BEST NASO:WASANII WABONGO WAMENIROGA/WACHAWI HAWANIWEZI/MIMI NDIO MFALME HAKUNA MFALME MWINGINE

  Рет қаралды 21,546

Wasafi Media

Wasafi Media

Күн бұрын

𝕎𝔸𝕋ℂℍ 𝕎𝔸𝕊𝔸𝔽𝕀 𝕋𝕍 📺
𝗔𝗭𝗔𝗠-𝟰𝟭𝟭 | 𝗗𝗦𝗧𝗩 𝟮𝟵𝟲 | 𝗭𝗨𝗞𝗨-𝟬𝟮𝟴
𝗦𝗧𝗔𝗥𝗧𝗜𝗠𝗘𝗦-𝟰𝟰𝟰 & 𝟯𝟯𝟯 | 𝗖𝗢𝗖𝗢𝗡𝗨𝗧 𝗧𝗩-𝟮𝟬 |𝗗𝗼𝗱𝗼𝗺𝗮𝗖𝗮𝗯𝗹𝗲-𝟭𝟭𝟯
𝑰𝑵𝑺𝑻𝑨𝑮𝑹𝑨𝑴: 𝗵𝘁𝘁𝗽𝘀://𝘄𝘄𝘄.𝗶𝗻𝘀𝘁𝗮𝗴𝗿𝗮𝗺.𝗰𝗼𝗺/𝘄𝗮𝘀𝗮𝗳𝗶𝘁𝘃/
𝑻𝑾𝑰𝑻𝑻𝑬𝑹: 𝗵𝘁𝘁𝗽𝘀://𝘁𝘄𝗶𝘁𝘁𝗲𝗿.𝗰𝗼𝗺/𝘄𝗮𝘀𝗮𝗳𝗶𝘁𝘃/
𝑭𝑨𝑪𝑬𝑩𝑶𝑶𝑲: 𝗵𝘁𝘁𝗽𝘀://𝘄𝘄𝘄.𝗳𝗮𝗰𝗲𝗯𝗼𝗼𝗸.𝗰𝗼𝗺/𝘄𝗮𝘀𝗮𝗳𝗶𝘁𝘃/
𝕃𝕀𝕊𝕋𝔼ℕ 𝕎𝔸𝕊𝔸𝔽𝕀 𝔽𝕄 📻
𝟴𝟴.𝟵 𝗗𝗔𝗥 𝗘𝗦 𝗦𝗔𝗟𝗔𝗔𝗠 📻 | 𝟭𝟬𝟰.𝟭 𝗗𝗢𝗗𝗢𝗠𝗔 📻 | 𝟵𝟰.𝟱 𝗔𝗥𝗨𝗦𝗛𝗔 📻
𝔽𝕆𝕃𝕃𝕆𝕎 𝕌𝕊 𝕆ℕ:
𝑰𝑵𝑺𝑻𝑨𝑮𝑹𝑨𝑴: 𝗵𝘁𝘁𝗽𝘀://𝘄𝘄𝘄.𝗶𝗻𝘀𝘁𝗮𝗴𝗿𝗮𝗺.𝗰𝗼𝗺/𝘄𝗮𝘀𝗮𝗳𝗶𝗳𝗺/
𝑻𝑾𝑰𝑻𝑻𝑬𝑹: 𝗵𝘁𝘁𝗽𝘀://𝘁𝘄𝗶𝘁𝘁𝗲𝗿.𝗰𝗼𝗺/𝘄𝗮𝘀𝗮𝗳𝗶𝗳𝗺/
𝑭𝑨𝑪𝑬𝑩𝑶𝑶𝑲: 𝗵𝘁𝘁𝗽𝘀://𝘄𝘄𝘄.𝗳𝗮𝗰𝗲𝗯𝗼𝗼𝗸.𝗰𝗼𝗺/𝘄𝗮𝘀𝗮𝗳𝗶𝗳𝗺
𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2020 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
#wasafi #wasafitv #wasafifm

Пікірлер: 103
@jumaibrahim4297
@jumaibrahim4297 3 жыл бұрын
Mfalme anairudisha himaya yake sasa! Namkubali sana huyu mwamba
@naomiantony4583
@naomiantony4583 3 жыл бұрын
Hapana, Umeniangusha kwenye interview mzee baba,unaulizwa jambo moja unatoa maelezo mengi sana! Ambayo hayaendani naswali uliloulizwa.
