HAKIKA mama bahati,,,umebariki dunia,juu wimbo wako unatia Moto saanaaa,,,,,,ata wewe mwenyewe UMEWAZIDI WOTE,,,, 👌👌
@HappyRichard-lh9sz Жыл бұрын
Mama una pambana mungu akujalie maisha mema
@salimanasri39804 жыл бұрын
Napenda sana uyu mwimbo kwel kabisa uliwambia ukwel
@faredamobilo36782 ай бұрын
Nipo hadi sikunya kiama,Amewasudi wote, nimewasudi wite hata tuliwasidi wote!
@kabwelerywamwatumu50782 ай бұрын
Bahati bukuku nimekuita kwa mara nyingine kwa nyimbo hii umonyesha uwezo wa juu na bado uko juuu.
@stellaj67334 жыл бұрын
Mm nazidii kubarikiwa na huu wimbo Mungu Akubariki mtumishi hata kwa kipawa huu wimbo ni mzur sana hata unaweza usikiliza mahal popote God bless you Mom
@brianomburaevans9 күн бұрын
wooow sauti nzuuri yenye ushauri mwema here 2025
@hidayatondogoso83294 жыл бұрын
Huu wimbo nilipomfichua mumewangu ukumbin wakat nampeleka mbele nilisinfikizwa na huu wimbo watu hawakuamin km niliijua minong'ono yao juu yangu
@carynahwaotindo83137 жыл бұрын
Eti wanasema hivi nilivyo si hazi yako,eti wanasema mm sifanani kua na nyumba hio,hawajui tulianzia wapi...thanks mum Bahati, umemulika my village people
@MrFarta20066 жыл бұрын
Hawa binadamu acheni wivu kwa wengine
@annanyimbonyimbo87365 жыл бұрын
Nakupenda sana Dada bahati
@tutimwatonoka40925 жыл бұрын
Mungu azidi kukubariki kwa huduma yako nzuri
@officialtakatuka71275 жыл бұрын
Umenibariki sana bahati mungu akipenda 2020 nkfunga ndoa yangu ndo utakuwa wimbo wangu wakuingilia ukumbini ubarikiwe sana
@beatricemdoe66044 жыл бұрын
Tuta kusindikiza
@janethkagali26504 жыл бұрын
Usininyime kadi
@dorcahogeto15444 жыл бұрын
Ulifunga ndoa@official takatuka? manake ni 2020
@officialtakatuka71274 жыл бұрын
Na tumechanganya iman na matendo tumetoa kitu.
@dorcahogeto15444 жыл бұрын
@@officialtakatuka7127 ahaa raha iliyojem Pongezi
@MsafiriMoza-uu9gd11 ай бұрын
2024 wanani tunaangaliya 👈
@raisaafrica02555 жыл бұрын
Abarii watoto wa munguu bahatiii munguu akubarikii sanaa mimi nakupendaga sanaaa mama wa munguuu ooh yesuu mungu akuwongoze and to stick by you my mum
@khadijajumanne24554 жыл бұрын
Sijawah uacha huu wimbo naupenda Sana'a dada angu l love you so mwaaaaaaaaa
@veroharuna41093 жыл бұрын
Umetishasan.mungu.akubaliki
@fatmafa18965 жыл бұрын
Amen kazi nzuri Sana kweli MUNGU akubariki kwa JINA LA YESU KRISTO ALIYE BWANA NA MWOKOZI WETU AMEN
@aminaelli28274 жыл бұрын
Namini Mungu akinipa mume lazima ni ingie nao ukumbin
@JudicaelleGatali Жыл бұрын
salamu kwa maman bahati bukuku ,car elle me rend plus heureuse dans ma vie que tout puissant te comble de sa grâce et une longue vie à vous ,je vous inviterais a mon mariage , I love you mama❤❤❤ , Congo Brazzaville 🇨🇬🇨🇬🇨🇬
@ArnoldSindani7 ай бұрын
100/100 mimi djina langue kabangu josue n'a RDC Niko nafuata Sana nyimbo za kina dada bahatti bukuku Lila Siku n'a Lila wakati
@farhatmahamoud12864 жыл бұрын
Barikiwa Dada bahati... Napata faraja sana ya huu wimbo
@carynahwaotindo83137 жыл бұрын
Wooow Bahati!!!? Wat a beauriful song!!!napenda Sana huu wimbo
@eduhjay55722 жыл бұрын
Everytime i open my KZbin, this is the first song to play before anything else
@pendoyohana27602 жыл бұрын
U
@jessecokiru19624 жыл бұрын
Lovely song napenda nyimbo zako dada, iko namessage Mungu azidi kukuinua sana ubarikiwe
@aronmollel52756 жыл бұрын
Mungu akubariki kwa wimbo mzuri na azidi kuniinua.
