He will never forsake us. Thank you Jesus,Praise you Jesus.
@MaryMunyaka-x4m5 ай бұрын
Me in 2018,and I emerged victorious
@Victoria-n6t8dАй бұрын
Nawapenda sana , na nyimbo zenu zinanibariki
@carolineatieno59332 жыл бұрын
This Song Uplifts my Spirit whenever am down and feeling hopeless. It reminds me that God is always Fighting for me. May the Almighty Father Bless this Man of God and His Family
@francislokone82132 жыл бұрын
Amen
@josphinenashipae99932 жыл бұрын
Me too❤️
@silasntonja2219 Жыл бұрын
He is never late,not today,not ever❤❤
@BesterKiface-ns6tsАй бұрын
Wimbo unaniliza umeimba kwa hisia sana
@issackchalahani12354 жыл бұрын
Hakika hii ni family bora na imtukuzaye Bwana kwa kuinjirisha kwa nyimbo bora! Jehovah awe nanyi katika kazi zenu siku zote za MAISHA yenu ya kumwabudu na kumsifu Baba yake.
@janeflorencengash42972 жыл бұрын
Oui
@elianbahati10 ай бұрын
This song was sang in the church and I started getting emotional.Big shoutout to all the singer and editors for creating this song it really touched my heart.
@vicnazar4926 Жыл бұрын
This song was the best we gave to my mum during her funeral on Monday 23rd January. I dedicate it to my late mum Anne Múthanje Mbúí
@JamesJuma-c4b3 ай бұрын
Mm cha kusema nakosa maana cyo kwa kubarikiwa hivi mpaka sielew ❤❤❤
@yucabethondigo76174 жыл бұрын
Mr and Mrs mukasa family I am in Kenya I love your group singing as a family mungu awainue awapariki aongoze hao watoto kwa njambo lolote wanapanga kufanya masomo yao yawe bila muisho
@robertombonyo27044 жыл бұрын
Nice song, God bless you
@evelinemodest46184 жыл бұрын
Mungu awabark Sana famila hi wimbo mzur mnoooo
@AmosBushoke-i9u Жыл бұрын
Atanipigania Mungu wangu
@anthonygatimu12582 жыл бұрын
This song makes my spirit stronger every time I hear it. May God bless your family and find another one like this too It makes heavens awake.🙏🙏🙏🙏Amina.
@ChristinaMpangala-v3w Жыл бұрын
My favorite songs❤
@nanciewanjugu8495 ай бұрын
In 2024 still here brought by one lady who sang this song on tiktok ,,ikanirudisha hapa🎉🎉🎉
@benadethaclement75964 жыл бұрын
Mbarikiwe
@KimaniMchege4 жыл бұрын
An emotional song,makes one feel like crying 😭😭... Weldone Bernard Mukasa
@isaackkwayu9429 Жыл бұрын
Kazi nzuri ya uinjilishaji ndugu Ben na familia yako. Big up brother
@gustavkunkuta67333 жыл бұрын
What on earth is there to fear when you have this prophetic reassurance via the voices of Sir Mukasa and family?
@hermanluoga20212 жыл бұрын
Nothing really until justice is brought to victory.
@brayoo62832 ай бұрын
I usually listen to this song whenever am weak and feel like loosing hope sometimes. But this song strengthen me much🙏🙏. Usually listen it more than 5times before I asleep
@tedykakay7354 жыл бұрын
Nafarijika sana nisikilizapo huu wimbo huu...Bernard mungu akubariki sana,akujalie maisha marefu
@christinenafula3186 Жыл бұрын
Wue!!!!,this is the best of all,have listened and even memorized it,i sing it all time even at work,i just love it, congratulations 🎉🎉🎉
@anthonymusyoki7794 жыл бұрын
2020 who's up...still rocking
@Samaritan2024 ай бұрын
Hiii familia Mungu azidi kuwabariki zaidi naisi Kwa utume huu mzuri na WA pekee Kwa wakatoliki🙏🙏
@ezekielkipkosgei6201 Жыл бұрын
This song rekindles my heart. What an inspiring song. God bless you @Mukaza family
@CralaMinja-cy6zt Жыл бұрын
What a nice song
@fideliamuma90255 жыл бұрын
Am tryna imagine, are these the Same people doing the background vocals especially alto and bass. If yes then I surrender. Good job
@embatidennis61075 жыл бұрын
That's a good observation that's production flavours Inbox me using my WhatsApp +254759677607
@embatidennis61075 жыл бұрын
I equally enjoy the melody too from Kenya here although a Ugandan from Christ The King Parish Arua
@jacklinekasendile5 жыл бұрын
Yes ni wao karibu makuburi misa ya 4 inaanza saa 5 utawaskia vyema
@embatidennis61075 жыл бұрын
I love this choir so much that I feel like organising an exchange visit one day probably when I come back from Poland I am a religious Brother under Franciscan Brothers OSF
@fideliamuma90255 жыл бұрын
@@jacklinekasendile where is makuburi to start with 😊. Well I don't know Tanzania but give me directions in reference to Dar
@mbembelathegreat57475 жыл бұрын
Kweli atanipigania Mungu awabariki sana
@francislokone82132 жыл бұрын
This xong makes cry each and every time when i listen to it , it makes me to repent and feel near to GOD
@stephineomondi1668Ай бұрын
Someone told me He’s blind, but I’d say it was a blessing in disguise he’s praised God more than us who have both eyes 😊
@amosmwaura90045 жыл бұрын
had to look for this after i heard it in church. watching from Nairobi Kenya.
