BIASHARA YA UWAKALA wa pesa/ Mbinu za Siri katika biashara hii

  Рет қаралды 32,155

SED Jamii.

SED Jamii.

Күн бұрын

Kufahamu mambo kumi kuhusu juma Mgunda wa simba. Link hapo chini 👇👇👇
• UKITAZAMA HII VIDEO UT...
Kujua historia ya mchekeshaji Joti. Gusa link 👇👇
• HIVYO NDIVYO TAMTHILIA...

Пікірлер: 47
@user-et3hd7zk7z
@user-et3hd7zk7z 10 ай бұрын
kaka asante kwa somo zuri kwani umenifungua na kuifahamu faida ya uwakala wa hela asante sana👏👏👈👈
@maalimumachichanatangu8332
@maalimumachichanatangu8332 4 ай бұрын
Umetisha
@ClaraElibrother
@ClaraElibrother 7 күн бұрын
❤❤❤
@adamjrbee2657
@adamjrbee2657 Жыл бұрын
Nakuunga mkono kwa elim yako kwani hata mm niwakala wa mda mlefu sana na nilianza na mtaji mdogo na Sasa ninamtaji mkubwa sana tofauti na nilivyoanza na Sasa ninaofisi mbili Sasa hadi leo wengi wanashindwa kufanya biashara kwasababu ya wakidhan waw na mitaji mikubwa ndp watafanya biashara................................ By mwl Benerdicqith Mongah Bandyh
@MOZO-mc6md
@MOZO-mc6md 8 ай бұрын
Habari kaka
@mbeyatv
@mbeyatv Жыл бұрын
Mi ni wakala kitambo...ila tigo na airtel ni selective sana ..kuna maeneo hamna wateja wa tigo na airtel
@maalimumachichanatangu8332
@maalimumachichanatangu8332 4 ай бұрын
Safi sana 😊
@mawazoaliselemani8909
@mawazoaliselemani8909 Жыл бұрын
URASIMU ukizidi unachelewesha maendeleo.sasa kupata laini tu ya tigo,airtel money unapitia hizo process zoote kama unataka kumchumbia mtoto wa mfalme🤣
@SEDJamii
@SEDJamii Жыл бұрын
😅😁😁😁😁 ni hatari kweli kweli
@BarakaMasele-ku6nw
@BarakaMasele-ku6nw Жыл бұрын
😂
@AngelMwakisyala
@AngelMwakisyala 3 күн бұрын
Asante kwamafunzo naomba namba ya watsapp kaka
@gladymbisse7646
@gladymbisse7646 10 ай бұрын
Asantee kwa elm yko
@DULLAY-DJ
@DULLAY-DJ 8 ай бұрын
Ungeongea kawaida tu ....hio ongea yako inachosha kuskiliza
@SaumaBakari-ld2dy
@SaumaBakari-ld2dy 7 ай бұрын
Asate sana
@elisiameela2778
@elisiameela2778 3 ай бұрын
Duh kumbe ni process kupata hzo line
@furahacleo6128
@furahacleo6128 2 жыл бұрын
Ubarikiwe kwa elimu ii.
@SEDJamii
@SEDJamii 2 жыл бұрын
Karibu sanaa
@user-pr5xj9xc9w
@user-pr5xj9xc9w 4 ай бұрын
nipo tayari unifundishe kwa buku
@munibullahmarunda7051
@munibullahmarunda7051 2 жыл бұрын
Video nzuri Sana nimejifunza vitu vngi. Ila nashauri uwe unaongea tu kawaida Yani Kama mtu flani profesional, hii Sauti ya kukoroma sio pia Sana kwa maelezo Marefu. Ni maoni tu lakini. Ila kwa ujumla nimependa Sana makala yako na nimejikuta na subscribe channel. So nice keep it up.
@SEDJamii
@SEDJamii 2 жыл бұрын
Ahsante sana kwa ushaur... tutaufanyia kazi kwa haraka sana
@vailetmsack731
@vailetmsack731 11 ай бұрын
Asante sana nimepata somo zuri
@leahmodest1361
@leahmodest1361 Жыл бұрын
Ahsante saana kwa maarifa
@DominathaMapunda-sj2dj
@DominathaMapunda-sj2dj Жыл бұрын
Safi Sana tumejua mengi
@kastorinacharles4075
@kastorinacharles4075 2 жыл бұрын