@moureenasenwa7726 Жыл бұрын
keep it up blessed Bahati. may God uplift u forever
@PTNTVNEWS4 жыл бұрын
i love this old version of the song than the new version,who is with me?
@victoronuko82264 жыл бұрын
Here i am.
@isaacmusembi10195 жыл бұрын
Nakupenda Bahati
@denniskiango69016 жыл бұрын
Hii nyimbo wanaume tuisikilize Mara kwa Mara barikiwa Bukuku
@devothameshack94626 жыл бұрын
Dawa yaadui nimafanikio yako watabak kung' ata midomo mimi nawangu tukiinjoy mapenzi mbashalaaaaaaa!
@zamzamproduct45914 жыл бұрын
Umenena vyema san
@kelvinmediaproduction57105 жыл бұрын
my favorite song ever,utamu wake hauishi daima,barikiwa sana bahati,wameact hii poa sana
@sadathyunusu92395 жыл бұрын
Good song baath bukuku
@sylviaashuma58156 жыл бұрын
keep it bahati huu wimbo wako n funzo kwangu haifai kuingilia ndoa y MTU ubarikiwe.
@namegabefiston12374 жыл бұрын
Vrmnt s bon
@MwilaMuyoba3 ай бұрын
I like this song from Zambia🇿🇲🇿🇲
@siagideon97995 жыл бұрын
Sijawahi kuucha huu wimbo, naupenda sanaaaaaaaaa
@davlinjuma64289 ай бұрын
Vizuri sana wimbo zuri hongera
@balozitv39005 жыл бұрын
Napenda nyimbo zako mama mungu akubariki
@tabithakayoka35733 жыл бұрын
Amen barikiwa sana
@bahatijoey86874 жыл бұрын
This song inspired me a lot to love my wife so much thanks
@evansokoth21193 жыл бұрын
My friends this song inspired me more if recal back how I used to be in exile truly tears flows down my cheeks, thanks alot Nehem limpopo
@evansokoth21193 жыл бұрын
If knows her contact plz help me with I give my prize to her
@gondijudith54215 жыл бұрын
👏👏💓l Love this... Ma likes za Bahati zikam
@nassralmaawali91637 жыл бұрын
Jaamani hi nyimbo nzuri dah ubarikiwe saaana bahati bukunu
@ramadhanmaulid54236 жыл бұрын
mwanamke mjinga anavunja ndoa kwamikono yake mwenyewe
@bhokemiss12065 жыл бұрын
Mungu akutie nguvu
@hellenkellan64806 жыл бұрын
Very touching song and great one.I would wish this song to be my wedding song.i loooove it.God bless you sister
@JudicaelleGatali Жыл бұрын
J'aime beaucoup tes chansons 🇨🇬🇨🇬👏👏❤️❤️
@charmantekazingufu8314 жыл бұрын
Mungu aku bariku nyimbo ina tupa faraja
@bettychebichii86536 жыл бұрын
God richly bless you Bahati bukuku your songs are powerful and inspiring ,more grace MAMA
@rosepolla87586 жыл бұрын
Mungu azidi kukuinua kwa huduma
@veronicanemesi26865 жыл бұрын
Nice song bahati bukuku nakupenda sana Dada angu
@MasikamwisaAnita7 ай бұрын
Ume nibariki sana Dada
@anetkhavayi58866 жыл бұрын
I can't stop from listening from this song .It's so nice and may you be blessed for it .Glory belongs to God
@habimanaangella47263 жыл бұрын
Mamabukuku uje ukatuhubiri zambia
@habimanaangella47263 жыл бұрын
Huyonimume wako? Anaoneka fanyingi kwenye nyimbozako??
@victoradisa81554 жыл бұрын
Such a beautiful song. Excellent!
@juwanyirenda34574 ай бұрын
Simply sublime!
@wilsonoduoromondi84596 жыл бұрын
Wow! Wow wow!! To God be the Glory be blessed sister.