@mrsmburu55404 жыл бұрын
is it in Nairobi
@LevocatusiMericiadi3 ай бұрын
Wimbo umetulia na una ujumbe mzito daah ubarikiwe babaa
@leonardbogonko44923 жыл бұрын
This song and many more from the Mukasas are so spiritually uplifting. May God bless you so much as you continue winning more soul's close to Him thru singing
@bernardmuiruri45182 жыл бұрын
yesterday KMK GALA at ( QUEEN OF APOSTLES RUARAKA NAIROBI KENYA) great performance
@octavianmpangaya39676 жыл бұрын
Barikiwa sana Mukasa kwa uinjilishaji wako,pamoja na viongozi wa kwaya ,waimbaji na waamini kwa ujumla wimbo unantia faraja!Atanpgania Bw.Yesu Amina!
@annastaciandinda73992 жыл бұрын
🐶😃😂😁😇😇😃👆🐶🙏
@obedeobed42362 жыл бұрын
Barikiwa Sana mukasa kwa hizo wimbo muzuri kazi nzuri unantia faraja
@rastagal48883 жыл бұрын
Mebarikiwa nisemeje lakini nafuraishwa kila mara na uimbaji wenu,,,nitazidi kuwaombea kwake Mola azidi kuyajaza Baraka Maisha yenu
@vladimirlobkowicz58075 жыл бұрын
What a beautiful music, congratulations and God bless. Greetings from Pilsen in Central Europe.
@yohanapaul91655 жыл бұрын
Mungu nisimamie familia yangu ikutukuze ww peke yako,kupitia huu wimbo nmejifunza mengi na hisia zangu huu wimbo utaishi milele katika maisha yangu asante sana mtunzi,ubarikiwe na familia yako kwa ujumla
@cleophasomondi54756 жыл бұрын
Your songs appeal to my soul, thank you for accepting Gods will to use you to preach to me. May God bless this family.
@susanmusungu47745 жыл бұрын
It touches my heart, May our good Lord bless the Mukasa's family
@nancykeirah69964 жыл бұрын
Mungu wangu najua hawezi niaje vile naendelea kuwalinda wenzetu wenye wamepatwa na ugonjwa wa corona....ingawa naogopa sana lakini mungu wangu naomba unipiganie usiniaje niangamie
@kimkawanjiku76652 жыл бұрын
Worshipping and Praising God as a family is the most beautiful thing.. Have mercy on me Dear Lord.
@peninacharles85982 жыл бұрын
Amen,amen nimesikia kubarikiwa sanaaaaa mbarikiwe sanaaaaa mungu awabariki zaid na zaid pamoja na familia yako
@marywanjiku347 Жыл бұрын
This song strengthen me everytime I feel so down 😢Incase I feel am worn out it revives my spirit again,,Mungu atatupigania kama familia and the cry of our hearts will be heard
@michaelpatrick91374 жыл бұрын
Ujumbe nzuri sana mtumishi,,ninaimani uliimba kwakumaansha Kbsa,,,ujumbe unanibariki mno mwenyezi Mungu azidi kukuinua viwango na viwangu
@cedondunda223 жыл бұрын
Just finished my kcse, and this song gives me hope and faith. 🙏🙏I shall not give up because i know bwana yesu atanipigania
@francislokone82132 жыл бұрын
Jesus will fight 4us
@StellaKamwara4 ай бұрын
Nice song , ndugu umebarikiwa,,, may Almighty God continue blessing you dear, I love the song
@jacklinechepkoech18654 жыл бұрын
Therapeutic & cathartic piece! Over and over again, listens repeatedly daily. Great Mukasa family!