Mbn mm nimeenda TRA nimeambiwa nilipe shilingi elfu 53,000 kabla hata ya leseni
@SEDJamii
@SEDJamii 2 жыл бұрын
Gharama za awali za tin huwa wanakadiria kutokana na Miezi iliyobaki mwaka huo kuisha. Mfano ukitafta tin mwezi January utachajiwa ela kubwa kuliko miezi ya katikati ya mwka. Pia huchajiwa gharama ndogo zaidi ikiwa ni Miezi ya mwisho wa mwaka. Kwa sababu makadirio ya malipo tra hufanyiwa tathmin kila mwanzoni mwa mwaka husika.
@dynessmbawala2107
@dynessmbawala2107 2 жыл бұрын
Mie ambaye cn kitambulisho Cha ulaia nafanyaje
@OmaryOdama-bk2fd
@OmaryOdama-bk2fd 5 ай бұрын
Mkuu mm mataka kusajili lain ya tigo napataje
@vumiliakandonga4401
@vumiliakandonga4401 Жыл бұрын
Kwan wakala mpaka uwe na shingapi maana napenda biashara ya wakala
@mpulanimagoko5240
@mpulanimagoko5240 Жыл бұрын
Kwa uhakika zaid Anza hata na million moja
@rose_Winchester86
@rose_Winchester86 Жыл бұрын
@@mpulanimagoko5240 millioni 1 ndogo sana
@siahlasway4200
@siahlasway4200 7 ай бұрын
Asantee ila sauti inaboa kuskiliza
@suryaramaa
@suryaramaa 5 ай бұрын
😅
@SimaAloys
@SimaAloys 10 ай бұрын
Namba ya ofis samahan
@mzeewakibegi5105
@mzeewakibegi5105 Жыл бұрын
Asante sana mzee
@shabanhassanishabanhassani2913
@shabanhassanishabanhassani2913 Жыл бұрын
Sharaak nimekuelewa saana ila kama hautojali nitumie namba yako ya simu
@SimaAloys
@SimaAloys 10 ай бұрын
Naweza pata nmba za ofisi?
@faudhiatmasoud4025
@faudhiatmasoud4025 Жыл бұрын
Nilikua wapi siku zote kukusikiliza?nmekuelewa haswaa..
@SEDJamii
@SEDJamii Жыл бұрын
Karibu sanaaa🙏🙏🙏🙏
@ShaniKazumali-wl7lc
@ShaniKazumali-wl7lc 10 ай бұрын
Naomba nambayako ya wahatsap
@melesianageorge2012
@melesianageorge2012 2 жыл бұрын
Naomba kujuwa,Sasa akikupa lain za kazi zinakuwa na flot taya?
@SEDJamii
@SEDJamii 2 жыл бұрын
Flot unaweka pale pale kabla hajakupa laini hizo...
@abdullytamimu7478
@abdullytamimu7478 2 жыл бұрын
Nice
@SEDJamii
@SEDJamii 2 жыл бұрын
Your welcome
@SEDJamii
@SEDJamii 2 жыл бұрын
Your welcome
@ShaniKazumali-wl7lc
@ShaniKazumali-wl7lc 10 ай бұрын
Naomba nambayako ya whatsap
@eliezambwambo6776
@eliezambwambo6776 2 жыл бұрын
BROOO ASANTE KWA ELIM YAKO NIMEPENDA SOMOLOKO NA UNAFUNDISHA TARATIBU HADI MTU ANAELEWA
@SEDJamii
@SEDJamii 2 жыл бұрын
Ahsante sana na karibu tenaaa SED Jamii
Njia 4 Kubwa Unazoweza Kutumia Kumshawishi Mteja.
7:01
Joel Nanauka
Рет қаралды 102 М.
Dad gives best memory keeper
01:00
Justin Flom
Рет қаралды 21 МЛН
ПРИКОЛЫ НАД БРАТОМ #shorts
00:23
Паша Осадчий
Рет қаралды 4,7 МЛН
TABIA HATARISHI KWENYE BIASHARA
5:56
Joel Nanauka
Рет қаралды 35 М.
MBINU KUBWA 3 ZA KUPATA PESA NYINGI KIRAHISI | Victor Mwambene.
9:54
Victor Mwambene
Рет қаралды 8 М.
BIASHARA ZINAZOTENGENEZA MATAJIRI WENGI
12:39
Kelvin Kibenje
Рет қаралды 54 М.
MASHWALI 5 KUHUSU BIASHARA YA UWAKALA
9:25
RABAONE TV
Рет қаралды 4,5 М.
MBINU ZA SIRI KATIKA DUKA LA REJAREJA/ UNATENGAJE FAIDA.?
10:59
SED Jamii.
Рет қаралды 59 М.