Bi Mswafari ananena kwa hekima sana, kwa maoni yangu. Wanawake wachanga shida, faida yao tu ni kuzaa watoto.
@seziholiness99219 жыл бұрын
Bi msafwari ....asante sana kwa ushauri wako .....
@thadeobukunda43824 жыл бұрын
Mnada nganyana leo
@calorinemwoga26383 жыл бұрын
Inakuaje mwanaume anakuja anakwambia unamuwekea dawa katika chakula na anapo lala,ukiachana na Hilo anatoka nje anazaa mtoto anakudanganya kuwa mtt anamwezi mmoja kumbe anamiezi minne mtoto wao anaumwa nashitakiwa Mimi kuwa nimemloga ndugu wanaingilia Kati kuwa nilijipeleka kwahiyo nijiondoe naombaa ushauri bi msafwari.