@donatomweteri66003 жыл бұрын
I can't be able to explain how I really feel whenever listen to this song only God knows congrats 💯 mkasa
@joydianga956710 ай бұрын
Wow... 🎉🎉🎉 All women should be Mira. Just maybe these batches of "African men" will know how far their handshake should go. I love what I spent my time watching. And yes I can be Mira any day any time.
@jameskazitanga99476 жыл бұрын
Mkristo wa kweli kama hujawahi kushukiwa na roho mtakatifu , naamin ukizisikiliza nyimbo za baba na mama familia hii ya mkasa naamini akisikiliza kwa makin na hisia naam hakika roho wa was mungu hakuwa mbali na wewe , hongera baba daily nabarikiwa na nyimbo zako , Amina
@jamesmacha24926 жыл бұрын
napenda cna
@jastinkilingo87506 жыл бұрын
Amini
@antonyjeremia72246 жыл бұрын
Ukovizur Mungu akubarik
@Ndinda626 жыл бұрын
Napenda nyimbo zako sana. Mungu akubariki
@teddymushi9976 жыл бұрын
I really appreciate this family for sure
@princethuo71383 ай бұрын
Naupenda Sana huo wimbo wa #Bernard Mukasa , wimbo nzuri Sana karibu kila wiki Mimi huweka kuuskiza .....sauti nzuri Sana , asantii Sana ❤
@phylliskaluki10283 жыл бұрын
How satisfying it is to praise God with your family. God bless you abundantly
@suzanamsambazi64655 жыл бұрын
Neno LA MUNGU linasema ukiipenda dunia na mambo YAKE kumpenda MUNGU hakupo NDANI yako tumpende MUNGU ktk ROHO na kweli mama unaujumbe MZURI tatizo hujajikubari MUNGU alivyokuumba usimlekebishe MUNGU kwa chochote hizi nywele si mpango WA MUNGU badirikaa MUNGU akusaidie
@festuskathuki82293 жыл бұрын
Wow! The song is it the pianist, the lyrics just everything
@nicasgentv37514 жыл бұрын
Ubalikiwe kwa utume mwema
@kipropmesh5923 жыл бұрын
God won't leave us, He is there for us each an every time ♥️blessed moments
@francislokone82132 жыл бұрын
Amen
@lindakaari3576 Жыл бұрын
Nyimbo tamu sana za Bernard Mukasa nazipenda sana na Mungu akupee hekima nyingi zaidi.
@odettevianney30263 жыл бұрын
Gets into my heart. Thank you God, thank you Mukasa
@AnsilaMtey Жыл бұрын
Ubarikiwe San winbo mzuri mno
@berychrys26784 жыл бұрын
This is the best for sure.. Nikiusikia hadi machozi yananilenga.. God bless your family for touching all these hearts by God's warmth and calmness🙏🏾
@happinesskavishe92846 жыл бұрын
Kwa kweli aliyevunjika moyo akisikiliza huu wimbo atapata faraja kubwa ajabu hongera mwalimu B.Mukasa na familia yako Mungu azidi kukulinda na kukuinua ktk kipaji alichokupa ili usichoke kumsifu...
@martinajohn16624 жыл бұрын
Am proud to be a catholic when listening this song
@susanmartin37744 жыл бұрын
Me too....
@PeterAwe-gx6yr8 ай бұрын
nimeguswa sana nanyimbo hii mungu akupe Masha marefu
@monicamuesh9644 жыл бұрын
My tears flow down my heart when I listen this song . it's really inspirational .may the almighty God bless you abundantly together with your family . you are doing great work of evangelization
@QueenCrystal-o4q6 ай бұрын
Great song❤
@sifunawanjala61615 жыл бұрын
I love it, I love the voice, intact we are going to sing it today at don bosco upper hill Catholic church
@carolineatieno60194 жыл бұрын
Yui. 🕛🕛🕛🕛💑💑
@marryfrederick7472 Жыл бұрын
Nina ushuhuda tosha kwA wimbo huu mungu akupe maisha marefu nstamani sana maisha yakuwa karibu na yesu
@rosemarykenedy40344 жыл бұрын
Ataniacha bwana yesu mi na familia yangu niangamie na corona milele yote atatupigani