@aishambise6529
@aishambise6529 3 жыл бұрын
Nyimno zako huwa nzuri sna
@singasinga2663
@singasinga2663 3 жыл бұрын
Aliya unafanana sana na best nasso
@shukurupazia8420
@shukurupazia8420 3 жыл бұрын
Huyu jamaa ngoja aseme yeye ni mfalme bado anaimba zile nyimbo zenye ujumbe na kuelimisha karibuni nyimbo zake zote
@alexmzumbwe1328
@alexmzumbwe1328 3 жыл бұрын
Uko vizuri imba hata nyimbo za dini mungu akubariki
@joanessimaosinamakonde6498
@joanessimaosinamakonde6498 2 жыл бұрын
Mimi napenda shana musica ya best nasso.
@owinorashh2353
@owinorashh2353 3 жыл бұрын
pole sana naso lakini jikaze mm niko kenya na wewe ni msanii wangu mkubwa sana mm ni shabiki wako mkubwa kwanza na napenda nyimbo lako la KIPOFU
@0656840872
@0656840872 3 жыл бұрын
Acheni kumtusi sana huyu jamaa hebu msikilizeni kwa makini jamaa ana confidence na anachokiongelea Kuna anayoyajua nyinyi hamfahamu, usanii una mambo mengi na nguvu za kishirikina zinatumika.
@mfswcb5837
@mfswcb5837 3 жыл бұрын
nayy kasem n mchaw
@0656840872
@0656840872 3 жыл бұрын
@@mfswcb5837 siez kupingana na hilo sababu asingekua yy ni mchawi basi asingewafahamu wachawi wanaomroga kwa hilo yupo sahihi ila simuungi mkono huo ni ushirikina na haufai
@samnjuu1717
@samnjuu1717 3 жыл бұрын
She is best naso
@innocentjoseph805
@innocentjoseph805 3 жыл бұрын
Unacho ongea ni kweri kabisa kaka, but some people is stupid.
@barakasaimon5602
@barakasaimon5602 2 жыл бұрын
Nani kweli jamaa ngoma zake uwezi kuliganisha nawaimba matusi
@davido-scooper9471
@davido-scooper9471 2 жыл бұрын
Gigi hawez kweli Kuongezea huyu Mashabk
@daboe2528
@daboe2528 3 жыл бұрын
Aaah nimemkubali kwasababu nayey anajikubari👏🏿
@nasranoti08
@nasranoti08 3 жыл бұрын
nikwel kbx jamaa yupo vizur sana me namkubal sana
@MrMtulivu
@MrMtulivu 3 жыл бұрын
The way he speak the way he's sing is two things different doooo. Computer imerahisisha kweli.
@jayproducts5871
@jayproducts5871 3 жыл бұрын
Wangapi wanakisikia kithethe kwa nasso kama nay vile
@yudadaniel4867
@yudadaniel4867 3 жыл бұрын
sawa broo tumekuelewa ww ndio mfalme lkn mfalme wa kuvaa kilemba
@mpoleclassic160
@mpoleclassic160 3 жыл бұрын
Huyu jamaa namkubali ila Leo kaongea usenge😂😂🤣🤣🤣🤣😂
@samwelipetro384
@samwelipetro384 3 жыл бұрын
Huyu mwamba kweli karogwa...