@ginamaning1011 Жыл бұрын
cette chanson de bahati bukukume donne une chaire de poule ca me fait du bien
@neematsofa5906 Жыл бұрын
Nikiskia hii nyimbo nalia tu maana nilie anza maisha nae alienda
@MwilaMuyoba3 ай бұрын
I love this song God bless you
@gracenyanza4326 жыл бұрын
jamn Dada angu huu wimbo hauchoshi mung akupe kibari katika mipango yako
@jeriothmathenge12655 жыл бұрын
I love the songs,, I kip on listening like every hour... U are blessed mama bahati
@busiaoffice67436 жыл бұрын
I like the song imelinganishwa na watu wa village wa kusema
@eddyndafisimanakbs82575 жыл бұрын
Busia Office Yes Urashoboye
@jacquewilson3776 жыл бұрын
I love this woman she's my mentor inspiration... More blessings Bahati
@PETROSONTIEGGER6 жыл бұрын
Jacque Wilson
@sifambuya9445 жыл бұрын
Wow wanderful
@elizasaid21864 жыл бұрын
Ogela sana bigp
@jacklinmacha54716 жыл бұрын
najiamini nimewazidy woteeeeee
@carynahwaotindo83136 жыл бұрын
I believe in the strength of a praying woman..... Hawajui maombi ninayoomba yanakupa vyeo...siku zoote tabasamu lako ni faraja kwangu
@gabamenshimarcel334 жыл бұрын
Bahati Bukuku muimbaji wa Kwanza Est African mrembo Pia n'a sauti nzuri Mungu amusaidie kwa kipaji cake.
@sharlynenyongesa20604 жыл бұрын
Nice song
@alicekathekya78736 жыл бұрын
umenibariki can uyo wimbo ,akika mume wagu amewazidi wote, it will be my wedding song 2020
@violacostantine46065 жыл бұрын
The song 🎵 is so amazing, so nice, yu did better sister
@wanjadouglas30585 жыл бұрын
Its 2020 and this song only reminds me that you can only treasure one person. Wangu amewazidi wote.
@emmahkali85145 жыл бұрын
True
@elizabethmelikyori30894 жыл бұрын
Duu hii nimependa sanaa dada bahati
@maurineowino32766 жыл бұрын
I love u Bukuku,May almighty God reveals and add u more wisdom to teach the world about Him,u are a wonderful creature and blessing to the world as a whole,more love dear.
@cyprianpaskal93324 жыл бұрын
Kirisitina shuushu
@swaumkiruri12275 жыл бұрын
Nimepitia hayo maneno yote hakika nikifikiria machozi yananitoka sikutegemea
@salimanasri39804 жыл бұрын
Ubarikiwe dada yetu 👌👌👌👌
@chepngetichvalery53034 жыл бұрын
I love who you're bahati you are blessing to many umetubariki
@deogracebanzamasaka45666 жыл бұрын
salamu kwa mama Bahati bukuk ! j'aime beaucoup ta chanson UMEWAZIDI WOTE car elle me rend plus heureux dans vie. que le DIEU Tout Puissant te comble de sa grâce et une longue vie. continue comme ça et tu verras la main de l’Éternel. je salut tous tes collaborateurs et surtout continuer à Persévérer.
@JacintahWekesa11 ай бұрын
Hawajui kabisa.
@ireneanzuruni38026 жыл бұрын
Ubarikiwe
@عزوزالعسيري-ح8غ7 жыл бұрын
Wonderful,I luv this song
@babatheochriss46476 жыл бұрын
There's a power in a praying woman..
@azuraykitengie32905 жыл бұрын
Waouh que la gloire soit rendue à l'éternel ce depuis la rdc
@nikolaushamis82963 жыл бұрын
Love song
@jarednyamari62092 жыл бұрын
I like the song
@lucymunjuri76563 жыл бұрын
A very sweet melody!!
@mwambaebwatelogilbert66304 жыл бұрын
Eti wanasema Mimi sio hazi yakooo
@shaletmzee97486 жыл бұрын
my favorite song , God bless you
@happyngomaa90796 жыл бұрын
Barikiwa bahat
@aliceakinyi22396 жыл бұрын
In mungu tu ubarikiwe
@naimakelvin93015 жыл бұрын
Ubarikiwe sana mahat bukuku
@leahgetwambu10236 жыл бұрын
Bahati bukuku, I love her songs
@maymbunda81174 жыл бұрын
Ubarikiwe mama
@themaiburus90755 жыл бұрын
Am never tired of listening to this 🙏
@magrethmbena3786 жыл бұрын
huu wimbo unanikuna mno sitamani uishe kila saa nausikiliza
@nestorystephano46082 жыл бұрын
Daaaa hapa nausikiliza usik huu wa saa 12:30
@HenryKyalwe-jd7uv Жыл бұрын
Félicitations tu chantes bien
@elizabethkimalio39006 жыл бұрын
Waoooh I saw u Chery so nice
@norahcao15046 жыл бұрын
nice song bahati bukuku i relly like your sngs more blessing