@bjzee1981
@bjzee1981 3 жыл бұрын
Kungekuaga na kulogwa nakwambia chadema wangesha mloga magu
@mfswcb5837
@mfswcb5837 3 жыл бұрын
hahahahah kwel umenena
@zuleyvendor6577
@zuleyvendor6577 3 жыл бұрын
😂😂😂
@tatuhongeranurushaus485
@tatuhongeranurushaus485 3 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣kwa kwel maana wanammezea mate magu wetu 🤣🤣🤣
@masatuadolfu8691
@masatuadolfu8691 3 жыл бұрын
uko sawa
@inocentmwale962
@inocentmwale962 2 жыл бұрын
Kweri kabisa
@msukuma1
@msukuma1 2 жыл бұрын
Msanii wa wasukuma 😀😀
@ellenkamanzi3505
@ellenkamanzi3505 3 жыл бұрын
Bongo kunavituko nilijua nibibi ametoka shamba naicho kitambaa kichwani
@CSMAPESA
@CSMAPESA 3 жыл бұрын
Umaskin mbaya sana
@yustinapeteryustinapeter6853
@yustinapeteryustinapeter6853 3 жыл бұрын
Wanakuloga kwelii we nimkali achana nao wanao kutukana wote wanaupungufu wa akilii
@aishambise6529
@aishambise6529 3 жыл бұрын
Toa iyo kitambaa unakaa mama
@zilizotufikia946
@zilizotufikia946 3 жыл бұрын
😂
@mbmussa_fashionstyle9824
@mbmussa_fashionstyle9824 3 жыл бұрын
Uonekan kwenye tamasha sababu hujui hiro tamasha ukiwepo atuingii
@mbmussa_fashionstyle9824
@mbmussa_fashionstyle9824 3 жыл бұрын
Huna akir wew jitu jinga kwel wew ni wakuwa mfalme wew
@kaserekambafumoja5005
@kaserekambafumoja5005 10 ай бұрын
Mziki wako ni djuu sana mwalimu hata uku congo unawashinda wanamzika kibao ndokweli nasema, best naso hakuna wakuchukua nafasi yako narudi hakuna! Natoka congo mashariki naitwa John parrot
@hawaabdallah4782
@hawaabdallah4782 3 жыл бұрын
Kweli naso wew mkali
@hillarymtui4347
@hillarymtui4347 3 жыл бұрын
🙏❤
@bizindavyinicolas4450
@bizindavyinicolas4450 3 жыл бұрын
Wahoji na wasani wa konde gang jamani kama wasafi hawana shida na harmonize
@anastaziakilaza7456
@anastaziakilaza7456 Жыл бұрын
Saana
@user-jn7pi4fl5m
@user-jn7pi4fl5m 3 жыл бұрын
Kweli ww tunakuelewa
@davelarry5343
@davelarry5343 3 жыл бұрын
Bona Mimi sikujui wew pambana kaka acha maneno mengi sema kufulia kubaya
@thomaskaniki6755
@thomaskaniki6755 3 жыл бұрын
Kama hunijuicoment yann sasa
@justinigurgo3342
@justinigurgo3342 6 ай бұрын
0:10 0:23 0:24 0:25 0:25
@justinigurgo3342
@justinigurgo3342 6 ай бұрын
Besti naso
@kingshiyneshiyneboy1120
@kingshiyneshiyneboy1120 3 жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/joDPnGWwidZ5oKM king shiyne tz anawaomba support yenu ila samahanini Kwa wale ambawo ntakua nmewakera ila naamini nyimbo mtaipenda coz inaukweli kwenye jamii na katika maisha yetu ya sasa hivo twenden Kwa pamoja tuka enjoy music mtamu kutoka Kwa king shiyne tz nawapenda Sana🙏🙏🙏💙
@limitoboe
@limitoboe 3 жыл бұрын
Jionee hii kzbin.info/www/bejne/a3LUfoV5ebF3m6M
@winfridaw.mwashala289
@winfridaw.mwashala289 3 жыл бұрын
msanii wangu
@user-ig9rl2hv6h
@user-ig9rl2hv6h 11 ай бұрын
Kumamako nasooo he ushafikia stage iyo
@imanuelsylous3514
@imanuelsylous3514 3 жыл бұрын
Mama🤸🤸🤸🤸 Yan kenge kwer.........
@shedrackshedrack9780
@shedrackshedrack9780 3 жыл бұрын
hii
@lovenessamos5232
@lovenessamos5232 3 жыл бұрын
Nahicho kitambaa kichwani kama demu pia umelogwa ili ukivae au
@samwelibky_eze2571
@samwelibky_eze2571 3 жыл бұрын
Ila kijana anajihamini sana
@janatahmad7048
@janatahmad7048 3 жыл бұрын
eti mfalme 😂😂wa maneno.ama?? huna hakili wew bwege sana gigy mwenyew anakuzidi impact sana 😂😂😂
@sultanmakofia2252
@sultanmakofia2252 3 жыл бұрын
kaka achi madude mashabiki zako tupo
@Ibrah__
@Ibrah__ 3 жыл бұрын
Hili jamaa jinga sana
@edwinlawi6824
@edwinlawi6824 3 жыл бұрын
Huyu dishi limeyumba siyo bule
@zackmuga
@zackmuga 3 жыл бұрын
Dah jamaa kafulia,juzi wamekuja kufanya show bar moja Huku mloka rufiji yeye na beka flavour
@emmanuelmakore4139
@emmanuelmakore4139 2 жыл бұрын
Komaa kijana mwenzetu itafait tu man
@Daphne362
@Daphne362 3 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣🤣😂😂😂😂😂😂et wewe ni mnini Nasso untaniua mtoto wa mwenzio🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣nakupenda sana Nasso❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤🇬🇧🇬🇧🇬🇧🇬🇧🇬🇧🇬🇧
@imanuelsylous3514
@imanuelsylous3514 3 жыл бұрын
Gigi kasikia kwer hiii interview 🙆🙆🙆🙆🙆🥂
@rukiaiddyyahaya9506
@rukiaiddyyahaya9506 3 жыл бұрын
Anajihami life inawachapa Wasanii kinoma Ila ufalme huna kaka unavunga
@eliassabbath2480
@eliassabbath2480 3 жыл бұрын
bangi bana😂😂
@mfswcb5837
@mfswcb5837 3 жыл бұрын
hahahahaha
@zabibunduwimana4612
@zabibunduwimana4612 3 жыл бұрын
Mbona umevaa kitamba chawa Mama
@evaristmathias3303
@evaristmathias3303 3 жыл бұрын
Nikweri wanaloga sana
@mbmussa_fashionstyle9824
@mbmussa_fashionstyle9824 3 жыл бұрын
Lecod zako unazijua wew mwenyew 2
@samwelibky_eze2571
@samwelibky_eze2571 3 жыл бұрын
Abenuuu 😂😂😔😔😔😔
@espoirbesthopemelody1939
@espoirbesthopemelody1939 3 жыл бұрын
Na'wa hine🤣🤣🤣🤣
@goodlucktemu3149
@goodlucktemu3149 3 жыл бұрын
Anaongea pumba bila kujujua, ivi mara ya mwisho nyimbo yako kupigwa radion lini?
@frankmachette3221
@frankmachette3221 3 жыл бұрын
Bange nazoo
@masungamwandu4960
@masungamwandu4960 3 жыл бұрын
Naso uko pw xana gigy hakuwez ww ni mfalme hakna mwingine bongo flava wengi wao sifa tu lakn kwako naso Kaz Kwanza sifa baadae
@goodlucktemu3149
@goodlucktemu3149 3 жыл бұрын
Kumbe dada enu mtangazaji anajua kuvaa na kupendeza.
@tatuhongeranurushaus485
@tatuhongeranurushaus485 3 жыл бұрын
😄😄😄😄😄naona leo kajitaid kuvaa maana anavaaga mabwanga 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@goodlucktemu3149
@goodlucktemu3149 3 жыл бұрын
@@tatuhongeranurushaus485 uyu nahisi ameishi sana kijijini kwaiyo anacho amua yeye ndio icho
@athumanimagori9829
@athumanimagori9829 3 жыл бұрын
msanii huyo anajua sana sema wanajifanya hawamjui
@alexnymhngmarwa7085
@alexnymhngmarwa7085 3 жыл бұрын
Nikweli yye ndo mfalume
@kichwachagoogle5138
@kichwachagoogle5138 3 жыл бұрын
Anaongea Nyege tu
@sambayoo6441
@sambayoo6441 3 жыл бұрын
Ila unga mbaya xana ase jamaa kadata
@petterimanh8684
@petterimanh8684 3 жыл бұрын
😱😱😱
@sultanmakofia2252
@sultanmakofia2252 3 жыл бұрын
kweli kaka goma zako tunazipata bila kiki wa prmoshe
@timothypaul1714
@timothypaul1714 3 жыл бұрын
Mtangazaji wa hiki kipindi sijui yupoje anapenda kuchonganisha Sana wasanii ...cjui anafaidika nn?
@shaniathumanishaniathumani8515
@shaniathumanishaniathumani8515 3 жыл бұрын
TATIZO AALIYA MATANGAZO KIBAO KABLA HAUJATUPELEKA KWENYE LENGO
@allybaba9920
@allybaba9920 3 жыл бұрын
Acha hizoo
@elishachenya5341
@elishachenya5341 3 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣 uwiiiiiiiiiii mfalme labda wa wakulya huko musoma @youngkiller anakutosha hatukuon ww shndana na @hbaba
@masungamwandu4960
@masungamwandu4960 3 жыл бұрын
Kwel naso gigy watu walikua hawamjui kupitia nyimbo utapata watu wamemjua
@mfswcb5837
@mfswcb5837 3 жыл бұрын
kwel bag sio nzr nmekbal au kwel alirogwa
@bongoupdatestv9322
@bongoupdatestv9322 3 жыл бұрын
😂😂😂😂😂 mchawiii
@ibrahimkanuto3514
@ibrahimkanuto3514 3 жыл бұрын
Duh wakati wako umepita bro
@bercahot152
@bercahot152 3 жыл бұрын
Huyu jamaa ame2mia maneno ya kisanii!! Uchawi sio ule unaoufahamu
@peterwolftz2220
@peterwolftz2220 3 жыл бұрын
😂😂
@daboe2528
@daboe2528 3 жыл бұрын
Tunasubir interview ya gigy sas
@joymsupagladysijeya8384
@joymsupagladysijeya8384 3 жыл бұрын
Wana ronga ata kusah karogwa sio mbure kwaza wasaani wana rongana
@alhajikipingu1661
@alhajikipingu1661 3 жыл бұрын
Hizo bang sasa
@samwelipetro384
@samwelipetro384 3 жыл бұрын
KUJIITA MFALME WAKAT HATA HAUNA IMPACT KWENYE JAMII HUO NI ISHAMBA...UNAHOJIWA HAPO NA WASAFI..KWAHYO MONDI NAE ANAKUROGA.....😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅
@kennymsanii6073
@kennymsanii6073 3 жыл бұрын
Hhh
@madundolucas4420
@madundolucas4420 3 жыл бұрын
Nasso ngoma ulio fanya na huyu dem ulimbadilisha kinoma mpaka nilianza kumfatilia
@ommietrendz7175
@ommietrendz7175 3 жыл бұрын
Wewe kweli utuimbie TUMA RINGA uwe Mfalme ? Hivi ulituchukuliaje kwanza dah eti Tuma Ringaaaa 😟 Huna wimbo viewers nyingi zaidi ya UTABAMBA sababu ya GIGGY
@tatuhongeranurushaus485
@tatuhongeranurushaus485 3 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@33-synchronized
@33-synchronized 3 жыл бұрын
Hahah
@finemubah
@finemubah 3 жыл бұрын
Bongo Kiki,anajua kuwa anaongea ujinga Ila ndo kiki
@sultanmakofia2252
@sultanmakofia2252 3 жыл бұрын
kaka achi madude mashabiki zako tupo
Will A Guitar Boat Hold My Weight?
00:20
MrBeast
Рет қаралды 134 МЛН
Violet Beauregarde Doll🫐
00:58
PIRANKA
Рет қаралды 52 МЛН
Ong Bak | Fight Club Scene
15:05
Cinewatch
Рет қаралды 72 МЛН
The Day Ronaldo Showed Messi, Neymar & Mbappé Who Is The Boss
19:19
best naso ndani ya HERITAGE FULL
27:41
EVELINE CHADORA
Рет қаралды 7 М.
"Hizi hesabu mnaona nazidisha mimi nilipata F ya hisabati"
33:56
BBC News Swahili
Рет қаралды 166 М.
Will A Guitar Boat Hold My Weight?
00:20
MrBeast
Рет қаралды 134 МЛН